Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Dr. Mwakyembe unaheshimika lakini kwenye hili umeteleza vibaya

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 33 of 33
    1. #1
      kavulata's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd August 2012
      Posts : 83
      Rep Power : 359
      Likes Received
      33
      Likes Given
      0

      Default Dr. Mwakyembe unaheshimika lakini kwenye hili umeteleza vibaya

      Dr. Mwakyembe ni kati ya watu wachache nchini wanaoheshika nchini lakini kwa hili amejipunguzia maksi.

      Nilikusikia mwenyewe Waziri wa Usafirishaji bungeni ukisema kuanzia septemba madereva na abiria hakuna kuchimba dawa njiani. Hivi umefanya utafiti wa kutosha kuhusu hili? Sababu ulizotoa za kusitisha uchimbaji dawa sio sahihi kwa sababu hata kule kwenye vyoo mabasi yanakosimamaga kwa chakula bado watoto na watu wazima wanachanganyika wakati wa kujisaidia kitu ambacho sio maadili yetu. Hali kama hii pia inapatikana sehemu zenye mikusanyiko mingi kama kwenye viwanja vya mipira, sabasaba, n.k. tofauti inakuwa huku kuna vyoo vya wanawake na wanaume lakinini pia hakuna vyoo vya watoto na watu wazima wa jinsia tofauti.

      Lakini pia lazima ujuwe kuwa kutokana na sababu za kiafya ama hali ya hewa dereva na abiria wanaweza kushikwa na haja ndogo ama kubwa wakati wowote na popote. Hali hii ikimtokea dereva anapaswa kusimama achimbe dawa vinginevyo umakini wa kuendesha chombo cha usafiri utapungua na ajali zitaongezeka. Mfano, abiria mwenye ukonjwa wa kisukari huwa anahitaji kukojoa kila mara sawa na yule aliyepatwa na mchafuko wa tumbo anavyohitaji kwenda kuharisha kila mara. Pia watoto na mama wajawazito huwa wana vibofu vinavyojaa mkojo mapema hivyo kuhitaji kujisaidia mara kwa mara.

      Hivyo basi, ili amri yako ya kutochimba dawa iheshimike lazima yafuatayo yatimizwe kwanza:
      1. Vyoo vya njiani vijengwe kila baada ya umbali mfupi
      2. Wagonjwa, watoto na mama wajawazito wasisafiri kwenye mabasi
      3.Dereva mwenye kisukari asiendeshe gari la abiria, maana akichimba dawa zake njiani na abiria watashuka kuchimba za kwao
      4. Gari likiharibika njiani litasababisha abiria wachimbe dawa hapohapo, hivyo basi, vyanzo vya kuharibika magari njiani kama vile uingizwaji matairi feki nchini, rushwa za matrafiki njiani, kujaza abiria na mizigo kupita kiasi, injini za malori, n.k vishughulikiwe kwanza
      5. Uboreshwaji wa huduma za chakula njiani ili kuzuia abiria wasipate michafuko ya tumbo njiani
      6. Mabasi yawe na vyombo vya kujisaidia njia (urinal bottles and bed/bus pans) ama yawe na vyoo

      Vinginevyo shughulikia kwanza vyanzo vya ajari barabarani na majini, fufua usafiri wa treni, ongeza ndege badala ya kurukia mambo madogomadogo yasiyofanyiwa utafiti wa kina. tatizo la wananchi sio kuchimba dawa njiani bali.......
      Nsabhi and mukizahp2 like this.

    2. Miaka 50

    3. #21
      salosalo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th June 2012
      Location : Arusha
      Posts : 528
      Rep Power : 538
      Likes Received
      133
      Likes Given
      36

      Default Re: Dr. Mwakyembe unaheshimika lakini kwenye hili umeteleza vibaya

      Quote By kavulata
      Dr. Mwakyembe ni kati ya watu wachache nchini wanaoheshika nchini lakini kwa hili amejipunguzia maksi.

