Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    Report Post
    Page 18 of 18 FirstFirst ... 8161718
    Results 341 to 351 of 351
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,707
      Rep Power : 10935
      Likes Received
      3962
      Likes Given
      426

      Default Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Zitto
      Naye Mwenyekiti wa Kamati ya Mashirika ya Umma ambayo imeunganishwa kwenye tuhuma hizo, Zitto Kabwe, alisema tuhuma hizo anazisikia, lakini anaziona kama siasa za majitaka kwa sababu zinarushwa bila ushahidi wowote.

      "Hakuna hata mbunge mmoja aliyesimama kusema nani amehongwa nini. Mimi binafsi sijahongwa na mtu yeyote wala mimi sijamtetea mtu isipokuwa natetea taratibu kufuatwa," alisema.

      Zitto alibainisha kuwa anaamini tuhuma hizo zimetokana na hasira za yeye kupinga posho za wabunge na sasa wameona hilo ndilo eneo la kumkomoa.

      "Kwa kuwa ‘my conscious is clear’, (dhamira yangu safi) sina mashaka, uzushi, uongo na siasa za majitaka hizi zitaumbuliwa na ukweli. Hata hivyo, kwa kuwa tuhuma hizo zinasemwa juu juu tu, tutataka vyombo vya dola vichunguze na ikithibitika hatua zichukuliwe," alisema na kuongeza:

      "Kwangu mimi naona hizi ni siasa za urais na hasira za posho. Wenye kutaka urais wa vyama vyote na wapambe wao, wameungana kunichafulia heshima yangu. Wabunge wenye njaa ya posho, wameungana kunikomoa. Ukweli una tabia ya kutopenda kupuuzwa. Mwalimu Nyerere (Julius) alisema katika andiko lake la 'Tujisahihishe'.”

      Mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini(Chadema) alishauri pia Spika wa Bunge kutumia Kamati ya Maadili kuchunguza tuhuma hizo kwa kuwa hazipaswi kuachwa zikapita hivihivi.


      Source: Mwananchi Jumapili.


    2. #341
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,543
      Rep Power : 6185
      Likes Received
      3103
      Likes Given
      1025

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Quote By Tumaini Makene View Post
      Kimbunga


      Mwita Maranya kakwambia nusu ya ukweli unaopaswa kuambiwa, kutokana na namna unavyojenga hoja zako hapa mara kwa mara. Unataka kujua msimamo wa chama juu ya ufisadi wenu wa kitaasisi (institutionalized fraud) kupitia mfumo wa posho? Usisumbuke mkuu, pata nakala ya ilani ya CHADEMA!

      Kupinga mfumo wa posho na badala yake kuhitaji uhuisho wa mishahara kwa watumishi wa kada zote, ni kwa CHADEMA ni suala la kisera mkuu. Hivyo kama Mwita Maranya ni mwanachama/mpenzi makini kama ulivyokiri wewe hapa, basi tayari msimamo wake unaujua kupitia msimamo wa chama katika suala hili.

      Jifunze kuitafuta na kuisema kweli tupu. Fanyia kazi ushauri wa Mwita Maranya.
      Mkuu Tumaini Makene nashukuru umenjibu vyema. Mimi siku zote nimekuwa sifahamu msimamo wa CDM kuhusu posho manake mara wanazikataa mara wanashutumiana. Sasa nisaidie jambo moja: Ni kwamba Zitto alikataa posho ikiwa ni msimamo wake binafsi na wala si msimamo wa CDM? Kwamba msimamo wa CDM ni kuhuisha mishahara na posho.
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    3. #342
      bob giza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2010
      Posts : 267
      Rep Power : 517
      Likes Received
      5
      Likes Given
      2

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Quote By fmpiganaji View Post
      Zitto
      Naye Mwenyekiti wa Kamati ya Mashirika ya Umma ambayo imeunganishwa kwenye tuhuma hizo, Zitto Kabwe, alisema tuhuma hizo anazisikia, lakini anaziona kama siasa za majitaka kwa sababu zinarushwa bila ushahidi wowote.

