Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

    Report Post
    Page 17 of 18 FirstFirst ... 715161718 LastLast
    Results 321 to 340 of 351
    1. #1
      Yericko Nyerere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd December 2010
      Location : Kigamboni, DSM
      Posts : 4,965
      Rep Power : 23055
      Likes Received
      3012
      Likes Given
      315

      Default Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Rais wa Malawi bibi Joyce Banda leo tarehe 3/8/2012 atalihutubia taifa hilo kupitia vyombo vya habari vya nchi hiyo,

      Kwa mujibu wa msemaji wa serikali ya Banda anasema, suala la mgogoro wa mpaka na Tanzania litakuwa miongoni mwa mambo muhimu atakayoyazungumza!

      Ripoti za kijasu za Tz zinazopatikana kutoka Malawi zinasema kuwa Malawi imeshaivamia Tanzania na imeweka boti za kijeshi ziendazo kasi zenye makombora ya kilomita 5 katika Ziwa Nyasa na zinafanya doria usiku na Mchana.

      Na kujiimarisha zaidi bibi Joyce Banda amefunga Special Military Rader kataka milima iliyopo upande wa kulia ukishaingia Malawi katika umbali usiozidi km 5 kutoka boda ya Kalonga.

      Mama Banda ameshikilia kuwa wanajeshi wake waliopo katika ardhi ya Tanzania wataendelea kupiga doria usiku na mchana huku Meli za utafiti wa mafuta zikiendelea kuvinjari katika ukanda wa Tanzania, na haonyeshi kutikisika na kauli ya Tanzania kuwa asitishe utafiti wa mafuta ktk Tz!

      Macho na masikio ya watz wote tuyaelekeze huko leo kujua je Mama anaingia Vitani au analegeza msimamo?

      UPDATES:

      Rais Joyce Banda ameahirish kulihutubia taifa juu ya mgogoro wa mpaka na Tanzani na kuumuagiza Waziri wake wa Mambo ya Kigeni Ndugu Ephraim Mganda Chiume kulieleza taifa:


      Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, Ephraim Mganda Chiume said on Friday that Malawi and Tanzania would resolve the border issue over Lake Malawi amicably.

      Briefing journalists through a prepared statement that he read at the Central Office of Information (COI) in Lilongwe, Chiume said Malawi was engaged in discussions with government of the United Republic of Tanzania to resolve the issue.

      Said Chiume: “The nation is hereby informed that there are on-going discussions between our two countries and that the Malawi Government is determined to reach an amicable solution with the government of the United Republic of Tanzania.”

      Chiume further said that Malawi has rightful claim to the whole lake basing on the Heligoland Treaty signed by Germany and Britain – Malawi and Tanzania’s old colonial masters.

      The treaty defines the border between the two countries as being the edge of the waters on eastern shore of Lake Malawi.

      The position of the Heligoland treaty according to Chiume, was further reinforced and adopted by resolutions of the African Union in 2002 and 2007 and its predecessor, the Organisation of African Union (OAU) in 1963 that states that ‘member states should recognize and recognize and accept the borders that were inherited at the time of independence.’

      The treaty in part, on article one states that: “German sphere of influence…to the South by a line which, starting on coast at the Northern limit of Mozambique follows the course of the river Rovoma to the point of confluence of the Nsinje; hence it runs westwards along the parallel of that point till it reaches Lake Nyasa [Lake Malawi]; hence striking Northward, it follows the eastern, Northern and Western shores of the lake to the northern bank of the mouth of the river Songwe.”

      Chiume: No cause for anxiety

      The Foreign Affairs Minister who was flanked by Minister of Information, Moses Kunkuyu Kalongashawa, said that while they acknowledged Tanzania’s claim to half of the Lake basing on common law,

      “It is Malawi’s position that the principle which Tanzania depends upon applies only where there is no treaty.”

      No cause for alarm
      Chiume also assured the nation that there should be no cause for anxiety or alarm as the two countries were engaged in discussions ‘so that an amicable solution is found on this long outstanding issue.’

      In the statement Chiume also condemned the misrepresentation in both the local and international media that there was rising tension between Malawi and Tanzania.

