Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    Report Post
    Page 17 of 18 FirstFirst ... 715161718 LastLast
    Results 321 to 340 of 351
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,707
      Rep Power : 10935
      Likes Received
      3961
      Likes Given
      426

      Default Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Zitto
      Naye Mwenyekiti wa Kamati ya Mashirika ya Umma ambayo imeunganishwa kwenye tuhuma hizo, Zitto Kabwe, alisema tuhuma hizo anazisikia, lakini anaziona kama siasa za majitaka kwa sababu zinarushwa bila ushahidi wowote.

      "Hakuna hata mbunge mmoja aliyesimama kusema nani amehongwa nini. Mimi binafsi sijahongwa na mtu yeyote wala mimi sijamtetea mtu isipokuwa natetea taratibu kufuatwa," alisema.

      Zitto alibainisha kuwa anaamini tuhuma hizo zimetokana na hasira za yeye kupinga posho za wabunge na sasa wameona hilo ndilo eneo la kumkomoa.

      "Kwa kuwa ‘my conscious is clear’, (dhamira yangu safi) sina mashaka, uzushi, uongo na siasa za majitaka hizi zitaumbuliwa na ukweli. Hata hivyo, kwa kuwa tuhuma hizo zinasemwa juu juu tu, tutataka vyombo vya dola vichunguze na ikithibitika hatua zichukuliwe," alisema na kuongeza:

      "Kwangu mimi naona hizi ni siasa za urais na hasira za posho. Wenye kutaka urais wa vyama vyote na wapambe wao, wameungana kunichafulia heshima yangu. Wabunge wenye njaa ya posho, wameungana kunikomoa. Ukweli una tabia ya kutopenda kupuuzwa. Mwalimu Nyerere (Julius) alisema katika andiko lake la 'Tujisahihishe'.”

      Mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini(Chadema) alishauri pia Spika wa Bunge kutumia Kamati ya Maadili kuchunguza tuhuma hizo kwa kuwa hazipaswi kuachwa zikapita hivihivi.

      Source: Mwananchi Jumapili.

    2. #321
      POMPO's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 3,055
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1129
      Likes Given
      652

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Quote By Ritz View Post
      Usikasirike jibu hoja kwa hiyo matajiri wote wa Tanzania ni wachagga...hakuna wachagga masikini.
      Kwani sisiem ni chama cha Wakwere?

    3. #322
      Nivea's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 5,987
      Rep Power : 16312
      Likes Received
      3402
      Likes Given
      4350

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Quote By Ritz View Post
      Usikasirike jibu hoja kwa hiyo matajiri wote wa Tanzania ni wachagga...hakuna wachagga masikini.
      mchagga maskini kwenye kabila lingine ni tajiri sana ,mimi si mchagga ila nawajua hawa watu vizuri
      Kosea njia utaelekezwa,lakini usikosee mtu wakuoa /kuolewa naye,vinginevyo majuto yatakuwa sehemu ya maisha yako.tuliza kichwa unapochagua mwenzi wa maisha.

    4. #323
      POMPO's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 3,055
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1129
      Likes Given
      652

      Default Re: Wachaga wa chadema waungana na ccm kumdhiti zitto kabwe

      Quote By mamajack View Post
      wewe,hakuna cha wachaga walanini zitto wa sasa ni mchafu,hafai kabisa,bora hata aende bongo movie.
      mkuu Movie yake ya kwanza acheze na Wema, and Kigoma all Starz
      mamajack likes this.

    5. #324
      Mr. Zero's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th June 2007
      Posts : 4,101
      Rep Power : 1445
      Likes Received
      485
      Likes Given
      72

      Default Re: Wachaga wa chadema waungana na ccm kumdhiti zitto kabwe

      Msiba Wewe kweli ni msiba mzito hapa JF........... Sijui matanga ni lini ya kubaliza huu msiba!
      "The Only Necessary for the Triumph of Evil is for Good Men to do Nothing" Edmund Burke (1729 - 97)

    6. #325
      MchukiaUonevu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th February 2012
      Posts : 185
      Rep Power : 1289
      Likes Received
      57
      Likes Given
      50

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Chadema haitamalizwa na kitu kingine isipokuwa udini(mfumo kristo).

