Re: Chama cha Walimu kimekodi wahuni kufanyia fujo ambao hawatagoma

By
Isalia
Hiyo ninaamini kuwa CDM wanahucka kwani kupitia kurasa hii hii walikuwa wakihimiza kufanyika mgomo wa walimu ili kuonekana serekali imeshindwa kuongoza zile zama za kudanganyana zimepita kila kitu sasa kiko wazi
Unaonaje kama ungekwenda chooni ukautolea huu uharo wako huko, kuliko kuudhihirisha ujinga wako kwa kila anayesoma thread hii??
TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO NA KULIWA NA WENYE MENO KAMA AKINA EL, JK, EC na RA
Follow Us Here