Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

    Report Post
    Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast
    Results 61 to 80 of 85
    1. #1
      lara 1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2012
      Posts : 4,567
      Rep Power : 22480
      Likes Received
      4695
      Likes Given
      1477

      Default Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      Kufuatia Mh. Sophia Simba kukalia hicho kiti awamu iliyopita na kuamua kutetea kiti chake awamu hii huku wakichuana vikali na Mh. Anna Kilango Malechela mimi msimamo wangu ni kumuunga mkono Mh Anna kwa hali na mali kwasababu zifuatazo:-

      1.UNDUGU NA KUJUANA KUMEZIDI

      Jumuiya hii imekuwa ikipoteza mantiki kabisa na kuwa jumuiya ya wake na watoto wa vigogo na mijimama ya mjini yenye majina makubwa ilhali uwezo wa mtu kuongoza na kukiletea chama maendeleo hauangaliwi kabisa wala kuzingatiwa. Kama huna jina mujini na pesa haiongei fungua njia kitoto chaanza tambaa. Na hili limedhihirika sana kipindi hiki kinachoisha cha Mh. Simba, ni dhahiri tukiendela kumkabidhi usukani kitakuwa chama cha watu fulani flani na mijimama ya mjini. Bora tubadili upepo tumuweke huyo mpare tuone hali itakuwaje ila hali ya Mh. Simba haifaiiiiiiiiiiiiiiiiii!

      2.CHAMA KIMEPOTEZA MUELEKEO
      Kusema kweli mpaka sasa chama kipokipo tu mradi kipo, hakina uelekeo wala ushawishi wowote. Chama hichi ilipasa kiwe chachu ya kuongeza wanachama wapya hususani kina mama kwenye kata na wilaya huko, ukizingatia chama chetu hiki kimesambaa sana yaani laiti lingetiliwa mkazo hili kila mjumbe kutimiza hili wala uchaguzi wa 2015 tungekuwa pazuri, Alivochukua Mh Simba nikajua kidogo mzoefu atatilia hili mkazo hamnaaaa, mpaka anamaliza chama alivokikuta ndo anakiacha. Bora tumfungulie njia Anna Kilango tuone nae manjonjo yake sio mtu tushaona uwezo wake hauturidhishi afu tumpe mda zaidi? hataaaa nabisha!

      3.CHAMA HAKIENDI NA WAKATI
      Chama hakikui kisera wala michakato, sera zile zile za kina bibi titi mpaka leo? Chama kinatakiwa kuiga mfano wa magamba kwenda na wakati, kwenda vyuoni kuvuna silaha mpya, kuwekeza katika vijana. Wadada wapo wengi sana wana uwezo huko vyuoni wanajiunga na magamba badala ya chama letu kubwa chama la kijani? Tena resources za kurecruit tunazo, nia tunayo na nguvu tunayo. Chama hakijikiti sekondari huko kupanda mbegu za kijani katika vibinti vidogo vikue kimtazamo wa kichama na kuja kuwa chachu mbeleni, Uvivu wa kupanda mbegu ndo watu wanajiunga ukubwani kumbe mamlukiii tu,kuja kuchafua chama. Haya Sofia hakufanya ya happen, tumpe nafasi Anna nae tuone karata zake zitakwendaje

      4.TIME FOR CHANGE
      Tumempa Sofia nafasi na tumeona uwezo wake, sasa mimi kwa mtazamo wangu kuwa aliyofanya Sofia hayatoshi na uwezekano wa kufanyika zaidi na zaidi ya hayo ulikuwepo na she didint make things happen! Its time for change, tumpe mtu mwingine nafasi alete mabadiliko, na aliponigusa ni kutamka wazi wazi kuwa mambo si mazuri, ataleta mabadiliko, sasa Sofia anadai chama ni madhubuti kwa hiyo hata umuhimu wa hayo mabadiliko hauoni, Bora aneona tuliko huku siko! Mda wa mabadiliko umefika wanachama wenzangu, tusizubae zubae.

