Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

    Report Post
    Page 8 of 9 FirstFirst ... 6789 LastLast
    Results 141 to 160 of 162
    1. #1
      TUNTEMEKE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th June 2009
      Location : Mombasa
      Posts : 4,504
      Rep Power : 11341
      Likes Received
      324
      Likes Given
      236

      Default Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

      Nimeshawishika kuandika uzi huu kumfananisha ndugu yangu kabwe zuberi zitto na maporomoko ya nile ambayo maji yake husafiri kwa nguvu ya ajabu sana.
      katika vipindi tofauti tofauti na kwa sababu tofauti tofauti, zitto amekuwa akishambuliwa na maadui zake hasa kutokana na misimamo yake, kwa kipindi kirefu watu wengi walishawishika kuamini kuwa uzalendo wa zitto umetoweka.

      kadri siku zinavyoenda na kadri mtiririko wa matukio unavyoonyesha ni dhahiri nyota ya kijana huyu haiwezekani kuzimwa kwa majungu kama ilivyotakiwa iwe. mtiririko wamatukio unamfanya zitto aonekane kuwa ni shujaa na mzalendo wa kweli katika taifa hili.

      pamoja na kuwa anasimama kidete bungeni kuwatetea masikini na walala hoi wenzetu lakini amekuwa akiyafanya mengi zaidi na zaidi. leo nitataja machache tu.

      1. ni zitto ndiye aliyekuwa mbunge wa kwanza Tanzania tangu mwaka 2000 kupeleka hoja binafsi bungeni ambapo alipeleka hoja ya BUZWAGI ILIYOMLETEA MISUKISUKO

      2. ni zitto ndiye mbunge wa kwanza tanzania tangu kuanzishwa kwa dunia kusimamishwa kushiriki bunge kwa madai ya kusema uwongo bungeni kisa kufichua siri ya waziri wa nishati na madini kwenda kusaini mkataba nje ya nchi kipindi ambacho rais ametangazab marekebisho ya sheria za madini.

      3. ni zitto huyu huyu aliyelishauri taifa kuinunua mitambo ya dowans ili kunusuru nchi isiingie kwenye mgao wa umeme, wakati huo mitambo hiyo ilikuwa ikiuzwa kwa dola elf 40 tu. lakini kwa unafiki wa wanasiasa wetu na wanafiki wachache walishirikiana kuupotosha umma na kusema zitto amehongwa. kitu cha kusikitisha miaka mitatu baadae mitambo ile ile sasa imeuzwa kwa dola mil120 na wanafiki wote wameufyata hakuna tena mzalendo hapo. kwenye hili zitto leo ni shujaa. na mitambo imebadilishwa jina inaitwa symbions na inatuuzia umeme kila kukicha na serikali imeshindwa kesi mahakamani na inatakiwa kuwalipa dowans zaidi ya dola mil50

      4.ni zitto ndiye aliyeongeza ushawishi wa kuwavutia vijana wengi hapa nchini washiriki kikamilifu siasa na kujiona kuwa nao wanaweza na mpaka leo wamepatikana wabunge wengi wa chadema ambao ni vijana. wabunge kama wenje, silinde, highness na sugu ni mfano wa wabunge walioshinda kati ya vijana wengi waliogombea.

      5. ni zitto pekee ndiye kiongozi wa kitaifa wa chadema aliyezunguka sehemu kubwa ya nchi kipindi cha uchaguzi mkuu kwenda kuwanadi wagombea ubunge wa majimbo mbali mbali-ukiondoa slaa aliyekuwa mgombea urais. mbowe yeye alijifungia hai na maeneo machache ya mkoa wa kilimanjaro.

      6. ni zitto ndiye aliyeasisi operesheni ya wabunge kukataa kupokea posho ya kushiriki vikao bungeni ambapo amekutana na vipingamizi vingi na upinzani mkali kutoka kwa wabunge wa upinzani na ccm.

      7. ni zitto pekee ambaye ndio mbunge peke yake asiyepokea posho za vikao hapa tanzania kati ya wabunge wote wanaojidai leo hii ni wazalendo.

      8. ni zitto aliyeasisi na kulisimamia sekeseke la uwajibikaji la kukusanya sahihi 70 za kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu na kumlazimu rais avunje baraza la mawaziri.

