JK uliambiwa nchi haitatawalika ukawa unacheka cheka sasa kazi ndo imeanza ...ugali moto mchuzi moto...
JK uliambiwa nchi haitatawalika ukawa unacheka cheka sasa kazi ndo imeanza ...ugali moto mchuzi moto...
______________________________ _
Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....
Nahisi kuna misscomunication baina ya wafanya kazi au hakuna umoja.
laiti kungekuwa na umoja nasema hili swala leo tungekuwa tunadiscuss issues nyingine kabisa kwani lingeshatatuliwa kitaambo.
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
Mkubwa Kigogo.. Haya JK anayataka mwenyewe, alikwenda akachukua Mipesa kibao kwenye hii mifuko ya Jamii kula starehe bila mipango saiz ameshindwa kulipa ANAKURUPUKA na suluhisho la KIPUU*Zi la kusaini sheria ya ajabu ajabu. Sasa hapa atalaumiwa nani? Na inakuwaje anahamishia wajibu na matatizo ya serikali yake kwa wananchi?
Ndugu zangu wafanyakazi wote naomba tuungane kwa hili! huu ni uizi usio vumilika. Twapaswa kulipwa pesa zetu kwanza ndo tuanze maongezi kwa mkataba mwingine huu feki waliowapelekea mambumbu bungeni wakapiga makosi bila kuusoma.Naamini hapa tutakuwa pamoja dini na itikadi zote tulaani uonevu huu
CCM HAIKUBALIKI ...TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA...
REST IN PEACE, DR.D.D. HAULE...Wema hawana Maisha
Mi kama mfanyakazi na ndugu zangu wanaonitegemea nishawaambia marufuku kuhesabiwa! Marufuku! Hii serikali ya kishenzi. Wapuuzi
Mh!..hii ndiyo serikali ya CCM iliyoshindwa kukusanya mapato na hata mapato yaliyopatikana yanaishia matumboni mwa mafisadi...matokeo yake serikali inatolea macho pesa za wafanyakazi kwa kuwadhulumu.
Naunga mkono hoja, siku hiyo wakija tu nawatimua sitaki kuwaona mpaka nione mabadiliko ya hii sheria. Hili bonge ya idea hapa kikwete lazima ile kwake.
Mkuu acha tu yani hicho kitambulisho cha taifa kisingekua cha kupigia kura nisingejiandikisha kabisa na hyo sensa lazima tuikwamishe coz haina manufaa yoyote inaharibu tu kodi zetu mie sitohesabiwa na sitaki kuhesabiwa waondoe ungese wao kabisa tena akija mtu wakuhesabu sensor namkurupusha na bastola!
100% naomba watanzania tuwe tuapinga haya mambo ya kijinga ya hii serikali, imekua kawaida sasa serikali ikitumia pesa vibaya tunalipishwa sisi. TUGOME MAZIMA
"It is better to remain silent and be thought a fool than to open one's mouth and remove all doubt".
raisi anachekacheka tu anaposaini hizi sheria bila kujua madhara yake!
SAY NO TO SENSA
Mimi kama kuna mwana siasa anataka tumkumbuke achukue hili jukumu la kuongoza maandamano. Hii serikali ni kama komando yosso, wezi sana hawa wadudu.
Every time Chadema Plant seeds But ccm kill them before they Grow
We need to think and do more than this,tuungane na wafanyakazi wa migodini kwani wao wametuonyesha njia
jamani sisi wafanyakazi kugoma kuhesabiwa ndiyo basi..au kuna hatua inayofata hivi hatuna viongozi wa wafanyakazi mbona leo huko geita wameandamana viongozi wetu wako wapi? wanamsimamo gani
Naunga mkono 100% ujinga, upuuzi na udhifu wa magamba na serikali ya majuha. sihesabiwi ng'o!
Follow Us Here