      5. LACK OF VISION
      Anna kaenda kuchukua fomu, mda mchache aliopata na waandishi wa habari kaweka wazi vision yake ni kuleta mabadiliko endapo atapita, sasa mwenzie yeye alivoenda kuchukua mda aliopata na waandishi badala ya ksema vision na sera zake, kaanza kumuattack opponent wake. Hiyo inaonesha hajajipanga akishinda afanyeje na anatingishwa na nguvu ya mpinzani wake. Mi namuunga mkono mtu anejua kwanini anagombea ambaye ni Mh. Anna.

      ANNA KILLANGO MALECHELA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE EEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!! !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
      armanisankara likes this.

    2. Miaka 50

    3. #61
      lara 1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2012
      Posts : 4,567
      Rep Power : 22480
      Likes Received
      4695
      Likes Given
      1477

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      Quote By said kulwa
      utakuwa umetumwa na first lady aliyeukosa u first lady baada ya mumewe kueguliwa?...mama kilango hadhi yake ni kuwa mjumbe wa nyumba kumi kumi huko kwao same.
      huyu unayemuita mjumbe ana JIMBO ALILOGOMBEA KWA NGUVU ZAKE! Sasa huyo mgombea wako kabebwaaaaaaaaaaaaaa mpaka mbeleko imechanika!

      PALIIIIIIIIIIIIIIIS! SPARE ME THE DRAMA!

    4. #62
      lara 1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2012
      Posts : 4,567
      Rep Power : 22480
      Likes Received
      4695
      Likes Given
      1477

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      Quote By msiba
      sophia simba ndie alie simamia mpaka kuondolewa katibu wa uwt aliefanya ufisadi pale jengo la airtel.alisimamia mpaka akaondolewa yule mama mariam mamuya baada ya kuuza kiwanja kwa airtel kwa bei ya kutupwa.
      toa supporting data! Hayo majung tu!

    5. #63
      mymy's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd December 2011
      Posts : 119
      Rep Power : 397
      Likes Received
      33
      Likes Given
      27

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      lara 1 utakua ni mtoto wa Anna Kilango....

    6. #64
      lara 1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2012
      Posts : 4,567
      Rep Power : 22480
      Likes Received
      4695
      Likes Given
      1477

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      Quote By msiba
      nini kinachomfanya mama kilango aache jimbo na atake uenyekiti wa uwt iliapate viti maalum kama sio unafiki ni nini?
      nini kinachomfanya mama sofia aogope kwenda kugombea jimboni akalie kutaka viti maalumu daily! Kama si uvivu na woga ni nini?

    7. #65
      lara 1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2012
      Posts : 4,567
      Rep Power : 22480
      Likes Received
      4695
      Likes Given
      1477

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      Quote By mymy
      lara 1 utakua ni mtoto wa Anna Kilango....
      Wala mimi si mtoto wa Anna Kilango, wala anijui, mimi ni mwanachama hai, nimechoshwa na mwenendo wa chama hasa jumuiya hii, sio mzandiki wa kukiama chama, nabaki humuhumu kwenye chama kupambana na kuleta mabadiliko.

      Nimesikiliza wgombea wote, bila kuwa biased, wala clouded na past experiences au speculations za watu, nimeconsider yote waliyosema kila mmoja na nimeona vision ya Mh! Anna ni nzuri na very objective so ndo najituma hapa, matokeo ya kitoka, i didnt sit back n watch, i did what i could do.

      kinyume na wachanguaji ambao hawajawasikiliza wagombe hawaelewi nini kinaendelea wanadandia treni kwa mbele

    8. FemaTV & Radio

    9. #66
      ambagae's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd March 2009
      Posts : 545
      Rep Power : 630
      Likes Received
      37
      Likes Given
      72