      9. ni zitto aliyewaunganisha wasanii wa bongo fleva na injili kuvunja mikataba yao na kampuni za simu ili waongezewe malipo kutoka 7% ya sasa wanayolipwa.

      10. ni zitto pekee aliyetangaza hadharani kuwa anataka kuwa rais wa taifa hili na kwamba uwezo wa kufanya hivyo anao, uzalendon wa kufanya hivyo anao na uadilifu wa kufanya hivyo anao. zitto ndio mwanasiasa pekee ambaye hafanyi siri dhamira yake ya kuutaka urais, na wala hasubiri ajitokeze kwa kushtukiza hapo baadae, lakini pia inaonyesha haitaji mfumo wa kizamani wa kubembeleza uombwe ili kugombea urais. kwa hili nina hakika amejiongezea maadui wengi ndani ya chama chake na nje ya chama chake.

      kwa hayo niliyoyataja na yawezekana mengine mengi nimeyasahau. kuna kila sababu ya huyu jamaa kuundiwa mazengwe mbalimbali ili kuondoa credibility yake.

      imefahamika pia wapinzani wake wa ndani ya chama chake wameanzisha kikundi maalumu walichokipa jina na OPERESHENI CHAFUA ZITTO..

      kwa hayo machache nawatakia mjadala mwema wakuu.
      narudia tena:- zitto ni maporomoko ya nile hayazuiliki kwa kifusi.

    2. #141
      Kiganyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th April 2012
      Posts : 1,162
      Rep Power : 987
      Likes Received
      709
      Likes Given
      400

      Default Re: Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

      Mwambieni aache kula pesa za Mkono!!

      Ulizeni uhusiano wa Prof. Muhongo na Mkono, toka preriminary report ya kujenga chuo kikuu cha Sayansi na arrogance za Nimrod...

      Akiendelea kula hela za Mkono na Mafisadi wa Magamba na kurudisha tuhuma kwenye Chama Chetu atajuta...

      Huyohuyo ndio alikula hela na Mkono akapita bila kupingwa Musoma rural...

      Aache unafiki na dharau kwa watu walomuweka kwenye ramani ya siasa... anawafahamu!
      Sikonge likes this.

    3. #142
      Shardcole's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th January 2012
      Posts : 4,825
      Rep Power : 1375
      Likes Received
      1095
      Likes Given
      4

      Default

      Quote By TUNTEMEKE View Post
      Hakunaga kama zitto zuberi kabwe
      mkuu hivi ww huwa ni chama gani? Alafu kuna post nyingi huko nyuma ulikuwa ukizotoa dhidi ya viongozi wakuu wa CDM especially Dr.slaa, sasa mpaka leo nashindwa kuelewa kuwa ww ni chama gani maana unaonekana ni mtu wa ndani kabisa ktk CDM system lakini unatumiaga hiyo oportunute kukichafua chama na viongozi wake, pia kuna watu pia wa ndani kwenye chama huwa wanadai kuwa ww ni ERASTO TUMBO yule alierithiwa na Jj Mnyika kwenye ukurugenz wa habar wa CDM.

      Note: kweli Zitto Kabwe ni jembe hata mimi namkubali sana lakini si zaidi navyomkubali Dr.Slaa.

    4. BBJ is offline
      BBJ
      #143
      BBJ's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 2nd September 2011
      Posts : 541
      Rep Power : 0
      Likes Received
      74
      Likes Given
      12

      Default Re: Ukweli na uwazi chadema aliyemsafi anyoshe kidole juu__zitto funga mlango

      Hoja za kitoto hizo.

    5. #144
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 7,281
      Rep Power : 0
      Likes Received
      239
      Likes Given
      1

      Default Re: Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

      ndio siasa hiyo

    6. #145
      Nguruvi3's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2010
      Location : Kidabashi-Dongobeshi
      Posts : 3,600
      Rep Power : 2924
      Likes Received
      5001
      Likes Given
      3074

      Default Re: Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

      Nina uhakika kuna tatizo kubwa sana ndani ya CDM. Huyu Tuntemeke ni 'insider' na anajaribu sana kuleta mtafaraku.
      Hebu soma point namba 5 kwenye maelezo yake,utaona ni dhahiri hakuwa na nia ya kutetea historia ya Zitto bali kuwananga viongozi wenzake hasa kwa suala la kinyang'anyiro cha kubeba bendera ya Chama.

