Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

    Report Post
    Page 15 of 18 FirstFirst ... 51314151617 ... LastLast
    Results 281 to 300 of 351
    1. #1
      Yericko Nyerere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd December 2010
      Location : Kigamboni, DSM
      Posts : 4,535
      Rep Power : 22965
      Likes Received
      2827
      Likes Given
      312

      Default Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Rais wa Malawi bibi Joyce Banda leo tarehe 3/8/2012 atalihutubia taifa hilo kupitia vyombo vya habari vya nchi hiyo,

      Kwa mujibu wa msemaji wa serikali ya Banda anasema, suala la mgogoro wa mpaka na Tanzania litakuwa miongoni mwa mambo muhimu atakayoyazungumza!

      Ripoti za kijasu za Tz zinazopatikana kutoka Malawi zinasema kuwa Malawi imeshaivamia Tanzania na imeweka boti za kijeshi ziendazo kasi zenye makombora ya kilomita 5 katika Ziwa Nyasa na zinafanya doria usiku na Mchana.

      Na kujiimarisha zaidi bibi Joyce Banda amefunga Special Military Rader kataka milima iliyopo upande wa kulia ukishaingia Malawi katika umbali usiozidi km 5 kutoka boda ya Kalonga.

      Mama Banda ameshikilia kuwa wanajeshi wake waliopo katika ardhi ya Tanzania wataendelea kupiga doria usiku na mchana huku Meli za utafiti wa mafuta zikiendelea kuvinjari katika ukanda wa Tanzania, na haonyeshi kutikisika na kauli ya Tanzania kuwa asitishe utafiti wa mafuta ktk Tz!

      Macho na masikio ya watz wote tuyaelekeze huko leo kujua je Mama anaingia Vitani au analegeza msimamo?

      UPDATES:

      Rais Joyce Banda ameahirish kulihutubia taifa juu ya mgogoro wa mpaka na Tanzani na kuumuagiza Waziri wake wa Mambo ya Kigeni Ndugu Ephraim Mganda Chiume kulieleza taifa:


      Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, Ephraim Mganda Chiume said on Friday that Malawi and Tanzania would resolve the border issue over Lake Malawi amicably.

      Briefing journalists through a prepared statement that he read at the Central Office of Information (COI) in Lilongwe, Chiume said Malawi was engaged in discussions with government of the United Republic of Tanzania to resolve the issue.

      Said Chiume: “The nation is hereby informed that there are on-going discussions between our two countries and that the Malawi Government is determined to reach an amicable solution with the government of the United Republic of Tanzania.”

      Chiume further said that Malawi has rightful claim to the whole lake basing on the Heligoland Treaty signed by Germany and Britain – Malawi and Tanzania’s old colonial masters.

      The treaty defines the border between the two countries as being the edge of the waters on eastern shore of Lake Malawi.

      The position of the Heligoland treaty according to Chiume, was further reinforced and adopted by resolutions of the African Union in 2002 and 2007 and its predecessor, the Organisation of African Union (OAU) in 1963 that states that ‘member states should recognize and recognize and accept the borders that were inherited at the time of independence.’

      The treaty in part, on article one states that: “German sphere of influence…to the South by a line which, starting on coast at the Northern limit of Mozambique follows the course of the river Rovoma to the point of confluence of the Nsinje; hence it runs westwards along the parallel of that point till it reaches Lake Nyasa [Lake Malawi]; hence striking Northward, it follows the eastern, Northern and Western shores of the lake to the northern bank of the mouth of the river Songwe.”

      Chiume: No cause for anxiety

      The Foreign Affairs Minister who was flanked by Minister of Information, Moses Kunkuyu Kalongashawa, said that while they acknowledged Tanzania’s claim to half of the Lake basing on common law,

      “It is Malawi’s position that the principle which Tanzania depends upon applies only where there is no treaty.”

      No cause for alarm
      Chiume also assured the nation that there should be no cause for anxiety or alarm as the two countries were engaged in discussions ‘so that an amicable solution is found on this long outstanding issue.’

      In the statement Chiume also condemned the misrepresentation in both the local and international media that there was rising tension between Malawi and Tanzania.