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      Quote By lara 1
      kufuatia mh. Sophia simba kukalia hicho kiti awamu iliyopita na kuamua kutetea kiti chake awamu hii huku wakichuana vikali na mh. Anna kilango malechela mimi msimamo wangu ni kumuunga mkono mh anna kwa hali na mali kwasababu zifuatazo:-

      1.undugu na kujuana kumezidi

      jumuiya hii imekuwa ikipoteza mantiki kabisa na kuwa jumuiya ya wake na watoto wa vigogo na mijimama ya mjini yenye majina makubwa ilhali uwezo wa mtu kuongoza na kukiletea chama maendeleo hauangaliwi kabisa wala kuzingatiwa. Kama huna jina mujini na pesa haiongei fungua njia kitoto chaanza tambaa. Na hili limedhihirika sana kipindi hiki kinachoisha cha mh. Simba, ni dhahiri tukiendela kumkabidhi usukani kitakuwa chama cha watu fulani flani na mijimama ya mjini. Bora tubadili upepo tumuweke huyo mpare tuone hali itakuwaje ila hali ya mh. Simba haifaiiiiiiiiiiiiiiiiii!

      2.chama kimepoteza muelekeo
      kusema kweli mpaka sasa chama kipokipo tu mradi kipo, hakina uelekeo wala ushawishi wowote. Chama hichi ilipasa kiwe chachu ya kuongeza wanachama wapya hususani kina mama kwenye kata na wilaya huko, ukizingatia chama chetu hiki kimesambaa sana yaani laiti lingetiliwa mkazo hili kila mjumbe kutimiza hili wala uchaguzi wa 2015 tungekuwa pazuri, alivochukua mh simba nikajua kidogo mzoefu atatilia hili mkazo hamnaaaa, mpaka anamaliza chama alivokikuta ndo anakiacha. Bora tumfungulie njia anna kilango tuone nae manjonjo yake sio mtu tushaona uwezo wake hauturidhishi afu tumpe mda zaidi? Hataaaa nabisha!

      3.chama hakiendi na wakati
      chama hakikui kisera wala michakato, sera zile zile za kina bibi titi mpaka leo? Chama kinatakiwa kuiga mfano wa magamba kwenda na wakati, kwenda vyuoni kuvuna silaha mpya, kuwekeza katika vijana. Wadada wapo wengi sana wana uwezo huko vyuoni wanajiunga na magamba badala ya chama letu kubwa chama la kijani? Tena resources za kurecruit tunazo, nia tunayo na nguvu tunayo. Chama hakijikiti sekondari huko kupanda mbegu za kijani katika vibinti vidogo vikue kimtazamo wa kichama na kuja kuwa chachu mbeleni, uvivu wa kupanda mbegu ndo watu wanajiunga ukubwani kumbe mamlukiii tu,kuja kuchafua chama. Haya sofia hakufanya ya happen, tumpe nafasi anna nae tuone karata zake zitakwendaje

      4.time for change
      tumempa sofia nafasi na tumeona uwezo wake, sasa mimi kwa mtazamo wangu kuwa aliyofanya sofia hayatoshi na uwezekano wa kufanyika zaidi na zaidi ya hayo ulikuwepo na she didint make things happen! Its time for change, tumpe mtu mwingine nafasi alete mabadiliko, na aliponigusa ni kutamka wazi wazi kuwa mambo si mazuri, ataleta mabadiliko, sasa sofia anadai chama ni madhubuti kwa hiyo hata umuhimu wa hayo mabadiliko hauoni, bora aneona tuliko huku siko! Mda wa mabadiliko umefika wanachama wenzangu, tusizubae zubae.