      Sina tatizo na yeye kumtetea Zitto, lakini Tuntemeke aelewe kuwa njia anayotumia au anayotumika kisiasa si nzuri, kichama au kwa Zitto.

      Mathalani, hajaueleza umma kuwa ni Zitto pekee aliyekemea dili chafu za Barrick, na ni ZZK aliyechukua Milioni 10 za Barrick kwa ajili ya jimbo lake.

      Fikiria pia kuwa ni ZZK aliyekubali kuundwa kwa kamati feki ya Boman hata pale chama chake na wananchi hawakuwa wameridhia. Hatujui maudhui ya matokeo ya kamati hiyo hadi leo na ni wazi kuwa aliongozwa na utashi wa masilahi binafsi kuliko ya umma.

      Sasa maswali kama hayo yanamchafua ZZK kinyume na matarajio ya Tuntemeke. Ikiwekwa taarifa ya kile alichokifanya kinyume, the risk outweigh the benefit. In other words, at this time when ZZK is on spot, any attempt to clean him through dubious means will have a serious counter effects.

      Kama unataka kumjenga ZZK hilo halina tatizo, tatizo ni kuwa sijui kama unazingatia mikakati ya kisiasa.
      Huwa nalisema hili jambo kila siku, siasa si mdomo tu bali pia ni jinsi gani na wakati gani unafanya nini. Timing!

      The best therapy is for the ZZK and 'his team' to remain calm and composed at least for now.

    7. #146
      Meshe's Avatar
      Member Array
      Join Date : 14th November 2011
      Posts : 31
      Rep Power : 390
      Likes Received
      6
      Likes Given
      1

      Default Re: Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

      Tuntemeke!

      Inawezekana una hoja. Lakini unazi unaoutumia kuiweka hapa uko nadilute hija yako. Sijui una nia ya kumsaidia Zito au kuivuruga chadema.

      au na wewe ndio wale wale wakiona kitumbua kizuri wanaweka mchanga.

      Nadhani pia ugeni wako hapa JF unakusumbua pia.

      Cool down hapa hatutumwi, tunajituma

    8. #147
      Consultant's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th June 2008
      Location : N/A
      Posts : 1,349
      Rep Power : 831
      Likes Received
      107
      Likes Given
      69

      Default Re: Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

      Quote By TUNTEMEKE View Post
      The next president zitto zuberi kabwe
      Ulikuwa umeanza vizuri na mada yako ila sasa huku unokwenda siko . Badala ya hoja, sasa imegeuka kuwa ushabiki na nina mashaka sana na dhamira ya hoja yako ya kwanza
      It's true that money cannot buy happiness, but I would rather cry in Mercedez than on a Motorcycle

    9. #148
      Lawrence Luanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 620
      Rep Power : 507
      Likes Received
      56
      Likes Given
      0

      Default Re: Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

      Quote By The Boss View Post
      Hakuna anae bisha kuwa Zitto
      ana karama au kipaji au uwezo wa kisiasa ambao
      ni above average ...

      tatizo ni honesty.....

      is he honest enough?
      can he be trusted?
      mmmhhh hapo pana neno..........

    10. #149
      Kituko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th January 2009
      Posts : 3,731
      Rep Power : 1295
      Likes Received
      512
      Likes Given
      178

      Default Re: Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

      Mkuu TUNTEMEKE haya ni maneno yako " I trust him, he is my next President, No doubt"........................ .............................. .................... napata shida kidogo na haya maneno yako....watu wengi wanakupinga kutokana na misimamo yako ya kumponda Dr Slaa pamoja na uongozi wa Chadema kwa ujumla mimi nilikuwa Neutral,...................... ..................... lakini sasa naanza kukutilia shaka katika hili...............katika moja ya Thread zako za kumponda Dr Slaa kuna mchangiaji akaandika "Chadema amebakia ZItto tu" na wewe katika kulijibu hilo ukaandika wote ni "walewale tu na ukaahidi kuja na uchafu wa Zitto" .............................. .............................. ........................ sasa leo napopima hayo maneno kuwa Zitto ndio raisi wako mtarajiwa nashindwa kabisa sijuhi nikuweke kundi gani (Muhongo, Mnafiki, Mchonganishi?)

