Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

    Report Post
    Page 2 of 6 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 103
    1. #1
      activist's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th April 2008
      Posts : 108
      Rep Power : 588
      Likes Received
      33
      Likes Given
      0

      Default Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

      Dada wa mbunge wa viti maalumu (CCM) Mh Munde Tambwe anayeitwa Khadija Tambwe alikamatwa jana na madawa ya kulevya ktk uwanja wa ndege wa JK Nyerere akiwa safarini kuelekea Uturuki.

      Mpaka sasa polisi haijatoa taarifa ya tukio hili.

      Ifahamike kuwa Munde ni mmoja wa wabunge wanaotuhumiwa kwa rushwa kamati ya bunge ya Nishati na Madini.

      BAADAE MAGAZETINI:
      Quote By nngu007

      Mbunge ahusishwa na ‘wauzaji’ bangi

      MBUNGE wa Viti Maalumu kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kutokea mkoani Tabora, Munde Tambwe Abdallah, anahusishwa na wanawake waliokamatwa wakisafirisha bangi kwenda nje ya nchi, Raia Mwema limefahamishwa.

      Raia Mwema
      limejulishwa kwamba mmoja wa watuhumiwa waliokamatwa na bangi na kufikishwa mahakamani, Hadija Magesa ni ndugu wa mbunge huyo na jina lake halisi ni Hadija Tambwe Abdallah, na kwamba walikuwa pamoja muda mchache kabla ya wote kuanza safari kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.

      Taarifa zilizopatikana zinaonyesha kwamba Munde aliondoka nchini kwa ndege ya Shirika la Ndege la Emirates namba EK 726, Julai 28, 2012 kwenda Italia, saa chache kabla ya Hadija na mwenzake, Sasha Mnyeke, kukamatwa wakitaka kuondoka kwa ndege ya Shirika la Ndege la Uturuki TK 604 Julai 29, 2012 kwenda Instabul, Uturuki.

      Uchunguzi wa Raia Mwema umethibitisha kwamba Munde ambaye ni mmoja wa wabunge waliomo ndani ya Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini inayotuhumiwa kwa rushwa, aliaga bungeni kuwa anasafiri kwenda nchini India, kumpeleka mama yake mzazi kwa matibabu.

      Mkurugenzi wa Idara ya Shughuli za Bunge, John Joel amesema mjini Dodoma kwamba Munde ana ruhusa ya shughul binafsi kwenda nje ya nchi.

      “Amekwenda India kumpeleka mama yake mzazi kwenye matibabu,” amesema Joel.

      Tayari Khadija na Sasha wamekwishakufikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka ya kujihusisha na biashara hiyo wakati Munde akiwa nchini Italia akitarajiwa kurejea nchini Agosti 2, mwaka huu kupitia Dubai.

      Katika mazingira tata Hadija anamiliki hati ya kusafiri AB 151604 ikiwa na jina la Hadija Magesa wakati tiketi yake ikiwa na jina la Hadija Tambwe, jambo ambalo limeelezwa kuibua utata uliosababisha kukamatwa kwao kabla ya kuondoka Dar es Salaam.

      Uchunguzi wa Raia Mwema unabainisha ya kuwa Julai mosi mwaka huu Munde Tambwe alipata kusafiri nje ya nchi na kurudi akitokea Dar es Salaam kwa njia hiyo hiyo aliyosafiri Julai 28, 2012 kwa ndege ya Emirates EK 726.

      Juhudi za kuwasiliana na Munde huko aliko azungumzie tuhuma zinazoelekezwa kwake hazikuzaa matunda.

      Mkuu wa Kitengo cha Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini, Godfrey Nzowa, ameliambiaRaia Mwema kwamba makachero wanaendelea na uchunguzi kujua mtandao mpya wa dawa za kulevya unaohusisha watu maarufu kutokana na taarifa wanazopokea.