      5. Lack of vision
      anna kaenda kuchukua fomu, mda mchache aliopata na waandishi wa habari kaweka wazi vision yake ni kuleta mabadiliko endapo atapita, sasa mwenzie yeye alivoenda kuchukua mda aliopata na waandishi badala ya ksema vision na sera zake, kaanza kumuattack opponent wake. Hiyo inaonesha hajajipanga akishinda afanyeje na anatingishwa na nguvu ya mpinzani wake. Mi namuunga mkono mtu anejua kwanini anagombea ambaye ni mh. Anna.

      Anna killango malechela oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!! !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

      pole sana hapo chaguo lako umenoa bora sophia simba

    10. #67
      ambagae's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd March 2009
      Posts : 545
      Rep Power : 630
      Likes Received
      37
      Likes Given
      72

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      Too much kupayuka

    11. #68
      ambagae's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd March 2009
      Posts : 545
      Rep Power : 630
      Likes Received
      37
      Likes Given
      72

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      Quote By Precise pangolin
      Kwani Anna kilango si ndiye ameolewa na Yule kikongwe wa dodoma mtera? Kama ndiye yeye hafai
      Haswa ndiye yeye huyo

    12. #69
      ambagae's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd March 2009
      Posts : 545
      Rep Power : 630
      Likes Received
      37
      Likes Given
      72

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      Quote By lara 1
      nini kinachomfanya mama sofia aogope kwenda kugombea jimboni akalie kutaka viti maalumu daily! Kama si uvivu na woga ni nini?
      Labda anna kaona Jimboni kapwaya Sasa anataka alikimbie kinamna kuogopa aibu

    13. #70
      mharakati's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 931
      Rep Power : 572
      Likes Received
      258
      Likes Given
      243

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      JF inaharibu sifa zake namna hii..muanzishaji mada alilenga wana ccm na haswa haswa wanaojua siasa za ndani za chama.. sasa mmeingia na majibu yenu/uchangiaji wenu wa kijinga jinga kama watoto wanaojifunza kuandika.

    14. #71
      Arushaone's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st March 2012
      Location : Arusha
      Posts : 6,389
      Rep Power : 40140
      Likes Received
      5042
      Likes Given
      16252

      Default

      Quote By lara 1
      nini kinachomfanya mama sofia aogope kwenda kugombea jimboni akalie kutaka viti maalumu daily! Kama si uvivu na woga ni nini?
      chakla ya mzee huyo hana haja ya kupoteza pesa ya kampeni

    15. #72
      Arushaone's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st March 2012
      Location : Arusha
      Posts : 6,389
      Rep Power : 40140
      Likes Received
      5042
      Likes Given
      16252

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      Huyo muanzisha thread kuna asilimia kubwa ni anna kilango.

    16. #73
      Young Tanzanian's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2012
      Posts : 564
      Rep Power : 475
      Likes Received
      45
      Likes Given
      49

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      Kilango hana jipya kwanza ni mnafiki mkubwa anajifanya mpinga ufsadi wakat tunaskia ni yeye wa kwanza alikutana na wajumbe na kuanza kugawa fedha et anadai anawasalimu wajumbe...pia alienda marekan kuomba fedha kwa wafanyabiashara wa usa walio na biashara apa bongo...huyu mnafki stak ata kumskia na huyu aliyeleta hii topic ni yeye mwenyewe...hatukutaki kilango

    17. #74
      TUNTEMEKE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th June 2009
      Location : Mombasa
      Posts : 4,504
      Rep Power : 11337
      Likes Received
      323
      Likes Given
      236

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      Quote By lara 1
      Kufuatia Mh. Sophia Simba kukalia hicho kiti awamu iliyopita na kuamua kutetea kiti chake awamu hii huku wakichuana vikali na Mh. Anna Kilango Malechela mimi msimamo wangu ni kumuunga mkono Mh Anna kwa hali na mali kwasababu zifuatazo:-

