Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

    Report Post
    Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
    Results 21 to 40 of 74
    1. #1
      Ngalikivembu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2010
      Location : Geostationary Earth Orbit
      Posts : 623
      Rep Power : 10638
      Likes Received
      173
      Likes Given
      144

      Default Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Kuna mjadala unaendelea Star Tv juu ya kufungiwa gazeti la MwanaHalisi. Dotto Bulendu anaongoza mjadala na ana wageni watatu. Kuna mmoja anaitwa Moses huyu ameegemea kwenye serikali zaidi akiunga mkono kufungiwa kwa gazeti hilo.Ana munkari sana na anajiita mzoefu wa habari wa miaka 14. Anikazi Kumbemba hakubaliani na kufungiwa huko.

      Ninapata wasiwasi kuwa ana maslahi na waliolifungia gazeti.Mlioko huko Mwanza mtuambie huyu ni nani?
      Amenichefua kutaka kuikingia kifua serikali isiyotaka kurekebishwa.
      kvelia, chiborie and Fekifeki like this.
      AN EMPTY STOMACH IS NOT A GOOD ADVISER. Albert Einstein
      POVERTY IS THE PARENT OF REVOLUTION AND CRIME. Aristotle


    2. #21
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 7,281
      Rep Power : 0
      Likes Received
      239
      Likes Given
      1

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Juzi alihamishia udaku wake kwenye gazeti la michezo inabidi nalo lishughulikiwe ipasavyo

    3. #22
      Ngalikivembu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2010
      Location : Geostationary Earth Orbit
      Posts : 623
      Rep Power : 10638
      Likes Received
      173
      Likes Given
      144

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Quote By tamuchungu View Post
      Kwa taarifa za ndani ni kuwa mwanahalisi kwa sasa halina mfadhili,hivo anauza gazeti kwa kichwa cha habari.amekosana na mabwana zake kibao akina mengi,na wengine.
      wewe nawe unatoa udaku.Lete utafiti wako unaokidhi badala ya kuwaambia watu umbea.Unaongeza udaku juu ya udaku.
      AN EMPTY STOMACH IS NOT A GOOD ADVISER. Albert Einstein
      POVERTY IS THE PARENT OF REVOLUTION AND CRIME. Aristotle

    4. #23
      Remote's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th May 2011
      Posts : 4,416
      Rep Power : 1394
      Likes Received
      977
      Likes Given
      182

      Default

      Quote By Ritz View Post
      Sasa habari kama hii Mwahalisi inaambiwa ni gazeti la kichunguzi umbeya mtupu...
      kama mwanahalisi ni chombo hatari vipi kuhusu radi imaan
      muchetz likes this.

    5. #24
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 7,281
      Rep Power : 0
      Likes Received
      239
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Ngalikivembu View Post
      Hivi chukua mfano wa toleo la mwisho ambalo limeandika mawasiliano yote aliyoyafanya Rama na Dr.Kubenea amaejaribu kutafuta habari zote toka daftari la wapiga kura na namba yake ya simu.Serikali ilipaswa kutuambia kuwa namba hiyo si yake na wala hakuna mfanyakazi wa TISS anayeitwa Ramadhani, then ilifungie badala ya kufanya ilichofanya. Ukitaka kuthibitisha madai hayo jaribu kutuma pesa kwenye namba hiyo halafu uone inaandika jina gani?Kujua namba ya mtu siku hizi ni rahisi mno. Kubenea kafanya utafiti.Serikali ingeukataa utafiti wake kwa kutoa hoja na viroja.
      uchunguzi gani wa kitot wa kujaribu kutuma pesa?acheni kujazana ujinga,sadist kubenea anastahili alichopata.tena lifutwe kabisa hilo udaku lake.

    6. #25
      Ngalikivembu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2010
      Location : Geostationary Earth Orbit
      Posts : 623
      Rep Power : 10638
      Likes Received
      173
      Likes Given
      144

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Quote By tamuchungu View Post
      tatizo wanaolisoma hawatafakari,wanameza mazima mazima,wabongo si unawajua wavivu kushughilisha akili zao?
      Hapa pia na wewe hujatuonesha kuwa unasoma.Ungejishughulisha na yale aliyoandika ili utuambie kuwa huo ni uchochezi.Pangua hoja kwa kutumia hoja.
      AN EMPTY STOMACH IS NOT A GOOD ADVISER. Albert Einstein
      POVERTY IS THE PARENT OF REVOLUTION AND CRIME. Aristotle


    7. #26
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 19,217
      Rep Power : 12772
      Likes Received
      6442
      Likes Given
      999

      Default

      Quote By Remote View Post
      kama mwanahalisi ni chombo hatari vipi kuhusu radi imaan
      Anzisha thread uelezee hizo hatari za radio imaan...hii thread ni ya kuhusu Mwanahalisi.

