Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

    Report Post
    Page 3 of 6 FirstFirst 12345 ... LastLast
    Results 41 to 60 of 104
    1. #1
      Hon.MP's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 15th July 2012
      Posts : 136
      Rep Power : 372
      Likes Received
      66
      Likes Given
      30

      Default Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

      Retired General Robert Mboma, kaondoka hapa ubungo asubuhi hii kwa misonyo na hasira sana. Neno alilolitamka ni “ NDANI YA SIKU TANO, TUTAONA NANI BINGWA “.

      Habari za kuamininika toka hapa TANESCO zinaeleza kuwa maneno hayo ni kusudio la kuhujumu shirika la TANESCO kwamba kuanzia alhamis wiki hii nchi itaingia gizani kwa namna yoyote ile.

      Inasemekana kuwa huu ni mkakati wa kikao cha pamoja baada ya sakata la TANESCO Bungeni siku ya Jumamosi kiloichowakutanisha;

      Retired Maj. Gen. Mboma mwenyewe, ndg. Mhando, Mh. Mkono, Mh. Ole Sendeke na wawakilishi wa makampuni yaliyonyimwa ulaji kuuza mafuta na vipuli vyao hapa TANESCO.

      Jamani sasa tunapaza sauti Usalama wa Taifa, Polisi, vyama vya siasa na asasi za kiraia na Wataalam wote wa TANESCO wenye maadili na Wananchi wote, kuwafuatilia kwa karibu hawa watu wanaopanga hujuma. Katibu Mkuu Maswi, je hizi taarifa unazo? Boniface Njombe na Nazil Kachwamba waitwe watakuwa na la kueleza.
      Jasusi, Sigma, Mafie PM and 1 others like this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #41
      Nyalutubwi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st January 2012
      Posts : 270
      Rep Power : 427
      Likes Received
      63
      Likes Given
      41

      Default Re: Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

      Jeuli ya retired Gen.inatoka na Meremeta pamoja na Radar.

    4. #42
      webondo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2012
      Location : Chini ya mwembe
      Posts : 1,167
      Rep Power : 589
      Likes Received
      178
      Likes Given
      381

      Default Re: Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

      Mungu ibariki Tanzania na walalahoi wake.

    5. #43
      Shekispia's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th February 2012
      Location : Dar es salaam
      Posts : 201
      Rep Power : 405
      Likes Received
      23
      Likes Given
      0

      Default Re: Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

      Ukishajua ya kuwa baba ni mwizi wa kutupwa,unakuwa na jeuri ya kutishia wenzako hata kama na wewe mwizi pia.

    6. #44
      Ston Merchant's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st August 2011
      Location : Samunge
      Posts : 245
      Rep Power : 444
      Likes Received
      40
      Likes Given
      29

      Default Re: Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

      Quote By Tume ya Katiba
      naona tunatafuta kasheshe na makamanda, kumbukeni mwanajeshi hastaafu
      so wht...?
      " Umeme hauna kiuno lakini Unakatika. "

    7. #45
      Ng'wanangwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th August 2010
      Posts : 5,991
      Rep Power : 1647
      Likes Received
      1136
      Likes Given
      417

      Default Re: Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

      Quote By Kifulambute
      I was born in Tanzania accidentally
      kama ingekuwa ni mama, Tanganyika ni mama wa kufikia.
      Nkoboiboi likes this.
      CCM HAIKUBALIKI ...TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA...

      REST IN PEACE, DR.D.D. HAULE...Wema hawana Maisha

    8. Miaka 50

    9. #46
      jaridotcom2's Avatar
      Member Array
      Join Date : 26th July 2012
      Posts : 54
      Rep Power : 354
      Likes Received
      10
      Likes Given
      16

      Default Kwa nini Mboma (Mwenyekiti wa Board ya Tanesco) asisimamishwe/asifukuzwe?

      Jamani itakumbukwa Bomba alikataa katakata kusign Barua ya kumsimamisha Mhando,inasemekana yeye ndo alikua Supplly wa mafuta yaliyokua yakinunuliwa kwa Bei kubwa kwa lengo la kujinufaisha...Vilevile kuna habari anafanya kila mkakati kuhakikisha mgao unatokea ili kuwaumbua Waziri na katibu wa Nishariti.
      Kwa machache hayo pamoja na Mengi yaliyojificha kunahaja gani ya huyu jamaa kuendelea kushika huu wazifa?...Au kunanamna nyingine ya kumuwajibisha?.
      MAKAH likes this.

    10. #47
      Lu-ma-ga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2010
      Posts : 1,851
      Rep Power : 814
      Likes Received
      526
      Likes Given
      8

      Default Re: Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

      Simba chawene juzi alisema bungeni kuwa yawezekana kabisa Mungu ameanza kujibu maombi ya watzanaia kwake.Tutashuhudia mengi.Mboma hawezi kupambana na Mungu hata siku moja yeye ni takataka tu.Kwanza yeye ni mwanajeshi wa anga hana support ya infantriers ambao ndiyo asili ya jeshi letu na hana wingi wa support jeshini asibabaishe watu
      REMSA likes this.