      1.UNDUGU NA KUJUANA KUMEZIDI

      Jumuiya hii imekuwa ikipoteza mantiki kabisa na kuwa jumuiya ya wake na watoto wa vigogo na mijimama ya mjini yenye majina makubwa ilhali uwezo wa mtu kuongoza na kukiletea chama maendeleo hauangaliwi kabisa wala kuzingatiwa. Kama huna jina mujini na pesa haiongei fungua njia kitoto chaanza tambaa. Na hili limedhihirika sana kipindi hiki kinachoisha cha Mh. Simba, ni dhahiri tukiendela kumkabidhi usukani kitakuwa chama cha watu fulani flani na mijimama ya mjini. Bora tubadili upepo tumuweke huyo mpare tuone hali itakuwaje ila hali ya Mh. Simba haifaiiiiiiiiiiiiiiiiii!

      2.CHAMA KIMEPOTEZA MUELEKEO
      Kusema kweli mpaka sasa chama kipokipo tu mradi kipo, hakina uelekeo wala ushawishi wowote. Chama hichi ilipasa kiwe chachu ya kuongeza wanachama wapya hususani kina mama kwenye kata na wilaya huko, ukizingatia chama chetu hiki kimesambaa sana yaani laiti lingetiliwa mkazo hili kila mjumbe kutimiza hili wala uchaguzi wa 2015 tungekuwa pazuri, Alivochukua Mh Simba nikajua kidogo mzoefu atatilia hili mkazo hamnaaaa, mpaka anamaliza chama alivokikuta ndo anakiacha. Bora tumfungulie njia Anna Kilango tuone nae manjonjo yake sio mtu tushaona uwezo wake hauturidhishi afu tumpe mda zaidi? hataaaa nabisha!

      3.CHAMA HAKIENDI NA WAKATI
      Chama hakikui kisera wala michakato, sera zile zile za kina bibi titi mpaka leo? Chama kinatakiwa kuiga mfano wa magamba kwenda na wakati, kwenda vyuoni kuvuna silaha mpya, kuwekeza katika vijana. Wadada wapo wengi sana wana uwezo huko vyuoni wanajiunga na magamba badala ya chama letu kubwa chama la kijani? Tena resources za kurecruit tunazo, nia tunayo na nguvu tunayo. Chama hakijikiti sekondari huko kupanda mbegu za kijani katika vibinti vidogo vikue kimtazamo wa kichama na kuja kuwa chachu mbeleni, Uvivu wa kupanda mbegu ndo watu wanajiunga ukubwani kumbe mamlukiii tu,kuja kuchafua chama. Haya Sofia hakufanya ya happen, tumpe nafasi Anna nae tuone karata zake zitakwendaje

      4.TIME FOR CHANGE
      Tumempa Sofia nafasi na tumeona uwezo wake, sasa mimi kwa mtazamo wangu kuwa aliyofanya Sofia hayatoshi na uwezekano wa kufanyika zaidi na zaidi ya hayo ulikuwepo na she didint make things happen! Its time for change, tumpe mtu mwingine nafasi alete mabadiliko, na aliponigusa ni kutamka wazi wazi kuwa mambo si mazuri, ataleta mabadiliko, sasa Sofia anadai chama ni madhubuti kwa hiyo hata umuhimu wa hayo mabadiliko hauoni, Bora aneona tuliko huku siko! Mda wa mabadiliko umefika wanachama wenzangu, tusizubae zubae.

      5. LACK OF VISION
      Anna kaenda kuchukua fomu, mda mchache aliopata na waandishi wa habari kaweka wazi vision yake ni kuleta mabadiliko endapo atapita, sasa mwenzie yeye alivoenda kuchukua mda aliopata na waandishi badala ya ksema vision na sera zake, kaanza kumuattack opponent wake. Hiyo inaonesha hajajipanga akishinda afanyeje na anatingishwa na nguvu ya mpinzani wake. Mi namuunga mkono mtu anejua kwanini anagombea ambaye ni Mh. Anna.

      ANNA KILLANGO MALECHELA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE EEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!! !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
      ni promo au kabobo tu?