      “This is far from the truth because we are discussing in an open and cordial manner with a view of reaching an agreement,” said Chiume.

      He also appealed to the media not to ‘cause unnecessary anxieties. Let us allow diplomacy to work,’ concluded Chiume.

      Malawi and Tanzania have had rival claims over the lake from post-independence times and this has come to the fore over the recent gas and oil exploration licenses issued out by Malawi
      Last edited by Yericko Nyerere; 4th August 2012 at 01:30.

    2. FemaTV & Radio

    3. #281
      JokaKuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2006
      Posts : 6,826
      Rep Power : 2968
      Likes Received
      2433
      Likes Given
      3511

      Default re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Quote By Mchambuzi
      This is not a unique problem in Africa, kwani kati ya nchi 54 za Africa, nchi 48 zina matatizo ya namna hiyo ingawa on difference scales. Ni nchi sita tu za Africa leo hii hazina matatizo ya mipaka. Chanzo cha tatizo letu na Malawi goes back to late 1980s when the Anglo-German treaty was signed kuzuia ugomvi kati ya ujerumani na uingereza wakati ule wa colonial expansion. Wakati wa ukoloni, ilikuwa rahisi sana kwa British na Germans kuheshimu the treaty, lakini hali ikabadilika pale nchi zetu zilipopata uhuru. Tumekuwa na tatizo hili kwa miaka 48 kwani lilianza mwaka 1964, ni kwamba tu baada ya Mwalimu kuondoka na soko huria kuingia, kumekuwa na many developments to over shadow issue kama hii, hasa jumuiya ya SADC.

      Vinginevyo, as we all know, Mwalimu Nyerere was a pro-active leader, sio kama viongozi waliomfuatia ambao wao kazi yao ni ku react after tatizo kutokea, badala ya kujaribu kulikinga au kulipunguza makali. Mwalimu alielewa mapema sana juu ya umuhimu wa negotiations to resolve the problem and he constantly came up with ideas on how our country and Malawi tungeweza kwa pamoja to share the resources ndani ya ziwa nyasa. Lakini pamoja na juhudi zote za Mwalimu, Rais wa wakati ule - Dr. Kamuzu Banda alikuwa mkaidi sana, kwa mfano kuna wakati alimjibu Mwalimu kama ifuatavyo:

      “We will never recognize or accept this claim: we will never agree to the suggestion or proposal. The Lake has always belonged to Malawi….Everyone knew Nyerere as a coward and communist inspired jellyfish: We know while pretending to be a staunch supporter of the OAU, Nyerere is the worst agitator and betrayer of the cause for which the Organization was formulated. History, geography or even ethnical knowledge will convince Nyerere that four districts to the South of Tanganyika belong to us by nature. It is only that we respect the feasible unification of Mother Africa that we do not claim these districts. All that we are doing is setting [sic] historical truth.”

      Source ya nukuu hii: James Mayall, “The Malawi -Tanzania Boundary Dispute,” The Journal of Modern African Studies, Volume 11, Issue No. 4, (December 1973): 611–628.

      Mimi nadhani solution ingekuwa rahisi zaidi kama ingekuwa ni suala la ku-share resources pertaining to fishing, hydro power project, recreation na utalii in the context of SADC. Lakini kwa suala la Gesi/Mafuta kwa nchi maskini kama zetu, hasa kama Malawi ambayo ni land locked na isiyokuwa na resources zozote za maana, hapo kuna mtihani mgumu sana. Lakini ni muhimu viongozi wetu kutokurupuka katika hili kwani neither of the countries can afford to go into war na mwenzake.

      Lastly, I remain to wonder iwapo mawaziri wetu wa mambo ya nje katika miaka yote hii walikuwa wanafanya any serious efforts kulitatua tatizo hili kupitia ministerial committees chini ya SADC. Ni vizuri kama angetokea mbunge mmoja akamuuliza Waziri Membe Jumatatu ijayo wakati atakapokuwa anawasilisha bajeti ya wizara yake.
      Mchambuzi,

      ..tungekuwa tunaona mbali basi leo hii TPDC ingekuwa ni kati ya makampuni makubwa ya utafiti wa mafuta na ingeweza kufanya kazi ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, ikiwemo Malawi.

