Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 34 of 34
    1. #1
      richone's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 137
      Rep Power : 449
      Likes Received
      32
      Likes Given
      9

      Default Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

      WAKATI kukiwa na taarifa za kurejea nchini kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk Steven Ulimboka viongozi wa Jumuiya hiyo na Umoja wa Madaktari Tanzania (MAT), wanatarajia kukutana leo kujadili mkanda mzima wa sakata lililomkumba kiongozi huyo. Baada ya kikao hicho, madaktari hao watakutana na familia yake na kisha kumuuliza Dk Ulimboka kama angependa kilichomtokea kiwekwe wazi kwa jamii. Dk Ulimboka ambaye alikuwa anaratibu mgomo wa madaktari uliokuwa ukiendelea nchi nzima, alitekwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumatato ya Juni 27 mwaka huu na kupelekwa katika msitu wa Pande, nje kidogo ya Jiji a Dar es Salaam, ambako aliteswa na kujeruhiwa vibaya. Katika tukio hilo daktari huyo aling’olewa meno mawili na kucha za mkono mmoja na baadaye kulazwa katika Kitengo cha Wagonjwa Wanaohitaji Uangalizi Maalum (ICU) katika Taasisi ya Mifupa (MOI).

      Baada ya hali yake kuzidi kuwa mbaya Juni 30 mwaka huu, alisafirishwa kwenda Afrika a Kusini kwa ajili ya vipimo na matibabu. Kusafirishwa kwake kulifuatia taarifa ya jopo la madaktari lililokuwa linamhudumia kutoa taarifa kwa madaktari bingwa kuhusu abadiliko ya afya. Taarifa za kurejea kwa Dk Ulimboka zimezagaa katika mitaa mbalimbali jijini Dar es Salaam, huku baadhi ya watu wakizijadili katika mitandao ya kijamii. Akizungumza na gazeti hili Katibu wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk Edwin Chitage, alisema kuwa hali ya Dk Ulimboka inazidi kuimarika lakini alisita kueleza wazi ni lini kiongozi huyo wa madaktari atarudi nchini. “Tukiwa tayari tutatoa taarifa katika vyombo vya habari juu ya suala zima la afya ya Dk Ulimboka,” alisema Dk Chitage. Alisema leo au kesho viongozi mbalimbali wa MAT na Jumuiya ya Madaktari, watakutana kujadili suala la kiongozi huyo. “Ndani ya siku mbili hizi (leo na kesho) viongozi tutakutana na kujadili ripoti ya matibabu ya Dk Ulimboka na tutajadili kama tuvieleze vyombo vya habari ama laa,” alisema Dk Chitange.

      Hata hivyo Dk Chitange alisema hatua hiyo itategemea na kauli ya familia ya Dk Ulimboka na yeye mwenyewe (Dk ULimboka) kwa kuwa na wao pia watashirikishwa. “Dk Ulimboka na familia yake tutawashirikisha katika mambo ambayo tutayajadili,” alisema Dk Chitage. Alipoulizwa kama kiongozi huyo wa madaktari sasa anaweza kufanya shughuli zake kama awali, alisema hana uhakika kwa kuwa hana taarifa za ndani zaidi .

    2. Study Abroad

    3. #21
      markj's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th July 2012
      Posts : 1,006
      Rep Power : 547
      Likes Received
      164
      Likes Given
      143

      Default Re: Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

      Quote By malaka
      Waseme tu hili Jeshi sio la kuliamini kabisa hili bora mtu ujulinde mwenyewe tu.
      skuizi wanauwana wenyewe kwa wenyewe! wamemuua mwenzao morogoro wanasema kajinyona! shame on them! siwapendi hawa jamaa! yani kule mpakani kutokee vita hata ya masaa 4 tu! alafu hawa mafala wapelekwa kama chambo wafe wote.
      MZUNGU AKIJICHUBUA HUJUE MOYONI ANA UAFRICA!.by stamina

    4. #22
      Mnyonge Namba1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2012
      Posts : 402
      Rep Power : 449
      Likes Received
      78
      Likes Given
      0

      Default Re: Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

      Huyu aitwaye "thatha" huenda ni Abeid, Rama au ACP Ahmed Msangi kama siyo Pindaz.

