Kuna siku Mnyika uliuliza swali kuwa serikali itoe kauli juu ya mgogoro wa serikali na walimu. Jibu lake likawa hakuna mgogoro wowote bali ni kikundi cha watu fulani wanaeneza uvumi wa kuwataka walimu wagome.
Je kiti kinasemaje juu ya uwongo huo wa naibu waziri? Bunge limuwajibishe kwa kumtaka ajizuru kwani haiwezekani naibu waziri awe na majibu mepesi kiasi hicho?
Vinginevyo tutakosa imani na bunge zima kama tulivyokosa imani na spika na naibu spika wa CCM

Reply With Quote



Follow Us Here