      "Hakuna hata mbunge mmoja aliyesimama kusema nani amehongwa nini. Mimi binafsi sijahongwa na mtu yeyote wala mimi sijamtetea mtu isipokuwa natetea taratibu kufuatwa," alisema.

      Zitto alibainisha kuwa anaamini tuhuma hizo zimetokana na hasira za yeye kupinga posho za wabunge na sasa wameona hilo ndilo eneo la kumkomoa.

      "Kwa kuwa ‘my conscious is clear’, (dhamira yangu safi) sina mashaka, uzushi, uongo na siasa za majitaka hizi zitaumbuliwa na ukweli. Hata hivyo, kwa kuwa tuhuma hizo zinasemwa juu juu tu, tutataka vyombo vya dola vichunguze na ikithibitika hatua zichukuliwe," alisema na kuongeza:

      "Kwangu mimi naona hizi ni siasa za urais na hasira za posho. Wenye kutaka urais wa vyama vyote na wapambe wao, wameungana kunichafulia heshima yangu. Wabunge wenye njaa ya posho, wameungana kunikomoa. Ukweli una tabia ya kutopenda kupuuzwa. Mwalimu Nyerere (Julius) alisema katika andiko lake la 'Tujisahihishe'.”

      Mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini(Chadema) alishauri pia Spika wa Bunge kutumia Kamati ya Maadili kuchunguza tuhuma hizo kwa kuwa hazipaswi kuachwa zikapita hivihivi.


      Source: Mwananchi Jumapili.
      kaka zitto wee si upo ndani huko so unajua hata kampuni iliyoiuzi tanesco matairi ya chini ya kiwango na kwa bei iliyoongezwa jamani si ungetujuza ni ipi hiyo daah??afu kwenye suala la kusema utaratibu ufuatwe yaani waziri anasema ameokoa billions then wee bado umeng'ang'ania kuwa utaratibu haukufuatwa??kwa hili hata kama utaratibu haukufuatwa hakuna atakayekutetea wala kukuunga mkono..mm na wewe na wengi wetu humu wanajua kuwa nchi hii kuna mabingwa na kucheza na taratibu ambazo haziko makini (mojawapo hii sheria yenu ya manunuzi) ili kujinufaisha..kama kupindisha utaratibu hatimae kumeokoa billions hiyo ina maana kuwa utaratibu uliopo ni mbovu kwa sababu ulipelekea sisi kama nchi kupata hasara...hata mwanangu wa miaka miwili ataelewa kuwa ilikuwa ni busara kuacha kununua lita kwa buku mia nane na kuamua kununua kwa buku mia nne na sitini hata kama kwa kufanya ivo kulivunja utaratibu...na siku zote acha kusema watu wakikutuhumu eti ni kwa sababu ya posho na uraisi...kwa hoja ya uraisi nikwambie wazi kuwa hakuna anayekuhofia hata kidogo..kama kuna watu wamekudanganya kwamba kuna watu eti wanakuhofia kuhusu uraisi wamekudanganya sana..mimi ni mwananchi wa kawaida na ni mwanachama wa chadema lakini wa chinichini (kutokana na kazi yangu) na ninakwambia kuwa huku mitaani watu tu wanaona unajifurahisha...na zaidi kwa suala la posho watu wataona kumbe ulijua unavofanya sivyo kwaiyo ulikuwa unatengeneza nguzo ili uje uzitumie kujitetea kwamba wakisema chochote against you utakimbilia ooohh ni posho...ooohh ni posho hizi.....tutaona kuwa kumbe kutetea kwako posho hakukuwa kwa dhati bali ulikuwa mwenyewe unatengeneza mazingira mazuri ya kujitetea mbeleni kwa sababu ulijua fika kuwa kuna biashara zisizofaa unafanya....uraisi watu wakuzungumzie watu na uwashawishi kwa matendo na sio kuweka maneno midomoni mwao kwa maneno yako...uraisi hata kama nchi hii tumejaa wehu bado haujawa raisi hivo...umeonekana kama kijana unapapara sana,,..umeonekana una tamaa sana ndivyo tunavokuona huku mtaani...ungetulia tulii hata kama kweli unautaka uraisi na sometimes kukaa kimya kwa nchi kama Tanzania kunaweza kukusaidia zaidi kuliko kuongea ongea na kudhani unarekebisha mambo....hii Tanzania ya leo watu wamefunguka sana...na huu utandawazi imekuwa raisi kwa idadi kubwa ya watu kujua mambo mengi kwa muda mfupi...kwaiyo inabidi kujipanga sana...acha watu wakukubali wenyewe....na ukiamua kulazimisha basi uwe makini sana na uwe na pesa sana...

