Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

    Report Post
    Page 9 of 10 FirstFirst ... 78910 LastLast
    Results 161 to 180 of 187
    1. #1
      Makame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd January 2008
      Posts : 513
      Rep Power : 680
      Likes Received
      57
      Likes Given
      23

      Default Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      Kwa kuwa naona Mahakama inatoa maelekezo lakini wanayapinga. Au ndio chachu ya kusema nchi isitawalike?

      1. Madaktari --hawakuheshimu maamuzi halali ya mahakama;
      2. Walimu ----- wamesema hawatoheshimu.

      kitendo cha kwenda kinyume na amri za mahakama sio ishara njema, na kitatufanya tuwe kama majahili. hatuna majadiliano, hatuna heshima, hatujui mamlaka wala hatuna ustaarabu.

      Tuheshimu MAHAKAMA
      God made Man, Man made Money, Money made man mad!

    2. Study Abroad

    3. #161
      Makame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd January 2008
      Posts : 513
      Rep Power : 680
      Likes Received
      57
      Likes Given
      23

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      Mheshimiwa Mzalendo

      Haikuwa hivyo unavyodhani and I am sane; nasema hivyo kwakuwa Rule of Law is the foundation

      Quote By Mzalendo JR
      Unaongea hivi kwa kua baba yako alikusomesha shule nzuri, unatibiwa kwa private card insurance, na alikufanyia mpango ukapata kazi nzuri. Otherwise u must be insane......!
      God made Man, Man made Money, Money made man mad!

    4. #162
      Makame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd January 2008
      Posts : 513
      Rep Power : 680
      Likes Received
      57
      Likes Given
      23

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      Alikua ameenda kwenye miradi yake, Jumatatu tunaenda kwake kufanya General Cleaning, Jumatano kila mtoto anakuja na kipande cha kuni na Ijumaa kila mtoto anakuja na yai, Jumanne tulikuwa kila mtoto lazima anunue andazi kwake na alhamisi hivohivo

      Quote By bombu
      Mwalimu wake yuko kwenye mgomo. Kamfundisha eti 1+3=13, lol. Sasa jiulize ameelewa?
      God made Man, Man made Money, Money made man mad!

    5. #163
      Makame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd January 2008
      Posts : 513
      Rep Power : 680
      Likes Received
      57
      Likes Given
      23

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      Nimekujibu hoja zote Mheshimiwa; na kamwe sitoacha hata moja pending

      Quote By tonnyalmeida
      Kimejaa Uelewa wa mambo ndio maana najibu Hoja zako mstari kwa mstari Bila dhiihaka wala Kebehi.

      Najua unatamani kunifahamu kwa undani ukuhtaji nambie nikutumie anuani yangu kamili na namba za simu

      NASUBIRI MAJIBU YA HOJA ZANGU NYINGI TU NLIZO KUULIZA NA HUJAJIBU.. UKIONA MJADALA UMETOSHA UTANAMBIA TUFUNGE
      God made Man, Man made Money, Money made man mad!

    6. #164
      Makame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd January 2008
      Posts : 513
      Rep Power : 680
      Likes Received
      57
      Likes Given
      23

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      Kwani Tonnyalameida Mumelazimishwa kukaa na ajira? Kama hamulipwi vya kutosha si muache kazi ijulikane hakuna Mwalimu kuliko kupotosha jamii idhanie kuna mwalimu kumbe ni kiumbe aliyeamua kuchakachua watoto wa walipa kodi kwa mgogoro baina yake na mwaajiri wake?

      Soko huria Almaeda

      Quote By tonnyalmeida
      4: Wanaokula pesa zetu na kufanya uzembe hawataki kujiuzulu kama akina mwinyi enzi za mabomu ya mbagala, Mponda kwa mgomo wa madaktari mwakyembe mv spagit ije kuwa walimu Tunaodai haki zetu? HAJIUZULU MTU HAPA ILA CHA MOTO WATAKIPATA NA NDIO WATAKAPOJUA WANACHI NDO SERIKALI.. WANAPOKUJA KUOMBA KURA HUWA WAPOLE WAKISHAINGIA MADARAKANI WANAKUWA WABABE

      5: ahahahahaaaa, unachekesha sana eti kaeni mezani hata miaka 3 au 4 ila sio abrupt.. Yani matatizo ya walimu yameanza toka uhuru leo unasema ni abrupt? ni mara ngapi umewahi kusikia migogoro ya walimu ya mishahara kupandishwa vyeo na malimbikizo? Aisee hivi wewe kweli ni mtanzania make kuna Post nlokuliza na hujajibu? na kama ni mtanzania unaishi hapa nchini? Na hata kama unaishi nje hivi huwa japo unafatilia hata kwenye internet mambo ya taifa hili?:

      KWA SERIKALI MAKINI HAIHITAJI WATU WAOMBE NDIPO UTATUE UNAPASWA KUJUA MAHITAJI YA RAIA WAKO NA KUTATUA

      MAZUNGUMZO YAMETOSHA NA MAJIBU SASA MTAYAONA.
      God made Man, Man made Money, Money made man mad!

    7. #165
      tonnyalmeida's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st February 2012
      Location : FIELD AGENT
      Posts : 226
      Rep Power : 413
      Likes Received
      46
      Likes Given
      60

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      Quote By Makame
      Nimekujibu hoja zote Mheshimiwa; na kamwe sitoacha hata moja pending
      Moja ya hoja ambazo hujajibu ni pamoja na
      1. wewe ni mtanzania?
      2. how do u define Politics?
      3. Mbona hukuleta ile cort injuction ya awali kabla ya hii ya kuchakachuliwa? au ulikuwa unazungumza maneno ya mtaani kama ambavyo umekuwa ukisema?

    8. Miaka 50

    9. #166
      tonnyalmeida's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st February 2012
      Location : FIELD AGENT
      Posts : 226
      Rep Power : 413
      Likes Received
      46
      Likes Given
      60

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      Quote By Makame
      Kwani Tonnyalameida Mumelazimishwa kukaa na ajira? Kama hamulipwi vya kutosha si muache kazi ijulikane hakuna Mwalimu kuliko kupotosha jamii idhanie kuna mwalimu kumbe ni kiumbe aliyeamua kuchakachua watoto wa walipa kodi kwa mgogoro baina yake na mwaajiri wake?

      Soko huria Almaeda

      1: Hatujalazimishwa na ndomana tumeamua kufanya tunavyotaka.. Wao wamejifanya wanajua kutukomoa na sasa wataona kati ya sisi na wao nani anaumia.

      2: ahahahahaaaaa unachekesha sana.. eti kama hatulipwi tuache kazi mbona hauiambii serikali yako iliposhindwa KUKUSANYA KODI NA KUTULIPA WAKATI WAO WANAGAWANA PESA ZETU WAACHIE MADARAKA?