      Nilikusikia mwenyewe Waziri wa Usafirishaji bungeni ukisema kuanzia septemba madereva na abiria hakuna kuchimba dawa njiani. Hivi umefanya utafiti wa kutosha kuhusu hili? Sababu ulizotoa za kusitisha uchimbaji dawa sio sahihi kwa sababu hata kule kwenye vyoo mabasi yanakosimamaga kwa chakula bado watoto na watu wazima wanachanganyika wakati wa kujisaidia kitu ambacho sio maadili yetu. Hali kama hii pia inapatikana sehemu zenye mikusanyiko mingi kama kwenye viwanja vya mipira, sabasaba, n.k. tofauti inakuwa huku kuna vyoo vya wanawake na wanaume lakinini pia hakuna vyoo vya watoto na watu wazima wa jinsia tofauti........
      Umechambua vizuri sana hili jambo mpaka nimelipenda ila tu umejichanganya kidogo tu. Mwakyembe yuko sahihi sana. Kazi yake ni kuhakikisha anawasfirisha abiria na mizigo yao kwa usalam huku akiyatunza mazingira.

      Ila kumbuka kazi ya vyoo ni ya waziri wa afya, hivyo nadhani yeye ndiye anatakiwa apokee hiyochangamoto toka kwa waziri wa uchukuzi.

      Je huko kijijini kwenu waziri wa uchukuzi ndiye anayekuja kuhamasisha mpango wa vyoo kila kaya? kama si yeye basi huyo anayekuja ndiye anayetakiwa kufanya na huko barabarani

    4. #22
      Njowepo's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 26th February 2008
      Location : Santiago
      Posts : 7,634
      Rep Power : 22062
      Likes Received
      1009
      Likes Given
      803

      Default Re: Dr. Mwakyembe unaheshimika lakini kwenye hili umeteleza vibaya

      Ivi zama izi bado twadiscuss kuchimba dawa maporini?
      Nyerere aliwai sema wakati wenzetu wanatembea sisi inabidi tukimbie!

    5. #23
      Kiranga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Posts : 14,197
      Rep Power : 41585
      Likes Received
      6102
      Likes Given
      1068

      Default Re: Dr. Mwakyembe unaheshimika lakini kwenye hili umeteleza vibaya

      Kama ulimfikiria Dr. Mwakyembe kama mtu serious/ tofauti mimi nakushangaa wewe zaidi ya ninavyomshangaa Dr. Mwakyembe.
      Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.

    6. #24
      Njoka Ereguu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th April 2012
      Posts : 503
      Rep Power : 460
      Likes Received
      167
      Likes Given
      30

      Default Re: Dr. Mwakyembe unaheshimika lakini kwenye hili umeteleza vibaya

      Quote By kavulata
      Dr. Mwakyembe ni kati ya watu wachache nchini wanaoheshika nchini lakini kwa hili amejipunguzia maksi.

      Nilikusikia mwenyewe Waziri wa Usafirishaji bungeni ukisema kuanzia septemba madereva na abiria hakuna kuchimba dawa njiani. Hivi umefanya utafiti wa kutosha kuhusu hili? Sababu ulizotoa za kusitisha uchimbaji dawa sio sahihi kwa sababu hata kule kwenye vyoo mabasi yanakosimamaga kwa chakula bado watoto na watu wazima wanachanganyika wakati wa kujisaidia kitu ambacho sio maadili yetu. Hali kama hii pia inapatikana sehemu zenye mikusanyiko mingi kama kwenye viwanja vya mipira, sabasaba, n.k. tofauti inakuwa huku kuna vyoo vya wanawake na wanaume lakinini pia hakuna vyoo vya watoto na watu wazima wa jinsia tofauti........

      Nimesoma ujumbe wako mara kadhaa, nilichokibaini ni kuwa unaishi dunia ya ujima, inawezekana Mwakyembe amekosea kwa kauli yake, lakini sababu ulizotoa zinajastify pia unaufinyu wa uelewa wa kitu ulichotaka kuchangia. Niko moja ya nchi ambayo kama ni maendeleo na ustaarabu inaweza kuwa ya kwanza duniani, sikuelewa ulipoongelea huduma ya vyoo kwa wanawake/wanaume then ukasema viwepo vya watoto, branch za magawanyo wa vyoo ni wanaume na wanawake, sijawahi kuona watu wazima na watoto.

      Pili inaonekana kwa mtazamo wako suala la kuharisha/kisukari etc, nchi zilizoendelea miundombinu ya kukojoa/kuharisha haiko kila mahali imejengwa katika umbali maalum/fulani sasa unaposema kila baada ya muda fulani mtu anataka kujoa kuharisha kila mahali unatia shaka ku-defeat hoja Mhe. Mwakyembe. Nenda nchi zote zilizoendelea huduma kwenye at least kila kimita zaidi ya mia moja. Sasa unavyoelezea biashara ya kuharisha ovyo/kukojoa hovyo na mifano ya watoto nashindwa kukuelewa. Dharura inajulikana kuwa ni dharura na hali halisi ni vitu viwili tofauti.