    7. #326
      Zemu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th June 2008
      Posts : 438
      Rep Power : 650
      Likes Received
      48
      Likes Given
      18

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Kaaaaazi kweli kweli ZZK, hapa huchomoki, umekuwa mbali sanaaa na CDM kwa kiburi chako cha hela, kumbe unmehongwa???????????????, basi mwaka huu lazima tukufukuze uanachama CDM ukaanzishe chama cha wakigoma na katibu wako atakuwa Wema Sepetu na Mwenezi awe Diamond aka DOMO. Umezudi kk, huo urafiki wako wa Riz ndo unakikoroga chama, sepa tu mkuu tuna majembe ya kutosha.
      bob giza likes this.

    8. #327
      JIULIZE KWANZA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th November 2010
      Posts : 1,606
      Rep Power : 758
      Likes Received
      254
      Likes Given
      685

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Quote By BinMgen View Post
      Mbona katulia! hebu angalia kauli yake hii "Kwa kuwa ‘my conscious is clear’, (dhamira yangu safi) sina mashaka, uzushi, uongo na siasa za majitaka hizi zitaumbuliwa na ukweli.by zitto
      Angekuwa katulia asinge husisha tuhuma na urais au posho kwa mtazamo wangu anatapatapa au kujaribu kutuaminisha kuwa anaonewa anatuhadaa tuu na tumemsoma
      There shall be no peace without right for all...By Bob Marley.

    9. #328
      Mkirua's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Posts : 3,554
      Rep Power : 1065
      Likes Received
      1287
      Likes Given
      621

      Default Re: Wachaga wa chadema waungana na ccm kumdhiti zitto kabwe

      Msiba
      Join Date : 29th July 2012

      Posts : 2
      Rep Power : 0
      Likes Received5

      Likes Given0............umejuwaje kama sio umbea??
      The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!

    10. #329
      Bob G's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 5th October 2011
      Location : UK Manyasi
      Posts : 1,727
      Rep Power : 734
      Likes Received
      300
      Likes Given
      36

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Zitto tuhuma ni nzito na hoja yako haina mshiko, Umewafedhehesha wengi, na kuwakatisha tamaa wengi, hili ni pigo kwa umma, Watanzania walikosea sana kukuamini mtu usie aminika kabisa, yaani ni aibu, kweli ngoma ya kitoto haikeshi

    11. #330
      Mkirua's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Posts : 3,554
      Rep Power : 1065
      Likes Received
      1287
      Likes Given
      621

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Quote By olyset net View Post
      Mheshimiwa zitto!!jiepushe na watu wa aina ya ritz,ajenda yao karibu itatimia ikiwa utawapa ushirikiano wa kukumaliza.
      Too late mkuu... he is no more......wameshammaliza....
      The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!

    12. #331
      Mwanaharakatihuru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2012
      Posts : 474
      Rep Power : 0
      Likes Received
      114
      Likes Given
      14

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      zitto debeaking in progress!

    13. #332
      Mkeshaji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th January 2011
      Location : This is Anfield
      Posts : 3,710
      Rep Power : 1392
      Likes Received
      1132
      Likes Given
      329

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Karukaruka weeee..! Hatimaye kanasa.
      Sijui kama atachomoka hapa!
      You'll never walk alone - LFC.

    14. #333
      Nyunyu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 9th March 2009
      Location : Here.
      Posts : 3,359
      Rep Power : 2050
      Likes Received
      466
      Likes Given
      2775

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Zitto acha mambo ya kusingizia siasa za urais, pangua tuhuma kwa uwazi. For sure umewavunja moyo sana vijana waliokuona role model wao!!!
      Zogolo Dangu Dawika Miye! - Safari_ni_Safari wa JF

      e-mail: [email protected]

    15. #334
      Lu-ma-ga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2010
      Posts : 1,927
      Rep Power : 833
      Likes Received
      544
      Likes Given
      8

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Kule usukumani kijana hapewi madaraka kabla hajaoa wasukuma walijua madhara ya vijana.sasa mjifunzie tusiwe na haraka ya kugawa madaraka twendeni kwa rika wajameni.Zitto lazima apate cha moto sungusungu wanamsubiri achapwe viboko ya kichama.Alikidharau chama akidhani chake ni chake na chetu ni chake, umetokota baba

    16. #335
      Do santos's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th February 2011
      Posts : 404
      Rep Power : 504
      Likes Received
      86
      Likes Given
      159

