Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

    Report Post
    Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 89
    1. #1
      ureni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th June 2011
      Posts : 738
      Rep Power : 549
      Likes Received
      187
      Likes Given
      183

      Default Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

      Licha ya mkwala mkubwa uliopigwa na serikali ya Tanzania kwa Malawi bado ndege zao zinaendelea na utafiti kama kawaida ndani ya eneo la ziwa.Wananchi kuzunguka ziwa wameanza kuingiwa hofu kuwa vita inaweza kutokea wakati wowote kuanzia sasa.

      Source.Wapo Redio

    2. Miaka 50

    3. #21
      ALEYN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th November 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,037
      Rep Power : 588
      Likes Received
      126
      Likes Given
      17

      Default

      Quote By OLEWAO
      Sasa kama wanaziona hizo ndege bado wanaziangalia tu jeshi limeenda huko kufanya nini,au wanamsubiria amiri jeshi mkuu aseme.

      Wanacheza kweli hao ka nchi kenyewe kama mkoa wa ruvuma tutatumia mgambo kusambaratisha hizo ndege zao

      Amiri jeshi akisema twanga utaona balaa lake. Waache waendelee na ukauzu wao!
      Jk sijui anafikiria nn

    4. #22
      ALU-MASOLI's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd March 2010
      Location : DSM
      Posts : 52
      Rep Power : 479
      Likes Received
      0
      Likes Given
      3

      Default re: Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

      ninaimani na jeshi la tz hawawez kutuangusha mungu ibariki TANZANIA

    5. #23
      manucho's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th April 2012
      Posts : 562
      Rep Power : 470
      Likes Received
      79
      Likes Given
      0

      Default re: Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

      Wacha iende/wachukue ni sawa kabisa. Tukipewa/tukichukua haitusaidii chochote zaidi ya mafisadi.
      Twiga imepandishwa ndege watu wameweka hela mfukoni kesho na keshokutwa watalii wanahamia Oman huku tunabaki kufa njaa, wapi na wapi!

      Wabebe liziwa lao waende wakafanye shughuli zao wanazotaka, mimi nimeshajichokea na hii serikali kapiganeni nyie mnaotetea taifa la maboksi

    6. #24
      Kunta Kinte's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 18th May 2009
      Posts : 2,579
      Rep Power : 2537
      Likes Received
      606
      Likes Given
      763

      Default re: Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

      Quote By Sheba
      WAPO Radio haiwezi kuwa source ya tukio la kiusalama. Source inaweza kuwa Mkuu wa Mkoa, TCAA , Makao Makuu ya Jeshi au Wizara ya Mambo ya Nje.
      Wee endelea kusubiri hizo soirce zako kama zitasema lolote
      Have patience with all things, but chiefly have patience with yourself.- Saint Francis de Sales

    7. #25
      Scofied's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th June 2012
      Location : A-City
      Posts : 1,284
      Rep Power : 607
      Likes Received
      333
      Likes Given
      58

      Default

      Quote By kupelwa
      naamini wewe si mtanzania, na kama unajiita mtanzania ni wa kuomba
      passport.Umepata wapi ujasiri wa kusema hivyo.hata kama watendaji ni
      wabovu na siasa si ya demokrasia ya uwajibikaji na ni mafisadi; ardhi ya
      tanzania ni watanzania, ni lazima watanzania tutetee hata kama ni
      kipande cha ekari moja.Walikuwa wapi miaka yote hiyo kudai hicho kipande
      cha ardhi kama si ukorofi?tumekuwa marafiki tangia enzi za muluzi,
      mbigu wa mthalika, huyu mama ana asili kweli ya banda, miaka ya nyuma
      ndugu banda alikiona kichapo.Mi sitaki kuingia ndani ya dipolomatic
      intelligency, lakini, naamini, hawa kichapo ni chao.Nasihi watanzania ni
      lazima kutetea ardhi yetu mpka tonela mwisho wa damu yetu.

      binafsi sijivunii utanzania wangu,so liwalo na liwe....hii nchi si ya watanzania tena..usishangae ukaambiwa ni upepo tu utapita, lolote linawezekana kwa serikali dhaifu ya ccm


    8. #26
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,705
      Rep Power : 1917
      Likes Received
      1597
      Likes Given
      678