      Raia Mwema
      inazo taarifa za ndani ya kuwapo kwa mtandao wa wafanyabiashara wanaotumia baadhi ya wanawake kusafirisha ya dawa za kulevya kwenda nje ya nchi, baadhi wakiwa watu wenye mahusiano ya kidugu.

      Kuhusishwa kwa Munde katika taarifa hizi za bangi kunachangia katika wiki ambayo inaweza kutajwa kuwa ni mbaya sana kwa Mbunge huyo wa Viti Maalumu ambaye amekuwa akitajwa sana katika sakata lililoibuka bungeni wiki iliyopita likiwawatuhumu baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Nishati na Madini kwa kufisadi Shirika la Umeme nchini (TANESCO).

      Kamati hiyo sasa imevunjwa na Spika Anne Makinda kutokana na hoja iliyowasilishwa na Mbunge wa Namtumbo, Vita Rashidi Kawawa, akiomba kamati hiyo ivunjwe kwa kulidhalilisha Bunge, pamoja nayo na kamati nyingine zenye kuelekezewa tuhuma za ufisadi.

      Kati ya tuhuma zinazoelekezwa kwa Munde, ambazo kwa pamoja na nyingine zitachunguzwa na Bunge lenyewe ni kampuni yake kufanya biashara ya kuiuzia matairi TANESCO.

      CHANZO: Raia Mwema | Agosti 1, 2012
      Kiranja, Ndahani, Pasco and 7 others like this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #21
      POMPO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 3,002
      Rep Power : 1184
      Likes Received
      1107
      Likes Given
      637

      Default Re: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

      Tumefika hapa kutokana na UDHAIFU wa JK, Liwalo na Liwe
      "Tumefika hapa kutokana na UDHAIFU wa Rais Jakaya Kikwete.." J.J. Mnyika, Bungeni,June,2012.

    4. #22
      Lunyungu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th August 2006
      Location : Malampaka
      Posts : 8,020
      Rep Power : 2562
      Likes Received
      788
      Likes Given
      28

      Default

      Quote By Sangarara
      Pasco, with the respect your have earned yourself in JF community. It is high time you start distancing yourself from some issues.
      The has never earned my support maana pasco ni mtu maslahi muda wote so sishangai kusoma haya toka kwake
      Last edited by Lunyungu; 30th July 2012 at 15:39.
      Pasco and Sangarara like this.

    5. #23
      Alfred Daud Pigangoma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th March 2009
      Location : TABORA, TANZANIA
      Posts : 653
      Rep Power : 647
      Likes Received
      271
      Likes Given
      210

      Default

      Quote By Daniel Muhina
      Kweli Nchi hii hatari sana, Dada wa Mbunge kakamatwa na madawa ya kulevya kwa hiyo? aandikwe aliyekamtwa ni nani, anaitwa nani na amekamatwaje na uhisiano wake na mbune au yeyote yule uje pale unapotaka kumuelezea mwenye tukio, ilivyoandikwa utafikiri Mbunge ndiye aliyekamatwa na madawa ya kulevya
      Karibu humu ndo JF. Najua ujumbe umefika.

    6. #24
      sweke34's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th September 2010
      Posts : 2,493
      Rep Power : 1255
      Likes Received
      734
      Likes Given
      1240

      Default Re: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

      Astaghfirullah...mwezi huu wa toba watu wanafanya mambo ya Ibilisi?

    7. #25
      DOUGLAS SALLU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th November 2009
      Posts : 3,598
      Rep Power : 1285
      Likes Received
      315
      Likes Given
      907

      Default Re: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

      Quote By Pasco
      Usimsingizie mbunge, Sheria zetu za jinai ni "aliyekutwa na ngozi, ndiye aliye iba ng'ombe!". Kosa la ndugu unamhusisha vipi Mhe. Mbunge?.

