Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Hali tete mgodi wa Bulyanhulu (Kahama)

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 26 of 26
    1. #1
      Sir M.D.Andrew's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 30th July 2012
      Posts : 181
      Rep Power : 379
      Likes Received
      28
      Likes Given
      6

      Default Hali tete mgodi wa Bulyanhulu (Kahama)

      Katika hali isiyokuwa ya kawaida,uongozi mgodi wa bulyanhulu kahama umewafukuza kazi wafanyakazi wake na kufuta vitambulisho vyao,kadhalika mgodi umetoa nafasi ya mwisho kwa waajiriwa wanaotaka kufikiriwa kuingizwa kwenye ajira kusaini fomu maalum ya kukiri kutokujihusisha na mgomo siku zijazo,pia mgodi umewashutumu wafanyakazi hao kuwa kugoma ni kuiletea hasara kampuni kwa kosa lisilo lao,zaidi mgodi umeongeza ulinzi wake baada ya wanajeshi 80 kutoka canada kuwasili leo kwa ndege binafsi ya kampuni

    2. FemaTV & Radio

    3. #21
      Kingcobra's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th January 2011
      Posts : 713
      Rep Power : 563
      Likes Received
      128
      Likes Given
      14

      Default

      Quote By Ndibalema
      Nashauri, wangeungana na wafanyakazi wengine(sio wa barick tuu) kuandaa mabango yenye ujumbe mzito na kuandamana mpaka kieleweke.
      Njia nyingine ni kususia shughuli za serikali kama Sensa ili ku'express kilio chao.
      Nasema tena kuwagomea wawekezaji wakati yenye matatizo ni Serikali yao, sio njia nzuri(kwa maoni yangu)
      La sensa linaingia kichwani.w

    4. #22
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,099
      Rep Power : 14282
      Likes Received
      3985
      Likes Given
      3250

      Default

      Quote By segwanga
      Kisa cha mgomo nn
      kamanda ukoa nchi gani..pensheni ni issue ambayo iko hot sana.

    5. #23
      King'asti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Location : The Jungle
      Posts : 17,125
      Rep Power : 28890
      Likes Received
      11624
      Likes Given
      4793

      Default

      Shangaa na wewe! Kwanza serikali haina control juu ya dhahabu inayosafirishwa kutoka hapo direct export! Seuze kuleta wanajeshi?
      Quote By King Kong III
      Imeingia Ndege ya jeshi ikachukua twiga ndio hao wanajeshi 80??

    6. #24
      King Kong III's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Enaboishu-Umenyeni
      Posts : 11,902
      Rep Power : 5058
      Likes Received
      3198
      Likes Given
      2628

      Default

      Quote By King'asti
      Shangaa na wewe! Kwanza serikali haina control juu ya dhahabu inayosafirishwa kutoka hapo direct export! Seuze kuleta wanajeshi?
      Umeonaaaaa eh,nchi ishakwisha hakuna usalama wowote mama anajichukulia ziwa lote sie tumelala huku!

    7. #25
      dogojanja 87's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 272
      Rep Power : 414
      Likes Received
      43
      Likes Given
      25

      Default Re: Hali tete mgodi wa Bulyanhulu (Kahama)

      siwaelewi kumgomea muajiri wanamaanisha nini!!? au ndo kweli kuwa ukifanya kazi migodini ile mikelele ya baruti huathiri mfumo wa uelewa matokeo yake unaanza umasaburi!!

    8. Miaka 50

    9. #26
      Kakubilo Kasota's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th March 2012
      Posts : 166
      Rep Power : 395
      Likes Received
      53
      Likes Given
      21

      Default Re: Hali tete mgodi wa Bulyanhulu (Kahama)

      Quote By dogojanja 87
      siwaelewi kumgomea muajiri wanamaanisha nini!!? au ndo kweli kuwa ukifanya kazi migodini ile mikelele ya baruti huathiri mfumo wa uelewa matokeo yake unaanza umasaburi!!
      Wafanyakazi wanamgomea mwajiri kwasababu rais wako hata ungemwambia nini wewe Mtanzania huwa haelewi, ila mzungu akija na kumwomba chochote huyu rais wako hufanya, kwahiyo jamaa wamogoma kwa vile wanajua Mzungu anaouwezo wa kuongoa na raisi wako na atatekeleza kilucho umbwa na Mzungu.

      Kwa ujumla wake, sheria hii ya SSRA ni kandamizi, serikali haijachangia chochote kwenye hizo pesa, vipi ilete sheria na namna na lini uchukue pesa zako? huu ni wizi wa mchana kweupe, Tanzania, sijui nani katuloga haki ya nani!?

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...