wakati wa uchaguzi mwaka 2010 tulishudia mnadhimu wa jeshi-Shimbo akitahadharisha juu ya tishio la amani nchini.je ni lini tutamsikia tena akiongelea juu ya tishio la usalama wa mpaka wetu na malawi?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
wakati wa uchaguzi mwaka 2010 tulishudia mnadhimu wa jeshi-Shimbo akitahadharisha juu ya tishio la amani nchini.je ni lini tutamsikia tena akiongelea juu ya tishio la usalama wa mpaka wetu na malawi?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Last edited by jingalao; 7th August 2012 at 20:31.
Hiyo ni moja kati ya plausible arguments.
Of course upande mwingine unaweza ku argue equally valid kwamba kulikuwa na a "threat to national security" iliyo warrant tamko.
Ndiyo maana nikasema, unaweza kukesha mpaka asubuhi mnabishana na mtu kuhusu hili, na kwa sababu hili si material katika la jeshi kutoa tamko kuhusu Malawi, utakuwa una introduce an unnecessary complication.
Kama unataka kuandika kuhusu la Shimbo, shika hilo, kama unataka la Malawi shika hilo.
La Shimbo na uchaguzi haliwezi kuwa hata mfano katika hili la Malawi kwa sababu halifanani nalo.
Unless unataka kutumia issue ya Malawi kisiasa ku beat up on kinachoonekana kuwa ni udhaifu wa uongozi unnecessarily ili kupata brownie points za kila siku za kuusema uongozi wa Tanzania, katika muda ambao unahitaji angalau ukimya kuhusu udhaifu ambao hauna haja ya kuingizwa moja kwa moja kwenye discussion ya vita na nchi nyingine, kama si mshikamano miongoni mwa wananchi wa Tanzania.
Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.
We are essentially on the same page here. In a civilian led government the army just takes orders and implements.
It is wrong for the army to give any statement unless it is about an issue concerning the army itself. Therefore it is wrong to expect the army to give a statement on a diplomatic row as the one between us and Malawi.
.....Malawi...
Last edited by MpigaKelele; 8th August 2012 at 16:17.
Curiosity.........
A well tight cornered rat can bite a Cat...
We Jamaaa una Haraka..sasa Kazi Waziri wa Mambo ya. Nje na Mambo ya ndani na Amiri Jeshi mkuu kazi yao nini ?kuna Protocol ....wale JWTZ ni watendaji tuu...tukiwaambia tunataka Lilongwe iwe Upside down watafanya ivo
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
"Peace is not simply about the absence of violence. It is defined by the presence of fundamental liberties and the prevalence of economic opportunities."
JWTZ ya sasa full politics na ndo shida ya kuchanganya siasa na professionalism!
ILikuwa ni kosa kwa Shimbo kutoa lile tamko bse kama ingebidi basi bosi wake ambaye ni JK na wala si Mwamunyange ndo ingebidi atoe tamko kama lile.But since siasa zimeingia jeshini as result imekuwa kama ulimwengu wa kambale kila mtu ana sauti
Kuhusu ili la Malawi kama mtu anakuja mpaka nchini kwako tena sio mara moja wala mbili bado unasema tunasubili maongezi,apo lazima tukubali we are weak on that bse zile ndege ilikuwa kuzitungua ndo maongezi yaendelee.
Shida watu wanakula shavu ngome na lugalo na mipaka inalindwa kwa report na simu.
INgawa kwa sasa angalau wamejitaidi kuna vijana wanakula guard na sizani kama watakuja tena kwa ardhi yetu till further notice
WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.
Ukizungumzia suala la mgogoro wa Malawi bado ni suala la kisiasa na uhusiano wa kimataifa ambalo mnadhimu wa Jeshi hawezi kulizungumzia. Tuiche serikali yetu pamoja na serikali ya Malawi watumie hekima zao zote kulimaliza suala hili mezani. La ikishindikana, tunaishauri serikali ipeleke mgogoro huu mara moja katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ili uweze kutatuliwa kwa njia ya kimahakama. Tukiuacha ukielea na huku tunapishana maneno tunawezajikuta tunaingia katika vita na majirani zetu na hatimaye kurudisha maendeleo yetu hatua nyingi nyuma
Follow Us Here