      Nimjuavyo mheshimiwa huyo alikuwa akijihusisha na ile "the oldest profession" enzi zile mama yake akiwa mbunge!.
      Mkuu Pasco huna hata huruma, yaani unapiga mpaka chini ya mkanda!!!!!!!!!!!
      Pasco and Sangarara like this.
      NI UTAAHIRA MKUBWA SANA KUIUNGA MKONO CCM

    8. Miaka 50

    9. #26
      REMSA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th January 2012
      Posts : 1,490
      Rep Power : 862
      Likes Received
      465
      Likes Given
      757

      Default Re: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

      Quote By Pasco
      Usimsingizie mbunge, Sheria zetu za jinai ni "aliyekutwa na ngozi, ndiye aliye iba ng'ombe!". Kosa la ndugu unamhusisha vipi Mhe. Mbunge?.

      Nimjuavyo mheshimiwa huyo alikuwa akijihusisha na ile "the oldest profession" enzi zile mama yake akiwa mbunge!.
      Pasco sioni tatizo hapa,lengo ni kufanya watu waelewe vizuri,pia huyu amekamatwa na madawa
      ya kulevya huyu nae mla rushwa,hivyo hawa ndugu ni tatizo kwa Taifa letu.
      Pasco likes this.

    10. #27
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,533
      Rep Power : 1263
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Re: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

      Quote By activist
      Dada wa mbunge wa viti maalumu (CCM) Mh Munde Tambwe anayeitwa Khadija Tambwe alikamatwa jana na madawa ya kulevya ktk uwanja wa ndege wa JK Nyerere akiwa safarini kuelekea Uturuki.

      Mpaka sasa polisi haijatoa taarifa ya tukio hili.

      Ifahamike kuwa Munde ni mmoja wa wabunge wanaotuhumiwa kwa rushwa kamati ya bunge ya Nishati na Madini.
      Sasa cha kushangaa hapo nini? tunajua kuna vigogo wa nchi hii wanajihusisha na hizo biashara..hilo soo litazimwa taratibu watapeane hela wao kwa wao basi yanaisha....
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune

    11. #28
      Pasco's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 22nd September 2008
      Posts : 9,839
      Rep Power : 7368
      Likes Received
      6154
      Likes Given
      22273

      Default Re: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

      Quote By Sangarara
      Pasco, with the respect your have earned yourself in JF community. It is high time you start distancing yourself from some issues.
      Mkuu Sangarara, nimekusikia, ila pia its a respetable professional mpaka kuna watu wanajipatia ajira rasmi tena very decent jobs kwa ajili hiyo!.

      Hivi una taarifa enzi za vita kuu ya pili wanawake walikuwa hawaajiriwi jeshini, ilibidi hao wenye kazi hizo kukusanywa na nguvu na kupelekwa vitani kwa title za 'confort ladies"!. Baada ya kusainiwa The Universal Declaration of Human Right, 1948, ndipo kuwalazimisha wadada kutoa huduma hizo kukasitishwa na majeshi wakaamriwa wawaajiri rasmi kama askari wa kike!. Find out kwenye military book, hawa wadada wakisha ajiriwa ni lazima kwanza watumike kwa miaka mingapi ndipo waruhusiwe kuolewa!.

      Kiukweli, kwenye biashara hii lawama na shutuma zote zinaelekezwa tuu kwa hawa wadada, lakini there are are customers ambao siku zote hawatajwi kabisa!. Biashara ipo na inashamiri kwa sababu wateja wapo na wanashamiri, cha ajabu, wanasumbuliwa tuu wadada, wateja wako ok!.

      Tafuta uzi wangu kuhusu wabunge wapya wa viti maalum, wengi wamekuwa wakipata nafasi hizo kwa sifa kuu ya uwezo wa kutoa huduma hizo za kibinaadamu, na kuna wengine, amini usiamini, tangu wameingia bungeni, hawajawahi kuuliza swali wala kuchangia hoja yoyote!, wao ni huduma tuu!, angalau kuna baadhi yao ofcourse huduma lazima watoe, ila angalau hijitutumua kuuliza hata vijiswali na kuchangia vijimichango kwenye baadhi ya hoja!.

