Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

    Report Post
    Page 2 of 6 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 101
    1. #1
      Nanyaro Ephata's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd January 2011
      Location : Arusha
      Posts : 610
      Rep Power : 545
      Likes Received
      412
      Likes Given
      1

      Default JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

      Malawi inatoa wapi kiburi cha kutangaza sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa ni sehemu yake? Hivi si kwamba sisi tumezembea mipaka yetu hadi jirani wameona udhaifu wetu?Hivi enzi za Mwalimu Nyerere Malawi wangethubutu?

      Kimsingi hata nchi jirani wameona udhaifu wa aina ya Uongozi tulio nao, uongozi hata kwenye mambo ya msingi unasema upepo utapita.

      Serikali ya awamu ya nne chini ya utawala dhaifu wa JK,umeshindwa hata kulinda mipaka yetu,haingii akilini kuwa sasa nchi yetu imekuwa haina ulinzi wa kutosha kwenye mipaka hadi kusababisha mamia kama sio maelfu ya wahamiaji haramu kukamatia maeneo ya Katikati ya nchi,hii inaonyesha kuwa mipaka yetu haipo salama.

      Sababu ya kuipiga Malawi tunayo,Uwezo tunao,na nia tunayo,JK peleka jeshi ziwa nyasa, angalau katika hili utakumbukwa kwalo kuwa ulisimama imara kuitetea mipaka ya Jamhuri yetu, kuendelea kukaa kimya kunawapa Malawi advantage a hivyo kuadhiri wananchi kwa ujumla kisaikolojia,ni lazima serikali yako ichukue hatua
      Erickb52 likes this.
      ........Saa ya ukombozi ni sasa..........

    2. Miaka 50

    3. #21
      mpigamsuli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th May 2012
      Posts : 1,109
      Rep Power : 574
      Likes Received
      55
      Likes Given
      0

      Default re: JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

      Generalmwamunyange,shimbo na jesh zima sidhan kama wanafurahishwa na hilo la malaw kudai ziwa nyasa ni lao.

    4. #22
      mpigamsuli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th May 2012
      Posts : 1,109
      Rep Power : 574
      Likes Received
      55
      Likes Given
      0

      Default re: JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

      Jeshi la wananchi wa tz kwa ujumla linasubiri amri kutoka kwa jk,na tunawapiga kwa kikosi cha brigedi ya magharib tu.

    5. #23
      Kigogo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th December 2007
      Location : Calabash
      Posts : 8,210
      Rep Power : 2098
      Likes Received
      1235
      Likes Given
      313

      Default

      Jk ni dhaifu sana hawezi kuthubutu kufanya hivo

    6. #24
      Froida's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2009
      Posts : 3,754
      Rep Power : 1319
      Likes Received
      729
      Likes Given
      148

      Default re: JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

      Quote By Nanyaro Ephata
      Malawi inatoa wapi kiburi cha kutangaza sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa ni sehemu yake?hivi si kwamba sisi tumezembea mipaka yetu hadi jirani wameona udhaifu wetu?Hivi enzi za Mwalimu Nyerere Malawi wangethubutu?Kimsingi hata nchi jirani wameona udhaifu wa aina ya Uongozi tulio nao,uongozi hata kwenye mambo ya msingi unasema upepo utapita.
      Serikali ya awamu ya nne chini ya utawala dhaifu wa JK,umeshindwa hata kulinda mipaka yetu,haingii akilini kuwa sasa nchi yetu imekuwa haina ulinzi wa kutosha kwenye mipaka hadi kusababisha mamia kama sio maelfu ya wahamiaji haramu kukamatia maeneo ya Katikati ya nchi,hii inaonyesha kuwa mipaka yetu haipo salama.
      Sababu ya kuipiga Malawi tunayo,Uwezo tunao,na nia tunayo,JK peleka jeshi ziwa nyasa,angalau katika hili utakumbukwa kwalo kuwa ulisimama imara kuitetea mipaka ya Jamhuri yetu,kuendelea kukaa kimya kunawapa Malawi advantage a hivyo kuadhiri wananchi kwa ujumla kisaikolojia,ni lazima serikali yako ichukue hatua
      Kuna uzi mwaka jana ulitemebea hapa kuna mtu alielezea jinsi mipaka yetu inavyobadilishwa bim alisema pembe zote mpaka na Uganda ,Burundi,Ruanda,Kenya ,Zambia Malawi akaema upande wa malawi wamesogeza bim kwa mbali sana watu tulichangia lakini wengine wakasema mipaka yetu iko salama sijui kama kulikuwa na ufutiliaji

    7. #25
      chief 1's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th January 2012
      Posts : 66
      Rep Power : 384
      Likes Received
      22
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Whisper
      Tunacho kikosi imara pale Kyela tangia enzi za Nyerere. Huwa nawaona wanafyeka majani baadae wanacheza draft wakisubiri mtu akatishe uwanja wa jeshi wamsulubishe. Ukienda Itungi port utakuta kuna kaboat ka zamani sana hambako hurusiwi kukapiga picha eti ni kifaa cha kivita. Sina uhakika kama hata mafuta ya h

      patrol yanatolewa na serikali maana sijawahi kuiona katikati ya ziwa.

