Mgogoro ziwa Nyasa: Tahadhari kwa watanzania, hasa watumiaji wa JF
Wakuu,
Pamoja na mijadala kadhaa inayoendelea hapa JF kuwa na hoja zilizo nzuri kwa maslahi ya taifa letu, upo uwezekano mkubwa kwamba, maadam mchokozi na watu wake nao wanajua Kiswahili, pengine wako nasi mtandaoni wakifuatilia kila kinachoandikwa kwa sababu zao za kiintelijensia.
Hivyo tunapoendelea kujadili, si vibaya kutahadhari tusijikute tumesaidia kumweleza adui kila udhaifu tulionao. Badala yake, tunaweza kujikita katika kuanika kile anachoendelea kufanya katika eneo letu na kile anachokusudia kufanya baadaye.
Wazee wa kule kanda ya ziwa Nyanza wana msemo; Zamani chui alikuwa hajui kukamata shingo la mawindo yake, alijifunza baada ya kusikia mawindo ya kinong’ona kwamba; ‘tunachomoka maana anakamata mikia, siku akikamata shingoni, tumekwisha’
Last edited by George Kahangwa; 4th August 2012 at 03:47.
tutapeleka wale wanajeshi wetu wa "maonesho",mabingwa wa kupiga ngumi vitofali na kutembea juu ya moto..af wenzetu wametega rader za maana na vifaa vya kisasa vya kivita..si tunajifanya hatuamini teknolojia katika jeshi,ngoja sasa....
I am sorry, wewe si dogo janja ila ni dogo mpumbavu, period. Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza. I bet you are not Tanzanian!
Re: Mgogoro ziwa Nyasa: Tahadhari kwa watanzania, hasa watumiaji wa JF
Ukweli ukidhihiri uwongo hujitenga! Huu wizi wa kuchukua mali za watu utamalizika lini? Wanyasa wanayohaki ndio wakaidai na nina mategemeo makubwa watashinda mbio zao! M/mungu hayupamoja na wanaodhulumu! Ikiwa wanyasa madai yao ni kweli watathibiti! Nyasa inatumika nguvu znz imetumika ghilba na nguvu. Ya rabbi wadamirishe madhalimu. Amin
Re: Mgogoro ziwa Nyasa: Tahadhari kwa watanzania, hasa watumiaji wa JF
By abousalah2

Ndugu Kahangwa. I must say I thank you for placing this compilation here on JF. There is so much I didn't know that I now know. I was recently in Malawi and had met very good people there. The hospitality blinded my vision. Now I see so clearly there are also ****** in that country apparently, and I am changing my perception of the little nation after going through your post.
We do have a problem I concede now, and we must prepare for the worst. ****** are known to have caused hell throughout history. Although I still believe this idiocy may be manipulated by a foreign oil company or companies, the truth remains: We have a problem, and we must prepare for the worst.
Asante kwa post nzuri!
By George Kahangwa
third world war ikayamba,ife tdzamenyana ndi tanzania believe it or not.
I Agree with mr fuel.ma arab kwawo ndi kupha,kuononga ndi kuba.analowa mmalo mwa satana ndikhulupilileni.
timaona ndife anthu wamba koma inu anthu andale mumazindikila pa last minute.
mashahili kwao mkuchotsa zikopa ma albino becareful my fellow malawians before its too late
Like 0 Reply
The wise one, you should indeed be part of delegation to TZ. I have looked at the comments to the subject and am awe struck by the oneness potrayed by all. Their belong to mother Malawi and standing up for her. BIG UP guys.
Like 0 Reply
This is a total greedy by our neighbour,how come on Earth humans think like small creatures?it is absolutely anacceptable to what Tanzanians think of our beloved malawi.We are going expose them until they tell us the truth about the other land they have stolen from us.
Like 0 Reply
This is a crisis.parliament shd b called and a bill on conscription be proposed,debated and passed.another bill for funds to buy tanks,artillery,guns and other weapons even chemical.we need to be prepared lest all our neighbours will claim a chunk of our land.
Like 0 Reply
These Taifa’s are playing with fire here. This is Lake ‘Malawi’ and I for one am ready to go to war if that is what it takes to school them about ownership of the Lake. They will pay in blood and tears!
General Odillo please don’t waste any time, this is not a time for diplomacy, look at the misfortune that this PP regime’s constant smiling and begging has brought for us, even Swahili’s want to ride us bareback in our own lake. Athileni ma stunt grenade agalu amenewa right at the boarder, let them ran to Kikwete and tell him kutu kwanukha utsi ku Lake Malawi! This is where we miss Chitsulo cha njanji, he would not have bitten his words over this insult by Kikwete.