    11. #150
      Lawrence Luanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 620
      Rep Power : 507
      Likes Received
      56
      Likes Given
      0

      Default Re: Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

      Quote By Nguruvi3 View Post
      Nina uhakika kuna tatizo kubwa sana ndani ya CDM. Huyu Tuntemeke ni 'insider' na anajaribu sana kuleta mtafaraku.
      Hebu soma point namba 5 kwenye maelezo yake,utaona ni dhahiri hakuwa na nia ya kutetea historia ya Zitto bali kuwananga viongozi wenzake hasa kwa suala la kinyang'anyiro cha kubeba bendera ya Chama......

      Ni kweli ndugu umenena yaliyo ya ukweli na ku cover vingi nlivyotaka kuandika.

    12. #151
      Nsabhi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd February 2011
      Posts : 669
      Rep Power : 555
      Likes Received
      75
      Likes Given
      135

      Default Re: Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

      Wewe unatumiwa na Zito. Tuambieni kwa nini akiitisha mkutano na Waandishi wa habari hulazimika kuwalipa elfu hamsini au zaidi ni za nini? Pia Zito amekataa posho kwa sababu ameshiba. Jiulizeni ana makampuni mangapi? Hela za kufungua hayo makampuni amezipata wapi? Je huo utajiri mkubwa alionao kwa sasa kaupata wapi? Msikimbilie kumsifia bila ya kujiuliza maswali haya!
      Quote By TUNTEMEKE View Post
      i trust him
      he is my next president. No doubt

    13. #152
      TUNTEMEKE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th June 2009
      Location : Mombasa
      Posts : 4,504
      Rep Power : 11341
      Likes Received
      324
      Likes Given
      236

      Default Re: Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

      Quote By TUNTEMEKE View Post
      Nimeshawishika kuandika uzi huu kumfananisha ndugu yangu kabwe zuberi zitto na maporomoko ya nile ambayo maji yake husafiri kwa nguvu ya ajabu sana.
      katika vipindi tofauti tofauti na kwa sababu tofauti tofauti, zitto amekuwa akishambuliwa na maadui zake hasa kutokana na misimamo yake, kwa kipindi kirefu watu wengi walishawishika kuamini kuwa uzalendo wa zitto umetoweka.

      kadri siku zinavyoenda na kadri mtiririko wa matukio unavyoonyesha ni dhahiri nyota ya kijana huyu haiwezekani kuzimwa kwa majungu kama ilivyotakiwa iwe. mtiririko wamatukio unamfanya zitto aonekane kuwa ni shujaa na mzalendo wa kweli katika taifa hili.

      pamoja na kuwa anasimama kidete bungeni kuwatetea masikini na walala hoi wenzetu lakini amekuwa akiyafanya mengi zaidi na zaidi. leo nitataja machache tu.

      1. ni zitto ndiye aliyekuwa mbunge wa kwanza Tanzania tangu mwaka 2000 kupeleka hoja binafsi bungeni ambapo alipeleka hoja ya BUZWAGI ILIYOMLETEA MISUKISUKO

      2. ni zitto ndiye mbunge wa kwanza tanzania tangu kuanzishwa kwa dunia kusimamishwa kushiriki bunge kwa madai ya kusema uwongo bungeni kisa kufichua siri ya waziri wa nishati na madini kwenda kusaini mkataba nje ya nchi kipindi ambacho rais ametangazab marekebisho ya sheria za madini.

      3. ni zitto huyu huyu aliyelishauri taifa kuinunua mitambo ya dowans ili kunusuru nchi isiingie kwenye mgao wa umeme, wakati huo mitambo hiyo ilikuwa ikiuzwa kwa dola elf 40 tu. lakini kwa unafiki wa wanasiasa wetu na wanafiki wachache walishirikiana kuupotosha umma na kusema zitto amehongwa. kitu cha kusikitisha miaka mitatu baadae mitambo ile ile sasa imeuzwa kwa dola mil120 na wanafiki wote wameufyata hakuna tena mzalendo hapo. kwenye hili zitto leo ni shujaa. na mitambo imebadilishwa jina inaitwa symbions na inatuuzia umeme kila kukicha na serikali imeshindwa kesi mahakamani na inatakiwa kuwalipa dowans zaidi ya dola mil50

      4.ni zitto ndiye aliyeongeza ushawishi wa kuwavutia vijana wengi hapa nchini washiriki kikamilifu siasa na kujiona kuwa nao wanaweza na mpaka leo wamepatikana wabunge wengi wa chadema ambao ni vijana. wabunge kama wenje, silinde, highness na sugu ni mfano wa wabunge walioshinda kati ya vijana wengi waliogombea.