    5. #23
      mangikule's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th June 2012
      Posts : 907
      Rep Power : 530
      Likes Received
      172
      Likes Given
      235

      Default Re: Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

      Quote By thatha
      Hata kama lisingekuwa mahakamani, halina mvuto tena kwa sababu yule mtengeneza uongo kishapigwa stop.
      UGHONDU na wale wenzako tunawajua!! Habari za mwanahalisi zimetoka kwa DR mind you!!
      TISS ni Majambazi period!!
      Unstoppable likes this.

    6. #24
      Kashaijabutege's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 20th October 2010
      Location : Kabuteigi
      Posts : 1,918
      Rep Power : 822
      Likes Received
      371
      Likes Given
      241

      Default Re: Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

      Quote By maria pia
      yaan ulimboka akikaa kimya nitamshangaa!...yale ya mwakyembe ctaki kuyasikia
      Mwakyembe ni mfuasi wa Kibwetere!
      NAKUSHUKURU MUNGU KWA KUIADHIBU CCM MCHANA KWEUPE, BABA NINAKUOMBA UZIDI KUWAUMBUA, KWA KUYAWEKA WAZI MCHANA WANAYOYAFANYA USIKU. OMBI KWA MUNGU: MUNGU WEWE NI MWEZA WA YOTE, NA SIKU ZOTE UNAYASIKILIZA MAOMBI YA WAKUCHAO, NAKUOMBA UKAFUNGE NGUVU ZA GIZA ZINAZOINYEMELEA M4C; NA UVUNJE MIPANGO YOTE YA MASHETANI WALIOPO NDANI YA CHADEMA. AMINA

    7. #25
      masatujr1985's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th October 2011
      Location : Anumbeye
      Posts : 409
      Rep Power : 463
      Likes Received
      65
      Likes Given
      25

      Default Re: Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

      Quote By thatha
      Hata kama lisingekuwa mahakamani, halina mvuto tena kwa sababu yule mtengeneza uongo kishapigwa stop.
      Umekuja Kimkakati nn

    8. FemaTV & Radio

    9. #26
      Masanilo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2007
      Location : Swat valley, Keta Keta
      Posts : 19,047
      Rep Power : 5464
      Likes Received
      3474
      Likes Given
      1896

      Default Re: Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

      Aliyemteka Dr. Ulimboka ni RAMADHANI IGHONDU mfanyakazi wa Ikulu

    10. #27
      sesy nzenga's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th June 2012
      Posts : 118
      Rep Power : 371
      Likes Received
      11
      Likes Given
      94

      Default Re: Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

      dr.ulimboka sema ukweli kuficha mambo kutakuletea matatizo kumbuka mwakyembe alificha mambo walichomfanyia ni kumuua taratibu.....ukweli ndio pona yako

    11. #28
      Mimibaba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2009
      Posts : 3,146
      Rep Power : 1527
      Likes Received
      754
      Likes Given
      590

      Default Re: Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

      Quote By thatha
      Kwani wewe umekuwa gazeti? Mbona maneno haya yanaonekana wazi umetoa kile ulichokisikia tu mitaani? Familia ya Ulimboka haina msemaji wa Familia mpaka Madaktari waongee kwa niaba yao, kwa sababau naona kama kikao hicho ni cha familia.
      Kawaida yako kupotosha, haikusaidii kwani ukweli utajitenga tu.
      Ukweli utakuweka huru daima

    12. #29
      sir.JAPHET's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th May 2012
      Posts : 607
      Rep Power : 474
      Likes Received
      90
      Likes Given
      43

      Default gazeti mwananchi;Madaktari kujadili sakata la Ulimboka

      Monday, 06 August 2012 22:04

      Fidelis Butahe
      WAKATI kukiwa na taarifa za kurejea nchini kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk Steven Ulimboka viongozi wa Jumuiya hiyo na Umoja wa Madaktari Tanzania (MAT), wanatarajia kukutana leo kujadili mkanda mzima wa sakata lililomkumba kiongozi huyo. Baada ya kikao hicho, madaktari hao watakutana na familia yake na kisha kumuuliza Dk Ulimboka kama angependa kilichomtokea kiwekwe wazi kwa jamii.

      Dk Ulimboka ambaye alikuwa anaratibu mgomo wa madaktari uliokuwa ukiendelea nchi nzima, alitekwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumatato ya Juni 27 mwaka huu na kupelekwa katika msitu wa Pande, nje kidogo ya Jiji a Dar es Salaam, ambako aliteswa na kujeruhiwa vibaya.