      ..sasa hivi tungekuwa tayari tumeishaimarisha miundo mbinu katika southern corridor kiasi kwamba bandari ya Mtwara ingekuwa port of choice for a landlocked Malawi.

      ..Kenya wamejipanga strategically[bandari,reli,bomba la mafuta] kiasi kwamba sasa hivi wataanza kufaidika na ugunduzi wa mafuta ya Uganda na Southern Sudan.
      Jasusi, Mchambuzi and omujubi like this.

    4. #282
      mpigamsuli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th May 2012
      Posts : 1,109
      Rep Power : 573
      Likes Received
      55
      Likes Given
      0

      Default Re: Yazungumzwayo Malawi juu ya Ziwa...

      Tanzania tuna jesh imara lililojitosheleza kivifaa,maslah(mishaharabora)n a pia jesh kubw(wingi),ss bas kupigana twaweza

    5. #283
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,122
      Rep Power : 14288
      Likes Received
      4013
      Likes Given
      3271

      Default Re: Yazungumzwayo Malawi juu ya Ziwa...

      ni wakati wakuonyesha kwa vitendo wale wavunja tofali kwa mkono..
      tanira1 and ITEGAMATWI like this.

    6. #284
      Kigogo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th December 2007
      Location : Calabash
      Posts : 8,195
      Rep Power : 2094
      Likes Received
      1232
      Likes Given
      313

      Default

      Jk ni muoga na hawezi kupiganisha vita na malawi

    7. #285
      Hofstede's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2007
      Posts : 3,604
      Rep Power : 21341
      Likes Received
      981
      Likes Given
      988

      Default re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Quote By Saint Ivuga
      tuwaachie ziwa lote ..wao si wanataka mafuta? hakuna tatizo ila waache wavuvi wa pande zote wavue samki ..hapo si ni sawa?
      Umenikumbusha tamthiliya ya 'The great ponds' - By Elechi Amadi: pond of wagaba where Olumba was the fighter on one side of the conflict. They have decided to resolve the conflict using the goddess that two men on both sides of the two villages of Chiolu and Aliakoruwere subjected to natural death from God by taking Oath if the pond belongs to other side. Instead they were embarking on bewitching and protecting their warriors. I remember the scene where Olumba was cooked by Igwu (the wizard who wanted to kill hime before the deadline). I hope we are not going to use witch doctors for predictions of the outcome before taking countries into wars.

      Kwa wale waliokuwa wazuri kwenye English literature jikumbushe mistari hii

      The story is about a ruinous feud between the two villages of Chiolu and Aliakoru. The story traces its way back to the pre colonial era, a time when Africans believed in the power of magic and supernatural healing possessed by the traditional healers (dibias, as used in the book) and divine intervention to appease the gods.

      For years, the village of Chiolu had fished in the ponds of Wagaba (alluded to in the book title) without hinderance. However, when the neighboring village of Aliakoru starts to encroach on the pond, war breaks out between the two villages, as the people of Chiolu seek to protect their ownership of the ponds.

      The war is led by Olumba the greatest warrior in Chiolu and main character in the book. His main rival is Wago, the leopard killer from Aliakoru. The Ezes (elders) from either side cannot agree to give up the pond. Eze Diali from Chiolu and Eze Okehi Aliakoru often meet to discuss about ending the war but this is not fruitful as both often do not go by the set conditions. For instance Olumba’s pregnant wife Oda is kidnapped in an act that goes against local traditions. This leads to bitterness and instills a heart of vengeance within the warriors of Chiolu. Aliakoru is attacked and three women including Wago’s daughter are kidnapped.

      Both villages become weary after months of fighting and eventually the elders of eight other villages join and to end the war on neutral grounds. The answer about who owns the ponds of Wagaba is anybody’s guess as both parties had fished from the same pond at one time or the other.

      To resolve the competing claims, Olumba is chosen to take an oath under the god of the night Ogbunabali at Isiali. Under the oath, if he does not die in six months then the pond belongs to Chiolu. He undergoes rituals to protect him from any ill omen. The warriors and dibia Igwu of Aliakoru cause him to fall sick but dibias Achichi of Chiolu and Anwunwu of Abii always act to save the situation.