      Nafikiri huyu mama wa Malawi atatuamsha usingizini sasa.

      JK kama utahitaji askari wa akiba, naomba unihesabu mimi, maana tangu nimetoka JKT sikamua triga wala kuosha mtutu kwa mdeki.
      Haaaaa haa Mkuu umenifurahisha sn! Hata mm nimeshawahi kukaona hako kaboti!!


    8. #26
      King Kong III's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Enaboishu-Umenyeni
      Posts : 11,932
      Rep Power : 5065
      Likes Received
      3204
      Likes Given
      2665

      Default re: JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

      Hayahaya wanajeshi wetu vita hyo inakuja yale mazoezi mliotuonyesha sabasaba na sherehe za uhuru tunataka mka-apply ziwa nyasa lol.

    9. #27
      Lambardi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th February 2008
      Location : KITAANI ZAIDI
      Posts : 4,532
      Rep Power : 1799
      Likes Received
      657
      Likes Given
      0

      Default re: JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

      Hahahaha nimependa hii post,ila tukae tukijua uzalendo umeisha kabisa hii nchi,wakimalizana na Mama Banda,atakuja Kagame na Kenya watautaka mlima wao,watupe Mombasa,ambayo Zbar wanaitaka Mombasa yao na Tanga.

      Sisi tubakie na Madini yentu ndio tujipange upya kufukuza wezi wote wa madini,kamata wote walioingiza nchi kwenye mikataba fake,tutafute wawekezaji wapya kwenye madini na hilo bomu jipya la gesi!!
      Hii iwe alarm kutuamsha kuwa wenzetu wako serious na rasilimali zao kwa manufaa ya nchi zao na wananchi,sisi tunafikiria upana wa familia zetui na bank account zetu tu!
      Tunahitaji ukombozi wa fikra na uzalendo uweze kurudishwa kwa kizazi hiki la sivyo tutakuja kusaidia nchi jirani kuchukua wanachotaka maana tabaka tawala limeua uzalendo wa nchi hii!!

    10. #28
      Lambardi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th February 2008
      Location : KITAANI ZAIDI
      Posts : 4,532
      Rep Power : 1799
      Likes Received
      657
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By mpigamsuli
      Jeshi la wananchi wa tz kwa ujumla linasubiri amri kutoka kwa jk,na tunawapiga kwa kikosi cha brigedi ya magharib tu.
      Mkuu huwezi kutoa amri wakati huna hata coin pale hazina unapiganisha kwa upepo utapita?pale hakuna longo longo,kupeleka tu askari 500 pale mpakani si zaidi 10bil ,kama anahaha kulipa mishahara tu acha maendeleo na saving,ataweza peleka jeshi pale?aibu!ataenda nje kulia njaa wampe pesa kufanya hivyo!!vipi hao wanaotoa pesa wakawapa Wamalawi au wameshawapa,ili watushikishe adabu na kutoa ufisadi mkubwa uliopo kwa njia hiyo??au kuwasaidia Wamalawi kuongeza pato na uwiano wa rasilimali,maan sisi tumejaaliwa na rasilimali ila hadi leo hatujui kwa nini tumependelewa hizo mali,tunapiga usingizi:wenzetu wameamka!!acha wachukue uwezo kupeleka jeshi hatuna atachukuaa pesa za mishahara na pensheni zote na nchi itaishia hapo!!

    11. #29
      Angel Msoffe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2011
      Posts : 6,266
      Rep Power : 1826
      Likes Received
      1397
      Likes Given
      0

      Default re: JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

      huyu wa kwetu ni mdhaifu sana mbele ya kina mama,Angalieni isijeikawa kahonga ziwa nyasa anatuzuga tuu,kama sio mbona hajatoa kauli yoyote

    12. #30
      simplemind's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th April 2009
      Posts : 2,856
      Rep Power : 1158
      Likes Received
      510
      Likes Given
      0

      Default re: JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

      Apeleke na FFU pia wametuchosha .