      5. ni zitto pekee ndiye kiongozi wa kitaifa wa chadema aliyezunguka sehemu kubwa ya nchi kipindi cha uchaguzi mkuu kwenda kuwanadi wagombea ubunge wa majimbo mbali mbali-ukiondoa slaa aliyekuwa mgombea urais. mbowe yeye alijifungia hai na maeneo machache ya mkoa wa kilimanjaro.

      6. ni zitto ndiye aliyeasisi operesheni ya wabunge kukataa kupokea posho ya kushiriki vikao bungeni ambapo amekutana na vipingamizi vingi na upinzani mkali kutoka kwa wabunge wa upinzani na ccm.

      7. ni zitto pekee ambaye ndio mbunge peke yake asiyepokea posho za vikao hapa tanzania kati ya wabunge wote wanaojidai leo hii ni wazalendo.

      8. ni zitto aliyeasisi na kulisimamia sekeseke la uwajibikaji la kukusanya sahihi 70 za kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu na kumlazimu rais avunje baraza la mawaziri.

      9. ni zitto aliyewaunganisha wasanii wa bongo fleva na injili kuvunja mikataba yao na kampuni za simu ili waongezewe malipo kutoka 7% ya sasa wanayolipwa.

      10. ni zitto pekee aliyetangaza hadharani kuwa anataka kuwa rais wa taifa hili na kwamba uwezo wa kufanya hivyo anao, uzalendon wa kufanya hivyo anao na uadilifu wa kufanya hivyo anao. zitto ndio mwanasiasa pekee ambaye hafanyi siri dhamira yake ya kuutaka urais, na wala hasubiri ajitokeze kwa kushtukiza hapo baadae, lakini pia inaonyesha haitaji mfumo wa kizamani wa kubembeleza uombwe ili kugombea urais. kwa hili nina hakika amejiongezea maadui wengi ndani ya chama chake na nje ya chama chake.

      kwa hayo niliyoyataja na yawezekana mengine mengi nimeyasahau. kuna kila sababu ya huyu jamaa kuundiwa mazengwe mbalimbali ili kuondoa credibility yake.

      imefahamika pia wapinzani wake wa ndani ya chama chake wameanzisha kikundi maalumu walichokipa jina na OPERESHENI CHAFUA ZITTO..

      kwa hayo machache nawatakia mjadala mwema wakuu.
      narudia tena:- zitto ni maporomoko ya nile hayazuiliki kwa kifusi.
      tuntemeke amerudi?

    14. #153
      DALLAI LAMA's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 21st February 2012
      Posts : 3,122
      Rep Power : 0
      Likes Received
      741
      Likes Given
      0

      Default Re: Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

      Kumbe ni mbabaishaji TUNTEMEKE a.k.a ZK

    15. #154
      Al Zagawi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th March 2009
      Location : Tabora
      Posts : 837
      Rep Power : 690
      Likes Received
      161
      Likes Given
      54

      Default Re: Ukweli na uwazi chadema aliyemsafi anyoshe kidole juu__zitto funga mlango

      Quote By JIULIZE KWANZA View Post
      Mwenye mada unapewa alowernce sh ngapi kusafisha kaniki? Au unapigaga kishoka kwenye hama? Ohh sorry au umeahidiwa kuwa fist lady wetu 2015?
      na wewe umepewa sh ngapi kumfananisha Zitto na kaniki....na ni nani hasa aliyekupa magamba au magwanda feki????
      ...........Uwanja wa siasa katika nchi karibu zote za Kiafrika, ni uwanja uliotekwa na majambazi ambao wanafanya wanachotaka, vile wanavyotaka..........Jenerali Ulimwengu, Raia Mwema Namba 278.