      3: Jamii ndio sisi na hakuna tunayempotosha na walipa kodi ni sisi na hao watoto no wetu sio nyie mnaokula pesa ambazo hazitajwi hata Bungeni wakati wa Bajeti.. WANAOPOTOSHA UMMA NA KUCHAKACHUA NI SERIKALI YAKO NA SIO SISI WALIMU

      4: UONGOZI HURIA WAAMBIE WATAWALA KAMA WAMESHINDWA KUWAJIBIKA WAACHIE MADARAKA WASISUBIRI MAPINDUZI NA SIO WALIMU

    10. #167
      Makame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd January 2008
      Posts : 513
      Rep Power : 680
      Likes Received
      57
      Likes Given
      23

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      1. Mimi ni Mtanzania tena kindakindaki; naishi Tanzania; kwa sasa niko Singida; ila naishi Mkuranga. Ninahangaika sana na maisha na nakereka na mambo ya ufisadi; hususan TANESCO;
      2. Siasa ni mfumo wa maisha unaotumika kuongoza au kuchangia uongozaji wa dola;
      3. Sikuleta kwa sababu sikuwahi kusema ipo Mheshimiwa Almeida; nenda kaangalie explanation niliyoitoa. Aidha nilizungumza kuhusu IMPLIED obligation ya CWT kutotangaza mgomo kwa kuwa walienda Mahakamani. Nikupe mfano wa ziada, Wewe unapanda daladala Posta kwenda Ubungo, kwenye daladala kuna ule mstari mwekundu wa Usafiri wa Ubungo na mpiga debe alikuwa akiita abiria kuelekea ubungo. Kitendo cha wewe kupanda ile Daladala kina IMPLY kuwa wewe umeingia Mkataba na yule mwenye Daladala kuwa anakupeleka ubungo. Kamwe hawezi kukupeleka Mbagala. Sasa CWT walipoongozana na Mawakili wa Attorney General kwenda Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, ilikua na implication kuwa wana Makubaliano. Ila kwa kuwa walikuwa wakijua kuwa taratibu stahiki hazikufuatwa, wakaamua kufanya uhuni.

      Mheshimiwa Almeida, kwa heshima kubwa na unyenyekevu adhimu, nawasilisha

      Quote By tonnyalmeida
      Moja ya hoja ambazo hujajibu ni pamoja na
      1. wewe ni mtanzania?
      2. how do u define Politics?
      3. Mbona hukuleta ile cort injuction ya awali kabla ya hii ya kuchakachuliwa? au ulikuwa unazungumza maneno ya mtaani kama ambavyo umekuwa ukisema?
      God made Man, Man made Money, Money made man mad!

    11. #168
      Makame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd January 2008
      Posts : 513
      Rep Power : 680
      Likes Received
      57
      Likes Given
      23

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      1. Kama wewe unahisi madai yako muajiri hatekelezi; kwa nini unang'ang'ania ajira hiyo? Hawajatekeleza madai sio kwa kumkomoa mtu; ila ndio uhalisia wa hali kwa jinsi mambo yalivyo. Kufanya unavyotaka ni kuhujumu taifa, na wasio na hatia. Kama unamuamini Mungu; hakika kwa hili iko siku ya hukumu na mtamuelezea kwa nini mling'ang'ania kazi ambayo kwa kung'ang'ania kwenu mumehujumu Jamii na pia kutoa false impression kuwa kuna watu wako kwenye ajira; kumbe hawapo.
      2. Kinachochekesha nini? Popote pale, watu wanatekeleza wajibu wao wa kazi kama muajiri anatekeleza wajibu wake. Kama mwajiri hakulipi unavyostahili,nenda kwenye ajira mbadala; ile kazi haikulipi. kuna migodi, kuna makampuni mbalimbali; kwa nini ung'ang'ania ualimu? au wewe ni mzee Fataki???? Kuhusu kukusanya Kodi, Serikali yenyewe imetangaza kuwa itatanua wigo wa kodi, ili kuweza kuongeza mapato na utoaji huduma, ikiwemo kuwalipa watumishi mbalimbali wakiwemo walimu.
      3. Serikali sio yangu; ni ya kwetu mimi na wewe Almeida. Pamoja na Kwamba kura yako 2010 ulimpatia Mgayhwa, Mutamwega Butt; lakini Serikali ikishaingia madarakani ni ya wote; walioipigia kura na walioinyima kura. What goes around comes around, mla kuku wa wenziwe miguu humuelekea. kama unajiona mjanja kuhujumu watoto wa Watanzania wenzio, utalipwa hapahapa..
      4. UONGOZI HURIA; uongozi wa CWT uache madaraka na kupisha watu wenye fikra endelevu na sio kutafuna fedha za walimu. Walimu wanaoona wanaonewa na kukandamizwa, waache kazi na kutafuta ajira mbadala.

      Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) kimetangaza kusitisha rasmi mgomo

      Chama Cha Walimu Tanzania (CWT)kimetangaza kusitisha rasmi mgomo wa walimu na hivyo kuwataka walimu wote nchini kurejea kazini mara moja kuanzia leo ili kutekeleza majukumu yao ya kila siku kama kawaida.

      Akitoa tamko la CWT kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam ikiwa ni siku moja baada ya Mahakama Kuu Kitengo cha Kazi kukiagiza Chama hicho kitoe maelekezo kwa wanachama wake kurudi kazini, Rais wa Chama hicho, GRATIAN MUKOBA (pichani), amesema walimu wanarudi kazini wakiwa wamekata tamaa kutokana na hukumu hiyo.Amefafanua kuwa walimu wanaporudi kazini bila kuwa na mawazo yaliyotulia, utendaji wao utaathirika hivyo Chama kinatoa wito kwa Serikali kukutana na CWT kwa haraka ili kuendeleza majadiliano ya Madai mapya ya Walimu.Kuhusu kulipa fidia ya hasara waliyoipata wanafunzi, Chama hicho kimesema kinasubiri taarifa rasmi ya Serikali kuhusu hasara hiyo kwa kuwa hakina uwezo wa kufahamu hasara waliyoipata wanafunzi.Kwa mujibu wa Mwalimu MUKOBA wenye uwezo wa kuwasilisha hasara hiyo ni mlalamikaji katika kesi hiyo ambaye ni Serikali.Hapo jana Chama hicho kilipongeza kauli ya Rais JAKAYA KIKWETE yakusema Serikali inajali na kuthamini mchango wa Walimu nchini.

      Quote By tonnyalmeida
      1: Hatujalazimishwa na ndomana tumeamua kufanya tunavyotaka.. Wao wamejifanya wanajua kutukomoa na sasa wataona kati ya sisi na wao nani anaumia.

      2: ahahahahaaaaa unachekesha sana.. eti kama hatulipwi tuache kazi mbona hauiambii serikali yako iliposhindwa KUKUSANYA KODI NA KUTULIPA WAKATI WAO WANAGAWANA PESA ZETU WAACHIE MADARAKA?

      3: Jamii ndio sisi na hakuna tunayempotosha na walipa kodi ni sisi na hao watoto no wetu sio nyie mnaokula pesa ambazo hazitajwi hata Bungeni wakati wa Bajeti.. WANAOPOTOSHA UMMA NA KUCHAKACHUA NI SERIKALI YAKO NA SIO SISI WALIMU

      4: UONGOZI HURIA WAAMBIE WATAWALA KAMA WAMESHINDWA KUWAJIBIKA WAACHIE MADARAKA WASISUBIRI MAPINDUZI NA SIO WALIMU
      God made Man, Man made Money, Money made man mad!

