“The human brain is a wonderful thing. It starts working the moment you are born, and never stops until you stand up to speak in public.”
Huwa hazisaidiii hizi.
Simple life is healthier than egoism.
wanataka kula pesa ya serikali tu hao na hakuna lolote
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
Tushazichoka sie, tume gani hata majibu hazina?
Waliopo hatuwataki, na wanaotaka tuwape hatuwaamini...........Mrisho Mpoto.
Hakuna jipya kamati ngapi zimeundwa na hakuna lolote linalotusaidia sisi wananchi?
Changudoa mwenye wivu a.k.a Jambazi lenye huruma
Nao wamepewa hadidu za rejea? au za Rejao?
nchi hii tume kibao zimeundwa hakuna majibu wala cha maana zaidi ya kuongeza mzigo kwa taifa
Be who you are and say what you feel because those who mind don't matter and those who matter don't mind - "Dr. Sues"
Mkuu,
Sasa mbona huleti taarifa kwa undani badala yake umeweka picha ya Lissu.Yale yale ya watu kudaiwa hati za Muungano wanakataa na badala yake wanaleta picha za nyerere na Karume.Tusiwe dhaifu kama serikali ya CCM tena.
Wametuonyesha Jeuri ya ukaburu,tuwaonyeshe jeuri ya Umkhontho we sizwe kupitia Red Brigade.Tukiwaonyesha woga wetu, itakua silaha imara zaidi kwao kutumaliza-Ben Saanane
hizi kamati toka zianze kuundwa zina faida gani? zaidi ya kula posho tu? upuuzi mtupu...........
"Behind every great fortune there is a crime."- Honore de Balzac (1799-1850)
Hata kama wakileta majibu watakuambia tukiisoma yote itayumbisha serikali ie Richmond
Inaundwa na magamba watupu..hakuna jipya.
Allowance ni 4Mil per day msichekelee tu ni kiziba mdomo na hakuna kitakachofanyika. Watakumbushana tu "Unakumbuka ule mzigo niliokutumia mwezi wa 4? Nusu ilikua mgao wa hili jambo unaloniulizia".......
Taarifa: Hakuna ufa wa RUSHWA! Tanzania kama kahaba, haina msimamo hata kidogo.
"Happiness is what you think, what you say, and what you do are in harmony"
Hii ni kwa hisani ya twitter account ya Mh. Zitto
Zitto Zuberi Kabwe 1h Speaker has just announced a probe team to investigate the corruption allegations against members of Parliament. Credible Team Members....
Zitto Zuberi Kabwe 1h
Probe team to be headed by Brig. Gen Ngwilizi, Chiligati, Arfi, Blandes and Bi. Riziki. 3 CCM, 1 CDM and 1 CUF.
“The human brain is a wonderful thing. It starts working the moment you are born, and never stops until you stand up to speak in public.”
Lisu ndiye Mwenyekiti?
Hizi kamati hazina tija kwetu, haziwezi kuleta mafanikio, zina drain financial resources za mtz wa kawaida!!!!!!
The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders
Huu ni ufinyu wa mawazo sana. Tunaunda tume kuchunguza tukio badala ya tume kuchunguza weakness ya mfumo (chanzo) unaosabibisha mazingira ya matukio kama haya. Ndo maana kila mara zinaundwa tume ili wa-tz tuone kuwa hatua zimechukuliwa, tukishasahau hata ripoti hatutaijua wa kuihoji, then linatokea tukio jingine inaundwa tume tena. Ovyo kabisa. Isije ikatokea wajumbe wa hii tume nao wakapokea rushwa ili kupotosha ukweli?
Follow Us Here