    4. #343
      Mrume's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th October 2011
      Posts : 31
      Rep Power : 392
      Likes Received
      6
      Likes Given
      0

      Default Re: Wachaga wa chadema waungana na ccm kumdhiti zitto kabwe

      Hakuna cha wachaga wala nani hapo msitake kupotosha watu na pia tuwache malumbano tusubirini uchunguzi ndio tutajua mbivu na mbichi. Kwasababu kumeshazuka tabia ya mtu anaiba mali ya umma akigundulika maneno yanayotamkwa ni kwamba hoo anaonewa wivu. Tuache siasa chafu hizo

    5. #344
      Lu-ma-ga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2010
      Posts : 1,933
      Rep Power : 834
      Likes Received
      545
      Likes Given
      8

      Default Re: Wachaga wa chadema waungana na ccm kumdhiti zitto kabwe

      Wamezoea hao mashabiki wa zitto kichaka chao eti ni udini, ukanda na ukabila akiguswa zitto wansingizia anabaguliwa, juzijuzi shibuda nae alikuja kwa gia ileile wasukuma wakamtolea nje kuwa wao ni chadema hadi mwisho.Zitto asitafute kuonewa huruma.

    6. #345
      figganigga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th October 2010
      Location : dar es salaam
      Posts : 8,575
      Rep Power : 12092
      Likes Received
      2814
      Likes Given
      1608

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      hadi kufika 2015 pumba na mchele vitakua vimeshajitenga. Mia


    7. #346
      schlumberger's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 15th June 2012
      Posts : 194
      Rep Power : 391
      Likes Received
      28
      Likes Given
      28

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Hekima inanikumbusha katika historia ya wana wa Israeli na kisa cha wao kuingia na kukaa nchini Misri. Alikuwa ni nabii Yusuph juu yake iwe rehema na amani aliyechukiwa na ndugu zake. Wakafanya fitina kubwa ya kukamia na kutaka kumuua. Azma yao ilipotimia Mwenyezi Mungu akamuokoa. Ikaja suala la kutaka kubakwa na mke wa bwana wake kwa sababu ya uzuri wake usiomithilika. Akakimbia nje na mwanamke akamchana kanzu yake kwa nyuma. Ghafla bwana mwenye nyumba akawa anaingia na kukutana na sekeseke hilo. Mara yule mwanamke akamsingizia Yusuph uongo na kusema; "Hakuna malipo ya mtu anayetaka kumbaka mkeo isipokuwa jela". kitoto kidogo kikamsafisha Yusuph na kusema; ikiwa kanzu ya yusuph imechanwa mbele basi yusuph ana makosa, na ikiwa imechanwa nyuma basi yusuph ni msafi na mwanamke ana makosa".
      Mzee akaona kuzima soo bora ampeleke jamaa jela.
      Huko jela akawabashiria waota ndoto juu ya yatakayowatokea na ikaja kuwa kweli. Yule jamaa aliyepandisha cheo akaombwa amkumbuke katika ufalme lakini kama ilivyokawaida ya binadamu - kuhukumu mtu kwa ubaya na kusahau mema yake yote, yule jamaa kampotezea. Uzalendo wake wote, ukweli wake wote na uadilifu wake wote ukawa sio kitu bali na kejeli juu.
      Zama zikapita na Ikaja wakati mfalme wa wakati huo akaota ndoto iliyoashiria miaka ya neema na tabu. waganga na makuhani wakaitwa na wote wakashindwa kukokotoa ndoto ile. Wakasema hizo ni ndoto zilizoparaganyika. Mshikaji kakumbuka yule jamaa wa gerezani aliyemsaidia kupata cheo.
      Nabii Yusuph akaitwa na kukokotoa ndoto ile na akasema ni YEYE PEKEE AMBAYE ANAWEZA KUSIMAMIA ILE KAZI YA KUKUSANYA MAVUNO KWA MIAKA SABA ili iwafae kipindi cha miaka saba ya shida. Mfalme AKAMKABIDHI KAZI ILE NA AKAIFANYA KWA USTADI. Mfalme hakuangalia UMRI wa kijana Yusuph bali AZMA na Uwezo wa kiakili.
      Sharti la kwanza aliloweka Yusuph ili kukubali kazi ya uweka hazina ni kuwa aletwe yule mama aliyetaka kumbaka ili athibitishe ni nani aliyekuwa mkosaji. Yule mama (mzee sasa na aliyepoteza nuru ya macho) akakiri kuwa alimpenda sana yusuph kinyume na matakwa yake kiasi cha kushindwa kujizuia.
      Baada ya hapo Mwenyezi Mungu akamrudishia nuru na macho yule mama na akamfanya mzuri (KIGORI) na akaja kuwa ndiye MKEWE YUSUPH.