    8. #27
      fimboyaasali's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th January 2011
      Posts : 157
      Rep Power : 458
      Likes Received
      22
      Likes Given
      0

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Moses Mathew ni kweli mwandishi wa habari wa miaka mingi kidogo,alisomea uandishi hapo Saut na kwa sasa ni mwandishi wa Daily News hapa Mwanza,katika fani hii si mjuzi kama anavyodai kwani ni miongoni mwa waandishi matapeli wanaoivunjia taaluma hii heshima na adabu,anadai mishiko sana analewa sana na kuna siku alilewa pale Bugando hill mpaka akajinyea hadharani.Si mtu mwenye jina miongoni mwa waandishi wa Mwanza hata kidogo,hana ubavu wa kushiriki mjadala juu uvunjifu wa maadili ya uandishi wakati yeye ni mzushi,mwizi na mla rushwa mkubwa
      muchetz and Ngalikivembu like this.

    9. #28
      YEYE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th November 2011
      Posts : 439
      Rep Power : 471
      Likes Received
      67
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By Ngalikivembu View Post
      Hivi chukua mfano wa toleo la mwisho ambalo limeandika mawasiliano yote aliyoyafanya Rama na Dr.Kubenea amaejaribu kutafuta habari zote toka daftari la wapiga kura na namba yake ya simu.Serikali ilipaswa kutuambia kuwa namba hiyo si yake na wala hakuna mfanyakazi wa TISS anayeitwa Ramadhani, then ilifungie badala ya kufanya ilichofanya. Ukitaka kuthibitisha madai hayo jaribu kutuma pesa kwenye namba hiyo halafu uone inaandika jina gani?Kujua namba ya mtu siku hizi ni rahisi mno. Kubenea kafanya utafiti.Serikali ingeukataa utafiti wake kwa kutoa hoja na si viroja.
      Hivi kutaja namba za mtu na watu aliokuwa anawasiliana nao pamoja na kutaja jina lake na namba za ID yake ya upigaji kura, ndo inatosha kutuaminisha kuwa jamaa kamteka Dr?
      Mbona alishindwa kutuambia hayo maongezi yalikuwa yanahusu nini kama kweli ilikuwa habari ya kiuchunguzi zaidi ya kutajataja namba zilizopigwa?
      Wanaotumia kichwa kufugia nywele ndo wataiamini 100% hiyo habari..

    10. #29
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 7,281
      Rep Power : 0
      Likes Received
      239
      Likes Given
      1

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Hatua inayofuata ni kumfungulia kesi huyo sadist

    11. #30
      tabu kuishi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Posts : 211
      Rep Power : 397
      Likes Received
      12
      Likes Given
      10

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Quote By tamuchungu View Post
      Hawa wanaojifanya kulitetea mwanahalisi la sadist kubenea wananichefua kwelikweli.vihere here na vibaraka hawa.
      wewe na wao nani kibaraka? au na wewe uko kwenye system kandamizi mnaogopa kumwagiwa mchanga kwenye keki yenu

    12. #31
      tabu kuishi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Posts : 211
      Rep Power : 397
      Likes Received
      12
      Likes Given
      10

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Quote By Ngalikivembu View Post
      Hivi chukua mfano wa toleo la mwisho ambalo limeandika mawasiliano yote aliyoyafanya Rama na Dr. Uli. Kubenea amaejaribu kutafuta habari zote toka daftari la wapiga kura na namba yake ya simu.

      Serikali ilipaswa kutuambia kuwa namba hiyo si yake na wala hakuna mfanyakazi wa TISS anayeitwa Ramadhani, then ilifungie badala ya kufanya ilichofanya.

      Ukitaka kuthibitisha madai hayo jaribu kutuma pesa kwenye namba hiyo halafu uone inaandika jina gani?

      Kujua namba ya mtu siku hizi ni rahisi mno. Kubenea kafanya utafiti.Serikali ingeukataa utafiti wake kwa kutoa hoja na si viroja.
      achana na huyo povu,ndo wale2

    13. #32
      tabu kuishi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Posts : 211
      Rep Power : 397
      Likes Received
      12
      Likes Given
      10

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Quote By YEYE View Post
      Hivi kutaja namba za mtu na watu aliokuwa anawasiliana nao pamoja na kutaja jina lake na namba za ID yake ya upigaji kura, ndo inatosha kutuaminisha kuwa jamaa kamteka Dr?
      Mbona alishindwa kutuambia hayo maongezi yalikuwa yanahusu nini kama kweli ilikuwa habari ya kiuchunguzi zaidi ya kutajataja namba zilizopigwa?
      Wanaotumia kichwa kufugia nywele ndo wataiamini 100% hiyo habari..
      pole yako unaetumia kwapa kuongea

