Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

    Report Post
    Page 1 of 3 123 LastLast
    Results 1 to 20 of 43
    1. #1
      wakuziba's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th June 2012
      Posts : 123
      Rep Power : 580
      Likes Received
      42
      Likes Given
      43

      Default Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

      Mh Lissu ni mmoja kati ya wabunge wanaochangia sana bungeni. anajituma sana na hili ni jambo zuri! tatizo alilonalo ni kuwa na papara ya kuchangia. ni vizuri akatulia na kutamka maneno yenye uhakika. jana alipokua anachangia hotuba ya uchukuzi, lissu alimlaumu waziri mwakyembe kwa kutotoa kauli ya pole kutokana na ajali ya meli znz. alimtaka aombe radhi na aeleze kwa nini ktk hotuba yake hakutaja ajali hiyo.

      alisimama mbunge wa ccm na kunukuu ukurasa ambao una maneno ya pole kutokana na meli ya znz. lissu alinywea na kuomba radhi. lissu licha ya kuwa mwanasheria ni mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani.

      Cheo hicho kinahitaji mtu makini anaetumia ubongo kwa umakini mkubwa. Mifano ya kuteleza kwa Lissu bungeni ni mingi. takriban kila anaposimama lazima ateleze. nawashauri chadema kumteua mnadhimu mwengine la sivyo hadhi ya chadema itazidi kushuka bungeni kila uchao


      wakatabahu: wakuziba
      mzee wa maneno ya ukweli unao choma nyoyo
      DEUS NSHANGE likes this.

    2. Miaka 50

    3. #2
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,394
      Rep Power : 10868
      Likes Received
      3773
      Likes Given
      426

      Default

      Quote By wakuziba
      mh lissu ni mmoja kati ya wabunge wanaochangia sana bungeni. anajituma sana na hili ni jambo zuri! tatizo alilonalo ni kuwa na papara ya kuchangia. ni vizuri akatulia na kutamka maneno yenye uhakika. jana alipokua anachangia hotuba ya uchukuzi, lissu alimlaumu waziri mwakyembe kwa kutotoa kauli ya pole kutokana na ajali ya meli znz. alimtaka aombe radhi na aeleze kwa nini ktk hotuba yake hakutaja ajali hiyo.

      alisimama mbunge wa ccm na kunukuu ukurasa ambao una maneno ya pole kutokana na meli ya znz. lissu alinywea na kuomba radhi. lissu licha ya kuwa mwanasheria ni mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani. Cheo hicho kinahitaji mtu makini anaetumia ubongo kwa umakini mkubwa. mifano ya kuteleza kwa lissu bungeni ni mingi. takriban kila anaposimama lazima ateleze. nawashauri chadema kumteua mnadhimu mwengine la sivyo hadhi ya chadema itazidi kushuka bungeni kila uchao


      wakatabahu: wakuziba
      mzee wa maneno ya ukweli unao choma nyoyo
      Atateuliwa Chemba usijali
      mpiganaji86 likes this.

    4. #3
      chama's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 6th August 2010
      Posts : 4,842
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1157
      Likes Given
      908

      Default Re: Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

      Lissu ni mtu makini pamoja na kuwa amezungukwa na kundi la walaji ndani ya Chadema; Lissu namkubali kama mwanasiasa anayetetea wanyonge. Sikumjua Lissu kwa kumsoma kwenye magazeti nina uhakika na ninachokisema.

      Chama
      Gongo la mboto DSM
      zululima likes this.

    5. #4
      Bobuk's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 2,056
      Rep Power : 920
      Likes Received
      829
      Likes Given
      0

      Default Re: Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

      Unaonaje kama watamteua William Lukuvi! Ni mtu makini kuliko TL
      mpiganaji86 likes this.

    6. #5
      POMPO's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 2,955
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1090
      Likes Given
      625

      Default Re: Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

      Pole zinatolewa ukurasa wa mwisho? wewe inakuingia akilini? waziri mwenye dhamana shame on you mwakyembe!