      Pia tunatatizo kubwa la double standards humu, wakifanya biashara hiyo, nameless dada zetu ndio watajwe, wakifanya waheshimiwa...no wasitajwe tunawaheshimu sana!, tena mna bahati, ningeweza kumwaga humu listi ya mpaka mawaziri waliowahi!.

    12. #29
      Githeri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 362
      Rep Power : 432
      Likes Received
      116

      Analysis nzuri. Basi usiwataje zaidi.
      Pasco likes this.

    13. #30
      Mwita Maranya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2008
      Location : Ikorongo Game Reserve
      Posts : 7,983
      Rep Power : 12009
      Likes Received
      5311
      Likes Given
      5144

      Default Re: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

      Kuna undugu wowote kati ya hawa wanadada Khadija, Munde na mpika propaganda wa chama cha mabwepande Hiza Tambwe??
      Honesty is a very expensive GIFT. Do not expect it from cheap people.

    14. #31
      Mdakuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 271
      Rep Power : 413
      Likes Received
      50
      Likes Given
      11

      Default Re: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

      Ok!
      Niliona kwenye taarifa ya habari ya TBC 1 jana, walikuwa wamebeba bangi, lakini akawa anacheka tu wala hana wasiwasi licha ya kuwa chini ya ulinzi.

    15. #32
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,336
      Rep Power : 1205
      Likes Received
      1195
      Likes Given
      1568

      Default Re: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

      Quote By Pasco
      Mkuu Sangarara, nimekusikia, ila pia its a respetable professional mpaka kuna watu wanajipatia ajira rasmi tena very decent jobs kwa ajili hiyo!.

      Hivi una taarifa enzi za vita kuu ya pili wanawake walikuwa hawaajiriwi jeshini, ilibidi hao wenye kazi hizo kukusanywa na nguvu na kupelekwa vitani kwa title za 'confort ladies"!. Baada ya kusainiwa The Universal Declaration of Human Right, 1948, ndipo kuwalazimisha wadada kutoa huduma hizo kukasitishwa na majeshi wakaamriwa wawaajiri rasmi kama askari wa kike!. Find out kwenye military book, hawa wadada wakisha ajiriwa ni lazima kwanza watumike kwa miaka mingapi ndipo waruhusiwe kuolewa!.

      Kiukweli, kwenye biashara hii lawama na shutuma zote zinaelekezwa tuu kwa hawa wadada, lakini there are are customers ambao siku zote hawatajwi kabisa!. Biashara ipo na inashamiri kwa sababu wateja wapo na wanashamiri, cha ajabu, wanasumbuliwa tuu wadada, wateja wako ok!.

      Tafuta uzi wangu kuhusu wabunge wapya wa viti maalum, wengi wamekuwa wakipata nafasi hizo kwa sifa kuu ya uwezo wa kutoa huduma hizo za kibinaadamu, na kuna wengine, amini usiamini, tangu wameingia bungeni, hawajawahi kuuliza swali wala kuchangia hoja yoyote!, wao ni huduma tuu!, angalau kuna baadhi yao ofcourse huduma lazima watoe, ila angalau hijitutumua kuuliza hata vijiswali na kuchangia vijimichango kwenye baadhi ya hoja!.

      Pia tunatatizo kubwa la double standards humu, wakifanya biashara hiyo, nameless dada zetu ndio watajwe, wakifanya waheshimiwa...no wasitajwe tunawaheshimu sana!, tena mna bahati, ningeweza kumwaga humu listi ya mpaka mawaziri waliowahi!.
      Unadalili ya ukorofi wewe, mimi nakuambia achana na hayo mambo we unaingilia na mambo ya wanajeshi!!!
      Pasco likes this.

    16. #33
      Linyakalumbi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 28th July 2011
      Posts : 225
      Rep Power : 440
      Likes Received
      71
      Likes Given
      136

      Default Re: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

      Quote By Pasco
      Mkuu Sangarara, nimekusikia, ila pia its a respetable professional mpaka kuna watu wanajipatia ajira rasmi tena very decent jobs kwa ajili hiyo!.

