Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.
Zitto Z. Kabwe
Wilbrod P. Slaa
Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.
Last edited by Kijana Msomali; 27th July 2012 at 11:53.
dr slaa yuko juu...... zito nampenda lakini bado muda wake.....
Mleta thread hii hajatenda haki. kama anafanya dissertation atumie dodoso si kwa njia ya kutaka kufitinisha na mgogoro CDM. Hata kama ZZK ataonekana hapati kura za kutosha kwnye poll ; hiyo peke yake itamvunja moyo. Hata hivyo Bw Zitto aanze kazi kwenye chama chake. Beyond 2015 may be he can be presidential material
Dr. Willbrod Slaa....
1.Muadilifu
2.Mzalendo
3Hatumiki
4.Atatufikisha pale mahali tunataka.
slaa tosha hata huku masjid
Wote mnaomtetea zito nawaomba mrudi shule na nadhani mkapimwe akili kwa sababu huyu UZITO WA KABWELA anamadoa yafuatayo 1:aliyumbisha chama baada ya kuwa na mahusiano ya karibu na Rostam,Lowasa pamoja na Mzaramu 2:Ana uchu wa madaraka 3:Kashfa ya Rushwa ndani ya wizara ya nishati na madini kwahiyo hatufai nawaomba ndugu zangu sasahivi uchama tuuweke pembeni na tuangalie kiongozi bora Willbroad Slaa chaguo la wote.
Mi nakubaliana na wote wanaosema dr. slaa ni sawa mt kili na zito ni sawa na kichuguu. 1 zito mi naona hajakomaa kiasi cha kupewa majukumu ya nchi, 2 ana uchu wa madaraka so kuleta mabadiliko ya kweli inaweza kuwa ngumu.mengne waongezee wengne
Utu uzima dawa ,Mzee Slaa ndiye anaefaa zito bado hajamaliza tamaa kuongea sio utendaji,nazani hata biblia wazee walitumia tokea enzi za manabii,hata mbinguni tunaona ktk kitabu cha ufunuo kuna waze 24 wamezunguka kiti cha enzi,SLAA JUU ZITO CHINI.
dr. Slaa is far much better than Zitto.
DR.SLAA. Kura yangu nampa 100%...
Zitto ana muda wa kushosha kama nia yake ni kuongoza nchi hii. ila ana kazi kubwa ya kufanya ili watanzania hasa wa hali ya chini wamwelewe misimamo yake, maana ni kama haieleweki eleweki - aka VUGUVUGU. na kuwa vuguvugu ni DHAMBI katika vitabu vya dini zote.
kwa sasa kuna candidates ambao hawezi kuvaa viatu vyao.
CHADEMA - Dr. W.Slaa
CCM - LOWASSA / SITTA /MEMBE / NYARANDU.
Hapa utaona picha halisi nani ni Rais Ajaye.
mimi nimempa dr kwasababu zito hakuwa makini mjengoni alionyesha udhaifu kama mbunge aple ssra ilipopita, he is not a president material
Zitto akagombee kwa tiketi ya ccm maana kwa akili ya kawaida haiwezekani uwe na urafiki na mtu mnayemwania mwali,wakati wenzake wanapigwa mabomu yy yupo ikulu anakula karamu,ww mleta mada unatumika na yeye?
Zitto ni mbunge wa chadema Slaa ni nani? je unajua mbunge hupatikana vipi je hao waliompa zamana ya kuwaongoza ni wa chama gani mimi ni chadema damu lakini ukiniuliza kuusu hawa wawili naona Zitto zaidi ya Slaa katika siasa labda kwa uongozi wa kanisa naweza kumpa Slaa kama atakuwa hana mke kwani sisi wakatoliki mapadri wetu hawana ruhusa ya kuowa.
Thread chonganishi.
Follow Us Here