Wadau,
Kwa Habari za Uhakika toka Serikalini, ni kuwa Gazeti la Mwana Halisi litafungiwa. Yawezekana ni kwakuwa limekuwa likiandika Habari zisizowapendeza Watawala.
Kwa Mujibu wa Mtoa Taarifa, tayari Wizara imepata baraka zote toka Ngazi za juu na hatua za kisheria zitafuata punde ikiwemo Mhariri wake na mmiliki kufikishwa Mahakamani kwa kuingilia uhuru wa Mahakama (time will tell)




Follow Us Here