Mkuu hayo ya kawaida huku mikoani ndo usiseme, hakuna karatasi mgonjwa anaandikiwa kwenye karatasi la gloves na inawekwa kwenye file... Maisha yanaendelea!
Mkuu Measkron, yaani hata continuation sheets hazipo, imagine NGT(Nasogastric tube) na gloves(clean gloves and not sterile) ndio zinatumika kufungia karatasi za wagonjwa??? zikipotea nani alaumiwe? vifaa navyo vikipotea-kama feeding tubes(NGT) zinatumika??Sijui tunaelekea wapi, kama hii ndio Hospitali ya TAIFA!!!!
ccm hoyeeeeeeee Maisha bora kwa kila Mtanzania
Ndo hiyo babu, ulikuwa hujawahi kufika nini au unaishangaa kwa kubadilika kwake?? Mzee wa Medical vip??? Achana na masjala, kapige picha za wodin kule!!! Hospital ya Taifa kama Zahanati. Wagonjwa huku mikoani wakiambiwa tunakurefaa Muhimbili, anakujibu kwanin mnata nikafie mbali?? Niachen nifie hapa karibu ili nisiwasumbue kusafirisha maiti. NI HATARI SANA.
Mbona hicho ni kitu cha kawaida hapo MNH..
bado cjaona cha kunishangazab hapo
Kama damu inakusisimka unapoona haki ya mtu ikipokwa na uko tayari kuitetea kwa gharama yeyote, basi hakika wewe ni Comrade wangu-Che Guevara.
Mlivyochagua ccm 2010 mlitegemea nini hayo do majibu na bado miaka 3 mkipewa tena khanga hii nchi itakuwa kama somali
Hii ni laana, hivi na hali hii bado ccm inaongoza?
Na bado, na sasa hivi mmekimbizana kuchukua form za kugombea uongozi UVCCM, mliambiwa msiwachague mkasema mnamchagua Rais kijana, CCM Oyeeeeeeeeeee!
Dah.......! hapo wamezidi, kule Zenji wanatumia waya lakini wananunua waya maalum zilizofungwa na kukatwa vzuri na zote ni rangi moja tuuu, tofauti na huku machinjioni Muhimbili.
Mnafikiri ni sababu gani zitakazowafanya viongozi wetu waikumbuke Muhimbili wakati wao wanatibiwa India?
ccm ni janga wakuu.. Wakija wenyewe watasema wewe uliyeleta hii habari ni CDM
na ukata huu .....je baada ya vita na malawi si info za mgonjwa daktari atakuwa anaandikia makalioni mwa mgonjwa.....shexxxx kabisa !!!!
afu kuna magari 25 yameletwa!v8!!!
kaaazi kweli kweli
Follow Us Here