      Default Re: Wachaga wa chadema waungana na ccm kumdhiti zitto kabwe

      kama kawaida lazima ulete udini,hata hao viongozi wa dini yako nini walichokifanya.Acha ujinga udini utakuua pu...bav zako
      Quote By Kigogo View Post
      yaani umejiunga specific kujibu hoja hii ama?ukibaraka huo..Zitto hata iweje hawezi kuwa rais ...tna uzoefu na dini anayotoka zitto kuwa haitoi viongozi makini..so aendelee tu na ubunge au awe rais wa kikundi cha wasaniii wa kigoma-leka tutigite

    17. #336
      bob giza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2010
      Posts : 267
      Rep Power : 517
      Likes Received
      5
      Likes Given
      2

      Default Re: Wachaga wa chadema waungana na ccm kumdhiti zitto kabwe

      Quote By Msiba View Post
      Ktika hali isiyokuwa ya kawaida wachaga waliop chadema wameungana na wabunge wapenda posho wa ccm ili kumuadabisha Mh zuberi zitto, yote hayao yametokana na mambo makuu mawili;

      1.Zitto kukataa posho na kuendelea kutozichukua mpka leo, wahafdhina ndani ya chadema wameona wanaaibika hasa baada ya mbungewa iramba mwigulu kuwachana ukweli, kma hiyo hitoshi wabunge wengi wa chadema ambao ni wa kaskazini waliingia kwenye chama na lengo lake likiwa ni kupata pesa , walitumia mbinu nyingi sana kumharibia zitto reputation yake ndani ya jamii na nje ya siasa ili aonekane yeye amehongwa au alikuwa na ubia na mhando wa tanesco.

      2.Kitendo cha zitto kutangaza kugombea urais 2015 kiliwastua sana wachaga kiasi cha kutengengeneza mkakati wa kummaliza kwenye medani za siasa kwa kushirikiana na ccm, ikumbukwe kwenye maswala ya ukabila wachaga huweka nje itikadi zao, na hiyo kazi alipewa selasin amabaye uhusiano wake na wachaga wenzio haupo na alizungumza vitu vingi sana
      Kama CHADEMA wataendelea na huu ujinga 2015 chma hakifiki na hata kikifika ccm wameshajuwa mahali pa kuwamamlizia ni juu ya urais na posho pekee yake.

      Mnyika ambaye yeye daiama ni mnafiki huwa anazungumzia hilo chini ya meza na maelezo yake niliyoyapata kwa njia ya kiintelejensia nitayaweka very soon baada ya secretary wangu kumalaiza kuyatype. Kafulila alisema CHADEMA ni ya wachaga na wewe ukijifanya ni yako wako tayari kukuharibia kwa gharama yoyote ile
      laziwa uwe umeandika haya kutoka wodi mojawapo pale milembe..mi nilishasema zitto kuwa raisi labda ni kwa sababu mbili kubwa!
      1. kwamba asilimia zaidi ya themanini ya watanzania ni vichaa,...
      2. nchi nzima tumekufa na wamebaki wanyama kama simba, kunguru, mbuzi, nyau n.k...(oops sorry kunguru sio mnyama si ndio)..

      moja au sababu zote hapo juu zikiwa kweli basi zitto atakuwa raisi wa "nji" hii

    18. #337
      Ngongo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th September 2008
      Location : Mlima Meru
      Posts : 4,969
      Rep Power : 6858
      Likes Received
      2409
      Likes Given
      3171

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Mkuu Matola nashukuru umeuona ujinga wa zomba hawezi kujiondoa kwenye box la udini nimesoma bandiko lake nikabaki kinywa wazi.Mkuu wangu Matola sidhani kama yupo mkosoaji mkubwa wa G Lema wakunishinda mimi hapa JF lakini wakati huo huo mimi na Lema tunaabudu usharika mmoja.Sitakiwi kumkosoa Lema kwakuwa Lema ni mKristo akiboronga napaswa kumtetea tena wakati mwingine naingiza na udini ili kuwaziba midomo wakosoaji wake !.

