Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

    Report Post
    Page 4 of 4 FirstFirst ... 234
    Results 61 to 74 of 74
    1. #1
      Ngalikivembu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2010
      Location : Geostationary Earth Orbit
      Posts : 521
      Rep Power : 10614
      Likes Received
      152
      Likes Given
      119

      Default Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Kuna mjadala unaendelea Star Tv juu ya kufungiwa gazeti la MwanaHalisi. Dotto Bulendu anaongoza mjadala na ana wageni watatu. Kuna mmoja anaitwa Moses huyu ameegemea kwenye serikali zaidi akiunga mkono kufungiwa kwa gazeti hilo.Ana munkari sana na anajiita mzoefu wa habari wa miaka 14. Anikazi Kumbemba hakubaliani na kufungiwa huko.

      Ninapata wasiwasi kuwa ana maslahi na waliolifungia gazeti.Mlioko huko Mwanza mtuambie huyu ni nani?
      Amenichefua kutaka kuikingia kifua serikali isiyotaka kurekebishwa.
      kvelia, chiborie and Fekifeki like this.
      AN EMPTY STOMACH IS NOT A GOOD ADVISER. Albert Einstein
      POVERTY IS THE PARENT OF REVOLUTION AND CRIME. Aristotle

    2. Miaka 50

    3. #61
      tanira1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th November 2011
      Posts : 613
      Rep Power : 501
      Likes Received
      111
      Likes Given
      91

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      katika toleo la mwisho la kubenea lenye kichwa cha habari aliyemteka ulimboka huyu hapa hata mwanangu haitaji kuwa prof kujua wale jamaa wanahusika kwanza aliwahi kuishiwa mpaka sh 1 lakini akapewa fungu na ofisi kumaliza swala la uli kajaza laki mbili na ushee hili awsiliane na uli na wakati huo huo watekaji sasa nyinyi mabwege kwa nini msimshitaki kwa uongo huu alichowasilisha mshikaji ndicho chenyewe nyinyi mnatuletea mambo yenu ya kichupa

      ''MIAKA HAMSINI(51) YA UVUMILIVU''​

    4. #62
      chibuga mugeta's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th June 2012
      Posts : 20
      Rep Power : 351
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Quote By chibuga mugeta
      ***** ni bege,chizi ni chizi,joker ni joker,mtoto wa nyoka ni....tamachungu ni mmoja wa wale watu aliowataja said namba yake ni ile inayoishia 35,ninmmoja wa watekaji wa dk,kuwni macho nina uhakika.
      duh inawezekana ndo yule jamaa ambaye sasa anaishi ADA ESTATE UCKU HUWA ANAVAA SURA BANDIA ANAPENDA SANA KWENDA MAISHA CLUB

    5. #63
      MR. ABLE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Posts : 1,265
      Rep Power : 612
      Likes Received
      580
      Likes Given
      487

      Default Re: Tuongee asubuhi star tv, mada: "kufungiwa mwanahalisi"

      Huyo Moses anajipendekeza kwa serikali ili angalu apate ukuu wa wilaya au mkoa kama yule wa ITV. Mi nachukizwa sana tabia ya baadhi ya waandishi wa habari, wenye nidhamu ya woga na kujipendekeza kwa serikali ili wapendwe. Mi nilikuwa mfuatiliaji namba moja wa ile filamu yetu ya kusisimua ya Dk Ulimboka kupitia MWANAHALISI, sasa limefungiwa sijui nani wa kunisimulia mwendelezo wa filamu ile.

    6. #64
      tabu kuishi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Posts : 211
      Rep Power : 393
      Likes Received
      12
      Likes Given
      10

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Quote By tamuchungu
      tunawajua nyie,wanawake wa aina yako asipochokonolewa usiku anaamka na hasira kweli.ananunaaaa.
      unamatatizo si bure,tena unaonekana shoga nyie ndo wale ambao mabwana zenu ni viongozi,mnatuletea nuksi ktk nchi yetu,mpaka kitaeleweka tu wachawi nyie,mlifikiri mnahati miliki ya nchi?

