Kufuatia mgomo wa Walimu, wanafunzi walikuwa wanaandamana, FFU wakawapiga mabomu ya machozi, na sasa watu wazima wameingilia.
Mpaka umefungwa na kuna msururu wa matanki ya mafuta, hapakaliki muda huu
Kufuatia mgomo wa Walimu, wanafunzi walikuwa wanaandamana, FFU wakawapiga mabomu ya machozi, na sasa watu wazima wameingilia.
Mpaka umefungwa na kuna msururu wa matanki ya mafuta, hapakaliki muda huu
Yaa, nami nipo katika maeneo haya kwa ujumla uhalibifu umefanywa kwenye jengo la mamlaka ya mji mdogo wa Tunduma ambapo gari jipya Land cruser pick up double cabin limeharibiwa vibaya, compyuta za ofisini pamoja na laptop zimeibiwa, nyaraka zilizokuwa makabatini na kwenye maeneo mengine ofisini zimebebwa na wananchi na kuchomwa moto, Mabati na saruji vilivyokuwa stoo vimeibiwa na vitu vingine kuharibiwa, kamati ya ulinzi na usalama imeenda huko wakati tayari hali imekuwa shwari, naendelea kufuatilia nipo karibu nao
Nchi haitotawalika,hakuna kulala mpaka kileweke kama mbwai mbwai kuni jua sikutishi nchi haifai....mafisadi hawaibi laki wanaiba billioni.
Nasikia chadema wameshindwa kuwalipa malimbikizo yao waalimu na kuwapa posho wanazostaili ndio maana wamegoma....chadema tafadhari acheni kuleta vurugu walipeni waalimu haki zao
Mmmhh acha tuuu!
TUKIWAKAMATA MAFISADI NCHI ITAYUMBA by PINDA
"The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".
Hivi hawa Chadema kodi zooooooote hizi wanazokusanya pamoja na kujichotea kwenye mifuko ya hifadhi za kijamii inashindwa kuwalipa haki zao walimu mpaka wanagoma?
NI UTAAHIRA MKUBWA SANA KUIUNGA MKONO CCM
Follow Us Here