Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Madudu ya Mama Abdallah

    Report Post
    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast
    Results 41 to 60 of 89
    1. #1
      Salimia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th February 2011
      Posts : 625
      Rep Power : 544
      Likes Received
      94
      Likes Given
      0

      Default Madudu ya Mama Abdallah

      Kwanza kabisa nalipongeza sana Bunge letu tukufu kwa kufichua maovu ya mama Anna Abdallah mlafi aliyepitiliza. Mmama huyu tangu aingie kwenye bodi ya korosho, sifa kuu aliyonayo ni kula zaidi kuliko hata Kitwana Kondo.

      Ana urafiki wa ajabu sana na huyu Bwana Mudhihiri uliopelekea Anna Abdallah kulipwa posho inayotushangaza hata sisi wafanyikazi .

      Ulaji huu umeanza mara baada tu ya serikali kuruhusu (CEL) yaani fedha za mapato ziingie kwenye bodi. Pesa hizi ni Billion 2 ambazo wanazila kwa kuwa na vikao vingi mno kupita kiasi. Hapa mchezo uliopo ni kwamba kila tani 1 ya korosho inayosafirishwa nje, 2% ya mapato hayo ndiyo huletwa kwenye bodi.

      Tangu aliyekuwa meneja wa cashew-nut Authority of Tanzania Mr. Mhagama afariki mama huyu Anna Abdallah sasa ana nguvu kama mtendaji.

      Ewe Rasi wetu mpendwa J.K Kikwete, chonde chonde, nusuru zao hili na fedha hizi za umma kwa kumteua rasmi mkurugenzi mpya na ikiwezekana huyu mama arudi Nanyumbu akafanye kampeni za UWT maana anakula kupita kiasi, yaani bila hata kunawa!!


      Kuona kupapasa.
      Last edited by Salimia; 28th July 2012 at 18:53.
      OTIS likes this.

    2. FemaTV & Radio

    3. #41
      BabaDesi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th June 2007
      Posts : 2,382
      Rep Power : 1084
      Likes Received
      251
      Likes Given
      1395

      Default Re: Madudu ya Mama Abdallah

      ...Mkuu Bobuk, huwa siamini mambo ya Ushirikina lakini hebu ulizia ulizia kama huo dizaini uliyosema bado upo tuchange change Jamaa watuletee huku mjini! Kuna Mafisadi wengi wa kuwafanyia hiyo Kitu. Wake kwa Waume!!! NIna Hasira Sana.
      Sema Kwa Sauti, Mimi Ni Mweusi Na Najivunia Kuwa Hivyo!

    4. #42
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,646
      Rep Power : 4016
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: Madudu ya Mama Abdallah

      Hivi kuitafuna Tanzania hakujalishi umri? I thought she has had her days already....
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    5. #43
      Bobuk's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 2,065
      Rep Power : 922
      Likes Received
      835
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By BabaDesi
      ...Mkuu Bobuk, huwa siamini mambo ya Ushirikina lakini hebu ulizia ulizia kama huo dizaini uliyosema bado upo tuchange change Jamaa watuletee huku mjini! Kuna Mafisadi wengi wa kuwafanyia hiyo Kitu. Wake kwa Waume!!! NIna Hasira Sana.
      Sijui kama bado kitu hiyo inaendelea huko sehemu za Magu.

      But recently nilisikia na kusoma kwamba hiyo kitu ipo siku hizi Zanzibar wao wanaita POPO BAWA.

      Nafikiri ukiwaomba wazanzibari wanaweza kukuletea!

    6. #44
      OTIS's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th September 2011
      Posts : 1,918
      Rep Power : 773
      Likes Received
      477
      Likes Given
      202

      Default Re: Madudu ya Mama Abdallah

      Mhe Rais hebu ingilia kati suala hili uokoe bodi hii.
      ONLY THE ILLUMINATI SUCCEED
      (OTIS)

    7. #45
      Salimia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th February 2011
      Posts : 625
      Rep Power : 544
      Likes Received
      94
      Likes Given
      0

      Default Re: Madudu ya Mama Abdallah

      Quote By juu kwa juu
      Anna abdala Ndio chanzo cha migogoro ya korosho kule kusini. Mimi namfahamu vizuri. Kwa hiari hake ajiuzulu kabla hajaumbuka humu jf. Nampa Siku 7 tu.
      Huyu mama kwa kweli ametukera sana sana sisi wafanyakazi wa korosho. Hata morari wa kazi hakuna

    8. Miaka 50

    9. #46
      kibol's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : dar es salaam
      Posts : 1,149
      Rep Power : 586
      Likes Received
      290
      Likes Given
      172

      Default Re: Madudu ya Mama Abdallah

      with these type of leaders are we really expecting changes???tutaendelea kupiga mark time mpaka arudipo mwana wa adamu.