    16. #155
      Froida's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2009
      Posts : 3,854
      Rep Power : 1343
      Likes Received
      758
      Likes Given
      153

      Default Re: Ukweli na uwazi chadema aliyemsafi anyoshe kidole juu__zitto funga mlango

      Quote By Al Zagawi View Post
      na wewe umepewa sh ngapi kumfananisha Zitto na kaniki....na ni nani hasa aliyekupa magamba au magwanda feki????
      Zitto ni Kanika tena matambala kumbe Tumtemeke aka Magindu aka Zitto unafanya biashara ya kitoto hii thread mwanzo ilianzishwa na Magindu umeedit kila neno kwenye chanzo cha uzi huu ili kusuit maneno ya wachangiaji ,kumbe ni kweli ZZK ni kazi yako ya kujiandikia na kujijibu mwenyewe shame shame kwa hiyo umebadilisha title na kuiweka Tuntemeke kwa sababu unaamini wewe ni kijogoo your a deaf stupid

    17. #156
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,798
      Rep Power : 19852
      Likes Received
      4411
      Likes Given
      1744

      Default

      Hellow mr Magindu?

      Quote By TUNTEMEKE View Post
      Nimeshawishika kuandika uzi huu kumfananisha ndugu yangu kabwe zuberi zitto na maporomoko ya nile ambayo maji yake husafiri kwa nguvu ya ajabu sana.
      katika vipindi tofauti tofauti na kwa sababu tofauti tofauti, zitto amekuwa akishambuliwa na maadui zake hasa kutokana na misimamo yake, kwa kipindi kirefu watu wengi walishawishika kuamini kuwa uzalendo wa zitto umetoweka.

      kadri siku zinavyoenda na kadri mtiririko wa matukio unavyoonyesha ni dhahiri nyota ya kijana huyu haiwezekani kuzimwa kwa majungu kama ilivyotakiwa iwe. mtiririko wamatukio unamfanya zitto aonekane kuwa ni shujaa na mzalendo wa kweli katika taifa hili.

      pamoja na kuwa anasimama kidete bungeni kuwatetea masikini na walala hoi wenzetu lakini amekuwa akiyafanya mengi zaidi na zaidi. leo nitataja machache tu.

      1. ni zitto ndiye aliyekuwa mbunge wa kwanza Tanzania tangu mwaka 2000 kupeleka hoja binafsi bungeni ambapo alipeleka hoja ya BUZWAGI ILIYOMLETEA MISUKISUKO

      2. ni zitto ndiye mbunge wa kwanza tanzania tangu kuanzishwa kwa dunia kusimamishwa kushiriki bunge kwa madai ya kusema uwongo bungeni kisa kufichua siri ya waziri wa nishati na madini kwenda kusaini mkataba nje ya nchi kipindi ambacho rais ametangazab marekebisho ya sheria za madini.

      3. ni zitto huyu huyu aliyelishauri taifa kuinunua mitambo ya dowans ili kunusuru nchi isiingie kwenye mgao wa umeme, wakati huo mitambo hiyo ilikuwa ikiuzwa kwa dola elf 40 tu. lakini kwa unafiki wa wanasiasa wetu na wanafiki wachache walishirikiana kuupotosha umma na kusema zitto amehongwa. kitu cha kusikitisha miaka mitatu baadae mitambo ile ile sasa imeuzwa kwa dola mil120 na wanafiki wote wameufyata hakuna tena mzalendo hapo. kwenye hili zitto leo ni shujaa. na mitambo imebadilishwa jina inaitwa symbions na inatuuzia umeme kila kukicha na serikali imeshindwa kesi mahakamani na inatakiwa kuwalipa dowans zaidi ya dola mil50

      4.ni zitto ndiye aliyeongeza ushawishi wa kuwavutia vijana wengi hapa nchini washiriki kikamilifu siasa na kujiona kuwa nao wanaweza na mpaka leo wamepatikana wabunge wengi wa chadema ambao ni vijana. wabunge kama wenje, silinde, highness na sugu ni mfano wa wabunge walioshinda kati ya vijana wengi waliogombea.

      5. ni zitto pekee ndiye kiongozi wa kitaifa wa chadema aliyezunguka sehemu kubwa ya nchi kipindi cha uchaguzi mkuu kwenda kuwanadi wagombea ubunge wa majimbo mbali mbali-ukiondoa slaa aliyekuwa mgombea urais. mbowe yeye alijifungia hai na maeneo machache ya mkoa wa kilimanjaro.

      6. ni zitto ndiye aliyeasisi operesheni ya wabunge kukataa kupokea posho ya kushiriki vikao bungeni ambapo amekutana na vipingamizi vingi na upinzani mkali kutoka kwa wabunge wa upinzani na ccm.

