Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Tujikumbushe kauli hii ya Mzee KINGUNGE

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 28 of 28
    1. #1
      Kijakazi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th June 2007
      Posts : 1,424
      Rep Power : 0
      Likes Received
      375
      Likes Given
      10

      Default Tujikumbushe kauli hii ya Mzee KINGUNGE

      Maoni ya Mzee Kingunge alipoulizwa kwa nini anafikiri Afrika bado iko nyuma!

      Alisema

      " Wakati wazungu walipofanikiwa na mapinduzi ya viwanda waasia wakajiuliza (wajapani) hivi ni nini siri ya mafanikio yao (yani wazungu) wakagundua kwamba siri yao iko kwenye maarifa, wakajifunza maarifa na wakatoka, wakaja wakorea wakajiuliza swali hilo wakagundua kwamba ni maarifa wakaiga wakatoka, wataiwani na wasingapore hivyo hivyo na sasa wachina nao wamegundua siri ya wazungu ni maarifa wameiga wanatoka ila Afrika akasema TUNAFIKIRI SIRI YA MAFANIKIO YA MZUNGU IKO KWENYE LUGHA YAKE NA RANGI YAKE kwa hiyo tunafanya kila tuwezalo kuwekeza katika hayo mambo mawili na ndio kilichotufikisha hapa tulipo"

      Hayo ni maneno ya Mzee Kingunge, nini maoni yako, unaafiki naye?
      Leonard Akaro and Kizotaka like this.
      Ni rahisi sana Kwa ngamia kupenya kwenye Tundu Lisu la Sindano kuliko Kiongozi Bora kupatikana kwa njia ya Kupiga Kura Tanzania!

    2. RukaaJuu Final

    3. #21
      kibol's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : dar es salaam
      Posts : 1,163
      Rep Power : 589
      Likes Received
      291
      Likes Given
      189

      Default

      Quote By Kakubilo Kasota
      Huwa sielewi, sijui tumelogwa? mbona hawa watu wakiisha toka kwenye system ndo huwa na mawazo mazuri? Nakumbuka Sumaye naye sikumoja aliwahi kusema, taifa haliwezi kuendela kama hatuuzi vitu nje ya nchi, kama tunanunua zaidi bila uuza then hatutakuwa na fedha za kigeni, aliendelea zaidi kwa kudai tujenge zaidi viwanda ili tupate vitu vya kuuza, ni huyu hyu aliyekuwa waziri mkuu wa muda mrefu kupita yeyote aliyewahi kukalia kiti hicho, swali, kwanini viongozi wengi wa magamba huwa wanaona kikwazo cha matatizo yetu mara baada ya kuachia madaraka?

      Bila kujali historia yake huyo mzee (ambayo kwakweli huwa nasikia kichefu chefu, hasa baadhi ya kauri zake) aliyo yasema ndio ukweli, hivi mwaka 1988 pale kambi ya jeshi kibaha, wanajeshi wale (mainjinia) si waliweza kutengeneza Gari na wakalipa jina la Nyumbu? nakumbuka liliingia hadi kwenye maonesho ya sabasaba, enzi hizo maonesho yale yalikuwa na mvuto sana, hivi kama akina kingunge wangewaendeleza watu wale, leo situngekuwa tunatengeneza ndege? CDM, mkiingia madarakani 2015, endelezeni hili tafadhari!
      Huwa ata mimi hii hali inaniweka ktk wakati mgumu sana kuwaelewa hawa viongozi,wanazungumza mipango mizur sn wakishatoka madarakani.

    4. #22
      NATA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th May 2007
      Posts : 4,255
      Rep Power : 8417
      Likes Received
      1134
      Likes Given
      390

      Default re: Tujikumbushe kauli hii ya Mzee KINGUNGE

      Quote By Domy
      Walichukua zabuni ya kukusanya ushuru Ubungo terminal
      Wizi mtupu!

    5. #23
      chuwaalbert's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th September 2010
      Posts : 295
      Rep Power : 499
      Likes Received
      52
      Likes Given
      129

      Default re: Tujikumbushe kauli hii ya Mzee KINGUNGE

      Silly politicain. Alifanya NINI kuwashauri CCM kuendeleza Mang'ula, Kilimanjaro Machine Tools na SIDO? Huko ndiko Nyerere alioana kuna maendeleo ya Nchi. Kingunge na CCM yake wakaona ni Biashara! Hawa hawana tofauti na Sultani Mangungo w Msowero!