      “This is far from the truth because we are discussing in an open and cordial manner with a view of reaching an agreement,” said Chiume.

      He also appealed to the media not to ‘cause unnecessary anxieties. Let us allow diplomacy to work,’ concluded Chiume.

      Malawi and Tanzania have had rival claims over the lake from post-independence times and this has come to the fore over the recent gas and oil exploration licenses issued out by Malawi
      Last edited by Yericko Nyerere; 4th August 2012 at 01:30.


    2. #321
      ALEYN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th November 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,065
      Rep Power : 597
      Likes Received
      134
      Likes Given
      17

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Hv Malawi haipo katika nchi 6 zilizosaidiwa na Tanzania kupata uhuru?

    3. #322
      ITEGAMATWI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th January 2012
      Posts : 1,821
      Rep Power : 811
      Likes Received
      481
      Likes Given
      915

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      BALANCE OF MILITARY POWER IN AFRICA Hebu msili-under estimate jeshi letu wadau!!Huyu Malawi ni kumbamiza ndani ya masaa tu tunampeleka segerea huyo mwanamama wao Joyce Banda.
      RedDevil and WA-UKENYENGE like this.

    4. #323
      BONGE BONGE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2011
      Location : Chumbe
      Posts : 587
      Rep Power : 505
      Likes Received
      111
      Likes Given
      122

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Quote By omujubi View Post
      Jf kuna mambo mengi sana japo wengine tunayaponda kuwa ni uzushi lakini ukiyaangalia kwa makini ni ya muhimu.

      Wasi wasi wangu tangia awali ni kuwa vita nyingi za Africa unayemuona 'front' siye unayepigana naye bali kuna wengine wengi nyuma yake. Hii 'jeuri' ya Wamalawi haiwezi kuibuka siku moja tu na ukichukulia kuwa waliwahi kuibua hili suala wakashindwa sasa wamefanya timing ya kutujua nguvu tuliyonayo kwa sasa.

      Wanaoweza kuwa nyuma ya huu mpango wanajua ni utajiri kiasi gani na wanajua watasupport na watapata nini mwishowe. Tuombe Mungu atuepushe na hili (kama tunavyosemaga) ...Inshallah!
      ........ni kweli jamaa wamejiandaa, lakini haina maana kujiandaa kwao wafanye kama wanavyotaka, kizazi kijacho kitatulaani hata kama tutakuwa makaburini tukiwaruhusu wamalawi watambe kama wanavyotamba sasa; itakuwaje tumewang'ang'ania wazanzibari kwa kutukuza usalama wetu ili hali tuachie ziwa Nyasa lote liende Malawi?
      "I did not care if the name was Lake Nyasa, Malawi, Banda or Kamuzu, but borders were not negotiable." Tanzania’s president Julius Nyerere.

    5. #324
      Nyunyu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 9th March 2009
      Location : Here.
      Posts : 3,359
      Rep Power : 2050
      Likes Received
      466
      Likes Given
      2775

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Mhhhh! Wasi wasi wangu ni uwezo wa amiri jeshi mkuu!!!
      Zogolo Dangu Dawika Miye! - Safari_ni_Safari wa JF

      e-mail: [email protected]

    6. #325
      Never give up's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th September 2009
      Location : miles from nowhere
      Posts : 3,732
      Rep Power : 1243
      Likes Received
      750
      Likes Given
      620

      Default

      Quote By Nyunyu View Post
      Mhhhh! Wasi wasi wangu ni uwezo wa amiri jeshi mkuu!!!
      Jamaa wameamsha hili zogo wakati mzuri sana yani ingekuwa wakati wa nyerere na hakika palikuwa hapatoshi ila tungejiandaa kufunga mkanda.