      Cha msingi ili kuwa kusisitiza Mhe. Mwakyembe ahimize kujengwa miundombinu ya huduma za watu kujisaidia kwa kuzingatia international standard na siyo kulingana na watu wanavyojisikia kuharisha au kukojoa.

    7. #25
      man.d's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Posts : 8
      Rep Power : 358
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By kamandamakini
      Hii ni ajabu kabisa eti Mwakyembe analaumiwa kwa hilo,yani mnataka kuendelea kujisaidia porini, aibu sana kwa mleta mada, acheni ushamba wenu,

      Swala la kujadiliwa hapa ni kuongeza kasi ya kujenga vyoo na kuhimiza watu wajenge utamaduni wakujisaidia pale kwenye vituo wanapokuwa wanakula chakula,

      Kwa mfano iwekwe utaratibu kuwa kutoka Iringa mpaka dar gari litasimama labda Mara mbili kwa nusu saa na watu watapata fursa ya kujisaidia ,duniani Kote wanafanya hivyo.

      Ni watu wasiostarabuka wanajisaidia porini, tubadilike Jamari.
      haja haina time table!

    8. #26
      TEMILUGODA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2012
      Posts : 954
      Rep Power : 558
      Likes Received
      134
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By salosalo
      Miminikotofauti kabisa na wewe, Swala la kusimamasimama njia ili kumsaidia mgonjwa wa tumbo sio tatito la waziri wa uchukuzi. Hilo ni tatizo la wizara ya afya.

      Mgojwa kama huyu hakutakiwa kusafiri kabisa siku hiyo badala yake alitakiwa aelekee hospitali.. Na kama Uginjwa ulimuanza njiani basi alitakiwa apelekwe kituo cha afya kinachofuata tangu ameanza kuumwa.

      Pia kwa jinsi hii kazi kubwa inabidi ifanyike ya kuwaelimisha watu umuhimu wa uhai dhidi ya safari, je huyo mgonjwa angefia kwenye gari mgefanyaje?
      Pia nyie mnaopenda kulakula kila kinachouzwa njiani nawashauri muache. Jitahidini sana kula vitu vikavuvikavu sio kwa ajiri ya kushiba bali ili kutuliza njaa na kurudisha nguvu mwilini, vitu kama Snacks na juices au maji kdogo.
      Kulewa madaraka ni hatari,kuna condition control na uncontrolled condition,hivi ww na kiembe hamjui?

    9. #27
      kavulata's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd August 2012
      Posts : 83
      Rep Power : 359
      Likes Received
      33
      Likes Given
      0

      Default Re: Dr. Mwakyembe unaheshimika lakini kwenye hili umeteleza vibaya

      Wacha uongo, duniani kote mabasi ya safari ndevu huwa yana vyoo, mbona treni, ndege, meli zina vyoo ndani, kwani havisimami vituoni njiani?

      Nchi hii mawazo yanayotolewa na mwenye PhD na mwenye certificate hayatofautiani kwa mantiki

    10. #28
      flx109's Avatar
      Member Array
      Join Date : 14th April 2011
      Posts : 13
      Rep Power : 413
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Dr. Mwakyembe unaheshimika lakini kwenye hili umeteleza vibaya

      mtu mshenzi utoa kauli za kishenzi akifikili watu wote ni washenzi, kwa vile 2yeye ufikiri kishenzi. lol! hiyo co u ring wrong no jaribu baadaye weee mnyembeeee

    11. aye
      #29
      aye's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2010
      Posts : 406
      Rep Power : 519
      Likes Received
      41
      Likes Given
      14

      Default Re: Dr. Mwakyembe unaheshimika lakini kwenye hili umeteleza vibaya

      kwa hili hakuna atakayekubaliana nalo inabidi ajipange iyo sept aje na mkakati mpya

    12. #30
      Gang Chomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th February 2008
      Location : hell
      Posts : 5,041
      Rep Power : 1725
      Likes Received
      971
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By kamandamakini
      Hii ni ajabu kabisa eti Mwakyembe analaumiwa kwa hilo,yani mnataka kuendelea kujisaidia porini, aibu sana kwa mleta mada, acheni ushamba wenu,

      Swala la kujadiliwa hapa ni kuongeza kasi ya kujenga vyoo na kuhimiza watu wajenge utamaduni wakujisaidia pale kwenye vituo wanapokuwa wanakula chakula,

      Kwa mfano iwekwe utaratibu kuwa kutoka Iringa mpaka dar gari litasimama labda Mara mbili kwa nusu saa na watu watapata fursa ya kujisaidia ,duniani Kote wanafanya hivyo.

