Napenda japo tu nielezwe kama kweli wabunge wetu wanajuwa kiingerza au ni wavivu wa kusoma? ikumbukwe sheria ya marekeebisho ya hifadhi ya jamii ilipitishwa kwa mbwembwe mwezi aprill mwaka huu lakini hakuna mbunge yeyte wa ccm wala wa upinzani aliyeweza kugundua hilo au nalo lilichomekwa kama walivyofanya kwenye hseri YA GHARAMA ZA UCHAGUZI mwaka juzi, ni rais Slaa ndiye alikuja kugundua hilo, kwa maana hiyo hili bunge la sasa chini ya Spika, wabunge either hawasomi au hawajui kiingereza??

Reply With Quote

Follow Us Here