    12. #169
      tonnyalmeida's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st February 2012
      Location : FIELD AGENT
      Posts : 226
      Rep Power : 413
      Likes Received
      46
      Likes Given
      60

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      Quote By Makame
      Tonnyalmeida niombe radhi.

      Mimi napata kipato kwa kumkandamiza nani?

      Mimi sili rushwa

      Mimi sipandi V8

      Mimi sina entertainments and the stuff.

      I toil; so hard.

      Ni kweli kipato cha 200000 ni unrealistic mijini.

      ILA

      Mnapokomoa; huwa mnakomoa innocent lives ambazo jamii ime entrust kwenu

      Ndio tatizo la kutanguliza maslahi binafsi kabla ya taifa

      Mtu yyote yule uungwna huwa anaomba radhi anapothibitisha kaia mazingira asiyotia shaka kuwa amekose.. Kwa upande anu SIONISABABU YA KUKUOMB RADHI KA SABABU SIJATHBITISHA UWA NIMEKOSEA BEYOND REASONABLE DOUB.. Ukithibitisha haya afuatayo beyondreasonale doubt ntauomba msamaha tea kwa njia sahihi kabisa

      1: Nithibitishei BEYOND REASONABLEDOUBT kuwa wewe sio Govermet agent wala hunufaiki a mfumo wa serikali dhalimu iliyoko madarakani nakuwa ueewa wako si mdogo.

      2: Thibitisha beyond reasonable doubt KAMA HULI RUSHWA WALA HUJAWAHI KULA (NAFSI YAKO ITAJIJIBU)thnpima the so Caled uzalendo wako

      3: Umsema hupand V8 thibitisha pia sio tu kama hupandi LAKINI PIA KAMA HUMILIKI

      4 Intertinmnt na stuff unazijua mwenyewe coz pa inaegemea na tafsiri yako katika hilo kua watanzania hata milo 3 kwa siku ni itertaimnt wewe na srkali yako mnatafsirije? make una kitengo kishatengewa Mabilion kwa intertainment.

      5: Toil? n wewe ahahahaaaaaa.. mimi nilitegemeatunaouza karnga a maandazi ndo tunotoil... tehtehtehhh hdi wewe? Samini aiseee

      6: Who is Innocent lives? Hakunamtu ambye ni Innocent hap... Hata biblia Katika kutoka 20:5 katika amri 10 Mungu ashawahi kuwapatiliza WANA MAOVU YA BABA ZAO ena si hao tu hata kizazi ch auna nne cha wanichukiao.. Baba na mama zao ndo waliopokea kanga na kuiweka serikali madarakani wanapawa kwenda kuida itimie wajibu wake Makame hili haina mjadala SSA KWA SABAU WANANCHI PIA WAKO KWENE MGOMO WA KIWAJIBISHA SERIKALI ACA WAPATE GHARAMA ZA HUO MGOM WAO

      7: WALIOTANGULIZA ASLAHI MBELE NISERIKALI KWA KUJIPA MISHAHARA MIKUBWA NA POSHO ZA KUMWAGA WAKATI WANANCHI WAO ANATABIKA ... SIO WAIMU UNAYOYAONA SASA NI MATOKEO YA VIONGOZI A SERIKALI KUTANGULIZA MASLHI BINAFSI

      UNANAJE KAMA HAYA MAONI YAKO UKIUANDKIA RAIS KIKWETENA UKAPELEKA IKULU KUWA WASITAGULIZE MASLAI BINAFSI?

    13. #170
      tonnyalmeida's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st February 2012
      Location : FIELD AGENT
      Posts : 226
      Rep Power : 413
      Likes Received
      46
      Likes Given
      60

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      Quote By Makame
      1. Mimi ni Mtanzania tena kindakindaki; naishi Tanzania; kwa sasa niko Singida; ila naishi Mkuranga. Ninahangaika sana na maisha na nakereka na mambo ya ufisadi; hususan TANESCO;
      2. Siasa ni mfumo wa maisha unaotumika kuongoza au kuchangia uongozaji wa dola;
      3. Sikuleta kwa sababu sikuwahi kusema ipo Mheshimiwa Almeida; nenda kaangalie explanation niliyoitoa. Aidha nilizungumza kuhusu IMPLIED obligation ya CWT kutotangaza mgomo kwa kuwa walienda Mahakamani. Nikupe mfano wa ziada, Wewe unapanda daladala Posta kwenda Ubungo, kwenye daladala kuna ule mstari mwekundu wa Usafiri wa Ubungo na mpiga debe alikuwa akiita abiria kuelekea ubungo. Kitendo cha wewe kupanda ile Daladala kina IMPLY kuwa wewe umeingia Mkataba na yule mwenye Daladala kuwa anakupeleka ubungo. Kamwe hawezi kukupeleka Mbagala. Sasa CWT walipoongozana na Mawakili wa Attorney General kwenda Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, ilikua na implication kuwa wana Makubaliano. Ila kwa kuwa walikuwa wakijua kuwa taratibu stahiki hazikufuatwa, wakaamua kufanya uhuni.

      Mheshimiwa Almeida, kwa heshima kubwa na unyenyekevu adhimu, nawasilisha

      1: Kama kweli wewe ni mtanzania napata wasiwasi na Uadilifu wako PROVE ME WRONG

      2: Ok ngoja nikubali unakereka na the so called UFISADI ambao hata nlipokuliza Definition YAKE HUJATOA JIBU Je UMEFANYA NINI KUONDOA UFISADI?
      3: Karudi tena kwenye oxford Dictionary Uangalie hizo Tafsiri upya

      4:Ndomana nikataka uthibitisho na sio maelezo yako.... WEWE UNATOA EXPLANATION KAMA NANI? UMEKUWA JAJI AU MWANASHERIA MKUU? NDO MANA NIKASEMA UTAKUWA NA HISA KWENYE SERIKALI HII MAKE SAIZ NI KAMA KAMPUNI WATU WNAGAWANA HISA TU.. na kama huwa hauna uthibitisho au hujui kama ipo USIWE UNAANDIKO HAPA.

      5: Mfano unaoutoa wa daladala hauna mashiko kwa sababu kumbwa 2
      i: aina hizo za Mikataba huitwa GENTLEMEN CONTRACT (MIKATABA YA KIUNGWANA) Unajua uncertainty zake?
      (a) Huwa haijulikana kiuhalisia ni wakati gani uliingia mkataba, ulipopanda au alipokupa ticket? na
      (b)asipokupa ticket unaweza kumdai hata kama ni baada ya kuwa umelipa na huduma haijakamilika?

