Kwa kuwa naona Mahakama inatoa maelekezo lakini wanayapinga. Au ndio chachu ya kusema nchi isitawalike?
- Madaktari --hawakuheshimu maamuzi halali ya mahakama;
- Walimu ----- wamesema hawatoheshimu.
kitendo cha kwenda kinyume na amri za mahakama sio ishara njema, na kitatufanya tuwe kama majahili. hatuna majadiliano, hatuna heshima, hatujui mamlaka wala hatuna ustaarabu.
Tuheshimu MAHAKAMA

Reply With Quote
Follow Us Here