    13. #31
      Baba V's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Location : Buguruni Mnyamani
      Posts : 10,962
      Rep Power : 30234
      Likes Received
      4726
      Likes Given
      3477

      Default

      Quote By Ninaweza
      Haya yaliwahi kuibuka awamu zilizopita?
      Kamuzu aliwahi kuleta fyokofyoko hizo alichofanywa na ticha siri yake,naona huyu nae anaingilia mguu mbaya!

    14. #32
      Baba V's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Location : Buguruni Mnyamani
      Posts : 10,962
      Rep Power : 30234
      Likes Received
      4726
      Likes Given
      3477

      Default

      Quote By Angel Msoffe
      huyu wa kwetu ni mdhaifu sana mbele ya kina mama,Angalieni isijeikawa kahonga ziwa nyasa anatuzuga tuu,kama sio mbona hajatoa kauli yoyote
      Halafu kweli manaake huyu nae haeleweki ati!

    15. #33
      kichomiz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2011
      Posts : 4,053
      Rep Power : 1232
      Likes Received
      652
      Likes Given
      80

      Default

      Quote By Ndibalema
      Hili la Malawi kudai ziwa Nyasa lilishawahi kuibuka mwaka 1979 wakati ule Rais alikuwa Nyerere tena ilikuwa ni baada tu ya kumng'oa Iddi amin.
      Alichofanya Nyerere ni kupeleka majeshi mpakani mwa Tz na Malawi cha ajabu Wamalawi hawakuendeleza chkochoko mpaka leo ndio wameamua kulianzisha tena.
      Saa hizi wanajua nchi haina mwenyewe ndio maana wanaleta ujinga.

    16. #34
      Baba V's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Location : Buguruni Mnyamani
      Posts : 10,962
      Rep Power : 30234
      Likes Received
      4726
      Likes Given
      3477

      Default

      Quote By chief 1
      Haaaaa haa Mkuu umenifurahisha sn! Hata mm nimeshawahi kukaona hako kaboti!!
      Yale mabomu ya mbagala na gongolamboto yamepata kwa kuyapeleka ili yasiripuke tena mwakani, Jk mama Banda anaomba mechi ya kirafiki!

    17. #35
      Angel Msoffe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2011
      Posts : 6,266
      Rep Power : 1826
      Likes Received
      1397
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Excellent
      hapo ndo jeshi linatakiwa itumike,siyo kuzuia maandamano,na wananchi wanaodai haki zao,kama wana ubavu wapelekwe huko
      na hapa ndo mahali J.K anatakiwa kurudisha heshima yake kwa kuwatandika Wamalawi angalau tuwe na kakumkumbuka

    18. #36
      Sheshejr's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2012
      Posts : 433
      Rep Power : 458
      Likes Received
      63
      Likes Given
      1

      Default re: JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

      Mabomu yanayolipuka daily mbagala na gongo la mboto naona sasa yanataka kupata pa kwenda!

    19. #37
      MR. DRY's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2011
      Posts : 548
      Rep Power : 495
      Likes Received
      81
      Likes Given
      35

      Default re: JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

      Dhaifu kwa biashara za mafuta namkubali!
      Inawezekana ametupiga changa la macho kwa kuzungukia Malawi...yaani muongo muongo kama Mbwiga wa Mbwiguke!

    20. #38
      Andrew Nyerere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th November 2008
      Posts : 1,449
      Rep Power : 0
      Likes Received
      358
      Likes Given
      0

      Default re: JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

      Wanajeshi I am sure watakuwa alert kule. Lakini haya yote yanasababiswa na Membe kuwaza Urais badala ya kufanya kazi yake.

    21. #39
      Nali's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 31st March 2010
      Posts : 125
      Rep Power : 490
      Likes Received
      20
      Likes Given
      6

      Default re: JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

      Jamani acheni itikadi ya vyama tushikamane katika hili la nchi yetu. Embu tuwe wazalendo wa nchi mama yetu Tanzania! Hapa hakuna cha ccm au chadema..mm

    22. #40
      DOUGLAS SALLU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th November 2009
      Posts : 3,598
      Rep Power : 1286
      Likes Received
      315
      Likes Given
      907

      Default re: JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

      Serikali ya CCM inaona kuwa adui yake ni Chadema tu hivyo uvamizi toka nje ya mipaka yetu hiyo haiwahusu, ungeona leo Polisi CCM walivyatanda Morogoro ndiyo ungejua kuwa adui namba moja wa seikali ni Chadema.
      Nicholas likes this.
      NI UTAAHIRA MKUBWA SANA KUIUNGA MKONO CCM

    Page 2 of 6 FirstFirst 1234 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...