    11. #48
      Kifulambute's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th May 2011
      Posts : 1,729
      Rep Power : 752
      Likes Received
      453
      Likes Given
      176

      Default Re: Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

      Quote By Ng'wanangwa
      kama ingekuwa ni mama, Tanganyika ni mama wa kufikia.
      kabisa shida ni Tanzania tungebakia kuwa watanganyika tungesonga mbele
      Nkoboiboi likes this.
      Ukikuta kuna njia inapitika jua kuna aliyeianzisha

    12. #49
      LIWALONALIWE's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th July 2012
      Posts : 29
      Rep Power : 900
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default Re: Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

      Ole wake athubutu kwakuwa ameshasema kwamba tutaona hata ikitokea mwezi wa kumi tutajua ni yeye na hao wenzake.
      JK Huyo jamaa ni gnr.wakutosha anamaanisha kitu hapo.chukua maamuzi ya haraka.kwani ukiweka ndani hawa watu na kuwapiga ile nanilii kwakaishu mwaka mmoja wakahukumiwe na baba wa taifa kwani itakuwaje.
      Ole wao tutatafuna viungo vyao vyote nini siko la mbom.

    13. #50
      kubenafrank's Avatar
      Member Array
      Join Date : 14th August 2011
      Posts : 67
      Rep Power : 406
      Likes Received
      12
      Likes Given
      315

      Default Re: Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

      Yote haya yanatokea kwa sababu serikali yetu sio makini

    14. #51
      Kagalala's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Posts : 1,237
      Rep Power : 681
      Likes Received
      366
      Likes Given
      147

      Default Re: Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

      Hapa kazi hipo. Dhaifu bado yuko kimya tu!!
      Our biggest Enemy is not to try what others have done.

    15. #52
      Elli's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 17th March 2008
      Location : Kijito-Upele
      Posts : 8,571
      Rep Power : 2551
      Likes Received
      2142
      Likes Given
      1862

      Default Re: Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

      waache wafu wazike wafu wenzao
      ...but what MAN is entirely without Evil intent in the Silence of his Soul???

    16. #53
      ckam's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th March 2011
      Posts : 24
      Rep Power : 419
      Likes Received
      2
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By igoji
      Duuu!!!!!!!!! nchi yangu Tanzania unaelekea wapi? na hii ndo shida ya kuwaweka retired officers kwenye bodi za mashirika.
      Yaah! Retired wanakuwa wameshakula pension yao hivyo wanaona hawana cha kupoteza!

    17. #54
      Nakapanya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd May 2012
      Location : DOWNTOWN
      Posts : 471
      Rep Power : 4174
      Likes Received
      102
      Likes Given
      147

      Default

      Quote By Lu-ma-ga
      Tatizo la kuendelea kutumia wastaafu wa jeshi kusimamia majukumu ya mashirika ndiyo hii.Matokeo yake nchi itajikuta inaingia vitani kimchezo sasa hii statement ya kudai siku tano zijazo nchi iingie gizani kwa lipi???? ajaribu aone kama hajanyolewa kavu kavu.Tutaanza na kujua kama ni raia kweli, wakongo watarudi kwao na malawi.thubuuuuuuuuutu muone!!!!!!!!
      utopian..........strength behind the keyboard.........

    18. #55
      mangikule's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th June 2012
      Posts : 930
      Rep Power : 536
      Likes Received
      176
      Likes Given
      239

      Default Re: Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

      Quote By Safari_ni_Safari
      Sikuielewa hii post siku ilipoletwa hapa.......sasa napata mwanga

      http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...-hatari-3.html
      Jamani hata kama nikiwa upinzani lakini wote walioripotiwa watiwe adabu haraka.
      Jamani imefikia watu wasiojali kutuibia na kututukana!!
      Kwa kuanzia nafikiri tuanzie na huu mtandao unaotutesa na giza!! Wote bila kujali chama. Hapa ndipo tunapohitajika kuwa objective!! kama Zitto au yeyote yupo ndani tupashane na hatua zichukuliwe haraka!! Kumbe hata wale wanaoongea kwa mapovu ni wasaliti tumekwisha!!!

    19. #56
      whizkid's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd August 2010
      Location : Dar Es Salaam
      Posts : 114
      Rep Power : 469
      Likes Received
      28
      Likes Given
      10

      Default Re: Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

      Quote By Mgariga
      Where is our CTU? do we have one?
      We do... but our CTU stands for Central Torture Unit with testing/operations grounds at Mabwepande.
      Things do not change, we change!

    20. #57
      greenstar's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2010
      Posts : 342
      Rep Power : 504
      Likes Received
      35
      Likes Given
      104

      Cool WARAKA KWA RAIS-TUNAOMBA UMFUKUZE Mh.MBOMA KWENYE BODI YA TANESCO.....

