PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C
Mhe. Lema leo alifuatana na makamanda wa CHADEMA wa jijini London kukagua moja ya vitendea kazi vya M4C ambapo pamoja na ununuzi wa vitendea kazi Lema atafungua tawi la CHADEMA London kesho Jumanne 7 Agosti, 2012 saa mbili usiku Thatched House Barking
Ni wazi kwa mtindo huu Lema ataendelea kuwa mwiba mkali na vuguvugu hili la M4C
Re: PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C
By Crashwise
Hivi Kikwete ni raisi wa nchi au ni waziri wa mambo ya nje kama alivyo Hilary Clinton, hivi kwenye baje ya marekani ni % ngapi wanategemea kutoka nje?, je kwasasa serikali ya CCM mko tayari tuwafananishe na marekani na siyo kenya, uganda, Rwanda....au mtajifananisha na USA kwenye maswala ya safari tu lakini kiuchumi tujifananishe na Uganda.
John mtembezi sijui gharama za matembezi yake ni hivi vijikodi vyetu au...........
Re: PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C
By njiwa
hahaha! vumbi la maandamano kila siku si mchezo ... acha aoshe macho london! atapiga picha hadi na farasi wa malkia mtuwekee JF
Kama ungejua bei ya Farasi, (na tena wa Malkia) nadhani ungejifunza thaminisha vitu.Achilia mbali traditions za watu wenye estate, huwa wanakukaribisha kupata ride kuzunguka katika estate .Halafu maneno kama haya ni ya watu walifikia mwisho wa kutafuta ch akumzuia mpinzania kwenda mbele.Sasa ngoja usikie siku inayofuata katembelea Landrover(unaweza bisha ila Arusha Landrover zina multibillion market inayosave tz na nchi jirani) ujue kaenda ongea dili.Hizi ndio mashine zenye strong business mind na si wenye ufisadi mind.
SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.
Re: PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C
Kwa wenye kujua kusoma picture, hapa lem alikuwa kifikiria pengine bei aliyopewa alikuwa kiingalia kama inalipa?Haonekani kuiga pose kama huyo hapo juu
SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.
Re: PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C
By MAFILILI
CDM ni hodari kwa kupeana ULAJI kikanda, kwa nini kila penye harufu ya pesa awekwe mtu wa Kaskazini???? Lema kila siku yuko safarini na kufaidi RUZUKU!!
Sinyie mnasema kuwa wachaga ni wa bahili sasa kwanini mnaogopa wasishike hela?Si nyie hamkuridhika enzi ya Basil Mramba na ukusanyaji kodi ila mmeshuhudia awamu ya nne hela zilivyopuputishwa?Mlichukizwa sana na kauli hata majani mtakula ila ndege lazima inunuliwe.Ingawa hiyo kauli haikuvutia wengi ilikuwa na ukweli katika mafanikio ya wakaskazini. Huwa wanweka malengo hata wakiwa hawana mia mfukoni halafu wanafight kuyafikia kwa kila hali hadi litimie.Nadhani hao ndio wanafaa.
SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.
Re: PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C
By zumbemkuu
natamani yawe machopa kama 20 hivi kabla ya 2015
Ndg.napiga picha siku rasmi ya uzinduzi wa kampeni hapo 2015, inaweza tokea ajali angani, maana ni vumbi itatimuka (kama ni dar) magogoni yote itahitaji vacuum cleaner, ila gharama yake itakuwa ya kuua mtu
Re: PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C
By bdo

riz1 na wadogo zake watakuwa airport kusubiri ndege ya kuwatorosha uhamishoni malawi kwa mama JB,
Re: PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C
By zumbemkuu
riz1 na wadogo zake watakuwa airport kusubiri ndege ya kuwatorosha uhamishoni malawi kwa mama JB,
Usinichome moyo, maana hii so ya mpaka wa Ziwa Nyasa hadi uishe tutashuhudia mengi unaweza kuta mshenga keshapelekwa, na si ajabu tuna mama mdogo bila kujua, ila wanaweza kuwa wamejiandaa kwa lolote si Malawi tu hata even USA maana sijui urafiki wetu na Marekani umeanza lini - kama si 2005-2015?
Re: PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C
By Ritz
Hiyo Chopa ndio kapewa na Meya wa London?
Wakati CDM ikijipanga kulikomboa taifa kutoka mikononi mwa wakoloni weusi, wakoloni hao kwa mara nyingine wameingiza V8 25 mpya toka kampuni ya toyota. Ni serikali ileile isiyo na uwezo wa kununua TCScaner kwa ajiri ya matumizi ya watanzania masikini.
Ni ilele serikali SIKIVU YA CCM iliyosema haina hela ya kuwalipa waalimu na madaktari.
Re: PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C
kuna watu wengine bana mawazo yao utadhani watoto wa chekechea, wewe umeona mtu kapiga picha yuko mahala fulani halafu unaanza kushangaa na kutoa kejeri ambazo hazina maana. je wewe uliyetoa kejeli hizo ulitaka lema apige picha na kuku ndo ufurahi maana akipiga akiwa kwenye chopa umetoa maneno
Re: PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C
By Ritz
Kiuchumi Marekani wanadaiwa na China $16.5 tillion...washauri pesa anayotumia Hilary Clinton kwenye safari wailipe China...msafara wa Lema kwenda Uingereza Chadema wametumia kiasa gani? Au ndio ofa ya Meya wa London analipa fadhila.
Acha utoto utakuwa lini bado haujapata mume tuu mbaka leo maana naona nape hakutoshi
Re: PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C
Yani ukiwa kilaza kila kitu utaandika, sasa hapa anakagua au anashangaa tu, hana utaalam wa kukagua hata gari anyotumia ije kuwa helkopta.. Tafadhali mtawaburuza vilaza wenzenu ila ukweli hapa anaosha tu hakuna jipya.
Watanzania tukulipe nini Ee Mungu mfalme kwa wema wako unaotendea watu wako? Ee Baba hakuna cha kukulipa kwani wewe ni alfa na Omega.Tunachoweza kusema tu ee Baba ni AHSANTE!
Re: PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C
Jamani Chopa yenyewe inaonekana imechoka sana na body language ya Lema ni kuwa kaingizwa mjini kama alimpatia tenda Chris lukosi wa serengeti basi kamuingiza mjini. kuna mambo mengi mengi unaponunua helikopta. insurance na etc
Follow Us Here