      ( ii) Kila kesi wanasheria wanasema inamazingira yake (circumstances) ndo mana hata kama kesi ni moja umeua bado maelezo yanahitajika na inaweza kubadilika kutoka Murder to Manslaughter tena involuntary
      KWA MAELEZO HAYO HUO MFANO NI MFU KATIKA MAZINGIRA KAMA YA KESI YETU

    14. #171
      tonnyalmeida's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st February 2012
      Location : FIELD AGENT
      Posts : 226
      Rep Power : 413
      Likes Received
      46
      Likes Given
      60

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      Quote By Makame
      1. Kama wewe unahisi madai yako muajiri hatekelezi; kwa nini unang'ang'ania ajira hiyo? Hawajatekeleza madai sio kwa kumkomoa mtu; ila ndio uhalisia wa hali kwa jinsi mambo yalivyo. Kufanya unavyotaka ni kuhujumu taifa, na wasio na hatia. Kama unamuamini Mungu; hakika kwa hili iko siku ya hukumu na mtamuelezea kwa nini mling'ang'ania kazi ambayo kwa kung'ang'ania kwenu mumehujumu Jamii na pia kutoa false impression kuwa kuna watu wako kwenye ajira; kumbe hawapo.
      2. Kinachochekesha nini? Popote pale, watu wanatekeleza wajibu wao wa kazi kama muajiri anatekeleza wajibu wake. Kama mwajiri hakulipi unavyostahili,nenda kwenye ajira mbadala; ile kazi haikulipi. kuna migodi, kuna makampuni mbalimbali; kwa nini ung'ang'ania ualimu? au wewe ni mzee Fataki???? Kuhusu kukusanya Kodi, Serikali yenyewe imetangaza kuwa itatanua wigo wa kodi, ili kuweza kuongeza mapato na utoaji huduma, ikiwemo kuwalipa watumishi mbalimbali wakiwemo walimu.
      3. Serikali sio yangu; ni ya kwetu mimi na wewe Almeida. Pamoja na Kwamba kura yako 2010 ulimpatia Mgayhwa, Mutamwega Butt; lakini Serikali ikishaingia madarakani ni ya wote; walioipigia kura na walioinyima kura. What goes around comes around, mla kuku wa wenziwe miguu humuelekea. kama unajiona mjanja kuhujumu watoto wa Watanzania wenzio, utalipwa hapahapa..
      4. UONGOZI HURIA; uongozi wa CWT uache madaraka na kupisha watu wenye fikra endelevu na sio kutafuna fedha za walimu. Walimu wanaoona wanaonewa na kukandamizwa, waache kazi na kutafuta ajira mbadala.

      Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) kimetangaza kusitisha rasmi mgomo

      Chama Cha Walimu Tanzania (CWT)kimetangaza kusitisha rasmi mgomo wa walimu na hivyo kuwataka walimu wote nchini kurejea kazini mara moja kuanzia leo ili kutekeleza majukumu yao ya kila siku kama kawaida.

      Akitoa tamko la CWT kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam ikiwa ni siku moja baada ya Mahakama Kuu Kitengo cha Kazi kukiagiza Chama hicho kitoe maelekezo kwa wanachama wake kurudi kazini, Rais wa Chama hicho, GRATIAN MUKOBA (pichani), amesema walimu wanarudi kazini wakiwa wamekata tamaa kutokana na hukumu hiyo.Amefafanua kuwa walimu wanaporudi kazini bila kuwa na mawazo yaliyotulia, utendaji wao utaathirika hivyo Chama kinatoa wito kwa Serikali kukutana na CWT kwa haraka ili kuendeleza majadiliano ya Madai mapya ya Walimu.Kuhusu kulipa fidia ya hasara waliyoipata wanafunzi, Chama hicho kimesema kinasubiri taarifa rasmi ya Serikali kuhusu hasara hiyo kwa kuwa hakina uwezo wa kufahamu hasara waliyoipata wanafunzi.Kwa mujibu wa Mwalimu MUKOBA wenye uwezo wa kuwasilisha hasara hiyo ni mlalamikaji katika kesi hiyo ambaye ni Serikali.Hapo jana Chama hicho kilipongeza kauli ya Rais JAKAYA KIKWETE yakusema Serikali inajali na kuthamini mchango wa Walimu nchini.

      Nakwenda kwenye majukiumu ntarudi kukujibu. Hoja zote hizo.

    15. #172
      Makame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd January 2008
      Posts : 513
      Rep Power : 680
      Likes Received
      57
      Likes Given
      23

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      1. Kama uadilifu ni kuunga Mkono vitendo vya kuhujumu elimu na watoto wetu; basi nashindwa kuthibitisha.
      2. Ufisadi ni kule kula fedha za wengi kwa manufaa ya mlaji na wakati uleule kuwanyima hao wengi wanachostahili. Mfano Mzuri sana ni ulaji wa Tshs Milioni 240 na viongozi wa CWT. Na kwenye mfano niliokupa, nimekuambieni CWT muache ufisadi.
      3. WEKA HICHO CHA OXFORD HAPA TUONE.
      4. Kwani hayo maelezo yamekuwa flowed? Hapa tunachambua mambo vile vile; na ndio maana ule uchambuzi wangu ukawa sahihi; au na mimi Jaji Voda Fasta?
      5. Ule ni mfano; wa kuonyesha kuwa kama waungwana CWT na Mwakilishi wa AG walienda Mahakamani. Ilipaswa wasubiri.

      Asante Almeida.

      Lete Hoja
      God made Man, Man made Money, Money made man mad!

    16. #173

      1. Una uhuru wa kuomba radhi au kutoomba mheshimiwa Almeida.
      2. Mimi sio Government agent. Kunufaika na mfumo inategemea. Mimi nina biashara zangu; nalipa kodi na nchi iko salama. Biashara zangu hazijawahi kuvamiwa na polisi kuja kunipora au kuniibia. Hivyo sioni udhalimu wa Serikali na siwezi kusema kuwa nanufaika na mfumo wa serikali kwa kuwa nalishwa na serikali.
      3. Mimi sili rushwa, sitoi na sipokei. Naichukia Rushwa kwa kuwa RUSHWA NI ADUI WA HAKI. Kukuthibitishia sitoweza.
      4. Najihudumia mwenyewe kwa hela ninayoitengeneza kutokana na biashara zangu.
      5. Na toil na nahangaika sana.
      6. HUO WAKO NI UHAFIDHINA WEWE ALMEIDA. Kama unatafsiri mtoto mdogo anayekuja darasani kwako kuwa ana dhambi za urithi? wewe umepinda.
      7. Viongozi wa Serikali yumo na Katibu Mtendaji wa kata na Wajumbe wa Mtaa. Wanafiti katika kundi hilo ulilolitaja?
      8. WEWE MWALIMU ALMEIDA MWANDIKIE RAIS

      Quote By tonnyalmeida
      Mtu yyote yule uungwna huwa anaomba radhi anapothibitisha kaia mazingira asiyotia shaka kuwa amekose.. Kwa upande anu SIONISABABU YA KUKUOMB RADHI KA SABABU SIJATHBITISHA UWA NIMEKOSEA BEYOND REASONABLE DOUB.. Ukithibitisha haya afuatayo beyondreasonale doubt ntauomba msamaha tea kwa njia sahihi kabisa

      1: Nithibitishei BEYOND REASONABLEDOUBT kuwa wewe sio Govermet agent wala hunufaiki a mfumo wa serikali dhalimu iliyoko madarakani nakuwa ueewa wako si mdogo.

