Mh Mnyika aliwasilisha muswada wa marekebisho ya sheria ya mafao,sheria iliyopitishwa inawataka wafanyakaz kupa mafao mpk ufikie miaka 55 lkn muswada huo haujaingizwa ktk ratba kwa ajili ya sikukuu ya idd.Hili mnalionaje wana JF.
Mh Mnyika aliwasilisha muswada wa marekebisho ya sheria ya mafao,sheria iliyopitishwa inawataka wafanyakaz kupa mafao mpk ufikie miaka 55 lkn muswada huo haujaingizwa ktk ratba kwa ajili ya sikukuu ya idd.Hili mnalionaje wana JF.
Ni kweli, Mh. Mnyika kaomba Mwongozo asb. Ila naibu Spika kamwambia Kamati ya Uongozi inaliangalia na kuona kama inafaa kuliweka kwenye ratiba.
Je kama kamati ya Uongozi (yenye wabunge magamba) itatupilia mbali, je wafanyakazi wafanyeje?
When your life becomes a battleground, your mind is the best weapon
Kuandama tu kesho na kususia sensa
Mungu ibariki Tanzani,wafanyakaz wake wananyonywa kupita kiasi na wameridhika!Mfanyabiashara anaepata faida ya laki 5 kwa mwezi kodi kwa mtaka anaweza kulipa laki 3 kwa mwaka na mafao yake anayo! Kodi ya mfanyakazi wa gross ya laki 5 kwa mwez ni balaa! Na mafao hola...mgomo ndo suluhu! Acha serikali iende mahakamani!
We have left one step before,so let us capture it although backward never forward ever.On this we have no choice,may be time frame for its ammendiments.
Kwanzan siku kuu ya Iddi ipo inatarajiwa kuwa tarehe 20 August na leo ndio kwanza tarehe 3.
Jamaa wakikosaga sababu bana!!
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
Hii issue ni sensitive na imewagusa watu wote bila kubagua dini wala kabila wala rangi ya mtu, Hivyo Mnyika and co. msilete ushabiki wa kisiasa na kutafuta cheap popularity tukakosa haki zetu.
Sijakuelewa, move iko hivi kuna siku mbunge mmoja sikumbuki chama chake aliomba muongozo kwa spika wa kumaliza bunge mapema kabla ya IDD,ratiba ndio ikarekebishwa ili IDD wawe nyumbani,ktk marekebisho hayo mnyika ndio analalamika kuwa suala la pension limeondolewa kwa hiyo anaomba lipangiwe muda maalum ndani ya kikao hiki cha bunge, kwa hiyo mimi ninaona yupo sahihi,huyu bwana yupo makini sana anajua iwapo hawatajadili sasa bac unaweza kuta rushwa ikatembea na ukiletwa baadae usishangae waliounga mkono sasa wakakataa
Mkuu naona hapa kidogo umekurupuka. Mnyika ndo alileta hiyo hoja ila kwa ratiba mpya waliyopewa na ofisi ya bunge inaonyesha miswada mipya ya binafsi haipo kwenye ratiba. na hii kwa mujibu wa naibu spika ni kwa sababu wanataka wafunge bunge tarehe 16 ili wawahi Idd. Sasa Mnyika ameomba kama inawezekana hoja hiyo ya mafao ijadiliwe tarehe 16 ndo Mh Ndugai akasema kama ti ya uongozi itaangalia na kushauri juu ya swala hilo.
Nadhani hapo umeelewa.
Uovu wa siku moja, unaondoa wema wa MWAKA MZIMA
Cdm acheni attitude za kidini, Bitabo kawaeleza vizuri, lkn kwa sababu manaingia kwenye mada mkiwa na hoja dhaifu,sasa kila kikitajwa kitu cha dini ya kiislam, mnashoboka. Mbona hakuna bunge jumamosi na jumapili, tusime huo ni udini pia.
ulipata dinner jioni? mbona unatokwa na mapovu?
Follow Us Here