Kimsingi gazeti hili sijui linatumiwa na nani kuwavuruga na kuwachafua mashujaa hawa..? Kwa kusema wanafanya vituko bungeni.. Nimejiskia vibaya sana.. Na kuona kichefucheefu..
Kimsingi gazeti hili sijui linatumiwa na nani kuwavuruga na kuwachafua mashujaa hawa..? Kwa kusema wanafanya vituko bungeni.. Nimejiskia vibaya sana.. Na kuona kichefucheefu..
wakati mabwana hawa wanatetea haki za watanzania wanyonge.. Kwa kweli mnyika na lissu wanafanya kazi nzuri mno bungeni na kusema wanafanya vituko ni kuwaonea.. Pas sababu za msingi
naona wanataka kutuvuruga na kutuharibia chadema yetu.. Hasa msim huu wa mwezi mtukufu ..watatuharibia swaum yetu Natamani ningekuwa wazir ningelipiga bann.. Gazet hilo upes
Funguka yaliyo ndani. Kwa wengine hilo gazeti ni msamiati mgeni
mkuu
usipende kusoma vijigazeti vya uchochoroni
siku zote mti wenye matunda matamu ndio hutupiwa mawe!
frustration is given by expectationdivide by
outcome
ie frustration = expectation/outcome
hilo gazeti ni uhuru udaku, mwandishi Lukuvi aka kiranja wa nidhamu
Mafisadi wako kazini, tutashuhudia vijigazeti vya kila aina kuelekea ukombozi wa kweli hapo 2015, Tuupuuze ujinga huo
wanatapatapa tu,waende malawi wakapambane.
wenzio wanachukua nchi wao na udaku tu.
akauonyeshe ukiranja huko kwa bi.malawi
Duhu!!!!
Sauti huru, ni ki-jarida cha Mt wa Lumumba na kazi yake ni moja tu- cheap propaganda. Usipoteze hela!
Mpaka sasa sijui gazeti gani tanzania unaweza amini walichoandika, kama kweli huwa unaangaria bunge la tanzania huweze kabisa kuwaponda hawa jamaa wawili.
Mkuu usipoteze pesa yako kununua vigazeti vya uchochoroni hivyo
nunua mwananchi na tanzania daima kwa habari za uhakika ukinunua sijui mzalendo ,uhuru lazima ukutane na utumbo kama huo kwani magazeti haya yana2miwa na magamba ili kujinasua katka tope zito walimonasa
Sijawahi liona. Ndo nasikia kwako
Wote LISSU na MNYIKA wanalo. Mnyika, kabla hatujasahau alivyoiba kura kwa laptope, kashfa nyingine ya nishati na madini. Lissu atakumbana na kusimama kizimbani pale atakaposhindwa kutoa ushahidi dhidi ya SENDEKA, tusubiri tu vi2ko vyao mtazidi kuviona kama bado hamjaamini kwamba ni wa2 wa vi2ko.
Mabadiliko ni lazima hata wachapishe manovo
Follow Us Here