      2: Thibitisha beyond reasonable doubt KAMA HULI RUSHWA WALA HUJAWAHI KULA (NAFSI YAKO ITAJIJIBU)thnpima the so Caled uzalendo wako

      3: Umsema hupand V8 thibitisha pia sio tu kama hupandi LAKINI PIA KAMA HUMILIKI

      4 Intertinmnt na stuff unazijua mwenyewe coz pa inaegemea na tafsiri yako katika hilo kua watanzania hata milo 3 kwa siku ni itertaimnt wewe na srkali yako mnatafsirije? make una kitengo kishatengewa Mabilion kwa intertainment.

      5: Toil? n wewe ahahahaaaaaa.. mimi nilitegemeatunaouza karnga a maandazi ndo tunotoil... tehtehtehhh hdi wewe? Samini aiseee

      6: Who is Innocent lives? Hakunamtu ambye ni Innocent hap... Hata biblia Katika kutoka 20:5 katika amri 10 Mungu ashawahi kuwapatiliza WANA MAOVU YA BABA ZAO ena si hao tu hata kizazi ch auna nne cha wanichukiao.. Baba na mama zao ndo waliopokea kanga na kuiweka serikali madarakani wanapawa kwenda kuida itimie wajibu wake Makame hili haina mjadala SSA KWA SABAU WANANCHI PIA WAKO KWENE MGOMO WA KIWAJIBISHA SERIKALI ACA WAPATE GHARAMA ZA HUO MGOM WAO

      7: WALIOTANGULIZA ASLAHI MBELE NISERIKALI KWA KUJIPA MISHAHARA MIKUBWA NA POSHO ZA KUMWAGA WAKATI WANANCHI WAO ANATABIKA ... SIO WAIMU UNAYOYAONA SASA NI MATOKEO YA VIONGOZI A SERIKALI KUTANGULIZA MASLHI BINAFSI

      UNANAJE KAMA HAYA MAONI YAKO UKIUANDKIA RAIS KIKWETENA UKAPELEKA IKULU KUWA WASITAGULIZE MASLAI BINAFSI?
      God made Man, Man made Money, Money made man mad!

    17. #174
      tonnyalmeida's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st February 2012
      Location : FIELD AGENT
      Posts : 226
      Rep Power : 413
      Likes Received
      46
      Likes Given
      60

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      Quote By Makame
      1. Una uhuru wa kuomba radhi au kutoomba mheshimiwa Almeida.
      2. Mimi sio Government agent. Kunufaika na mfumo inategemea. Mimi nina biashara zangu; nalipa kodi na nchi iko salama. Biashara zangu hazijawahi kuvamiwa na polisi kuja kunipora au kuniibia. Hivyo sioni udhalimu wa Serikali na siwezi kusema kuwa nanufaika na mfumo wa serikali kwa kuwa nalishwa na serikali.
      3. Mimi sili rushwa, sitoi na sipokei. Naichukia Rushwa kwa kuwa RUSHWA NI ADUI WA HAKI. Kukuthibitishia sitoweza.
      4. Najihudumia mwenyewe kwa hela ninayoitengeneza kutokana na biashara zangu.
      5. Na toil na nahangaika sana.
      6. HUO WAKO NI UHAFIDHINA WEWE ALMEIDA. Kama unatafsiri mtoto mdogo anayekuja darasani kwako kuwa ana dhambi za urithi? wewe umepinda.
      7. Viongozi wa Serikali yumo na Katibu Mtendaji wa kata na Wajumbe wa Mtaa. Wanafiti katika kundi hilo ulilolitaja?
      8. WEWE MWALIMU ALMEIDA MWANDIKIE RAIS
      1: majibu yako namba 2, 3 4 na 5 Naona umeanza kutoa majibu mepesi kwa Hoja nzito

      KAMA UMESHINDWA KUNITHIBITISHIA BEYOND REASONABLE DOUBT BASI HATUNA SABABU YA KUENDELEA KUJADILI.

      2: Kwani serikali yako inamuadhibu nanai? kama hulijui hilo fungu kasome biblia hayo sio maneno yangu. Unaruhusiwa kunipa majina yote utakayopenda ila hayabadilishi msimamo wangu.

      3: Sijatumia neno serikali yote na wala hujaninukuu, Maslahi binafsi yapo kwa sababu wanatabia ya kugawiana walionavyo ndo mana wanawasahau wenzao wa chini kama wanavyotusahau sisi

      4: Kapeleke wewe kwa huyo ****** make unaonekana unanguvu nyingi za kutuandikia watu wa kawaida kumbe kwa ****** Unagwaya? tehtehtehhhhh

      Sisi tushamfikishia Ujumbe... Asubiri matokeo.

    18. #175
      tonnyalmeida's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st February 2012
      Location : FIELD AGENT
      Posts : 226
      Rep Power : 413
      Likes Received
      46
      Likes Given
      60

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      Quote By Makame
      1. Kama uadilifu ni kuunga Mkono vitendo vya kuhujumu elimu na watoto wetu; basi nashindwa kuthibitisha.
      2. Ufisadi ni kule kula fedha za wengi kwa manufaa ya mlaji na wakati uleule kuwanyima hao wengi wanachostahili. Mfano Mzuri sana ni ulaji wa Tshs Milioni 240 na viongozi wa CWT. Na kwenye mfano niliokupa, nimekuambieni CWT muache ufisadi.
      3. WEKA HICHO CHA OXFORD HAPA TUONE.
      4. Kwani hayo maelezo yamekuwa flowed? Hapa tunachambua mambo vile vile; na ndio maana ule uchambuzi wangu ukawa sahihi; au na mimi Jaji Voda Fasta?
      5. Ule ni mfano; wa kuonyesha kuwa kama waungwana CWT na Mwakilishi wa AG walienda Mahakamani. Ilipaswa wasubiri.

      Asante Almeida.

      Lete Hoja

      1: Very Good makame ndo mana nikasema Viongozi wako sio waadilifu make wamekuwa wakiihujumu Elimu siku nyingi sana kwa kushindwa Kulipa walimu na vifaa vya kufundishia na wewe unayeonyesha Kuwatetea kwa hoja zao nyepesi PIA NDIYE MHUJUMU ELIMU...Ulikiri 200,000 haitoshelezi kama ndo hvo unategemea mtu ambaye analala njaa na kushindwa kusomesha watoto wake atampa mtoto wako elimu Bora? jibu ni jepesi HAIWEZEKANI.. NA KIONGOZI MAKINI ALIYEKARIBU NA RAIA WAKE HASUBIRI KUOMBWA ANAPASWA KUJUA MAHTAJI NA KUTATUA BILA MASHINIKIZO YOYOTE. HAWA WETU MAPOYOYO KAMA WANAOWATETEA ASANTE KWA KUKIRI HUWEZI KUTHIBITISHA

      2: Ahahahaaaa, nimeipenda Definition yako make imejaa comedy tupu eti CWT na MIL 240 Nshakwambia hizo pesa ni zetu wewe usiyechangia ZINAKUWASHA NINI? TUACHE WENYE NAZO TUTASEMA TUKIONA HAJA YAKUFANYA HVO. wawe wamekula au lahhh Tutasema wenyewe... Nlitegemea ungetoa Mifano kama ya EPA, MEREMETA. RADA... BANDARI na sasa GESI Unakuwa kama Waziri aliyemtaja Rwakatare kwa kuiba Mil 10 nahajampeleka mahakamani na ANAACHA KUWATAJA KWA MAJINA WANAUTUUZIA NGUZO ZETU? AJABU tupu.