      Nyoma, Olumbas first wife falls sick, the first to suffer the sickness which later begins claiming one by one from the village. The dibia confirms that the disease (wonjo as it is termed) has nothing to do with Aliakoru, since it is the same story in Aliakoru, and other villages. Olumba loses his wife and daughter in the same. Many think the gods are angry with them.

      Meanwhile, in the village of Alikakoru, Ikechi and his team fight and kill a leopard. Unable to stomach the loss of his esteem, Wago, the leopard killer, who for years, had been the only one who fought leopards, commits suicide.

      With the Great Ponds, Amadi delivers a brilliant piece of story-telling while also addressing the painful effects of war on its main victims, the local population. The fear and injustices that result are an important reminder that there are always innocent victims in every war, a message that is as relevant today as it was for the people of Chiolu and Aliakoru.
      Last edited by Hofstede; 4th August 2012 at 12:36.
      BAK and Saint Ivuga like this.

    8. Miaka 50

    9. #286
      Adharusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd January 2012
      Location : Mtwara
      Posts : 501
      Rep Power : 470
      Likes Received
      65
      Likes Given
      295

      Default re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Wachukue tu ilo Ziwa nyasa,kwani labda rasimali zikiwa chache tutajua jinsi ya kuzitumia
      'vox populi,vox dei

    10. #287
      Jasusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2006
      Posts : 10,622
      Rep Power : 2892
      Likes Received
      3838
      Likes Given
      12226

      Default re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Quote By Hard boy
      uraniam tunayo, tutajitengenezea makombora sisi wenyewe.
      Subutu! Uranium, kama dhahabu tumeshawagawia wenyewe.
      BAK and Saint Ivuga like this.

    11. #288
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,122
      Rep Power : 14288
      Likes Received
      4013
      Likes Given
      3271

      Default re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      tuna mpiga mmalawi kisha tuna kuja kusafisha jeshi letu, watu kama akina shimbo tuna wang'oa na dhaifu wake..
      OSOKONI likes this.

    12. #289
      OSOKONI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th October 2011
      Posts : 3,632
      Rep Power : 1109
      Likes Received
      999
      Likes Given
      756

      Default re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Quote By Elizabeth Dominic
      Tuko tayari?
      Tupo tayari mno, mkururu wa vifaru, magari ya deraya, mizinga ya kutungua ndege, helicopter aina ya Apache, jet kadhaa na madege ya kivita mengi, pia merikebu zinazobeba makombora ya kupiga meli na maelfu ya askari wanaelekea mstari wa mbele wakisubiri tangazo la vita!itakuwa vita ya muda mfupi sana, na huenda tukalitwaa ziwa lote la nyassa na kuingia kama kilometer 1000 ndani ya malawi kujenga kitu kinaitwa kijeshi kuwa ni "buffer zone"
      Narrow minded people discuss people,common minded people discuss events great minded people discuss ideas!!!

    13. #290
      WA-UKENYENGE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2011
      Location : Inside a Smart Grid
      Posts : 2,417
      Rep Power : 5038
      Likes Received
      782
      Likes Given
      1788

      Default Re: Malawi says lake row with Tanzania to be resolved amicably

      Quote By Sunshow
      Kwa nini JWTZ isipeleke manowari ziwa nyasa?
      Itapita wapi mkuu, wanayo basi!! Sema hawa siyo saizi yetu tutapiga hadi ikulu wapuuzi tu na njaa zao zinataka kutuingiza kwenye vita!!
      "The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".

    14. #291
      WA-UKENYENGE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2011
      Location : Inside a Smart Grid
      Posts : 2,417
      Rep Power : 5038
      Likes Received
      782
      Likes Given
      1788

      Default Re: Malawi says lake row with Tanzania to be resolved amicably

      Quote By Ndibalema
      Amicably!! kwanini iwe hivyo? si wangesolve kwa kutumia nguvu tuu kama raia wao wanvyojitapa kwenye mitandao!
      ningekuwa Rais wa hii nchi hata nisingeumiza kichwa kukaa nao meza moja.
      Hawa jamaa hawajajua mchezo tutakaowachezea! Piga, nyanya gesi yote na mafuta harafu ndo tunaanza kuchimba ya kwetu!!
      Ndibalema likes this.
      "The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".

