JK na Mwakyembe terminal 3 JKN mmekubali wamekula ?
Wana JF na labda hata Nape anaweza kutusaidia hapa .Nina nyeti za uhakika kwamba terminal 3 is no more watu wamegawana pesa na mradi umesimama lakini ndiyo kifo chake .Ulifanyika ujanja kama ule uliotumika kuchukua pesa ya Safari ya JK .Mwakyembe kama sijakosea hili liko chini yako na JK unatueleza nini na hasa baada ya kuwaondoka watanzania tena wapiga kura wa CCM kwa mabavu na kuwafanya kuwa masikini kwa jina la kupanua uwanja na sasa kimyaaaa .
Nasema : CCM tunadhani adui yetu ni Chadema hapana ni Watendaji wetu katika Serikali ya CCM tukawabane hao - Livingstone Kibajaji Lusinde 2013 25 April at 11:54am.
Re: JK na Mwakyembe terminal 3 JKN mmekubali wamekula ?
By Lunyungu

Ha ha ah Mkuu Ulikuwa wapi wakati akina Shukuru Kawambwa wanagawana Kasungura ka Terminal Three hao ndio CCM bana bwaha ha ha aaa
"SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM" Chris Lukosi kada wa CCM
Re: JK na Mwakyembe terminal 3 JKN mmekubali wamekula ?
By Albedo
Ha ha ah Mkuu Ulikuwa wapi wakati akina Shukuru Kawambwa wanagawana Kasungura ka Terminal Three hao ndio CCM bana bwaha ha ha aaa
Mkuu umenishitua sana kumtaja SK .Huyu jamaa kumbe ni wembe usio na makali wala haraka ? Mie nimeshangaa kusikia habari hii kwamba mfadhili kashituka wakati pesa watu wamesha hamisha .
Nasema : CCM tunadhani adui yetu ni Chadema hapana ni Watendaji wetu katika Serikali ya CCM tukawabane hao - Livingstone Kibajaji Lusinde 2013 25 April at 11:54am.
Re: JK na Mwakyembe terminal 3 JKN mmekubali wamekula ?
Mkuu habari hii ni tamu ila nadhani ingekuwa vizuri ukatuwekea japo hizo bank transfers papers au MOU za kugawana huo 'umatemate' wa terminal 3. hiyo ingeleta heshima sana kwa jukwaa letu.
unajua ukishamtaja mkuu wa kaya kwa tuhuma kubwaa hivi halafu hutoi vielelezo, heshima ya JF inakuwa mashakani.

By Bitabo

Mkuu hakuna ushahidi zaidi ya ukweli kwamba hakuna ujenzi na hakuna pesa na hata katika bajati hujasikia hilo kutajwa sasa ushahidi gani ?
Nasema : CCM tunadhani adui yetu ni Chadema hapana ni Watendaji wetu katika Serikali ya CCM tukawabane hao - Livingstone Kibajaji Lusinde 2013 25 April at 11:54am.
Re: JK na Mwakyembe terminal 3 JKN mmekubali wamekula ?
Mkigoma
Tafadhali omba msamaha kwa Lunyungu! Au na wewe ni mpambe wa Riz1? Maana wale wachina wanadai VX Land Cruiser mpaka leo!! Dogo deal alishindwa ku-deliever unabisha nini? Usindandie treni kwa mbele uliza facts watu watamwaga and that is the bottom line!
Wana JF na labda hata Nape anaweza kutusaidia hapa .Nina nyeti za uhakika kwamba terminal 3 is no more watu wamegawana pesa na mradi umesimama lakini ndiyo kifo chake .Ulifanyika ujanja kama ule uliotumika kuchukua pesa ya Safari ya JK .Mwakyembe kama sijakosea hili liko chini yako na JK unatueleza nini na hasa baada ya kuwaondoka watanzania tena wapiga kura wa CCM kwa mabavu na kuwafanya kuwa masikini kwa jina la kupanua uwanja na sasa kimyaaaa .
Re: JK na Mwakyembe terminal 3 JKN mmekubali wamekula ?
By Lunyungu
Wana JF na labda hata Nape anaweza kutusaidia hapa .Nina nyeti za uhakika kwamba terminal 3 is no more watu wamegawana pesa na mradi umesimama lakini ndiyo kifo chake .Ulifanyika ujanja kama ule uliotumika kuchukua pesa ya Safari ya JK .Mwakyembe kama sijakosea hili liko chini yako na JK unatueleza nini na hasa baada ya kuwaondoka watanzania tena wapiga kura wa CCM kwa mabavu na kuwafanya kuwa masikini kwa jina la kupanua uwanja na sasa kimyaaaa .
haya majina ya mwakyembe na Jk yametoka wapi tena na hili terminal 3? ukweli ni kua mkataba ulisainiwa na serikali ya china huko china na kampuni ikachaguliwa kuja kuanza ujenzi. Sasa kama kawaida fat cats wawili watatu wakauliza chetu kiko wapi?( ufisadi wa tanzania hata katibu kata anaweza chukua chake bila ya mwenyekiti wake kujua). wajenzi wakasema sisi hatujui kama kuna makubaliano binafsi, sisi tuko hapa kujenga tu, fat cats wakaona isiwe shida project ikasimamishwa. Hapa sidhani kama SK,Jk etc wanahusika na lolote zaidi ya wachache waliokua wanasimamia mradi kudai kampuni haina uwezo ije nyingine na mkataba ule kuvunjwa
Re: JK na Mwakyembe terminal 3 JKN mmekubali wamekula ?
By Lunyungu
Wana JF na labda hata Nape anaweza kutusaidia hapa .Nina nyeti za uhakika kwamba terminal 3 is no more watu wamegawana pesa na mradi umesimama lakini ndiyo kifo chake .Ulifanyika ujanja kama ule uliotumika kuchukua pesa ya Safari ya JK .Mwakyembe kama sijakosea hili liko chini yako na JK unatueleza nini na hasa baada ya kuwaondoka watanzania tena wapiga kura wa CCM kwa mabavu na kuwafanya kuwa masikini kwa jina la kupanua uwanja na sasa kimyaaaa .
HIVI kweli hawa VIONGOZI wa Jakaya Kikwete wana UCHUNGU na NCHI? Wakati wanajenga Terminal 2 Nyerere Pamoja
Na Ujamaa aliweka zabuni na kampuni ya KIFARANSA ikashinda wakajenga TERMNAL 2; MPAKA leo Tunayo na ni JENGO
BORA ni sisi Waafrika hatujui Utunzaji...
Sasa Terminal 3 nani alikuwa Mzabuni? Usiniambie walichagua contractor MBONGO kama wa KIWANJA CHA NDEGE CHA
MBEYA... AMBACHO HAUJUI were is the terminal... Just the run-way...
WEZI WEZI... MTASHIKWA... SIKU ZENU NI AROBAINI...
Wana JF na labda hata Nape anaweza kutusaidia hapa .Nina nyeti za uhakika kwamba terminal 3 is no more watu wamegawana pesa na mradi umesimama lakini ndiyo kifo chake .Ulifanyika ujanja kama ule uliotumika kuchukua pesa ya Safari ya JK o.Mwakyembe kama sijakosea hili liko chini yako na JK unatueleza nini na hasa baada ya kuwaondoka watanzania tena wapiga kura wa CCM kwa mabavu na kuwafanya kuwa masikini kwa jina la kupanua uwanja na sasa kimyaaaa .
Source: Taarifa za kiintelejensia za Marando wa Manji
Follow Us Here