Anawasilisha mawazo binasfi kuhusu sheria mpya za SSRA haswa fao la kujitoa kwenye mfuko husika.
Anawasilisha mawazo binasfi kuhusu sheria mpya za SSRA haswa fao la kujitoa kwenye mfuko husika.
Ni pale mnyika alipotangaza vita dhidi ya sheria na kufanaya mazungumzo na wadau nchini kuhusu mafao ya wafanyakazi na kutaka kupe;leka muswada wa dharura bungeni hivyo serikali kutumia mbinu ili kuimeza hoja yake.
Issue hapa sio nani ni mtoa haja isue ni content ya hoja.
CCM kivipi tena? ninavyoelewa mimi hizi social security benefit scheme ni parastatal organisation zilizo chini ya kamati ya poac iliyopo chini ya MH zitto tena kwa ,maswala yanayohusu fedha na maslahi ya wastaafu mara kadhaa nimemsikia akisema mfano kwa NSSF, PPF, PSPF NA LAPF Kuwa hali ya mifuko hii ya mwisho miwili ni mbaya ukilinganisha na PSPF ambao hauna uwezo wa kuwahudumia wastaafu wake kwa madai kuwa michango mingi ya mwajili kwa maana ya serikali haipelekwi kwa wakati na kabla ya 1999 kuanzishwa kwa sheria mpya haikuwa inachangiwa na watumishi.
Sasa wakuu inaanza lini kujadiliwa na kurekebishwa?watuambie kabisa huu upuuzi wao hawataurudia kamwe!wafanyakazi wako radhi woote waache kazi kila mtu apewe chake akafie mbele
Mkuu Mbugi miswada hupelekwa Bungeni na Serikali na siyo kamati husika; baada ya majadiliano na kusomwa mara ya tatu mswada hupigiwa kura na kwa kuwa CCM ndio wengi sheria zote nzuri na mbovu zimepitishwa na CCM....hiyo ndiyo habari
"Effective leadership is not about making speeches or being liked; leadership is defined by results not attributes" Peter Drucker
Pole sana ndugu. Kamati ya POAC haitungi sheria, kinachotunga sheria ni Bunge letu ambalo lina wabunge wengi wa ccm. Hawa huunga mkono kwa 200% (mfano Komba) kila muswada wa sheria uletwao mbele yao. Walipohojiwa walisema NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO OOOOO! Sasa upepo umevuma vibaya huko nje, wamekurupuka tena kurudia walichokisema Ndiyo ili sasa kiwe siyo. Naungana na Mh. Didas Masaburi aliyesema wabunge wengi wa huko wanatumia makalio kufikiria. Wangetumia vichwa, suala hili wasingelishadadia kabisa kwakuwa ni sawa na kujipaka nyesi lako mwenyewe. Ni sahihi kabisa ukiwalinganisha na watoto tu.
LIWALO NA LIWE - PINDA.
Hawa wabunge wenye ushabikia kila kitu kwa itikadi wajui hiyo miiba wanayo itandaza wajue ikianza kuchoma haita chagua nani imuchome, kama haijawachoma wao basi wajukuu zao itawachoma tu. Nachukua muda kuamini kama sheria kama zinatungwa na watu wenye akili timamu. Watunga sheria hizi kandamizi hawana tofauti makaburu.
Hawa wazee wameishi maisha yao, wanaishi maisha yetu, tusiwaruhusu waishi maisha ya watoto wetu - ZZK, 22 November 2012
Bora hivi hivi ipelekwe na magamba watasapotiana,angepeleka gwanda angeshindwa,wanaleta utani na pesa zetu
'watanzania hawakukosea kumchagua Rais Jakaya Kikwete...walijua ana busara...' -Tundu Lissu
Kwanza mimi kama mfanyakazi nampongeza Jafo Suleman kwa hatua alizochukua kutusemea. Lakini nalaani chama chake kutuingiza mjini halafu wanakuja kwa mlango wa Nyuma kurekebisha mambo baada ya kuona maji marefu.
Pili, Jafo amepata jukwaa kutokna na move ya Mnyika, lengo ni kumnyang'anya hoja mnyika kwa faida ya wafanyakazi mwisho wa siku. Hongera Mnyika.
Mikael P Aweda 0784 583 330
Elimu kwanza
Follow Us Here