      3: Kama kawaida yako na uvivu wa kusoma.. Nenda kasome huko.

      4: Unatoaje maelezo Ya FACT ambayo hujaiona? ASANTE KWA KUWA MSEMAJI WA SERIKALI.. KAMUELEZE ALOKUTUMA KUWA KAZI ANAYO... Habari za majaji Vodafasta Sizijui HEBU KAMA MSEMAJI WA SERIKALI NIJULISHE NI AKINA NANAI?

      Ahahahaaaa, eti uchambuzi ukawa sahihi... wewe Huna tofauti na Yule shehe alokuwa anatabiri ushindi baada ya matokeo kutangazwa au kubahatisha mwisho wa Nigerian Movie utakuwaje.. Hivi nani alokuwa hajui hukumu itakuwa hivo ilivyo? unachekesha sana.

      5: huo Mfano wako hapa haukuwa VIABLE ulikuwa mfano mfu uwe unaangalia matumizi ya mifano yako.

      ASANTE KWA SABABU NAZIDI KUKUFAHAMU VIZURI WEWE NI NANI

      KAKA UNALIPWA KIASI GANI? USINIJIBU IWE SIRI YAKO... ILA DAMU MNAYOMWAGA ITAWARUDIA TU...

    19. #176
      tonnyalmeida's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st February 2012
      Location : FIELD AGENT
      Posts : 226
      Rep Power : 413
      Likes Received
      46
      Likes Given
      60

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      Quote By Makame
      1. Kama wewe unahisi madai yako muajiri hatekelezi; kwa nini unang'ang'ania ajira hiyo? Hawajatekeleza madai sio kwa kumkomoa mtu; ila ndio uhalisia wa hali kwa jinsi mambo yalivyo. Kufanya unavyotaka ni kuhujumu taifa, na wasio na hatia. Kama unamuamini Mungu; hakika kwa hili iko siku ya hukumu na mtamuelezea kwa nini mling'ang'ania kazi ambayo kwa kung'ang'ania kwenu mumehujumu Jamii na pia kutoa false impression kuwa kuna watu wako kwenye ajira; kumbe hawapo.
      2. Kinachochekesha nini? Popote pale, watu wanatekeleza wajibu wao wa kazi kama muajiri anatekeleza wajibu wake. Kama mwajiri hakulipi unavyostahili,nenda kwenye ajira mbadala; ile kazi haikulipi. kuna migodi, kuna makampuni mbalimbali; kwa nini ung'ang'ania ualimu? au wewe ni mzee Fataki???? Kuhusu kukusanya Kodi, Serikali yenyewe imetangaza kuwa itatanua wigo wa kodi, ili kuweza kuongeza mapato na utoaji huduma, ikiwemo kuwalipa watumishi mbalimbali wakiwemo walimu.
      3. Serikali sio yangu; ni ya kwetu mimi na wewe Almeida. Pamoja na Kwamba kura yako 2010 ulimpatia Mgayhwa, Mutamwega Butt; lakini Serikali ikishaingia madarakani ni ya wote; walioipigia kura na walioinyima kura. What goes around comes around, mla kuku wa wenziwe miguu humuelekea. kama unajiona mjanja kuhujumu watoto wa Watanzania wenzio, utalipwa hapahapa..
      4. UONGOZI HURIA; uongozi wa CWT uache madaraka na kupisha watu wenye fikra endelevu na sio kutafuna fedha za walimu. Walimu wanaoona wanaonewa na kukandamizwa, waache kazi na kutafuta ajira mbadala.

      Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) kimetangaza kusitisha rasmi mgomo

      Chama Cha Walimu Tanzania (CWT)kimetangaza kusitisha rasmi mgomo wa walimu na hivyo kuwataka walimu wote nchini kurejea kazini mara moja kuanzia leo ili kutekeleza majukumu yao ya kila siku kama kawaida.

      Akitoa tamko la CWT kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam ikiwa ni siku moja baada ya Mahakama Kuu Kitengo cha Kazi kukiagiza Chama hicho kitoe maelekezo kwa wanachama wake kurudi kazini, Rais wa Chama hicho, GRATIAN MUKOBA (pichani), amesema walimu wanarudi kazini wakiwa wamekata tamaa kutokana na hukumu hiyo.Amefafanua kuwa walimu wanaporudi kazini bila kuwa na mawazo yaliyotulia, utendaji wao utaathirika hivyo Chama kinatoa wito kwa Serikali kukutana na CWT kwa haraka ili kuendeleza majadiliano ya Madai mapya ya Walimu.Kuhusu kulipa fidia ya hasara waliyoipata wanafunzi, Chama hicho kimesema kinasubiri taarifa rasmi ya Serikali kuhusu hasara hiyo kwa kuwa hakina uwezo wa kufahamu hasara waliyoipata wanafunzi.Kwa mujibu wa Mwalimu MUKOBA wenye uwezo wa kuwasilisha hasara hiyo ni mlalamikaji katika kesi hiyo ambaye ni Serikali.Hapo jana Chama hicho kilipongeza kauli ya Rais JAKAYA KIKWETE yakusema Serikali inajali na kuthamini mchango wa Walimu nchini.
      1:
      (a)Hivi kati ya RAis na wananchi nani ni mwajiri? sisi ndo tumemuajiri alikuja kutuomba kura tukampa majukumu SASA KAMA AMESHINDWA KUWA MUAJIRI YEYE NDO ATOKE MBONA ANANG'ANG'ANIA IKULU? Misri walipoona Rais wao hawezi KUWA MWAJIRI MZURI WALIMUONDOA.. NDICHO KINACHOFUATA KWA RAIS WA TZ.

      (b) Hakomolewi kama kashindwa kuwa mwajiri mzuriaondoke asisubiri kupinduliwa.. yani kazi tumpe sisi saiz aje kutukomoa?hizo ni salamu tu aondoke kwa hiari.

      (c) kweli Mungu kaanza kumuadhibu ndo mana hata akiteka raia na Kuwatupa mabwepande kila kitu kinakuwa wazi na saiz kila sekta hali mbaya.. Mungu anamuumbua masikiniii.

      (d) katupa false impresion kuwa tuna Rais kumbe kaiweka nchi kwenye AUTO PILOT iende yenyewe hadi Juzi kwenye Hotuba kakiri ETI MDA UMEBAKI MFUPI KWA HVO HAWEZI KUREFORM WIZARA YA NISHATI NA MADINI... wenzake wanafanya kwa plan za miaka 100 yeye anaangalia 3yrs to come... Ndo mana hata kutatua matatizo hawezi aibu tupu.

      Asante kwa kuleta Point nzuri aisee... NI KWELI TUNAKIVULI PALE MAGIGONI.