      7. ni zitto pekee ambaye ndio mbunge peke yake asiyepokea posho za vikao hapa tanzania kati ya wabunge wote wanaojidai leo hii ni wazalendo.

      8. ni zitto aliyeasisi na kulisimamia sekeseke la uwajibikaji la kukusanya sahihi 70 za kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu na kumlazimu rais avunje baraza la mawaziri.

      9. ni zitto aliyewaunganisha wasanii wa bongo fleva na injili kuvunja mikataba yao na kampuni za simu ili waongezewe malipo kutoka 7% ya sasa wanayolipwa.

      10. ni zitto pekee aliyetangaza hadharani kuwa anataka kuwa rais wa taifa hili na kwamba uwezo wa kufanya hivyo anao, uzalendon wa kufanya hivyo anao na uadilifu wa kufanya hivyo anao. zitto ndio mwanasiasa pekee ambaye hafanyi siri dhamira yake ya kuutaka urais, na wala hasubiri ajitokeze kwa kushtukiza hapo baadae, lakini pia inaonyesha haitaji mfumo wa kizamani wa kubembeleza uombwe ili kugombea urais. kwa hili nina hakika amejiongezea maadui wengi ndani ya chama chake na nje ya chama chake.

      kwa hayo niliyoyataja na yawezekana mengine mengi nimeyasahau. kuna kila sababu ya huyu jamaa kuundiwa mazengwe mbalimbali ili kuondoa credibility yake.

      imefahamika pia wapinzani wake wa ndani ya chama chake wameanzisha kikundi maalumu walichokipa jina na OPERESHENI CHAFUA ZITTO..

      kwa hayo machache nawatakia mjadala mwema wakuu.
      narudia tena:- zitto ni maporomoko ya nile hayazuiliki kwa kifusi.

    18. SG8 is online now
      SG8
      #157
      SG8's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th December 2009
      Location : DSM
      Posts : 2,586
      Rep Power : 4187
      Likes Received
      780
      Likes Given
      733

      Default Re: Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

      Tuntemeke a.k.a Inoncesia
      "Tumefika hapa kutokana na udhaifu wa Rais Kikwete,Uzembe wa Bunge na Upuuzi wa CCM"

    19. #158
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,543
      Rep Power : 6185
      Likes Received
      3103
      Likes Given
      1025

      Mkuu TUNTEMEKE kumbe upo?

      Hapo kwenye wekundu Zitto kawakamata pabaya wanafiki wooooote wawe wa CDM ama CCM na kwa hakika amejijengea maadui lukuki na maadui hao ni wa ndani na nje ya CDM. Kama nilivyosema kwenye post mojawapo nimewahi kumsikia kwa masikio yangu na kumuona kwa macho yangu mbunge mmoja wa CDM akisema anamchukia Zitto kwa kuzikataa posho. Hilo nina ushahidi nalo.
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    20. #159
      Zatara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2012
      Location : M/Nyamala
      Posts : 286
      Rep Power : 420
      Likes Received
      67
      Likes Given
      63

      Default Re: Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

      Quote By Sikonge View Post
      Mbona Waziri kasema MIGAO ya Umeme siku zote inapangwa? Umejitahidi kidogo ila kajipange upya.

      Naona kweli wewe umeingia JF 24 July, 2012.... Karibu sana JF, Kuku mwenye kamba yake Mguuni.
      Hata Mbuyu ulianza kama Mchicha , Ni vyema kujadili hoja badala ya mtu. Bado nahangaika kuamini kwamba kua JF miaka kadhaa ndio ina-justfy uwezo wa kufikiri. Jamani tutoke nje ya box

    21. #160
      Sikonge's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2008
      Location : Sikonge, Tabora
      Posts : 7,986
      Rep Power : 2362
      Likes Received
      2948
      Likes Given
      5799

      Default Re: Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

      Mbona Waziri kasema MIGAO ya Umeme siku zote inapangwa?
      Quote By Zatara View Post
      Hata Mbuyu ulianza kama Mchicha , Ni vyema kujadili hoja badala ya mtu. Bado nahangaika kuamini kwamba kua JF miaka kadhaa ndio ina-justfy uwezo wa kufikiri. Jamani tutoke nje ya box
      Nguruwe pita leo sina Mkuki(By Malila wa JF).

    Page 8 of 9 FirstFirst ... 6789 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...