Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.
Zitto Z. Kabwe
Wilbrod P. Slaa
Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.
Last edited by Kijana Msomali; 27th July 2012 at 11:53.
Zitto si saizi y Dr. Slaa kabisa, saizi yake ni akina Mnyika, Mdee na wenzake. Aache mdomo hana ubavu wa Urais bali anatumiwa na CCM. Na kuna siku tutamuanika peupee ili aache upopo wake ndani ya Chadema.
Huwezi linganisha DR wa ukweli na vijidagaa wa juzi.Umri wao bado sana,wacha wakue kwanza ndo uwalinganishe na kuwafanyia poll
Walk your talk
Katibu Mkuu Chagga
Mwenyekiti. Chagga hatudanyiki
Zitto,The future president.
'watanzania hawakukosea kumchagua Rais Jakaya Kikwete...walijua ana busara...' -Tundu Lissu
hao wote kila mtu agombee kivyake then kura zao zidisha mara 4 hawawezi kufikia hata nusu ya kura za EDWARD NGOYAY LOUWASA (jembe ulaya)
Jamani mbona mleta mada matokeo haya hapa!
- Zitto Z. Kabwe
412.90%- Wilbrod P. Slaa
2787.10%
"Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
By J.K. NYERERE.
Unajua kazi ya kichwa ni kutumia akili na si kufuga nywele. Ungetumia akili ungekumbuka kwamba CHADEMA ilianzishwa siku 43 baada ya Sheria ya Vyama vingi kuanza kutumika July 01, 1992. Hivyo, mwanachama wa kwanza wa CHADEMA ni aliyeingia uanachama tarehe August 12, 1992.
Dr. Willibrod Slaa alienguliwa na CCM ulipokaribia uchaguzi wa 1995. Alipoenguliwa akajiunga CHADEMA. Hivyo, kuanzia August 2005, Dr. Slaa si tu kwamba alikuwa ni mwanachama bali alikuwa mgombea ubunge kwa ticket ta CHADEMA.
Kama Zitto na Mbowe walikuwa wanachama wa kwanza wa CHADEMA ile August 1992 wakati mwenzao Dr. Slaa kaingia August 2005 basi tofauti yao na mwenzao Dr. Slaa ni miaka mitatu tu.
Kwa maana hiyo Zitto ana miaka 20 ndani ya CHADEMA wakti Dr. Slaa ana miaka 17. Sasa, tofauti gani hii ya kupigizana kelele zote hizi kama tunatumia kichwa kwa kutoa tongotongo!
.."ni heri Dr. Willibrod Slaa ashinde na aingie Ikulu, kuliko Tundu Lissu kushinda ubunge na kuingia Bungeni"......Jakaya Mrisho Kikwete, Oct. 2010.
Wadau nitafanyaje niwaone waliopiga kura? nataka niwajue pro-vatican
Hapo ktk red are you sure wat you talking? Dr Slaa na Zitto nani mwenye jazba nyingi? rejea mwaka 2010 wakati Zitto alivyokiuka maamuzi halali ya chama chake kususia hotoba ya raisi JK bungeni, yeye akuingia bungeni tena kana kwamba haitoshi kesho yake akafanya press conference hakaweka wazi kupingana kupingana na maamuzi ya chama chake.
Ndoto tu.
We shall overcome, righteousness shall always prevail.
nadhani dr. slaa bado anakubalika kuliko bwana Zito (^-_-^) nyepesi
CHADEMA mwendo mdundo - T 2015 CDM
Zitto anafaa kuwa rais lakini muda wake bado sana
Zito anafikiri atashinda Uraisi bila kujenga mitandao ya Chama Nchi zima Slaa anafikiri kukijenga kwanza chama ili kuleta ushindi wa kishindo 2015
Pro-ccm wote lazima wamchague zitto kwani wana jua ndio njia rahisi na zitto kwa uvivu wa kufikiri ana dhani ana kubalika kumbe wana mg'ong'a. Ukiona wana ccm wana mkubali mpinzani wao jaribu kumchunguza na wameshajua weakness zake.
Leo zitto wana ccm hawa muoni kama ni mpinzani wao tena kwani hana makali tena wamesha mnyang'anya kisu.
Follow Us Here