      Ili kukidhi kiu ya Watanzania kwamba wewe unachukua mchwa na mafisadi katika serikali yako,huu ni wakati muafaka kumfukuza ndg.Mboma pale TANESCO.Sekta hii na madini imetawaliwa na mafisadi ambao ni hatari kwa serikali yako.Wamekutisha ktk zoezi la kujivua magamba,wemewalisha SUMU wapambanaji sasa hivi wanataka wakupindue wewe ili waweke mtu wao atakaye linda maslahi yao....Kaa njonjo,tumia TISS kujua mipango yao,pia unda chombo huru cha usalama kwa wapambanaji wa UFISADI.
      RAIS unatukanwa na kudharaulike kwa hujuma ya hawa mafisadi"KIKUNDI CHA MASHETANI ",omba msaada USA na UK kuwamaliza mafisadi chini ya mwavuli wa ROSTAM,maana hawa wanaweza nunua vikosi vya jeshi na kufanya uasi ktk SERIKALI yako au Serikali ijayo 2015.
      Wanapesa chafu za kila aina kama ifuatavyo;
      -Kuuza Madawa ya Kulevya
      _kuuza SILAHA nchi jirani
      -UFISADI kwenye mikataba
      -Wameweka mamuluki kila idara nyeti ya SERIKALI
      -Walipanga kumung'oa WAZIRI MKUU ,Mh.PINDA kwa kumtumia ZITO

      Nitarudi baadaye...jamaa wamenitisha
      mliberali likes this.

    21. #58
      REMSA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th January 2012
      Posts : 1,490
      Rep Power : 862
      Likes Received
      465
      Likes Given
      757

      Default Re: Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

      Quote By Chipukizi
      Where is Mr. Presdent?
      At Msoga on leave"

    22. #59
      magino's Avatar
      Member Array
      Join Date : 4th May 2012
      Posts : 21
      Rep Power : 360
      Likes Received
      9
      Likes Given
      15

      Default Re: Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

      Quote By Kifulambute
      I was born in Tanzania accidentally
      hata yanga nayo huiamini pamoja na kuchukua ubingwa? teh

    23. #60
      KING COBRA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th November 2011
      Posts : 530
      Rep Power : 683
      Likes Received
      127
      Likes Given
      0

      Default Re: Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

      Mbatia: Mhando wa Tanesco Katengeneza Mkataba Kitandani! CCM na Serikali yake wamekithiri kwa Wizi : Mhando na Mkewe Ufisadi Kitandani na Mkuu wa Nchi naye anafanya yale yale. Mhando ni Mteule wa Rais Kikwete , Maswi ni Mteule Wa Kikwete : Hapa ni Bora kuindoa CCM 2015!!! Mbatia: Mhando wa Tanesco Katengeneza Mkataba Kitandani! CCM na Serikali yake wamekithiri kwa Wizi :

      Mhando na Mkewe Ufisadi Kitandani na Mkuu wa Nchi naye anafanya yale yale. Mhando ni Mteule wa Rais Kikwete , Maswi ni Mteule Wa Kikwete : Hapa ni Bora kuindoa CCM 2015!!! Rahma Al Kharoos mkurugenzi wa kampuni ya mafuta na madini ya RBP Oil anayesemekana kuwa mke wa pili wa rais wenu. Bila shaka watanzania wengi wanajua kuwa rais wao aliyemali muda wake Jakaya Kikwete ni Toboatoboa au tuseme Chovyachovya kuanzia Makongo Sekondari, Chuo Kikuu cha Dar es salaam,Sinza Kijiweni hadi nje ya nchi. Ingawa CCM wanaona kama wamegundua silaha ya nyuklia ya kummaliza Dk Wilibrod Slaa kwa sababu aliachana na mama aliyezaa naye, jambo ambalo hafichi, wajue mtu wao, katika hili la ndoa, hana salama.

      Tutaanza kuwaletea nyumba zake ndogo na baadaye tutaleta hata vyangudoa wa mitaani ambao amewahi kuparamia. Tukimaliza hili, tutakuja na mgogoro wa kuanguka ambao ni ushahidi tosha kuwa afya yake ni ugogoro mtupu ingawa yeye na waramba viatu wake wanaficha. Tuanze na hawara yake Kikwete anayejiweka weka kwenye udhamini wa mambo fulani fulani huku akimuigiza Salma Kikwete kumpigia kampeni mtu wake. Hata Salma hatanusurika. Waliofundisha naye wako na wana data zake zote hata na alivyokutana na JK kwenye mazingira ya kutia kila shaka.

      Hapa bado hatujaenda kwao umakondeni na kuja na data nyingine nyingi tu. Hapa bado hatujagusia vimada waliojazwa kwenye ukuu wa wilaya na sehemu nyingine nyeti serikalini. Hapa bado hatujakuletea aliozaa nao na wanaharamu wake. Hapa bado hatujavinjari kila kona inayojulikana. Na CCM wajue. Tunapata data zake sawa na tulivyopata za EPA-wanaomjua wengi wako tayari kujitolea kuanika uchafu wake. Hapa hatujagusa biashara zake na mambo mengine machafu kuliko hata hayo. Inzi ana hekima moja kuu. Anasema. Ukijua huu naujua ule.
      mliberali likes this.

    Page 3 of 6 FirstFirst 12345 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...