    10. #47
      Salimia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th February 2011
      Posts : 625
      Rep Power : 544
      Likes Received
      94
      Likes Given
      0

      Default Re: Madudu ya Mama Abdallah

      Quote By kibol
      with these type of leaders are we really expecting changes???tutaendelea kupiga mark time mpaka arudipo mwana wa adamu.
      nakubaliana nawe 100%

    11. #48
      Chimunguru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2009
      Posts : 7,794
      Rep Power : 2148
      Likes Received
      1221
      Likes Given
      545

      Default Re: Madudu ya Mama Abdallah

      jamani dawa ni kuanzisha cha Syria tutaibbiwa mpaka wake zetu sasa na hawa mafisadi

    12. #49
      beyanga's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th July 2012
      Posts : 184
      Rep Power : 381
      Likes Received
      21
      Likes Given
      53

      Default Re: Madudu ya Mama Abdallah

      kwanza aondolewe mummewe msekwa ndani ya chama kazeeka sana analala sana kwenye vukao hana mbinu mpya amechoka akachezr na wajukuu

    13. #50
      kibol's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : dar es salaam
      Posts : 1,149
      Rep Power : 586
      Likes Received
      290
      Likes Given
      172

      Default

      Quote By Salimia
      nakubaliana nawe 100%
      Ndugu yangu,nchi hii mimi sijui ni wapi kusikolika,ukisikia ya bodi ya tanesco unaweza tafuta ata vidonge vya kupunguza maumivu ukameze upate usingizi,halafu hizi bodi ziliundwa kwa ajili ya wastaafu tu?watu wameshafanya kazi mda mrefu serekalini na pensheni zao wameshachukua lakini bado wanapewa ulaji,ina maana hakuna watu makini wanaoweza kupewa izo chance?

    14. #51
      kuungutana's Avatar
      Member Array
      Join Date : 9th May 2012
      Posts : 15
      Rep Power : 358
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Madudu ya Mama Abdallah

      Quote By Salimia
      Very true! But kwanini tuendelee kukaa kimya tu? Tuanze na hawa wanaojulikana tayari kwamba ni walaji ili watoke,, hatuwezi kuwanyamazia tu. Huyu mama Anna Abdallah has been in this country's politics for years ni vyema apumzike tu anyways. Hana jipya kabisa zaidi ya kuchumia tumbo kwa sasa
      Huku muheza kajitwalia shamba kubwa sana la mkonge bwerere!!!!!
      Twafa jameni

    15. #52
      armanisankara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2011
      Posts : 273
      Rep Power : 676
      Likes Received
      43
      Likes Given
      108

      Default Re: Madudu ya Mama Abdallah

      Quote By Salimia
      Kwanza kabisa nalipongeza sana Bunge letu tukufu kwa kufichua maovu ya mama Anna Abdallah mlafi aliyepitiliza. Mmama huyu tangu aingie kwenye bodi ya korosho, sifa kuu aliyonayo ni kula zaidi kuliko hata Kitwana Kondo.

      Ana urafiki wa ajabu sana na huyu Bwana Mudhihiri uliopelekea Anna Abdallah kulipwa posho inayotushangaza hata sisi wafanyikazi .

      Ulaji huu umeanza mara baada tu ya serikali kuruhusu (CEL) yaani fedha za mapato ziingie kwenye bodi. Pesa hizi ni Billion 2 ambazo wanazila kwa kuwa na vikao vingi mno kupita kiasi. Hapa mchezo uliopo ni kwamba kila tani 1 ya korosho inayosafirishwa nje, 2% ya mapato hayo ndiyo huletwa kwenye bodi.

      Tangu aliyekuwa meneja wa cashew-nut Authority of Tanzania Mr. Mhagama afariki mama huyu Anna Abdallah sasa ana nguvu kama mtendaji.

      Ewe Rasi wetu mpendwa J.K Kikwete, chonde chonde, nusuru zao hili na fedha hizi za umma kwa kumteua rasmi mkurugenzi mpya na ikiwezekana huyu mama arudi Nanyumbu akafanye kampeni za UWT maana anakula kupita kiasi, yaani bila hata kunawa!!


      Kuona kupapasa.
      mama huyo ni fisadi tangu kipindi cha alhaji mwinyi

    16. #53
      Abu-Musab's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th October 2011
      Posts : 110
      Rep Power : 404
      Likes Received
      19
      Likes Given
      2

      Default Re: Madudu ya Mama Abdallah

      Is there any possibility ya kuwashtaki watu kama huyu mama? it seems like ushahidi wote wa kukwapua fedha za umma upo. We have MPs in here who can help at least kuliuliza hili jambo bungeni. The likes of Mnyika etc please chukueni hili ili magamba wazidi kuporomoka machoni pa wananchi

    17. #54
      Mshawa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th September 2011
      Location : Here
      Posts : 273
      Rep Power : 444
      Likes Received
      37
      Likes Given
      48

      Default

      Quote By Bobuk
      Ndiyo huyu huyu Anna Abdallah. Yalikuwa mambo ya USHIRIKINA, yalikuwa hayahusiani na UFISADI kwani zilikuwa ni enzi za Mwalimu ambapo viongozi wetu walikuwa na maadili mazuri.