    7. #326
      zumbemkuu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 11th September 2010
      Location : street dweller
      Posts : 5,425
      Rep Power : 2024
      Likes Received
      2168
      Likes Given
      7955

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      BALANCE OF MILITARY POWER IN AFRICA

      BALANCE OF MILITARY POWER IN AFRICA
      African Country Active Troops Reserve Paramilitary Total Troops
      Egypt 450000 254000 405000 1109000
      Eritrea 202000 250000 0 452000
      Morocco 196300 150000 13500 359800
      Algeria 127500 150000 60000 337500
      Sudan 104500 0 95000 199500
      Ethiopia 182500 0 0 182500
      Nigeria 78500 0 82000 160500
      Libya 76000 40000 3000 119000
      Tanzania 27000 80000 1400 108400
      Angola 100000 - - 100000a
      DRC 83800 0 1400 85200
      Rwanda 61000 0 10000 71000
      Uganda 60000 0 1800 61800
      South Africa 55750 - - 55750
      Zimbabwe 32000 0 21800 53800
      Burkina Faso 6000 45000 1800 52800
      Tunisia 35000 0 12000 47000
      Burundi 40000 0 5500 45500
      Chad 30350 0 4500 34850
      Cameroon 23100 0 9000 32100
      Kenya 24120 0 5000 29120
      Côte d'Ivoire 17050 0 7000 24050
      Zambia 21600 0 1400 23000
      Madagascar 13500 0 8100 21600
      Mauritania 15750 - 4500 20250
      Guinea 9700 0 9600 19300
      Senegal 9400 0 5800 15200
      Namibia 9000 0 6000 15000
      Sierra Leone 13000 0 0 13000
      Liberia 13000 0 0 13000
      Mali 7350 0 4800 12150
      Republic of the Congo 10000 0 2000 12000
      Djibouti 9850 0 1400 11250
      Guinea-Bissau 9250 0 2000 11250
      Niger 5300 0 5400 10700
      Botswana 9000 0 1500 10500
      Togo 9450 0 750 10200
      Mozambique 10000 0 0 10000
      Benin 4550 0 3000 7550
      Ghana 7000 0 0 7000
      Malawi 5300 0 1500 6800
      Gabon 4700 0 1500 6200
      Equatorial Guinea 1320 0 2000 3320
      Central Afr Republic 1400 0 1000 2400
      Lesotho 2000 0 0 2000
      Cape Verde 1200 0 0 1200
      Gambia 800 0 0 800
      Seychelles 450 0 250 700
      Njowepo and ITEGAMATWI like this.
      "watakaotubeza na kututukana wasameheni wanahitaji ukombozi wa fikra" Mh.G.Lema

    8. #327
      papason's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 14th September 2010
      Location : Choma Cha Nkola
      Posts : 889
      Rep Power : 0
      Likes Received
      154
      Likes Given
      174

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Kwa hali ya sasa ya nchi yetu tusijidanganye kabisaa kuingia vitani kitachotupata hatutakisahau milele!

      Alafu hivi vijamaa ( vinyasa) vimetu 'time' pazuri kweli kweli kwanza nchi yetu hoi kiuchumi baada ya baba riz1 na mwanae kuiba kila kitu, wananchi, wanajeshi na wapiganaji wako demoralised vibaya, silaha nzito nzito karibia zote zililipuka gongo la mboto na mbagala

      Alooo huu ndo mwanzo wa kupigwaa kipondo cha mbwa mwizi na kisha kupelekwa utumwani maalawi

    9. #328
      afrodenzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st November 2010
      Location : sweet home
      Posts : 15,617
      Rep Power : 26577
      Likes Received
      5850
      Likes Given
      5721

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Hivi tuna mabomu kweli au yote yalilipuka
      GOGOLAMOTO...
      life goes on.....

    10. #329
      Highlander's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2012
      Posts : 1,798
      Rep Power : 730
      Likes Received
      561
      Likes Given
      641

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Quote By naumbu View Post
      Inawezekana huu ni usanii wa kupotezea mambo muhimu ambayo yako hot kwa sasa, use your brain guys

      LIKE, LIKE LIKE! Changing the subject....au siyo? Propaganda and dis-information kuelekeza macho ya watu Ziwani badala ya kesi za kina Ulimboka, waalimu na Bunge au siyo. Ha ha ha! Na hiyo itakuwa imetengenezwa na Membe. I share your feeling 75% ndugu. Tanzania na Malawi hakuna ugomvi kihivyo kwa kweli. Although naiacha 25% possibilty kukubaliana na mchangiaji mmoja aliyetahadhalisha uwezekano wa mkono kutoka nje.