    7. #65
      tabu kuishi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Posts : 211
      Rep Power : 393
      Likes Received
      12
      Likes Given
      10

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Quote By tamuchungu
      wahi kachukue posho wenzako washachukua zao saa nyingi.
      afadhali hata moses ni mwanahabari kuliko wewe kiazi unachangia usichokijua,unadandia tu treni kwa mbele kwa sababu umehadithiwa mtaani kwenu basi shida,utaishia hivyo2 masikini wewe.cheupe cheusi cheusi cheupe,hebu tupishe tunaoona cheupe cheupe

    8. RukaaJuu Final

    9. #66
      Lukansola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2010
      Location : 6°48′S 39°17′E
      Posts : 3,237
      Rep Power : 1051
      Likes Received
      728
      Likes Given
      971

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Quote By makusanya
      sadist kubenea ndiyo nani??we unasoma hata magazeti kwa kina na wahandishi wa hizo habari wewe??au ukipita stand pale magazeti yanapouzwa ndiyo unasema vichwa vya habari na kuondoka usijekuta nabishana na mtu ambaye afahamu hata gazeti ni bei gani sasa
      Huyu atakuwa anasoma Uhuru, mzalendo, daily news, habari leo na magazeti ya shigongo.
      NO SECOND CHANCE TO MAKE THE FIRST IMPRESSION

    10. #67
      Gerald George J's Avatar
      Member Array
      Join Date : 6th March 2011
      Posts : 20
      Rep Power : 420
      Likes Received
      2
      Likes Given
      3

      Default

      Kweli nimeamini kuna vibaraka hapa tz, ila ninachoamini Kubenea hamumuwezi nyie shenzi type, kipindi kile mlimwagia tindikali na kuchukua kompyuta zt ofisini kwake mkijua mmeiba data zote sasa kawaanika kwny uovu wenu wa sakata la Dr Ulimboka eti mnakimbilia kumfungia kwanini msikanushe kwanza yaliyoandikwa? I trust jamaa na ataibukia gazeti lingine kama ilivyokua mwanzo.
      chiborie likes this.

    11. #68
      tabu kuishi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Posts : 211
      Rep Power : 393
      Likes Received
      12
      Likes Given
      10

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Quote By tamuchungu
      nyoosha wababaishaji hao,tena safisha kabisa tupa uko.na chuki binafsi zao.washindwe na walegee
      inaelekea kwenu giningi

    12. #69
      MANI's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 22nd February 2010
      Location : CHINI YA MBUYU
      Posts : 1,915
      Rep Power : 954
      Likes Received
      569
      Likes Given
      632

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Quote By tamuchungu
      yuko sahihi,usitake kila mtu aamini ujinga wa mwanahalisi na mabwana zake,ameokoteza habari za kutunga af kaandika ili auze gazeti af achekewe,piga kufuli kubwa.
      Mkuu ulipitia you tube ya Dk Ulimboka?
      " TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA"

    13. #70
      BHULULU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th June 2012
      Posts : 3,020
      Rep Power : 8382
      Likes Received
      838
      Likes Given
      697

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Quote By YEYE
      Hivi kutaja namba za mtu na watu aliokuwa anawasiliana nao pamoja na kutaja jina lake na namba za ID yake ya upigaji kura, ndo inatosha kutuaminisha kuwa jamaa kamteka Dr?
      Mbona alishindwa kutuambia hayo maongezi yalikuwa yanahusu nini kama kweli ilikuwa habari ya kiuchunguzi zaidi ya kutajataja namba zilizopigwa?
      Wanaotumia kichwa kufugia nywele ndo wataiamini 100% hiyo habari..
      Utakuwa umerukwa akili wewe

    14. #71
      chiborie's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th September 2011
      Posts : 173
      Rep Power : 421
      Likes Received
      26
      Likes Given
      51

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Serikali yeyote dhaifu haipendi kuona magazeti chokonozi yakisurvive! Kwa muda mrefu tu walipanga kulipoteza Mwanahalisi. Lakini hiyo si suluhisho la kuendelea kuwafool Watz.

    15. #72
      TEMILUGODA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2012
      Posts : 954
      Rep Power : 557
      Likes Received
      134
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Froida
      duuh kama kuna mtu anafagilia kuminywa kwa uhuru wa kupata habari basi tunakazi kubwa mbele yetu
      Msimlaumu huyu mtu,je,hamjui kwamba anatafuta ukuu wa wilaya kama akina Nova?

    16. #73
      andrews's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 28th March 2012
      Posts : 1,683
      Rep Power : 0
      Likes Received
      142
      Likes Given
      76

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      uhuru ni gazeti la level za kiccm akili ndogoQUOTE=Ritz;4370876]Mwanahalisi ni gazeti la umbeya..Mwanahalisi lina haki gani kuchafua watu.[/QUOTE]

    17. #74
      democratic's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st November 2011
      Posts : 1,602
      Rep Power : 819
      Likes Received
      278
      Likes Given
      52

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      kifungia mwanahalisi hakutaiepusha nyinyiem na anguko tarajiwa
      Kama damu inakusisimka unapoona haki ya mtu ikipokwa na uko tayari kuitetea kwa gharama yeyote, basi hakika wewe ni Comrade wangu-Che Guevara.


    Page 4 of 4 FirstFirst ... 234

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...