    7. Study Abroad

    8. #6
      MNYISANZU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2011
      Posts : 6,291
      Rep Power : 2015
      Likes Received
      583
      Likes Given
      76

      Default

      Ndo cha ajabu bunge zma ndo umekiona hicho?ni mpuuz huna hoja kwa hiyo unafurah kupiga makofi kwa mabwege wako::badilika mzee

    9. #7
      Lunyungu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th August 2006
      Location : Malampaka
      Posts : 8,002
      Rep Power : 2557
      Likes Received
      781
      Likes Given
      28

      Default Re: Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

      Watu wengine bwana akili zao mh zinawatosha wenyewe .Pole na pongezi huwa vitu vya kwanza .Now CCM nadhani ina bifu na CCM wenzao huko visiwani

    10. #8
      maandamano's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th March 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,052
      Rep Power : 626
      Likes Received
      354
      Likes Given
      915

      Default Re: Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

      kama binadamu sometimes anakosea au kutoona baadhi ya mambo mfano hilo,atleast hayupo kwenye list ya wabunge wanaotuhumiwa kula rtushwa....
      zululima likes this.
      Women are not allowed to attend school. You can be jailed for owning a television. A man can be jailed in Afghanistan if his beard is not long enough.George W.Bush,2001

    11. #9
      MILLIONS MOVEMENT's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd August 2012
      Posts : 109
      Rep Power : 363
      Likes Received
      31
      Likes Given
      13

      Default Re: Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

      huenda tatizo ni mitazamo, lakini jamaa ni mzuri kwa kusimamia hoja.

    12. #10
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,531
      Rep Power : 1262
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Re: Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

      atoe pole ukurasa wa kwanza ya nini wakati hili ni swala la wazanzibari halituhusu...huu uzembe ulitokea kwa sababu ya wao wazenji kutaka kila kitu wafanye wao badala ya serikali ya muungano kufanya.. sioni sababu ya yeye kutoa pole kwanza wala kujiuzulu..hili ni swala la nchi nyingine japokua tunasikitika kupoteza watanganyika wetu pamoja na wanachi wa mataifa mengine
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune


    13. #11
      Mkwe21's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 912
      Rep Power : 758
      Likes Received
      212
      Likes Given
      165

      Default Re: Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

      Ndugu yangu Hilo ni Jambo dogo amBALO halitasaidia Taifa!! Je umeona lina umuhimu kuwa Hapa JF? Shame on You!!

    14. #12
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,152
      Rep Power : 12555
      Likes Received
      5732
      Likes Given
      742

      Default Re: Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

      Lissu ni mtu wa papara sana kama suala la kutoa pole mbona Dr Slaa ajatoa pole.

    15. MKL
      #13
      MKL's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd March 2012
      Posts : 96
      Rep Power : 541
      Likes Received
      62
      Likes Given
      6

      Default Re: Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

      Quote By Ritz
      Lissu ni mtu wa papara sana kama suala la kutoa pole mbona Dr Slaa ajatoa pole.
      Pole alishatoa Mwenyekiti Mboe kwa niaba ya Chama inatosha kama ni kwa level ya siasa, unataka Slaa atoe pole kama yeye au kwa niaba ya chama....? lakini Slaa pia hayupo Mbungeni Mboe yumo mjengoni; hivi nani ni mkuwa kati ya Mboe na Slaa CDM...?
      zululima likes this.

    16. #14
      POMPO's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 2,955
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1090
      Likes Given
      625

      Default Re: Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

      Quote By Ritz
      Lissu ni mtu wa papara sana kama suala la kutoa pole mbona Dr Slaa ajatoa pole.
      ulishajua chadema ina wabunge bungeni wangapi?, usiwe mvivu wa kusoma taarifa, Chadema ilituma salaam za rambirambi mapema hata kabla ya magamba hamjajitokeza?
      zululima likes this.

    17. #15
      Iramba Junior's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 82
      Rep Power : 375
      Likes Received
      21
      Likes Given
      1

      Default Re: Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

      Quote By wakuziba
      Mh Lissu ni mmoja kati ya wabunge wanaochangia sana bungeni. anajituma sana na hili ni jambo zuri! tatizo alilonalo ni kuwa na papara ya kuchangia. ni vizuri akatulia na kutamka maneno yenye uhakika. jana alipokua anachangia hotuba ya uchukuzi, lissu alimlaumu waziri mwakyembe kwa kutotoa kauli ya pole kutokana na ajali ya meli znz. alimtaka aombe radhi na aeleze kwa nini ktk hotuba yake hakutaja ajali hiyo.

      alisimama mbunge wa ccm na kunukuu ukurasa ambao una maneno ya pole kutokana na meli ya znz. lissu alinywea na kuomba radhi. lissu licha ya kuwa mwanasheria ni mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani.

