Jeshi la polisi mkoani Morogoro limelikamata gari la matangazo la CHADEMA mapema jioni hii kwa maelezo kuwa hawawezi kuendelea na mikutano kwa kesho kw sbabu CCM wanamikutano pia. Nawasilisha
Jeshi la polisi mkoani Morogoro limelikamata gari la matangazo la CHADEMA mapema jioni hii kwa maelezo kuwa hawawezi kuendelea na mikutano kwa kesho kw sbabu CCM wanamikutano pia. Nawasilisha
Pale polisi morogoro kuna maofisa ambao ni very competent na wasomi ila sijaelewa ni kwa nini wanachukua uamuzi wenye mashaka kama huu.
kaka, polisi wapo wengi tu hapa moro, na leo tangu saa moja asubuhi wametawanyika kila kona ya mji wanapiga doria na pale maeneo ya Fire ilipotarajiwa kufanyika mkutano wa CHADEMA hakuna maandalizi yoyote ya mkutano ila wapo FFU kama 20 wapiga stori. Siku zote wangekuwa wanatulinda hivi ingekuwa raha tu. Sijasikia matangazo ya mkutano wa CCM na wala sijui wanafanyia wapi huo mkutano wa magamba ili nikale bwabwa la bure.
[QUOTE=Mwanaharakatihuru;436867 7]Walikamate tu halina tija kwa taifa[/QUO
Jina halisadifu ulichokiandika...
Watanzania tufanye kazi kwa kufuata terms of reference sio kungojea upigiwe simu kwamba fanya hili na lile. Nchi inaelekea kubaya kwa sababu hii. Mafisadi yamekuwepo kwa mtindo huu. Joyce anatuchezea kwa mtindo huu. mahindi yanahama kwa mtindo huu. Wenye dhamana na nchi hii mmejisau? Na yote haya wenzetu wa nje wanayaona na kuchekelea. Mungu tusamehe ktk uzembe huu mkubwa badilisha tabia za wananchi watambue haki yao na waipiganie kwa nguvu zote.
Ingetolewa ratiba na mikutano yote ya kivyama kila mkoa ili kuepusha muingiliano wa mikutano kama huu wa Moro leo.
polisi nendeni ziwa nyasa joyce amevuka msitari mwekundu
Hivi hiyo gharama waliyoingia kujaza mafuta na kuanza kuzunguka manispaa kufanya doria si wangewaacha wafanye mkutano alafu wangewalinda badala ya kuwawinda
tukishindwa kutumia akili katika kufikiri na kuchambua mambo...sioni haja ya kuendelea kuwepo kwa mtandao huu wa JF.........hivi kukamata gari kunazuia mkutano kwa njia ipi?? mikutano yote maeneo husika hufanywa kwa kibali cha kamanda wa polisi wa wilaya husika......iwe kwa CCM, CDM ama chama kingine chochote....obvious, kama kibali kilishatolewa, anayefuata atapangiwa siku nyingine...otherwise, unambie gari limekamatwa kwa makosa ya kawaida barabarani...so boss, kachimbe tena, mana mtu akikamatwa anafunguliwa mashtaka...asa katafute huyo aliyekamatwa amefunguliwa mashtaka gani ndo uje kuwasilisha mada upya.............my take
If you are waiting for the Gov't to solve your problems, then YOU are the PROBLEM.......
Chezea polis ccm nini?
Kilaza ni kilaza tu hata nepi utasema ni taulo ndogo. NyamafuQUOTE]
sasa si aangepiga stop waliochelewa wasilisha police taarifa za mkutano?hawa jamaa wazembe,wanafanya overbooking halafu wanaadhibu wateja?
SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.
haya majeshi badala ya kulinda mambo ya msingi ya taifa kazi yao ni kuzuia CDM tuu..ona sasa MALAWI washajua nao ni wadhaifu.......
!!..BAR ikiwa na wahudumu wa KIUME TUPU sikai dakika nyingi..!!
Follow Us Here