      Hivi una taarifa enzi za vita kuu ya pili wanawake walikuwa hawaajiriwi jeshini, ilibidi hao wenye kazi hizo kukusanywa na nguvu na kupelekwa vitani kwa title za 'confort ladies"!. Baada ya kusainiwa The Universal Declaration of Human Right, 1948, ndipo kuwalazimisha wadada kutoa huduma hizo kukasitishwa na majeshi wakaamriwa wawaajiri rasmi kama askari wa kike!. Find out kwenye military book, hawa wadada wakisha ajiriwa ni lazima kwanza watumike kwa miaka mingapi ndipo waruhusiwe kuolewa!.

      Kiukweli, kwenye biashara hii lawama na shutuma zote zinaelekezwa tuu kwa hawa wadada, lakini there are are customers ambao siku zote hawatajwi kabisa!. Biashara ipo na inashamiri kwa sababu wateja wapo na wanashamiri, cha ajabu, wanasumbuliwa tuu wadada, wateja wako ok!.

      Tafuta uzi wangu kuhusu wabunge wapya wa viti maalum, wengi wamekuwa wakipata nafasi hizo kwa sifa kuu ya uwezo wa kutoa huduma hizo za kibinaadamu, na kuna wengine, amini usiamini, tangu wameingia bungeni, hawajawahi kuuliza swali wala kuchangia hoja yoyote!, wao ni huduma tuu!, angalau kuna baadhi yao ofcourse huduma lazima watoe, ila angalau hijitutumua kuuliza hata vijiswali na kuchangia vijimichango kwenye baadhi ya hoja!.

      Pia tunatatizo kubwa la double standards humu, wakifanya biashara hiyo, nameless dada zetu ndio watajwe, wakifanya waheshimiwa...no wasitajwe tunawaheshimu sana!, tena mna bahati, ningeweza kumwaga humu listi ya mpaka mawaziri waliowahi!.
      Mkuu hapa kwenye blue na red nime pa "Like sana tu" You Know why Mkuu?Kwanini kuna Wabunge flanflan hivi MiDUME ikisimama hata kama Pumba hushangiliwa sana,kumbe washangiliaji huwa wanalinda "WATEJA" wao wazuri!! Na like tena nalysis
      Pasco likes this.
      "Mapambano yalianzia Igunga,MAKOMBORA tumepaki Arumeru-2015 Magogoni"

    17. #34
      brazilian's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th February 2012
      Posts : 609
      Rep Power : 1358
      Likes Received
      101
      Likes Given
      5

      Default Re: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

      Quote By Fidel80
      Anauhusiano na Hiza Tambwe?

      hana. Ni binti ya yule mbunge wa viti maalumu enzi hizo MOSI Tambwe

    18. #35
      Fofader's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th September 2011
      Posts : 502
      Rep Power : 487
      Likes Received
      105
      Likes Given
      54

      Default

      Quote By chitambikwa
      kama dunia ni mwili wa binadamu Tanzania ni kiungo gani?
      Utumbo mpana

    19. #36
      Lukansola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2010
      Location : 6°48′S 39°17′E
      Posts : 3,237
      Rep Power : 1051
      Likes Received
      728
      Likes Given
      971

      Default Re: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

      Quote By Pasco
      Usimsingizie mbunge, Sheria zetu za jinai ni "aliyekutwa na ngozi, ndiye aliye iba ng'ombe!". Kosa la ndugu unamhusisha vipi Mhe. Mbunge?.

      Nimjuavyo mheshimiwa huyo alikuwa akijihusisha na ile " professional" enzi zile mama yake akiwa mbunge!.