Like 3 Reply
Big up Wise One,
I have been looking for such analysis to the history of this dispute, now it seems clear. To defuse the Taifas claim, we as Malawians let’s also counter by claiming that land in the prehistoric era.
Maravi for Malawi
Nyasa for Nyasaland
Lake Nyasa for Nyasaland.
Lake Malawi for Malawi.
On this one, I am ready to join the barracks to fight for my legitimate boarders. I urge the MDF to start recruiting more of us who are willing for this cause.
Is it Lake Tanzania? NO! NO! NO! NO! NO!
Is it Lake Mozambique? NO! NO! NO! NO! NO!
Is it Lake Zambia? NO! NO! NO! NO! NO!
The lake’s name is lake Malawi. PERIOD!
Like 2 Reply
Yes good history for me. I missed and did this position. But most people that lakes or similar bodies most of them grow and claim further land outwards. Tanzanians claim may be appropriate. Please advise on experiences as mentioned herein. Anyway challenges need to be resolved.
Like 0 Reply
It seems that some of our Tanzanian wa Swahili friends want a some of the oil proceeds, if there is any? They would never make this an issue otherwise.Let us talk but don’t give them an inch of the lake or a drop of oil!! They have been blessed with much in Tanzania!! You know that they will never be satisfied…..
Like 0 Reply
Ladies and Gentlemen in TAnzania can you help me on this one,if you had a mango tree on your house and the tree has some fruits which are dangling at your neighbours yard, can the neighbour claim that part of the tree branch and its fruits dangling on the other side of her house is hers?? Taifas the best you can do which i can accept is ENJOY THE FRUITS FORGET ABOUT THE TREE, mind you we have the best civil service you cannot win this case, you have LAKE VICTORIA,YOU HAVE LAKE TANGANYIKA MORE OVER THE GIANT INDIAN OCEAN WHAT ELSE DO YOU WANT? leave the lake to us. Nyasaland and Tanganyika are too different names they dont even match shame on you TAIFAS.
Like 3 Reply
What belongs to me is for me,and if people witnesses that it belongs to me then it is for me fore ever,i will never allow some one to just take it away from me alive unless i am killed.I can’t give it to others unless it is of no use to me.Have the right to fight what belongs to you and people will help you if you fall in the stream of your wicknes.
Like 0 Reply
Re: Mgogoro ziwa Nyasa: Tahadhari kwa watanzania, hasa watumiaji wa JF
By George Kahangwa
Of course hawawezi kutegemea JF tu, lakini JF licha ya kwamba inareflect public opinion, ni mwalimu pia wa hiyo hiyo public.
Aidha, imesemwa hapa mara nyingi, kwamba laiti hata vyombo vyetu vingetilia maanani kinachoandikwa JF, tungeepuka mengi.
Re: Mgogoro ziwa Nyasa: Tahadhari kwa watanzania, hasa watumiaji wa JF
This is a crisis.parliament shd b called and a bill on conscription be proposed,debated and passed.another bill for funds to buy tanks,artillery,guns and other weapons even chemical.we need to be prepared lest all our neighbours will claim a chunk of our land.
now i acna say these malawians smokes weeds
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
Re: Mgogoro ziwa Nyasa: Tahadhari kwa watanzania, hasa watumiaji wa JF
By George Kahangwa
Wakuu,
Pamoja na mijadala kadhaa inayoendelea hapa JF kuwa na hoja zilizo nzuri kwa maslahi ya taifa letu, upo uwezekano mkubwa kwamba, maadam mchokozi na watu wake nao wanajua Kiswahili, pengine wako nasi mtandaoni wakifuatilia kila kinachoandikwa kwa sababu zao za kiintelijensia.
Hivyo tunapoendelea kujadili, si vibaya kutahadhari tusijikute tumesaidia kumweleza adui kila udhaifu tulionao. Badala yake, tunaweza kujikita katika kuanika kile anachoendelea kufanya katika eneo letu na kile anachokusudia kufanya baadaye.
Wazee wa kule kanda ya ziwa Nyanza wana msemo; Zamani chui alikuwa hajui kukamata shingo la mawindo yake, alijifunza baada ya kusikia mawindo ya kinong’ona kwamba; ‘tunachomoka maana anakamata mikia, siku akikamata shingoni, tumekwisha’
nilisoma article nyasa times wame acknowledge source jamii forums .. so they are watching !
Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26) My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
Re: Mgogoro ziwa Nyasa: Tahadhari kwa watanzania, hasa watumiaji wa JF
Duh!wanatuita "Taifas" maybe because of Taifa Stars?if so ni bora tungeiname timu ya Taifa "Simba stars" ili watuite "Simba".Hata hivyo pia wanatuita "Arab Swahili" pamoja na "swahilis".Very interesting...Na sisi tunawaitaje?ama just "Malawians"?
Kuna mwenye kujuwa kama wamalawi wote ni "wanyasa"?maana wanasisitiza kuwa "lake nyasa" ambayo ndo hiyo hiyo "lake Malawi" ni ya Malawi ama nyasa land.Ndo kuna aliyetoa mfano kuwa lake Tanganyika haiwezi kuwa Malawi...
"One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato
Re: Mgogoro ziwa Nyasa: Tahadhari kwa watanzania, hasa watumiaji wa JF
By jmushi1

Ukitumia mantiki hiyo hiyo ya jina la ziwa, Lake Tanganyika si lote ni la Tanganyika cum Tanzania, DR-Congo na Zambia zina sehemu katika ziwa hilo pia.
Re: Mgogoro ziwa Nyasa: Tahadhari kwa watanzania, hasa watumiaji wa JF
Hawa majirani mbona wanajitutumua sana au ni kwasababu mama Banda anajitahidi kutoa maamuzi magumu.
Hata kama misaada itamiminika kwa wingi kwa sasa baada ya Mutharika kuondoka hio si sababu ya kutafuta uchokozi sehemu nyingine.
Kuna watu wengine tumepitapita Malawi hasa Karonga na hapo tuna wenzetu wanakifahamu vizuri kiswahili. Bado nakumbuka ile njia ya basi kupitia Nkahata Bay kwenda Karonga.
Bila hii mipaka iliowekwa na wazungu hadi ndani ya maji ya ziwa Nyasa sisi tusingekuwa na haja ya kulumbana kuhusu nani anamiliki wapi. Hizi rasilimali kuanzia Uranium pale Kayelekera, gesi na mafuta ndio chanzo cha migogoro mahali popote duniani na mabeberu wanaanza kuwatumia wamalawi kujitutumua.
Nchi za Tanzania na Malawi ni ndugu na tuanishi pamoja siku zote, tunaingia kutoka katika nchi zetu na kufahamiana kwa uzuri tu, na huo ndio ukweli.
Ila kama kweli Malawi ina "backers" kwenye hili suala la mpaka basi huo ndio unafiki wa nchi za magharibi na siku zote kuna watu wanawakumbatia na kujiona wanafanya mambo mazuri.
Mnafiki mtu mbaya sana na ni sawa na mtu anaependa kusema, "ooh eti mimi sifungamani na upande wowote ule, what a ****!"
Last edited by Richard; 4th August 2012 at 16:01.
When thinking about my risk assessment, I always remember: HAZARD and the RISK .
Re: Mgogoro ziwa Nyasa: Tahadhari kwa watanzania, hasa watumiaji wa JF
By George Kahangwa
Ukitumia mantiki hiyo hiyo ya jina la ziwa, Lake Tanganyika si lote ni la Tanganyika cum Tanzania, DR-Congo na Zambia zina sehemu katika ziwa hilo pia.
I thought so,hiyo sababu aliyoitoa huyo mchangiaji wao ni invalid...Lakini pia nimeuliza kama wamalawi wote ni "wanyasa",that will make a difference,kwasababu hatuna kabila la watanganyika,je "wanyasa" ni kabila ama ni jina kama "Tanganyika"?
"One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato
Re: Mgogoro ziwa Nyasa: Tahadhari kwa watanzania, hasa watumiaji wa JF
By abousalah2
Ukweli ukidhihiri uwongo hujitenga! Huu wizi wa kuchukua mali za watu utamalizika lini? Wanyasa wanayohaki ndio wakaidai na nina mategemeo makubwa watashinda mbio zao! M/mungu hayupamoja na wanaodhulumu! Ikiwa wanyasa madai yao ni kweli watathibiti! Nyasa inatumika nguvu znz imetumika ghilba na nguvu. Ya rabbi wadamirishe madhalimu. Amin
Unasikia wewe kimbulukutu??? usipende kudandia mambo yasiyo kuhusu sawa......!!!!!!
Huna ujualo, ni heri ufuatilie posts na comments kwa lengo la kujifunza badala ya kuleta dark ideas hapa, hapa hatujadili siasa za UAMSHO, nakushauri utulie pembeni badala ya kutaka kupotosha muelekeo wa mjadala, na malalamiko yenu ya mitaani yasiyo na facts.
Power of Mind cannot be the ultimate salvation for humanity, for all the faculties of mind are decidedly limited.
Follow Us Here