      Default re: Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

      Quote By mopaozi
      Wanacheza kweli hao ka nchi kenyewe kama mkoa wa ruvuma tutatumia mgambo kusambaratisha hizo ndege zao
      Mbona Israel ni Kama Mkoa lakini kibano chake si cha kitoto wewe gamba ukubwa wa nchi sio uwezo wa kivita

    9. #27
      Kikarara78's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th November 2010
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 323
      Rep Power : 496
      Likes Received
      64
      Likes Given
      519

      Default re: Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

      Ureni na Wana JF,
      Jamani tusishabikie Vita, tuangalie Upande wa Pili baada na wakati wa vita.
      Diplomasia itumike zaidi, na tumwombe Mungu hiki kitu kisifike
      Msiba uwe kwa jirani, ukiwa kwako ndio utajua Uchungu wa Kufiwa.
      My Take: Mkuu wa Kaya aka Amiri Jeshi endelea na Diplomasia, Hatutaki Vita sisi
      Nawakilisha

      Quote By ureni
      Licha ya mkwala mkubwa uliopigwa na serikali ya Tanzania kwa Malawi bado ndege zao zinaendelea na utafiti kama kawaida ndani ya eneo la ziwa.Wananchi kuzunguka ziwa wameanza kuingiwa hofu kuwa vita inaweza kutokea wakati wowote kuanzia sasa.

      Source.Wapo Redio

    10. #28
      Ruhazwe JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2011
      Posts : 3,172
      Rep Power : 2888
      Likes Received
      776
      Likes Given
      721

      Default re: Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

      wakubwa hii nchi inaserikari yenye matatizo mengi sana kwa hili nakubali,lakini tupokuja kwenye swala la kama malawi ni lazima kuweka itikadi zetu pembeni na kuwa kitu kimoja,sisi Wanajeshi tunaamini ktk UMOJA na ndio maana utaona nembo ya JWTZ inaneno UMOJA.Labda niseme kitu kimoja kama mwananchi mzalendo na mwanajeshi wa JWTZ ambaye kwa namna yoyote naweza kuwa mstari wa mbele kwa kadri wakuu wangu watakavyo amua,kwamba,ikitokea hata sasa kwa namna yoyote MMALAWI TUNAPIMGA KWA MUDA USIOZIDI NUSU SAA,najua kauli hii itawakwaza wachache wenu lakni naeleza hali halisi,alafu vijana tunahamu sana sema mnatuchelewesha tu,nyie bishaneni wee lakini ukweli ni kwamba MALAWI NI WALITO KWA TZ
      Nyumisi likes this.

    11. #29
      Ruhazwe JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2011
      Posts : 3,172
      Rep Power : 2888
      Likes Received
      776
      Likes Given
      721

      Default

      Quote By Precise pangolin
      Mbona Israel ni Kama Mkoa lakini kibano chake si cha kitoto wewe gamba ukubwa wa nchi sio uwezo wa kivita
      usijaribu kupotosha watu kwa mifano mfu,nakuhakishia alipoponea kichaa wa jiran yako,huwenda kichaa wako asiponee pale.nasema,inatoke,malawi hata kama akisaidiwa malawi tunampiga ndani ya dk 30 na yule mama yenu tunawalete jangwani akiwa kwenye drip,utaniambia,tena unanitia hasira wewe

    12. #30
      Ruhazwe JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2011
      Posts : 3,172
      Rep Power : 2888
      Likes Received
      776
      Likes Given
      721

      Default

      Quote By ALU-MASOLI
      ninaimani na jeshi la tz hawawez kutuangusha mungu ibariki TANZANIA
      ondoa shaka ktk hilo,labda mkwele awe mpole,tunataka kauli kama za Mwalimu,dk20 nyingi yule mama tunawaletea hapa tena akiwa na hana hata sindilia

    13. #31
      MpigaKelele's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 6th November 2010
      Posts : 2,223
      Rep Power : 964
      Likes Received
      492
      Likes Given
      1469

      Default re: Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

      Patrick Kabambe wa Mambo ya nje ya Malawi nadhani ana nguvu kubwa sana inayomtuma kuropoka maneno kama haya, kama hafanyi maigizo.

