Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Golden Sanga atangaza nia Ruvuma ya kugombea kiti kwa tiketi ya CCM

    Report Post
    Results 1 to 4 of 4
    1. #1
      beyanga's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th July 2012
      Posts : 184
      Rep Power : 385
      Likes Received
      21
      Likes Given
      53

      Default Golden Sanga atangaza nia Ruvuma ya kugombea kiti kwa tiketi ya CCM

      KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Golden Sanga (Sanga One), ametangaza nia ya kugombea uenyekiti wa chama hicho wilaya ya Songea katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Septemba mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari juzi mjini hapa, Sanga alisema ameamua kugombea nafasi hiyo, ili kurudisha heshima ya chama hicho mjini hapa.

      Alisema kila kukicha mvuto wa chama hicho miongoni mwa jamii umekuwa ukipungua kutokana na matendo maovu yasiyokuwa ya kimaadili yanayofanywa na viongozi wake ambayo yamekuwa yakiwakatisha tamaa wananchi na wanachama wa chama hicho.

      Alieleza kuwa hali hiyo imesababisha kata 6 kati ya 21 kuchukuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi mkuu mwaka 2010.

      Alieleza zaidi kuwa amejipanga kikamilifu kwa kushirikiana na viongozi wenzake watakaochaguliwa kushika nafasi mbalimbali ndani ya chama kukijenga chama na kuleta ushindi stahiki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2015.




    2. #2
      SILENT WHISPER's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th June 2009
      Posts : 2,055
      Rep Power : 923
      Likes Received
      577
      Likes Given
      162

      Default re: Golden Sanga atangaza nia Ruvuma ya kugombea kiti kwa tiketi ya CCM

      nape ni sikio la kufa! UNAMPIGIA MBUZI GITAA!
      POLITICIAN, ONE WHO SHAKES YOUR HAND BEFORE ELECTION AND YOUR CONFIDENCE LATER

    3. #3
      POMPO's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 3,055
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1129
      Likes Given
      652

      Default Re: Golden Sanga atangaza nia Ruvuma ya kugombea kiti kwa tiketi ya CCM

      Who is She? tupia CV yake kwanza

    4. #4
      beyanga's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th July 2012
      Posts : 184
      Rep Power : 385
      Likes Received
      21
      Likes Given
      53

      Default Re: Golden Sanga atangaza nia Ruvuma ya kugombea kiti kwa tiketi ya CCM

      nape huwa ansema kuwa ccm ni imara haina migogoro ia wanachama wengi itatawala milele hata wote wakiisha yeye hatoki ni vuvuzera haswa

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...