Wana JF kutokana na Chadema kufanya Mikutano yenye Mvuto kwa Wananchi,Serikali kupitia ngazi za Juu za (ccm)Uongozi Zimemuamuru Msaliji(kada wa ccm)wa vyama vya siasa Kutengeneza Kanuni itakayokataza vyama vyote vya siasa kufanya mikutano kwa Uhuru(mlengwa ni M4C)kwani mikutano hiyo imekuwa ikihatarisha Amani ya Nchi na kuzoa wana chama wa vyama vingine.,kwa mujibu wa mtoa Nyeti hizi Msajili atawaita makatibu wakuu wote na kuwapa kitabu cha Kanuni ya Mikutano ambayo haita Mruhusu mtu asiye wa Mkoa fulani kuvuka mkoa na kuhutubia Hadhara bila kibali maalum cha Msajili.
Haya ni maagizo toka juu nawasilisha

Reply With Quote

Follow Us Here