      Baadhi ya Wamalawi waanza kulaumu kuwa Tanzania inapenda vita na ndio maana imesogeza vikosi vyake vya jeshi karibu na mpaka (jambo ambalo hawakulidhibitisha).
      A Malawian Online PublicationTanzania
      Curiosity.........
      A well tight cornered rat can bite a Cat...

    14. #32
      Ruhazwe JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2011
      Posts : 3,172
      Rep Power : 2888
      Likes Received
      776
      Likes Given
      721

      Default

      Mkuu MpigaKelele wala wasikupe homa,huyu mama anatushika makario hatuta muacha,yawezekana kamzia jk na jk mtoto mjini kamtosa baada ya kuona sura nzito,mama kaanza kulipiza kisasi...sasa asubiri ataona mziki
      MpigaKelele likes this.

    15. #33
      ZeMarcopolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th May 2008
      Posts : 7,205
      Rep Power : 5041
      Likes Received
      2438
      Likes Given
      2229

      Default re: Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

      Quote By mkataba
      Malawi ina haki kamili ya kufanya utafiti ktk nchi na ziwa lao, waacheni Tnganyika na kelele na ufisadi wao.

      Huyu bado hajapigwa Ban tu?!!! This more than an insult kwenye jukwaa la watanzania. Maisha ya watanzania zaidi ya 600000 yanawekwa rehani halafu unafanya mzaha!!!
      "To greed, all nature is insufficient"

    16. #34
      MpigaKelele's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 6th November 2010
      Posts : 2,223
      Rep Power : 964
      Likes Received
      492
      Likes Given
      1469

      Default re: Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

      Tunatakiwa kuwajua wanaompa kiburi huyu Patrick Kabambe, kama haigizi haya maneno yake.

      Kuna kamsemo huku mtaani kanasemeka hivi " hutakiwi kuangaika na mbwa aliyemuuma mwanao bali SEMA na mmiliki wa mbwa huyo".
      Curiosity.........
      A well tight cornered rat can bite a Cat...

    17. #35
      Njowepo's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 26th February 2008
      Location : Santiago
      Posts : 7,634
      Rep Power : 22062
      Likes Received
      1009
      Likes Given
      803

      Default re: Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

      Unajua wanaotetea wamalawi usikute hawajawai kumiliki ata eka moja ya ardhi alafu mtu aitwae uone uchungu wake

    18. #36
      masopakyindi's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 5th July 2011
      Posts : 3,757
      Rep Power : 4199
      Likes Received
      1015
      Likes Given
      417

      Default re: Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

      Quote By mkataba
      Malawi ina haki kamili ya kufanya utafiti ktk nchi na ziwa lao, waacheni Tnganyika na kelele na ufisadi wao.
      Tukimalizana na Walawi twaenda kuigeuza Zanzibar mkoa wa visiwani.
      "If you don't know where you are going, any road will get you there-nowhere”

    19. #37
      mchemsho's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th June 2011
      Posts : 2,016
      Rep Power : 810
      Likes Received
      271
      Likes Given
      22

      Default re: Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

      Hivi kikwete ameshasema chochote? Mwenzake wa nyasaland walau aliongea, huyu wetu sijui yuko bizy na nn

    20. #38
      Rich Dad's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th December 2010
      Posts : 741
      Rep Power : 576
      Likes Received
      100
      Likes Given
      12

      Default re: Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

      Kuna picha nimeiona leo kwenye gazeti la mwananchi Joyce Banda akiwa kamkumbatia Hillary Clinton alipokwenda kutembelea malawi. Msishangae kiburi chote alichonacho huyu mwanamke kinatokana na Back-up ya US gov

    21. #39
      sweke34's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th September 2010
      Posts : 2,493
      Rep Power : 1255
      Likes Received
      734
      Likes Given
      1240

      Default

      Quote By mchemsho
      Hivi kikwete ameshasema chochote? Mwenzake wa nyasaland walau aliongea, huyu wetu sijui yuko bizy na nn
      Futari...

    22. #40
      PakaJimmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2009
      Posts : 14,741
      Rep Power : 22532
      Likes Received
      6393
      Likes Given
      2861

      Default re: Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

      Nasisitiza kwa mara nyingine, vita siyo option kwa sasa! Kupiganisha nchi hii hata kwa wiki moja tu kutatuacha hoi ibn taaban.
      Diplomasia bado ina nafasi kubwa sana ya kusolve suala hili.
      Mkwawa likes this.

    Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...