      2:
      (a) Na mimi ndo nashangaa.. hivi unajua mshahara wa Rais wewe? yani tunamlipa na kazi tulopma ili awe muajiri mzuri imemshinda. Ndomana sisi Tulomuajiri rais Tumeanza kumuwajibisha taratiiibu.. Kuna mda asipotaka kuelewa tutamchomoa mapema...
      (b) Me nashangaa sijui kwa nini wanang'ang'ania ikulu wakati yeye na mwanae wana hisa makampuni akibao ikiwemo Tanzanite.. Siwatuachie Nchi yetu walivovuna vimewatosha?

      (c) unaweza kunipa majina yote Unayotaka lakinai hayabadidli WHOM I AM.

      (D) KODI: Mzee unachekesha sana yani unaimamini kauli nyepesi kiasi hiki? ETI SERIKALI IMEPANUA WIGO.. Tehtehteeeee.. naomba nkulize maswali haya ukiyajibu tutaelewana
      (i) Huo wigo ni sekta gani? au ndo mnasema Private namba na bia? kama ndo hayo utakuwa mtu wa ajabu sana aiseee
      (ii) Wewe msemaji wa serikali mnategemea kuongeza kiasi gani kwenye pato la taifa?
      (iii) Mnampango wa kugawanya hilo pato litakaloongezeka (kama lipo) katika sekta gani na kwa asilimia ngapi?

      (e) Ni kweli serikali sio yako na Hao watawala mafisadi ni yetu walimu na watoto wetu... Hivo huwezi kuwa na uchungu nayo zaidi ya kuwatetea watawalaWANAOKUTUMA KUJA KUPOTOSHA UMMA HAPA JF

      3
      (a) hao unaowasema sijawahi kuwakubali hata mmoja na sijawahi kuishi katika majimbo yao, kwa nini usingetoa mfano wa mkono, mwakwembe, mwandosya? sitta?
      KWA SABABU SERIKALI NI YANGU NDO MANA NAIZUNGUMZIA KWA SABABU MIMI NDIYE NILIYE WAAJIRI NA KUWAPA MAJUKUMU
      (b) Jamaa kajifanya mjanja ndo mana unaona saiz mabo yanamrudia kila anachofanya hakiendi, laana za kuiba malizetu watanzania masikini tunao katwa kodi na kula yeye na wenzake inamtafuna... ASIENDELEE KUHUJUMU ELIMU YETU.. TUNAKUBALI KAIHARIBU BASI AISHIE HAPA PANATOSHAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.

      4: Ahahahaaaaaa CWT utaiona inaendelea kuwepo tu kwa sababu bado hatujaprove dhambi yao beyond reasonable doubt ila wakituzingua tutawapiga chini ILA SIO KWA PROPAGANDA ZA KITOTO KAMA ZAKO

      KAMBAMBIE JK NA WENZAKE WAACHE UFISADI NA SIO CWT.. WAAMBIE WAACHE IKULU MAPEMA KWA AMANI.. WASIPOTAKA NA WAKAENDELEA NA HUU UPUUZI WATATOKA KAMA GADHAFI NA WENZAKE.

      5.. AHAHAHAAAAA Propaganda at work.. SISI SIO MAZUZU JAMANI

    20. #177

      Hukujibu hili swali.... UMEFANYA NINI NA TAIFA LIKAJUA ILI KUONDOA UFISADI NDANI YA SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI?

    21. #178
      Makame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd January 2008
      Posts : 513
      Rep Power : 680
      Likes Received
      57
      Likes Given
      23

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      1. Suala la 200,000 kutotosha na kwa ujumla mazingira ya kazi ya kada ya walimu nimekubaliana na wewe na wengine tangu mwanzo kuwa malipo hayatoshi na mishahara pia. Nadhani utakubaliana na mimi kwamba kuna tatizo lililojitokeza la walimu wa Voda Fasta (UPE) na ndio mzizi wa yote haya. Nadhani pia umeshuhudia kwamba kuna mkora mmoja alikwenda akafanya ualimu kuwa ndio kada ya mwisho; ie lowest qualifications ndizo zinampeleka mtu Teachers Training; tofauti na ilivyokuwa zama za wakoloni.
      2. UFISADI ni UFISADI tu; ukiwa mdogo au Mkubwa ni ufisadi, Ukiwa MEREMETA au TRAFFIC ni ufisadi; na CWT ni mafisadi.
      3. KAWAIDA YANGU? Tunajadiliana Kiswahili unaleta OXFORD?? Wewe una uviza wa akili?
      4. Uchambuzi Mheshimiwa Mwalimu; Majaji wa Voda Fasta ni kama walimu wa Voda Fasta!
      5. Hukuutaka mfano ule; kwa kuwa wewe ni mwalimu; unaweza toa mfano hai wa kuiweka pointi inavyostahili kwa nilivyokusudia.

      Nashukuru kwa kuzidi kunifahamu.

      Malipo sina; ni uzalendo.

      Damu sijamwaga, au una ushahidi?

      Quote By tonnyalmeida
      1: Very Good makame ndo mana nikasema Viongozi wako sio waadilifu make wamekuwa wakiihujumu Elimu siku nyingi sana kwa kushindwa Kulipa walimu na vifaa vya kufundishia na wewe unayeonyesha Kuwatetea kwa hoja zao nyepesi PIA NDIYE MHUJUMU ELIMU...Ulikiri 200,000 haitoshelezi kama ndo hvo unategemea mtu ambaye analala njaa na kushindwa kusomesha watoto wake atampa mtoto wako elimu Bora? jibu ni jepesi HAIWEZEKANI.. NA KIONGOZI MAKINI ALIYEKARIBU NA RAIA WAKE HASUBIRI KUOMBWA ANAPASWA KUJUA MAHTAJI NA KUTATUA BILA MASHINIKIZO YOYOTE. HAWA WETU MAPOYOYO KAMA WANAOWATETEA ASANTE KWA KUKIRI HUWEZI KUTHIBITISHA

      2: Ahahahaaaa, nimeipenda Definition yako make imejaa comedy tupu eti CWT na MIL 240 Nshakwambia hizo pesa ni zetu wewe usiyechangia ZINAKUWASHA NINI? TUACHE WENYE NAZO TUTASEMA TUKIONA HAJA YAKUFANYA HVO. wawe wamekula au lahhh Tutasema wenyewe... Nlitegemea ungetoa Mifano kama ya EPA, MEREMETA. RADA... BANDARI na sasa GESI Unakuwa kama Waziri aliyemtaja Rwakatare kwa kuiba Mil 10 nahajampeleka mahakamani na ANAACHA KUWATAJA KWA MAJINA WANAUTUUZIA NGUZO ZETU? AJABU tupu.

      3: Kama kawaida yako na uvivu wa kusoma.. Nenda kasome huko.

      4: Unatoaje maelezo Ya FACT ambayo hujaiona? ASANTE KWA KUWA MSEMAJI WA SERIKALI.. KAMUELEZE ALOKUTUMA KUWA KAZI ANAYO... Habari za majaji Vodafasta Sizijui HEBU KAMA MSEMAJI WA SERIKALI NIJULISHE NI AKINA NANAI?

      Ahahahaaaa, eti uchambuzi ukawa sahihi... wewe Huna tofauti na Yule shehe alokuwa anatabiri ushindi baada ya matokeo kutangazwa au kubahatisha mwisho wa Nigerian Movie utakuwaje.. Hivi nani alokuwa hajui hukumu itakuwa hivo ilivyo? unachekesha sana.