    14. #33
      Mungi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 23rd September 2010
      Location : Hapa!!!
      Posts : 10,540
      Rep Power : 37792
      Likes Received
      5005
      Likes Given
      2348

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Quote By Ritz View Post
      Mwanahalisi ni gazeti la umbeya..Mwanahalisi lina haki gani kuchafua watu.
      Mkuu wangu Ritz una maslahi gani kwa kutekwa, kuteswa na kutupwa kwa Dr. Ulimboka katika msitu wa Mabwepande?
      "Peace is not simply about the absence of violence. It is defined by the presence of fundamental liberties and the prevalence of economic opportunities."

    15. #34
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 7,281
      Rep Power : 0
      Likes Received
      239
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Ngalikivembu View Post
      Hapa pia na wewe hujatuonesha kuwa unasoma.Ungejishughulisha na yale aliyoandika ili utuambie kuwa huo ni uchochezi.Pangua hoja kwa kutumia hoja.
      kwa mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize,ivi inawezekanaje mtu kutumia namba zake anazotumia kila siku tena zilizosajiliwa kutekeza mpango wa utekaji?ivi mtu mnaefahamiana mda mrefu atashiriki vipi utekaji huku akifahamu fika kuwa atajulikana?tumia kichwa kufikiri sio kufuga nywele pekee

    16. #35
      tabu kuishi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Posts : 211
      Rep Power : 397
      Likes Received
      12
      Likes Given
      10

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Quote By tamuchungu View Post
      tatizo wanaolisoma hawatafakari,wanameza mazima mazima,wabongo si unawajua wavivu kushughilisha akili zao?
      heli yako wewe mtasha unayeshughulisha akili yako,tueleze uchunguzi wako maana wewe ni mtaaluma kuliko mbongo

    17. #36
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 7,281
      Rep Power : 0
      Likes Received
      239
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By tabu kuishi View Post
      wewe na wao nani kibaraka? au na wewe uko kwenye system kandamizi mnaogopa kumwagiwa mchanga kwenye keki yenu
      kibaraka ni wewe na sadist kubenea,mnatumiwa kama kondom,mtu akimaliza shughuli anakutupilia mbali tena gizani.usidhani kwa kuwa keki yenu imetupiwa mchanga basi ni kila mtu.

    18. #37
      tabu kuishi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Posts : 211
      Rep Power : 397
      Likes Received
      12
      Likes Given
      10

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Quote By tamuchungu View Post
      kwa mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize,ivi inawezekanaje mtu kutumia namba zake anazotumia kila siku tena zilizosajiliwa kutekeza mpango wa utekaji?ivi mtu mnaefahamiana mda mrefu atashiriki vipi utekaji huku akifahamu fika kuwa atajulikana?tumia kichwa kufikiri sio kufuga nywele pekee
      Huna lolote ovyo,hapo ndo umejitahidi mwenyewe

    19. #38
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 7,281
      Rep Power : 0
      Likes Received
      239
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Mungi View Post
      Mkuu wangu Ritz una maslahi gani kwa kutekwa, kuteswa na kutupwa kwa Dr. Ulimboka katika msitu wa Mabwepande?
      naona anawatetea wagonjwa waliokuwa wanakosa matibabu kwa sababu ya mgomo halafu kiongozi wa usaliti ni ulimboka,pia alifiwa na mama yake na mke wake wakati huo.

    20. #39
      tabu kuishi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Posts : 211
      Rep Power : 397
      Likes Received
      12
      Likes Given
      10

      Default Re: Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

      Quote By tamuchungu View Post
      kibaraka ni wewe na sadist kubenea,mnatumiwa kama kondom,mtu akimaliza shughuli anakutupilia mbali tena gizani.usidhani kwa kuwa keki yenu imetupiwa mchanga basi ni kila mtu.
      pole sana itafika wakati utakuwa chungu tupu na akili zako kama za kuku

    21. #40
      makusanya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th June 2011
      Posts : 354
      Rep Power : 477
      Likes Received
      45
      Likes Given
      156

      Default

      Quote By tamuchungu View Post
      yuko sahihi,usitake kila mtu aamini ujinga wa mwanahalisi na mabwana zake,ameokoteza habari za kutunga af kaandika ili auze gazeti af achekewe,piga kufuli kubwa.
      we chizi ama??habari za kutunga una ushahidi?mpeleke mahakamani basi akakubwage vizuri,ndiyo maana serikali yako imeona ilifungie bila hata kupelekana popote maana ushahidi wa habari kubenea anao sema mengine yote lakini usiseme kabisa habari mwanahalisi anazoandika ni za uongo utaumbuka bure

    Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...