      Cheo hicho kinahitaji mtu makini anaetumia ubongo kwa umakini mkubwa. Mifano ya kuteleza kwa Lissu bungeni ni mingi. takriban kila anaposimama lazima ateleze. nawashauri chadema kumteua mnadhimu mwengine la sivyo hadhi ya chadema itazidi kushuka bungeni kila uchao


      wakatabahu: wakuziba
      mzee wa maneno ya ukweli unao choma nyoyo




      Ni kweli kabisa naungana na wewe pamoja na wote wenye mtazamo kama wako, labda tu kwa kuongezea kauli nyingine aliyokurupuka TL ni hii hapa .... Mh. Waziri mkuu, if you hv done your very best and failed, why dont you resign? .....
      Unalo hilo, mwaka huu lazima mfe

    18. #16
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,152
      Rep Power : 12555
      Likes Received
      5732
      Likes Given
      742

      Default Re: Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

      Lissu jana aliumbuka kwa kutosoma vifungu ya hotuba akajikuta ananyamazishwa na mbunge wa Ole, Kassim Mbarouk, akamwambia mbona kaishatoa pole pitia ukurasa wa 3 (6) katika hotuba yake.

    19. #17
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,152
      Rep Power : 12555
      Likes Received
      5732
      Likes Given
      742

      Default

      Quote By POMPO
      ulishajua chadema ina wabunge bungeni wangapi?, usiwe mvivu wa kusoma taarifa, Chadema ilituma salaam za rambirambi mapema hata kabla ya magamba hamjajitokeza?
      Wabunge wa Chadema wa kuchaguliwa ni 23 hao wengine wa kupewa mie siwatambui, sasa Lissu alikuwa anataka pole gani wakati Rais alishatoa.
      Last edited by Ritz; 3rd August 2012 at 11:52.

    20. #18
      HIMO ONE's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th September 2010
      Posts : 129
      Rep Power : 463
      Likes Received
      6
      Likes Given
      4

      Default Re: Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

      Quote By wakuziba
      mh lissu ni mmoja kati ya wabunge wanaochangia sana bungeni. Anajituma sana na hili ni jambo zuri! Tatizo alilonalo ni kuwa na papara ya kuchangia. Ni vizuri akatulia na kutamka maneno yenye uhakika. Jana alipokua anachangia hotuba ya uchukuzi, lissu alimlaumu waziri mwakyembe kwa kutotoa kauli ya pole kutokana na ajali ya meli znz. Alimtaka aombe radhi na aeleze kwa nini ktk hotuba yake hakutaja ajali hiyo.

      Alisimama mbunge wa ccm na kunukuu ukurasa ambao una maneno ya pole kutokana na meli ya znz. Lissu alinywea na kuomba radhi. Lissu licha ya kuwa mwanasheria ni mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani.

      Cheo hicho kinahitaji mtu makini anaetumia ubongo kwa umakini mkubwa. Mifano ya kuteleza kwa lissu bungeni ni mingi. Takriban kila anaposimama lazima ateleze. Nawashauri chadema kumteua mnadhimu mwengine la sivyo hadhi ya chadema itazidi kushuka bungeni kila uchao


      wakatabahu: Wakuziba
      mzee wa maneno ya ukweli unao choma nyoyo

      unawastashwa wewe
      “SKILFULL AND CONFIDENCE IS UNCONQUERED ARMY”

    21. #19
      HIMO ONE's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th September 2010
      Posts : 129
      Rep Power : 463
      Likes Received
      6
      Likes Given
      4

      Default Re: Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

      Quote By ritz
      lissu jana aliumbuka kwa kutosoma vifungu ya hotuba akajikuta ananyamazishwa na mbunge wa ole, kassim mbarouk, akamwambia mbona kaishatoa pole pitia ukurasa wa 3 (6) katika hotuba yake.
      kwa hiyo unatakaje mbona baba rits anaumbuka kila uchwao hamsemi au yeye hasemewi??
      “SKILFULL AND CONFIDENCE IS UNCONQUERED ARMY”

    22. #20
      AZIMIO's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 15th June 2011
      Posts : 162
      Rep Power : 433
      Likes Received
      39
      Likes Given
      82

      Default Re: Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu na CHADEMA

      Unategemea Kila kitu anachofanya Lisu Bungeni basi lazima kiwe bila makosa?
      Yule ni binadamu kama wewe,mbona yale mazuri aliyoyafanya bungeni hukuleta kwa kumsfia?
      Kigano likes this.

    23. FemaTV & Radio
    Page 1 of 3 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...