    18. #75
      TUNTEMEKE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th June 2009
      Location : Mombasa
      Posts : 4,504
      Rep Power : 11337
      Likes Received
      323
      Likes Given
      236

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      Quote By lara 1
      huyu unayemuita mjumbe ana JIMBO ALILOGOMBEA KWA NGUVU ZAKE! Sasa huyo mgombea wako kabebwaaaaaaaaaaaaaa mpaka mbeleko imechanika!

      PALIIIIIIIIIIIIIIIS! SPARE ME THE DRAMA!
      itakuwa kibajaji ameonyesha nia ya kugombea na same mashariki nini ndio maana mnaanza kudata?...anna kilango ni sawa na toothless bulldog

    19. #76
      TUNTEMEKE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th June 2009
      Location : Mombasa
      Posts : 4,504
      Rep Power : 11337
      Likes Received
      323
      Likes Given
      236

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      Quote By Matola
      Hivi Sofia Simba aliwahi kushinda Ubunge wa Jimbo gani? labda mnipe simple logic ili nijuwe hapa ni nani mpambanaji na ni nani anataka kugeuza UWT kama kichaka cha kupatia Ubunge wa dezo?
      sophia simba amemwacha mbali sana mama kilango...kazi ya kilango ni kuropoka ropoka na si vinginevyo mama kilango ni sawa mbwa anayeamini kuwa akibweka ndio kila kitu na wezi watakimbia...alibweka kwenye richmond akashindwa kung'ata, akabweka kwenye dowans akashindwa na sasa anabweka bweka hovyo tu bila uelekeo...bora sophia simba yeye amekuwa akiisimamiamisimamo yake bila kujali kina nani watawaza nini na watasimamia nini...kwa hili namuunga mkono SIMBA kwa asilimia millioni moja zaidi ya huyu mke wa rais mshindwa...

    20. #77
      Daudi Mchambuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2010
      Posts : 6,176
      Rep Power : 1951
      Likes Received
      2994
      Likes Given
      13624

      Default

      Siasa za kike wanashindana kwa taarabu.

      Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

    21. #78
      QueenBee's Avatar
      Member Array
      Join Date : 15th March 2012
      Posts : 46
      Rep Power : 371
      Likes Received
      5
      Likes Given
      6

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      Tatizo wote hamumjui Anna Kilango. Alianzia kuuza chakula cha mama Ntilie pale Kinondoni. Na pamoja ya kuuza chakula Alikuwa agent wa kuuza unga Drugs yaani cocaine. Akapendana na Londa ex Mayor. Huyo akampigia chapuo akapata uenyekiti UWT Kinondoni. Ndiyo safari yake ya Siasa ikaanza. Akashindwa ubunge wa Ubungo. Akapelekwa Pemba kupisha fujo zake katika Kampeni ya Ubungo. Kufika Pemba akaolewa na Mzee Natepe. Natepe alimuombea Ubunge wa kuteuliwa. Alipofika Dodoma akalazimisha kuolewa na Mzee Malecela. William ndiye Alikuwa kimbelembele wakati watoto wa Mzee Malecela wakikataa kabisa baba Yao asimuoe Anna. Leo Mzee anateseka tu. Mama Huyo ni vituko. Sisi Wagogo hatumtaki kabisa.(
      mkali wa leo likes this.

    22. #79
      mkali wa leo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th May 2011
      Posts : 76
      Rep Power : 419
      Likes Received
      3
      Likes Given
      1

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      kilango ameshindwa kiwanda cha tangawizi ndio ataweza taifa...hebu tujuzane kwa hilo..

    23. #80
      mkali wa leo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th May 2011
      Posts : 76
      Rep Power : 419
      Likes Received
      3
      Likes Given
      1

      Default Re: Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

      heh heh hyo story hata mimi naifahamu huyu mama anataka kuipoteza jumuiya kabisa
      maana kama ni uongozi hawezi

    Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...