Jana nilipokuwa nikifuatilia harambee ya CHADEMA kupitia luninga kwanza nilianza kujiuliza maswali where is DR SLAA, baada ya muda ikatolewa taarifa kwamba yuko kwenye operation sangara huko mahenge, interior kabisa yaani ndani uko vijijini chini kabisa ambako umasikini na ujinga ndio utambulisho wa wakazi wake.
Mi nashangaa huko kaenda kufanya nini wakati inajurikana ndio ngome ya CCM,mi kwa kweli naona kama sio fair kwenda kwenye ngome za wengine, alafu why now? sababu inakuwa kama vile tuko kwenye uchaguzi vile. THIS IS TOO MUCH PRESSURE.

Reply With Quote

Follow Us Here