      HALELUYA!!!!!!!!!!!

      My stance: HEKIMA HUPEWA WACHACHE.

    8. #347
      Invarbrass's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th February 2011
      Location : PLANET EARTH
      Posts : 380
      Rep Power : 497
      Likes Received
      74
      Likes Given
      65

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Sasa mh. Zitto unasema wanaokutuhumu hawana ushahidi ila ni wale wanaotaka urais na waliochukizwa na posho unazopinga Swali, We una ushahidi wa ulioyasema????????????? mbona hukuuweka ili hoja zako ziwe na nguvu ya ushahihid kuliko kuwa kama porojo za unaowapinga???????????

    9. #348
      massai's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd May 2011
      Posts : 641
      Rep Power : 540
      Likes Received
      123
      Likes Given
      2

      Default Ccm iko radhi kuwatoa wabunge wake kafara ili tu zitto aangamie.watakiri tuhuma.

      Kama hamkujua kinachoendelea ni kuwa wale wabunge walikula rushwa ni wa sisiemu ,sasa kinachoendele nikuwa wale wabunge wa sisiemu wanapewa somo ili wakiri kuwa walihongwa only to sloughter JEMBE,ZITTO KABWE....akili kumkichwa .

    10. #349
      marksalewi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 7th April 2012
      Posts : 49
      Rep Power : 372
      Likes Received
      13
      Likes Given
      5

      Default Re: Ccm iko radhi kuwatoa wabunge wake kafara ili tu zitto aangamie.watakiri tuhuma.

      sikuelewi
      mbona wakiwatosa watapoteza na majimbo yao?

    11. #350
      'TF''s Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th May 2011
      Location : Main Pharmacy
      Posts : 508
      Rep Power : 511
      Likes Received
      137
      Likes Given
      168

      Default Re: Ccm iko radhi kuwatoa wabunge wake kafara ili tu zitto aangamie.watakiri tuhuma.

      zitro ana bahati mbaya

    12. #351
      CHEMPO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th November 2011
      Location : A TOWN
      Posts : 369
      Rep Power : 1936
      Likes Received
      58
      Likes Given
      19

      Default Naisubiri taarifa ya habari ya tbccm.kuhusu mgomo wa walimu

      Nimeangalia habali ya mgomo wa walimu channel ten..wameeleza hii story kwa kina sana,sasa naisubir hii habari tbccm nicheke ......

    Page 18 of 18 FirstFirst ... 8161718

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...