      5: huo Mfano wako hapa haukuwa VIABLE ulikuwa mfano mfu uwe unaangalia matumizi ya mifano yako.

      ASANTE KWA SABABU NAZIDI KUKUFAHAMU VIZURI WEWE NI NANI

      KAKA UNALIPWA KIASI GANI? USINIJIBU IWE SIRI YAKO... ILA DAMU MNAYOMWAGA ITAWARUDIA TU...
      God made Man, Man made Money, Money made man mad!

    22. #179
      Makame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd January 2008
      Posts : 513
      Rep Power : 680
      Likes Received
      57
      Likes Given
      23

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      Swali limejibiwa; hujataka tu kukiri!

      Nimefanya mengi; moja wa mambo niliyofanya ni KUKEMEA UOVU WA WALIMU WAKORA WANAOITUMIA CWT VIBAYA ILI KUATHIRI TAIFA LETU

      Quote By tonnyalmeida
      Hukujibu hili swali.... UMEFANYA NINI NA TAIFA LIKAJUA ILI KUONDOA UFISADI NDANI YA SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI?
      God made Man, Man made Money, Money made man mad!

    23. #180
      Makame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd January 2008
      Posts : 513
      Rep Power : 680
      Likes Received
      57
      Likes Given
      23

      Default Re: Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

      1. Fanya hayo ya Misri Almeida. Wewe umeshindwa kazi! Na kama kivuli ni wewe na Wakora wengine wanaojidai kuingia Darasani kuwadanganya watoto; MUNGU ATAWALIPA UDHALIMU WENU
      2. Muwajibike nyinyi kwanza kabla hamjamuwajibisha mtu. Rais ana mandate mpaka 2015! Nimekwambia Serikali imetangaza kutanua Wigo na mimi sio serikali. Maswali yako yanamfaa zaidi mgimwa. Na kama kuna aliyetumwa ni wewe kupotosha kwa propaganda za uzandiki za CWT.
      3. Wewe ni mchangiaji Mkubwa wa kushuka kwa elimu na usemi wako LIWE LIWALO
      4. CWT Watoto wa kunyonya hata meno hawajaota
      5. Propaganda kwamwambie basha wa CWT Mukoba

      Quote By tonnyalmeida
      1:
      (a)Hivi kati ya RAis na wananchi nani ni mwajiri? sisi ndo tumemuajiri alikuja kutuomba kura tukampa majukumu SASA KAMA AMESHINDWA KUWA MUAJIRI YEYE NDO ATOKE MBONA ANANG'ANG'ANIA IKULU? Misri walipoona Rais wao hawezi KUWA MWAJIRI MZURI WALIMUONDOA.. NDICHO KINACHOFUATA KWA RAIS WA TZ.

      (b) Hakomolewi kama kashindwa kuwa mwajiri mzuriaondoke asisubiri kupinduliwa.. yani kazi tumpe sisi saiz aje kutukomoa?hizo ni salamu tu aondoke kwa hiari.

      (c) kweli Mungu kaanza kumuadhibu ndo mana hata akiteka raia na Kuwatupa mabwepande kila kitu kinakuwa wazi na saiz kila sekta hali mbaya.. Mungu anamuumbua masikiniii.

      (d) katupa false impresion kuwa tuna Rais kumbe kaiweka nchi kwenye AUTO PILOT iende yenyewe hadi Juzi kwenye Hotuba kakiri ETI MDA UMEBAKI MFUPI KWA HVO HAWEZI KUREFORM WIZARA YA NISHATI NA MADINI... wenzake wanafanya kwa plan za miaka 100 yeye anaangalia 3yrs to come... Ndo mana hata kutatua matatizo hawezi aibu tupu.

      Asante kwa kuleta Point nzuri aisee... NI KWELI TUNAKIVULI PALE MAGIGONI.

      2:
      (a) Na mimi ndo nashangaa.. hivi unajua mshahara wa Rais wewe? yani tunamlipa na kazi tulopma ili awe muajiri mzuri imemshinda. Ndomana sisi Tulomuajiri rais Tumeanza kumuwajibisha taratiiibu.. Kuna mda asipotaka kuelewa tutamchomoa mapema...
      (b) Me nashangaa sijui kwa nini wanang'ang'ania ikulu wakati yeye na mwanae wana hisa makampuni akibao ikiwemo Tanzanite.. Siwatuachie Nchi yetu walivovuna vimewatosha?

      (c) unaweza kunipa majina yote Unayotaka lakinai hayabadidli WHOM I AM.

      (D) KODI: Mzee unachekesha sana yani unaimamini kauli nyepesi kiasi hiki? ETI SERIKALI IMEPANUA WIGO.. Tehtehteeeee.. naomba nkulize maswali haya ukiyajibu tutaelewana
      (i) Huo wigo ni sekta gani? au ndo mnasema Private namba na bia? kama ndo hayo utakuwa mtu wa ajabu sana aiseee
      (ii) Wewe msemaji wa serikali mnategemea kuongeza kiasi gani kwenye pato la taifa?
      (iii) Mnampango wa kugawanya hilo pato litakaloongezeka (kama lipo) katika sekta gani na kwa asilimia ngapi?

      (e) Ni kweli serikali sio yako na Hao watawala mafisadi ni yetu walimu na watoto wetu... Hivo huwezi kuwa na uchungu nayo zaidi ya kuwatetea watawalaWANAOKUTUMA KUJA KUPOTOSHA UMMA HAPA JF

      3
      (a) hao unaowasema sijawahi kuwakubali hata mmoja na sijawahi kuishi katika majimbo yao, kwa nini usingetoa mfano wa mkono, mwakwembe, mwandosya? sitta?
      KWA SABABU SERIKALI NI YANGU NDO MANA NAIZUNGUMZIA KWA SABABU MIMI NDIYE NILIYE WAAJIRI NA KUWAPA MAJUKUMU
      (b) Jamaa kajifanya mjanja ndo mana unaona saiz mabo yanamrudia kila anachofanya hakiendi, laana za kuiba malizetu watanzania masikini tunao katwa kodi na kula yeye na wenzake inamtafuna... ASIENDELEE KUHUJUMU ELIMU YETU.. TUNAKUBALI KAIHARIBU BASI AISHIE HAPA PANATOSHAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.

      4: Ahahahaaaaaa CWT utaiona inaendelea kuwepo tu kwa sababu bado hatujaprove dhambi yao beyond reasonable doubt ila wakituzingua tutawapiga chini ILA SIO KWA PROPAGANDA ZA KITOTO KAMA ZAKO

      KAMBAMBIE JK NA WENZAKE WAACHE UFISADI NA SIO CWT.. WAAMBIE WAACHE IKULU MAPEMA KWA AMANI.. WASIPOTAKA NA WAKAENDELEA NA HUU UPUUZI WATATOKA KAMA GADHAFI NA WENZAKE.

      5.. AHAHAHAAAAA Propaganda at work.. SISI SIO MAZUZU JAMANI
      God made Man, Man made Money, Money made man mad!

    24. FemaTV & Radio
    Page 9 of 10 FirstFirst ... 78910 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...