Kwa kitendo cha CUF kushutumu wabunge wa CCM na CHADEMA kuwachukulia hatua wabunge wake wanaotuhumiwa kuchukua rushwa pasipo majina kamili kutajwa je?
CUF ina uhakika kuwa wabunge wake hawamo?
Pili wanauhakika kuwa hao wa CHADEMA wanahusikA?
Kama wana uhakika huo kwanini wasitaje majina kuvisadia vyama hivyo ili kuchukua hatua? Kwa kuanza kushutumu vyama vingine bila majina kamili je katika CUF hawajakurupuka?

Reply With Quote



Follow Us Here