      Kaka Pasco hayo ni matukio mawili tofauti, dada kala rushwa bungeni na mdogo mtu kanaswa na poda ok?
      Pasco likes this.
      NO SECOND CHANCE TO MAKE THE FIRST IMPRESSION

    20. #37
      Wanitakiani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th April 2008
      Posts : 632
      Rep Power : 698
      Likes Received
      129
      Likes Given
      20

      Default Re: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

      Quote By Pasco
      Usimsingizie mbunge, Sheria zetu za jinai ni "aliyekutwa na ngozi, ndiye aliye iba ng'ombe!". Kosa la ndugu unamhusisha vipi Mhe. Mbunge?.

      Nimjuavyo mheshimiwa huyo alikuwa akijihusisha na ile " professional" enzi zile mama yake akiwa mbunge!.
      Munde alikuwa na kesi mbaya Tabora kabla hajawa mbunge akiwa Manispaa aliiba pesa nyingi sana na akahonga mamilioni ya pesa, zaidi na Bw. Sumaye naye alichangia kuhakikisha kuwa kesi hiyo inakwisha. Leo hii ndio mmoja kati ya wabunge wetu, na sasa anahusishwa na tuhuma za TANESCO yeye na Mhe. Sarah Msafiri kwa kuiuzia TANESCO matairi mabovu...loh this country!
      BabaDesi and Pasco like this.
      Laughing Faces Do Not Mean That There Is Absence of Sorrow! But it Means That They have The Ability to Deal With It!

    21. #38
      Ndinani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2010
      Posts : 2,950
      Rep Power : 1532
      Likes Received
      745
      Likes Given
      237

      Default Re: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

      Quote By Daniel Muhina
      Kweli Nchi hii hatari sana, Dada wa Mbunge kakamatwa na madawa ya kulevya kwa hiyo? aandikwe aliyekamtwa ni nani, anaitwa nani na amekamatwaje na uhisiano wake na mbune au yeyote yule uje pale unapotaka kumuelezea mwenye tukio, ilivyoandikwa utafikiri Mbunge ndiye aliyekamatwa na madawa ya kulevya
      Wabunge wa bongo sio tu wanakula mlungula bali wanafanya biashara ya kuuza madawa ya kulevya pia!! Marehemu Amina Chifupa alishalisemea hilo humo humo bungeni na kila siku watu wanaandika humu kuwa kunavigogo ndio wanaofinance hiyo biashara ya madawa ya kulevya ; kama ni hivyo kwanini huyo mbunge ambae dada yake amekamatwa jana Uwanja wa ndege akielekea UTURUKI na mzigo wa bangi asiwe ndio yeye aliyefadhili biashara hiyo?

    22. #39
      KING COBRA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th November 2011
      Posts : 521
      Rep Power : 681
      Likes Received
      127
      Likes Given
      0

      Default Re: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

      Quote By activist
      Dada wa mbunge wa viti maalumu (CCM) Mh Munde Tambwe anayeitwa Khadija Tambwe alikamatwa jana na madawa ya kulevya ktk uwanja wa ndege wa JK Nyerere akiwa safarini kuelekea Uturuki.

      Mpaka sasa polisi haijatoa taarifa ya tukio hili.

      Ifahamike kuwa Munde ni mmoja wa wabunge wanaotuhumiwa kwa rushwa kamati ya bunge ya Nishati na Madini.
      Tambwe, Munde Abdallah [CCM]
      Special Seat Tabora , anahusika na TENDER Matail Tanesco!!!!!!!!!!!!!

    23. #40
      KING COBRA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th November 2011
      Posts : 521
      Rep Power : 681
      Likes Received
      127
      Likes Given
      0

      Default Re: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

      Quote By KING COBRA
      Tambwe, Munde Abdallah [CCM]
      Special Seat Tabora , anahusika na TENDER Matail Tanesco!!!!!!!!!!!!!
      Abdallah Tambwe Munde

      Jumla ya kura
      3
      Chama CCM
      Jimbo Viti Maalum
      UTENDAJI
      Je unaridhishwa na utendaji wake?
      Kura 0 Ndiyo
      Kura 3 Hapana
      Maoni 0
      Imetazamwa mara 69

    Page 2 of 6 FirstFirst 1234 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...