    15. #292
      oyaoya's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th March 2012
      Posts : 194
      Rep Power : 402
      Likes Received
      32
      Likes Given
      15

      Default Re: Malawi tupigeni haraka haraka tuna uchaguzi 2015: Tumegundua Janja

      Mh... Kwa ukilaza wangu, ingawa nmechukua muda mrefu kukuelewa lakini haiingii akilini Membe aanze strategy chafu mapema wakati hata yeye hana uhakika wa kuwa mgombea!!!

    16. #293
      WA-UKENYENGE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2011
      Location : Inside a Smart Grid
      Posts : 2,417
      Rep Power : 5038
      Likes Received
      782
      Likes Given
      1788

      Default Re: Malawi says lake row with Tanzania to be resolved amicably

      Mpaka wanavyodai uko hivi
      Nikupateje likes this.
      "The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".

    17. #294
      WA-UKENYENGE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2011
      Location : Inside a Smart Grid
      Posts : 2,417
      Rep Power : 5038
      Likes Received
      782
      Likes Given
      1788

      Default Re: Malawi tupigeni haraka haraka tuna uchaguzi 2015: Tumegundua Janja

      Magamba yanaweza kila kitu! Hao Malawi wanashida na hela, ile chenji yatu ya rada, yale mabilioni yaliyoko uswizi yakitumika kufanya hizi strategies kwanini tusisahau mengine na kuaza kutetea nchi kwa pamoja huku yakijipanga!!
      "The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".

    18. #295
      King Kong III's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Enaboishu-Umenyeni
      Posts : 11,920
      Rep Power : 5062
      Likes Received
      3199
      Likes Given
      2653

      Default Re: Malawi tupigeni haraka haraka tuna uchaguzi 2015: Tumegundua Janja

      Tupigwe tu!

    19. #296
      Angel Msoffe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2011
      Posts : 6,266
      Rep Power : 1826
      Likes Received
      1397
      Likes Given
      0

      Default re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Imefika mahali rais wetu MWANAMUME anatishiwa na kupigwa mkwara na rais MWANAMKE,

    20. #297
      Lambardi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th February 2008
      Location : KITAANI ZAIDI
      Posts : 4,518
      Rep Power : 1795
      Likes Received
      654
      Likes Given
      0

      Default re: Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

      Hatuna uwezo wa kifedha kupeleka geshi kule!labda aombe msaada nje!

    21. #298
      Saint Ivuga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2008
      Posts : 20,705
      Rep Power : 10173
      Likes Received
      5667
      Likes Given
      12666

      Default Re: Malawi says lake row with Tanzania to be resolved amicably

      Quote By BAK
      Mhhhhh!

      Yunusu Ntila Says:

      Iwe Mganda Chiume, when the TZ minister was blasting you about their half of Lake Malawi you were just ndwiii ngati akukumeta nde ukuopa tsitsi ligwera mkamwa. Why did you not blast him back? Paja ambwenumbwenu mantha. Anakusankha unduna ndi kumbwambwana kumeneku ndani? Have you not seen that TZ defense force is ready to go to war? Ifenso takonzeka to defend Lake Malawi and abiti Ntila. Chichitike chichitike. Abiti Ntila, the first multiparty era president take Malawi on a brink of war with a neighbouring state. Zopusa basi.
      Bubu Atka Kusema tutafsirie ..
      BAK likes this.
      JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

    22. #299
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,687
      Rep Power : 1913
      Likes Received
      1583
      Likes Given
      676

      Default Re: Malawi says lake row with Tanzania to be resolved amicably

      Mkulu nae si kanali? Au alikuwa kanali chekacheka

    23. #300
      Lambardi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th February 2008
      Location : KITAANI ZAIDI
      Posts : 4,518
      Rep Power : 1795
      Likes Received
      654
      Likes Given
      0

      Default Re: Yazungumzwayo Malawi juu ya Ziwa...

      Kazi sana hilo,nasubiri muafaka maana kila nchi ina sababu ya kudai hilo ziwa!mgawanyo wa wadhungu na UN Resolution 1982!kazi ipo

    Page 15 of 18 FirstFirst ... 51314151617 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...