Katika pita pita yangu nimeona gazeti la The African la New Habari lenye kurasa 72.
Katika pita pita yangu nimeona gazeti la The African la New Habari lenye kurasa 72.
Being prolific doesnt mean you are an accomplished person
ipo wapi?
It’s good to test a guy first before you believe him. But don’t let him wait that long
Duh, napita!
where is the front page??
haijalishi
CONFIDENCE IS WHAT AM LOOKING FOR.... NOT HAPPINESS
litakuwa linakwendaje ?? 3000??? au mia nane ???
CHADEMA mwendo mdundo - T 2015 CDM
habari leo tu alinunuliwi? je hilo kubwa la nini?????!!! wamechoka.
72 pages???????
Inaonekana wana karatasi nyingi sana za kuchezea!
Mbona hueleweki linatolewa na nani? TSN au New Habari 1996 ltd
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Binafsi ninawapongeza kwa hilo kurasa 72 si mchezo!
Nzasikia limeuza kama njugu jana, kufika saa 8 mchana likapotoe kwenye meza za wauzaji. Na leo hii asubuhi nimepigiwa simu na mdogo wangu kutoka Nairobi kwamba ameliona mitaani -- watu wakilishangaa na wengine kununua!
Being prolific doesnt mean you are an accomplished person
Rostam Aziz, Prince Bagenda, Balile na yule Msomali gani wa Nzega? Wanajiandaa "kuichukua" Kenya?
Hili gazeati ni product ya new habari corporation, lina page 72 nimelisoma gazeti limesimama , lina cover story za nchi tano tanzania , uganda,kenya ,rwanda na burundi.wahariri wake inaonekana wameenda shule content ina prove, sidhani kama Bagenda ana uwezo wa kuandika niliyoyasoma kwenye hilo gazeti,makala za bagenda kwenye Rai zinadhihirishwa huyu mzee amechoka anaganga njaa baada ya kuliua gazeti lake alilokuwa anamiliki pamoja na karamagi mzee wa tics
Follow Us Here