      Usi-underestamate influence ya Makampuni ya Mafuta ambayo Budget ya Malawi kwa mwaka ni vihela tu vya chai kwao. Na tunajua Wanasiasa karibu wote katika bara la Afrika Wanahongeka. They can influence Malawi to go into a fight with us ili mradi tu leseni yao ya Mafuta na gesi iende wanavyotaka wao. That is the 25% possibility. The rest of possibilities ugomvi hakuna! Na dawa ni kujua ni kampuni ipi na kui-target Kampuni hiyo covert and overt.

      Sitaki kuona wala kusikia upuuzi wa sisi watu weusi kuendelea kugombanishwa hadi karne hii. No. Wakati wa kuwa manipulated ufike mwisho. Tu identify which company that is na kuitarget tukipata taarifa za kuaminika za kintelligensia. Africa is where God gave us to live. It must remain peaceful!

    11. #330
      kadoda11's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Location : planet earth
      Posts : 1,457
      Rep Power : 720
      Likes Received
      362
      Likes Given
      183

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      post nyingi nilizozisoma ktk thread hii ni porojo tu na bla bla za kisiasa kama kwaida yetu wabongo.ningependa kuona mchango unaozungumzia uimara wa jeshi letu kwa nyakati hizi sasa.je jeshi letu ni imara kiasi gani kuingia vitani?.wajuzi mchango wenu ktk hili tafadhali.
      "The only true wisdom is in knowing you know nothing"

    12. #331
      WA-UKENYENGE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2011
      Location : Inside a Smart Grid
      Posts : 2,491
      Rep Power : 5057
      Likes Received
      806
      Likes Given
      1903

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Quote By afrodenzi View Post
      Hivi tuna mabomu kweli au yote yalilipuka
      GOGOLAMOTO...
      Mkuu afrodenzi yapo! Naimani utatusaidia kulifikisha Lilongwe kwa Bi JB.

      RedDevil and afrodenzi like this.
      "The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".

    13. #332
      tanira1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th November 2011
      Posts : 672
      Rep Power : 517
      Likes Received
      114
      Likes Given
      102

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      wakati wa mkapa buyoya wa burundi alileta choko choko kama hiyo benja alichofanya ni kumlundikia magurunet mpakani wakati yanasombwa niliyaona kutoka dar habari zisizo rasmi washoka waliwafurusha kilometa nyingi kuelekea kwao wiki ya pili buyoya akapanda ndege kuja dar kutafuta suluhu hapo mchezo ndipo ulipoishia kama kuna hakika kuna maboti ya mpenzi wangu joyce upande wetu haina haja ya kusema naye dawa kupeleka makombola intelijensia iktuonyesha yapo upande wetu shiii usiulize kimyakimya unayatimua(sambaratisha) alafu unasikilizia usiulize shiiii kaa kimya
      Paw likes this.

      ''MIAKA HAMSINI(51) YA UVUMILIVU''​

    14. #333
      markj's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th July 2012
      Posts : 1,006
      Rep Power : 551
      Likes Received
      164
      Likes Given
      143

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Quote By Nyakageni View Post
      SSRA we!
      mtayataja sana haya majina!
      MZUNGU AKIJICHUBUA HUJUE MOYONI ANA UAFRICA!.by stamina

    15. #334
      markj's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th July 2012
      Posts : 1,006
      Rep Power : 551
      Likes Received
      164
      Likes Given
      143

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Quote By Joss View Post
      Si rais tu, ni karibu system nzima, kama TISS ingekuwa makini, wangekuwa hatua kumi mbele ya wamalawi. Kama wangekuwa makini wasingeruhusu rais dhaifu kuingia madarakani. Linapokuja suala la usalama wa nchi rais si chochote, kama analeta udhaifu anaweza kuwekwa kando kijasusi, wakaachiwa watu makini wafanye kazi yao. Tuchukulie mfano Mosad walivyomfanyia PM wao wakati huo.
      sio hao tu! wamegundua hadi wananchi wote wa tanzania ni wadhaifu! mana wasingekuwa wadhaifu nao! wasingeongozwa na serikali dhaifu
      MZUNGU AKIJICHUBUA HUJUE MOYONI ANA UAFRICA!.by stamina

    16. #335
      Chapakazi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th April 2009
      Location : Kathmandu
      Posts : 2,910
      Rep Power : 1100
      Likes Received
      256
      Likes Given
      272

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Quote By Yericko Nyerere View Post
      Tuombe mungu isitoke, mgogoro huu utatuliwe kwa meza ya majadiliano!