      Nafikiri kutokana na uzuri wake basi WASUKUMU wakawa wanataka "kuonja" kwa njia zisizo rasmi (read ushirikina), bahati nzuri enzi hizo UKIMWI haukuwepo. ikamubidi mama wa watu akimbie Magu!
      Ningeupata huo ujuzi huyu mama hapo bungeni walah angenikoma na mawigi yake..

    18. #55
      Abu-Musab's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th October 2011
      Posts : 110
      Rep Power : 404
      Likes Received
      19
      Likes Given
      2

      Default Re: Madudu ya Mama Abdallah

      Quote By Mshawa
      Ningeupata huo ujuzi huyu mama hapo bungeni walah angenikoma na mawigi yake..
      mkuu taratibu.............

    19. #56
      Ndinani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2010
      Posts : 2,947
      Rep Power : 1531
      Likes Received
      745
      Likes Given
      237

      Default Re: Madudu ya Mama Abdallah

      Quote By MchunguZI
      Muondoeni kwa sheria iliyozuiya wabunge kuingia kwenye bodi za mashirika ya umma. Hebu mutumieni mbunge mmoja wapo atuisaidie kuondoa uchafu huu.
      Bibi Kiroboto hawezi kuruhusu hoja ya huyu mama ijadiliwe kwa kupitia wabunge kuwa wajumbe wa mabodi ni kuwa na mgongano wa kimaslahi kwani wao ni wasimamizi wa serikali kwasababu yeye mwenyewe Spika ni mwenyekiti wa bodi ya CHAI!!! What a disgrace; hawa wanawake wanakula bila kunawa ni wachafu!!

    20. #57
      Tukundane's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2012
      Posts : 871
      Rep Power : 805
      Likes Received
      133
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Bobuk
      Muulizeni wasukumu wa Magu walivyomfanya hadi akaukimbia U-DC wa Magu!

      Kila asubuhi akiamuka anajikuta nje huku sehemu za siri zikiwa zimechafuliwa.
      Aisee umenikumbusha mbali hii habali niliambiwa na rafiki yangu mwaka fulani wilaya ya biharamulo ila yeye ni mwenyeji wa magu.kumbe ilikuwa ni ya kweli.

    21. #58
      KOMBESANA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th June 2009
      Posts : 525
      Rep Power : 610
      Likes Received
      114
      Likes Given
      1485

      Default Re: Madudu ya Mama Abdallah

      Kawawa siyo ABD-ALLAH na MSEKWA hana jina ABD-ALLAH!Sasa kizushi zushi ABDALLAH LABDA BABA YAKE ANNA!au?Ufisadi umeanzia Awamu ya Kwanza ya dola,ukawa sugu dhidi ya dawa wakati wa Awamu ya pili,

      Awamu ya tatu ikagundua dawa dhaifu kuliko ile virusi vya ufisadi vilivyoishinda kwa jina la biashara ikaitwa PCB, na kwa udhaifu (uliochanganyika na nia mbaya) wa Awamu ya nne dawa nyingine (ambayo kiongozi wa kampuni iliyoigundua ni daktari wa falsafa ya ushahidi wa ufisadi) ikaletwa sokoni ikapewa jina la PCCB.

      Dawa hii ya mwishi siyo tu kuwa ni dhaifu bali ni sumu kwa mgonjwa pia. NA SASA UFISADI UMEMFIKISHA MAMA TANGANYIKA katika hatua ya nne ya maradhi (madaktari mtusaidie kufafanua maana ya hatua ya nne)yanayohatarisha hasa uhai wake!

    22. #59
      Koffie's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2012
      Posts : 367
      Rep Power : 438
      Likes Received
      77
      Likes Given
      6

      Default Re: Madudu ya Mama Abdallah

      Quote By armanisankara
      mama huyo ni fisadi tangu kipindi cha alhaji mwinyi
      wangewajibishwa kwa hoja kulipuliwa bungeni na huyu bi kiroboto ang';olewe kwenye uspika

    23. #60
      THE BIG SHOW's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2012
      Location : tabata-dsm
      Posts : 4,991
      Rep Power : 7098
      Likes Received
      1660
      Likes Given
      1602

      Default Re: Madudu ya Mama Abdallah

      dah,,yan nchi hii,hakuna kwenye unafuu hata kidogo?wameishi dunia yao wameimaliza na sasa wanaingilia dunia yetu na kuimaliza,wanataka vizazi vyetu sisi vije viishije??dah..

    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...