      Ni watu wasiostarabuka wanajisaidia porini, tubadilike Jamari.

      Isiokuwasha hujailamba.
      Mi nauhakika mpaka unaposti hiyo comment yako hapo hujawahi kuugua Tumbo ukiwa safarini na ndio maana unawaona kama vichaa wale woote wanaopinga maamuzi ya Mwakyembe.

      mara kwa mara nimekuwa nikiwaza kuwa watu wenye mitazamo tofauti kwenye threads kadhaa hapa JF huwa ni Mods wanaotaka tu kuchangamsha jukwaa.

      Lakini kwa yeyote timamu hawezi kuungana na Mwakyembe ktk hili.
      Nakukumbusha tu haja kubwa na ndogo hazisubiri Adhana au Alarm.
      Huja wakati wowote

    13. #31
      Gang Chomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th February 2008
      Location : hell
      Posts : 5,041
      Rep Power : 1725
      Likes Received
      971
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By BASHADA
      Duuh, kweli jamaa kakurupuka. Kwenye Richmond alifyatuka hivyo hivyo, kwani ile hoja yake utekelezaji uko wapi?
      Mimi nilisafiri siku moja, kumbe chakula nilichokula Pale ubungo kikaniletea mchafuko wa tumbo, jamaa yangu acha wewe tabu niliyopata. Huwa naona aibu lakini siku hiyo sikuwa na aibu kumwambia konda gari likasimamishwa kwa ajili yangu.

      Wanasiasa wetu wanakurupuka tuu.

      Mie nilimtoa thamani Mwakyembe baada ya kukurupuka kwa mbwembwe na ile ripoti yake ya Richmond kisha mwisho anatuambia kuna mambo ameyakalia kwenye ile ripoti na hatoyazungumzia.

      Basi tangu hapo nikagundua kuwa jamaa anatumia kichwa kubebea masikio.

    14. #32
      Seacliff's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st December 2010
      Location : Vancouver
      Posts : 85
      Rep Power : 447
      Likes Received
      47
      Likes Given
      19

      Default Re: Dr. Mwakyembe unaheshimika lakini kwenye hili umeteleza vibaya

      Quote By kamandamakini
      Hii ni ajabu kabisa eti Mwakyembe analaumiwa kwa hilo,yani mnataka kuendelea kujisaidia porini, aibu sana kwa mleta mada, acheni ushamba wenu,

      Swala la kujadiliwa hapa ni kuongeza kasi ya kujenga vyoo na kuhimiza watu wajenge utamaduni wakujisaidia pale kwenye vituo wanapokuwa wanakula chakula,

      Kwa mfano iwekwe utaratibu kuwa kutoka Iringa mpaka dar gari litasimama labda Mara mbili kwa nusu saa na watu watapata fursa ya kujisaidia ,duniani Kote wanafanya hivyo.

      Ni watu wasiostarabuka wanajisaidia porini, tubadilike Jamari.
      Asante sana kwa hii comment. Mimi nashangazwa sana kwa wale wanaomshambulia Waziri kwa kutaka kuleta ustaarabu kwenye mipango yetu. Swala siyo watu kunyimwa kujisaidia ila sisi tunatakiwa tumsukume huyu huyu Waziri atengeneze rest stops kwenye highway zetu ili wasafiri wasimame na wajisaidie inavyotakiwa. Hii issue ya kusimama porini ni kukosa ustaarabu. Kuna mtu ambaye ameshawauliza dada zetu wanajisikia safe namna gani kujisaidia porini? Msukume Waziri atujengee hizi sehemu za kusimama kwenye highway zetu ili wenye magari wawe forced kusimama kwenye hivi vituo watu wajisaidie. Wacheni mambo ya kutaka kuishi kama tuko kwenye karne ya kumi.

    15. #33
      Kidzude's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th July 2011
      Posts : 969
      Rep Power : 591
      Likes Received
      115
      Likes Given
      19

      Default Re: Dr. Mwakyembe unaheshimika lakini kwenye hili umeteleza vibaya

      Halafu kazungumzia kutupa taka ngumu ovyo njiani?. Toak Rchuga mpaka Karatu kuna vyoo, wamasai wanavitunza sasa kinashindikana nini njia nyingine.

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...