Ni hivi punde Mh. Joshua Nassary ameomba mwongozo wa kiti kuhusu kashfa ya rushwa inayozikabiri kamati hizo za madini na ile ya mashirika ya umma..amemtaja Zitto na Mrema na ikiwezekana wafukuzwe au wabadilishiwe kamati...nawasilisha
Ni hivi punde Mh. Joshua Nassary ameomba mwongozo wa kiti kuhusu kashfa ya rushwa inayozikabiri kamati hizo za madini na ile ya mashirika ya umma..amemtaja Zitto na Mrema na ikiwezekana wafukuzwe au wabadilishiwe kamati...nawasilisha
We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
Ralph Waldo Emerson
jana usiku nilidokeza hapa http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...-kimeanza.html jaribu kupitia upate mwanga kidogo..mengine nasubiri spika makinda atii amri aliyopewa ndio tutaelezana
kuelekea 2015, makundi hasimu slaa vs zito yapo kazini
kijana alikuwa sahihi sana, na ameangalia mbali, ni lazima wa wala rushwa wengine washughulikiwe kama wenzao wa nishati na madini
Mh.Nassary kaongea vitu vya msingi...Huu mwaka Zitto hata usahau kabisa!..
Mengi yatasemwa
Hii nchi... ptuuu... Kuna mmoja wa waliokuwa Mawaziri aliwahi kuniambia kwamba Zitto alihongwa M60 suala la CHC kuongezewa mkataba, mimi nikaona kama anampiga vijembe tu kwa sababu ni mpinzani, lakini leo naanza kupa
I'm Naturaly Evasive..
Bravo Joshua Nassari,
Ni kweli kabisa ule usemi wa Mbunge 1 wa CDM=Wabunge 10 wa CCM unajidhihirisha!
Mhe.Nassari ni dogo janja ambaye ameingia juzi tu Bungeni lakini michango yake inaonekana wazi. Kwa CDM hiki ni kitu cha kawaida sana kwa Wabunge wake kutoa michango na hoja zenye mashiko.
CDM saafi sanaaaaaaaaaaaa!
hii safi sana CDM taratibu inachanika katikati... dogo mropkaji spotlight alopata haimtoshi & he demands more ...
Last edited by njiwa; 30th July 2012 at 13:46.
Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
Follow Us Here