published by The Journal of Modern African Studies
samahani wadau nimeshindwa kusoma na kuwapa summary ya kilichoandikwa. Ila naamini wapo wadau hii article wangependa kuisoma
published by The Journal of Modern African Studies
samahani wadau nimeshindwa kusoma na kuwapa summary ya kilichoandikwa. Ila naamini wapo wadau hii article wangependa kuisoma
Hii issue ya Lake Nyasa ni ya kisiasa zaidi, la sivyo katikati ya ziwa ndiyo mpaka unaotambuliwa. Mwingereza hakuwa na mamlaka ya kubadilisha mpaka huu baada ya 1914, kwa sababu alikuwa ni mwangalizi tu chini ya Umoja wa mataifa, na chochote (kisheria) ambacho alifanya on behalf of Tanganyika ilibidi kikubaliwe na League of Nations/UN.
Keeping quiet is a war crime.
Hila huyu mama wa malawi anajiamini sana coz atapata support ya nje kutoka uk na usa nyinyi simmejifanya mmekataa ushoga malawi watasaidiwa coz wamepitisha ushoga ruksa na hili jeshi letu lililojaa watoto wa vigogo wanaoingia jeshi kwa vimemo kazi itakuwepo
Anyone who has never made a mistake has never tried anything new - Albert Einstein
No problem can be solved from the same level of consciousness that created it - Albert Einstein
Ilitawaliwa na ureno kwa kipindi kifupi baada ya Berlin conference kama sikosei. Mwingereza kwa kutumia claim ya missionaries za David Livingstone, na kampuni yake ya BSAC walipigana na mreno ambaye alikuwa akisaidiwa na Mwarabu na kuitwaa Nyasaland as a protectorate. Hii ni baada ya mreno kudai ardhi yote ya kutoka Msumbiji mpaka Angola (katikati kulikuwa na Rhodesia), pwani hadi pwani.
Keeping quiet is a war crime.
kimsingi ukikubali hoja ya Malawi wananchi wa Tanzania wanaotumia maji ya Ziwa Nyasa wanaingia katika mipaka ya Malawi.
Wameanzia tu hapo, kuna siku itakuja kuwa mlima kilimanjaro ni wa kenya, ziwa victoria ni la kenya na uganda,
bandari ni yafulani na vitu kama hivyo, viongozi dhaifu.
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
Kuchezea masuala ya mipaka ni sawa na kuchezea nyoka mwenye sumu. Nchi inahitaji kuwa straight forward, kusema kile inachokiamini na kukisimamia hata ikiwa kuingia vitani.
Tulisherehekea vipi miaka 50 ya uhuru wakati sehemu ya nchi yetu bado inatawaliwa na malawi?
Mimi huu mgogoro naona ulikuwa na manufaa sana kwa sisi watu wa Kyela. Ulisababisha tukajengewa barabara ya lami mapema!! Bila hivyo, huenda mpaka sasa tusingekuwa na barabara ya lami, au ingechelewa sana kama ile ya Makambaku-Songea.
Huu mgogoro mpya huenda ukawa na manufaa pia
Ni maoni yake yake hatujui anafanya kwa ajili ya nani!
kuna hiyo Thesis ya mtu pia imeangalia mgogoro huu
Follow Us Here