      Katika tukio hilo daktari huyo aling’olewa meno mawili na kucha za mkono mmoja na baadaye kulazwa katika Kitengo cha Wagonjwa Wanaohitaji Uangalizi Maalum (ICU) katika Taasisi ya Mifupa (MOI). Baada ya hali yake kuzidi kuwa mbaya Juni 30 mwaka huu, alisafirishwa kwenda Afrika a Kusini kwa ajili ya vipimo na matibabu.

      Kusafirishwa kwake kulifuatia taarifa ya jopo la madaktari lililokuwa linamhudumia kutoa taarifa kwa madaktari bingwa kuhusu abadiliko ya afya.

      Taarifa za kurejea kwa Dk Ulimboka zimezagaa katika mitaa mbalimbali jijini Dar es Salaam, huku baadhi ya watu wakizijadili katika mitandao ya kijamii. Akizungumza na gazeti hili Katibu wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk Edwin Chitage, alisema kuwa hali ya Dk Ulimboka inazidi kuimarika lakini alisita kueleza wazi ni lini kiongozi huyo wa madaktari atarudi nchini.

      “Tukiwa tayari tutatoa taarifa katika vyombo vya habari juu ya suala zima la afya ya Dk Ulimboka,” alisema Dk Chitage. Alisema leo au kesho viongozi mbalimbali wa MAT na Jumuiya ya Madaktari, watakutana kujadili suala la kiongozi huyo.

      “Ndani ya siku mbili hizi (leo na kesho) viongozi tutakutana na kujadili ripoti ya matibabu ya Dk Ulimboka na tutajadili kama tuvieleze vyombo vya habari ama laa,” alisema Dk Chitange. Hata hivyo Dk Chitange alisema hatua hiyo itategemea na kauli ya familia ya Dk Ulimboka na yeye mwenyewe (Dk ULimboka) kwa kuwa na wao pia watashirikishwa.

      “Dk Ulimboka na familia yake tutawashirikisha katika mambo ambayo tutayajadili,” alisema Dk Chitage.

      Alipoulizwa kama kiongozi huyo wa madaktari sasa anaweza kufanya shughuli zake kama awali, alisema hana uhakika kwa kuwa hana taarifa za ndani zaidi .

    13. #30
      maria pia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th July 2012
      Posts : 304
      Rep Power : 403
      Likes Received
      31
      Likes Given
      65

      Default Re: Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

      kesho nitakua eneo ambalo nitapata news kinagaubaga,ha ha nitawaletea yatakayojiri

    14. #31
      Unstoppable's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th January 2011
      Posts : 938
      Rep Power : 611
      Likes Received
      329
      Likes Given
      2041

      Default Re: Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

      Quote By mangikule
      UGHONDU na wale wenzako tunawajua!! Habari za mwanahalisi zimetoka kwa DR mind you!!
      TISS ni Majambazi period!!
      Ni ukweli upi Watanzania tunaotaka kuusikia tofauti na ule aliousema Ulimboka mwenyewe kwenye ile clip ya mahojiano? Wahusika alishawataja labda kama ni details zaidi ambazo kwakweli sidhani kama zitatusaidia chochote zaidi yakupandisha hasira pasipo vitendo.

    15. #32
      BHULULU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th June 2012
      Posts : 2,985
      Rep Power : 8374
      Likes Received
      824
      Likes Given
      686

      Default Re: Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

      Quote By thatha
      Hata kama lisingekuwa mahakamani, halina mvuto tena kwa sababu yule mtengeneza uongo kishapigwa stop.
      Akili ndogo

    16. #33
      Bigirita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Under a mango tree
      Posts : 11,244
      Rep Power : 3038
      Likes Received
      3030
      Likes Given
      4109

      Default

      Quote By thatha
      Hata kama lisingekuwa mahakamani, halina mvuto tena kwa sababu yule mtengeneza uongo kishapigwa stop.
      Mmeo kamaliza kunywa uji wa pilipili manga?
      Kamtandikie kitanda alale

    17. #34
      Makucha's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 179
      Rep Power : 468
      Likes Received
      16
      Likes Given
      0

      Default Re: Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

      Pasiwekwe wazi taarifa hiyo kwani nani ataiamini sana sana itachochea mengine kutumia taarifa ambayo haiaminiki na wote. Cha busara ni kuwa na tume huru kuchunguza mambo yote halafu watuletee na hiyo ndiyo taarifa ya kuzungumza kama iwekwe wazi au la.

    18. Miaka 50
    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...