    6. #24
      Ndibalema's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th April 2008
      Location : Mbagala
      Posts : 6,629
      Rep Power : 2006
      Likes Received
      1649
      Likes Given
      1621

      Default re: Tujikumbushe kauli hii ya Mzee KINGUNGE

      Hivi huyu mzee bado anapokea mapato ya kituo cha mabasi cha Ubungo?
      "Makalio ya sufuria hayaogopi moto"

    7. #25
      Renegade's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th March 2009
      Posts : 1,106
      Rep Power : 740
      Likes Received
      175
      Likes Given
      759

      Default re: Tujikumbushe kauli hii ya Mzee KINGUNGE

      Quote By Joseph
      Hivi huyu mzee mpaka leo bado ni mbunge wa kuteuliwa na Rais?
      Ni kweli amezeeka, lakini tusimpuuze! yapo mengi ya kujifunza kutoka kwake, mazuri yatatusaidia kufika tunapotaka, mabaya? yatatusaidia kufanya mazuri. Tusiwadharau hawa wazee wanavitu vya kujifunza.
      Usually when people are sad, they don't do anything. They just cry over their condition. But when they get angry, they bring about a change.

    8. Miaka 50

    9. #26
      beyanga's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th July 2012
      Posts : 184
      Rep Power : 381
      Likes Received
      21
      Likes Given
      53

      Default Re: Tujikumbushe kauli hii ya Mzee KINGUNGE

      ​samahani kingunge ni nani?
      Quote By Kijakazi
      Maoni ya Mzee Kingunge alipoulizwa kwa nini anafikiri Afrika bado iko nyuma!

      Alisema

      " Wakati wazungu walipofanikiwa na mapinduzi ya viwanda waasia wakajiuliza (wajapani) hivi ni nini siri ya mafanikio yao (yani wazungu) wakagundua kwamba siri yao iko kwenye maarifa, wakajifunza maarifa na wakatoka, wakaja wakorea wakajiuliza swali hilo wakagundua kwamba ni maarifa wakaiga wakatoka, wataiwani na wasingapore hivyo hivyo na sasa wachina nao wamegundua siri ya wazungu ni maarifa wameiga wanatoka ila Afrika akasema TUNAFIKIRI SIRI YA MAFANIKIO YA MZUNGU IKO KWENYE LUGHA YAKE NA RANGI YAKE kwa hiyo tunafanya kila tuwezalo kuwekeza katika hayo mambo mawili na ndio kilichotufikisha hapa tulipo"

      Hayo ni maneno ya Mzee Kingunge, nini maoni yako, unaafiki naye?

    10. #27
      Kijakazi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th June 2007
      Posts : 1,424
      Rep Power : 0
      Likes Received
      375
      Likes Given
      10

      Default Re: Tujikumbushe kauli hii ya Mzee KINGUNGE

      Quote By beyanga
      ​samahani kingunge ni nani?
      Kama hujawahi kulisikia hilo jina hata nikianza kuelezea historia yake haitasaidia kitu! Kwa kifupi ni Mzee mtanzania aliyetoa maoni yake kuhusu nchi na Bara lake kwa ujumla!
      Ni rahisi sana Kwa ngamia kupenya kwenye Tundu Lisu la Sindano kuliko Kiongozi Bora kupatikana kwa njia ya Kupiga Kura Tanzania!

    11. #28
      afwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th October 2010
      Posts : 694
      Rep Power : 572
      Likes Received
      80
      Likes Given
      116

      Default Re: Tujikumbushe kauli hii ya Mzee KINGUNGE

      Ni aibu kubwa sana kwa mtu ambae ametumikia umma kwa muda wa maisha yake yote kuja kujua kuwa alichokuwa akikifanya hakikuwa sahihi. Mbaya zaidi amejua hili wakati hana uwezo tena wa kuchangia kubadili uelekeo au mtazamo na fikra za watu wake.

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...