      Lakini ikibidi kulinda utu na heshima ya taifa letu, hata kwa vita tutajibu, tena jibu letu litakuwa kuu!
      Hapo pekundu umeniacha hoi. Utadhani wewe ndio utaenda kupigana!
      Change begins with YOU

    17. #336
      Chapakazi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th April 2009
      Location : Kathmandu
      Posts : 2,910
      Rep Power : 1100
      Likes Received
      256
      Likes Given
      272

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Quote By afrodenzi View Post
      Hivi tuna mabomu kweli au yote yalilipuka
      GOGOLAMOTO...
      Yalikwisha yote huko...ahhaha! Tanzania bwana kila kitu hovyo!
      afrodenzi likes this.
      Change begins with YOU

    18. #337
      August's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th June 2007
      Posts : 2,752
      Rep Power : 1168
      Likes Received
      253
      Likes Given
      2541

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Quote By tanira1 View Post
      wakati wa mkapa buyoya wa burundi alileta choko choko kama hiyo benja alichofanya ni kumlundikia magurunet mpakani wakati yanasombwa niliyaona kutoka dar habari zisizo rasmi washoka waliwafurusha kilometa nyingi kuelekea kwao wiki ya pili buyoya akapanda ndege kuja dar kutafuta suluhu hapo mchezo ndipo ulipoishia kama kuna hakika kuna maboti ya mpenzi wangu joyce upande wetu haina haja ya kusema naye dawa kupeleka makombola intelijensia iktuonyesha yapo upande wetu shiii usiulize kimyakimya unayatimua(sambaratisha) alafu unasikilizia usiulize shiiii kaa kimya
      hili ndio pendekezo linalofaa, ni kuwaambia hao wamalawi kwamba warudishe majeshi yao katika mipaka inayo tambulika kimataifa, mkiwa mna mipaka ya mto au maziwa au bahari, kinyume cha hapo hawana nia ya mazungumzo na kilicho ndani ya mipaka yetu ni halali yetu,unatupa tu kombora kama ulivyo sema.mahindi nk tutaendelea kuuziana, hatuna ugomvi nao katika kupeana chakula na vitu vya kibinadamu, na kuolewana tutaendelea kuoleana.

    19. #338
      The Boss's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 18th August 2009
      Location : DARESALAAM
      Posts : 18,507
      Rep Power : 21688
      Likes Received
      13814
      Likes Given
      18061

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Wamalawi wame sense sasa ndio right time

      Amiri jeshi mkuu yuko busy na safari..
      bunge liko na mwanamke mbishi mbishi...

      na migogoro mingine tele
      Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!

    20. #339
      mndwadage's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2012
      Posts : 346
      Rep Power : 418
      Likes Received
      67
      Likes Given
      0

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      huyu mama tokea asaini ushoga akili yake haijakaa sawa.ni kama anapepo sijui kama anabwana wa kumliwaza.!

    21. #340
      Baba Tunde's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 5th April 2012
      Posts : 220
      Rep Power : 408
      Likes Received
      42
      Likes Given
      10

      Default Re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Watanzania wamekata tamaa! Hata kama kuna hatari ya vita, tunatetea nini? Kama ni mafuta au mali zilizochini ya ardhi, zinafaidisha nini taifa letu. Yaani vijana wetu wakafe kwa ajili ya wanasiasa wachache wanaotumia utajiri wa nchi yetu kwa manufaa yao na familia zao. I love Tanzania so much, but the income gap between the rich and the poor and the exploitation done by the mining companies do not justify the poor youths to go to the war! Hii issue imalizwe kwenye meza ya mazungumzo.

    Page 17 of 18 FirstFirst ... 715161718 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...