      Wanajamvi wenzangu Rais wa awamu ya tatu Mheshimiwa B W Mkapa tulikuwa tukimrushia madongo kuanzia ufisadi wa EPA,mikataba mibovu ya uchimbaji wa dhahabu,mgodi wa kiwira,ununuzi wa rada na Deep Green ufisadi ambao ulikuwa ukiliumiza taifa bila kujali itikadi zetu,dini zetu wala makabila yetu.Sikuwahi kusikia hata mara moja Mkapa akitetewa kwa kutumia dini yake ya kikristo au dhehebu lake la kikatoliki.Ukimgeukia aliyekuwa mwanasheria mkuu wake A Chenge naye alilaumiwa sana hapakuwepo na utetezi wa dini yake wala kabila lake.David Jairo hakubakizwa hata kidogo wote tulikuwa mstari wa mbele kumnanga kwa ufisadi wake wa kuchangisha fedha kwa nia ya kuwahongo waheshimiwa wasiokuwa na heshima sikuwahi kuona utetezi wenye kubeba harufu ya dini sana sana tuliona watetezi wenye kuangalia maslahi ya kiuchumi zaidi walifikia hatua ya kusukuma V8 utadhani lilikuwa limeishiwa mafuta.

      Zitto kakosea lazima tumseme mpaka ajirekebishe na hii ni sehemu ya uongozi ukitaka uongozi lazima ukubali kukosolewa na kubadilika wanaotumia mwavuli wa dini wanazidi kumweka katika mazingira magumu zaidi ni afadhali watafute njia nyingine [sahihi] lakini hili la udini na ukabila halina nafasi labda watafanikiwa kuwateka watu wachache wasiotaka kufikirisha bongo zao.

      Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Afrika.

      Quote By Matola View Post
      zomba chunga sana ukasuku wa udini uliojikaririsha na umekataa kubadilika, JK akipingwa kwa vitu dhahiri mnasema anachukiwa kwa ajili ya Uslamu wake, Zitto akifanya madudu watu akisema ukasuku wako unaendelea kisa Mwislamu, huu ni upuuzi ambao unataka ugande kwenye ubongo wako. Zitto ana Uislamu gani!?

    19. MTK is online now
      MTK
      #338
      MTK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th April 2012
      Posts : 1,001
      Rep Power : 4513
      Likes Received
      317
      Likes Given
      363

      Default Re: Wachaga wa chadema waungana na ccm kumdhiti zitto kabwe

      Quote By Msiba View Post
      Ktika hali isiyokuwa ya kawaida wachaga waliop chadema wameungana na wabunge wapenda posho wa ccm ili kumuadabisha Mh zuberi zitto, yote hayao yametokana na mambo makuu mawili;

      1.Zitto kukataa posho na kuendelea kutozichukua mpka leo, wahafdhina ndani ya chadema wameona wanaaibika hasa baada ya mbungewa iramba mwigulu kuwachana ukweli, kma hiyo hitoshi wabunge wengi wa chadema ambao ni wa kaskazini waliingia kwenye chama na lengo lake likiwa ni kupata pesa , walitumia mbinu nyingi sana kumharibia zitto reputation yake ndani ya jamii na nje ya siasa ili aonekane yeye amehongwa au alikuwa na ubia na mhando wa tanesco.

      2.Kitendo cha zitto kutangaza kugombea urais 2015 kiliwastua sana wachaga kiasi cha kutengengeneza mkakati wa kummaliza kwenye medani za siasa kwa kushirikiana na ccm, ikumbukwe kwenye maswala ya ukabila wachaga huweka nje itikadi zao, na hiyo kazi alipewa selasin amabaye uhusiano wake na wachaga wenzio haupo na alizungumza vitu vingi sana
      Kama CHADEMA wataendelea na huu ujinga 2015 chma hakifiki na hata kikifika ccm wameshajuwa mahali pa kuwamamlizia ni juu ya urais na posho pekee yake.

      Mnyika ambaye yeye daiama ni mnafiki huwa anazungumzia hilo chini ya meza na maelezo yake niliyoyapata kwa njia ya kiintelejensia nitayaweka very soon baada ya secretary wangu kumalaiza kuyatype. Kafulila alisema CHADEMA ni ya wachaga na wewe ukijifanya ni yako wako tayari kukuharibia kwa gharama yoyote ile
      I have very serious reservations about the state of your faculties!!!!??

    20. #339
      schlumberger's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 15th June 2012
      Posts : 186
      Rep Power : 390
      Likes Received
      28
      Likes Given
      28

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Kadiri ya MUDA ukweli wa kila kitu utaonekana. Mwenye hekima hukaa kimya kwa muda kwani wakati mwingine si rahisi kula matapishi yako.

    21. #340
      Elungata's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th January 2011
      Posts : 3,850
      Rep Power : 1281
      Likes Received
      447
      Likes Given
      0

      Default Re: Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

      Duh...still loading

    Page 17 of 18 FirstFirst ... 715161718 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...