MRC Special Series Part 1- YouTube
kesi yetu koti ya kenya imetoa uamuzi wake,,,,,serikali haIkuleta ushahidi wa kutosha kwa hio MRC sio kundi haramu tena,,,,,,tulidumisha amani kama kawaida yetu japokua polisi walikua wengi na teargass zao mikononi,bunduki na mbwa wao wakipolisi,,,,,tuliondoka bila kusababisha fujo,,,,nawapongeza wapwani wote tuliokua nao tangu harakati hizi zianze na tunashkuru mungu kwa ushindi,,,,,tutawatangazia siku ambayo tutafanya mkutano wa amani na wakumshukuru mungu,,,,,,,bado tunasema hatutaki kumfukuza mtu yeyote ambae si mpwani ila tu ni haki yetu wapwani ndio tunataka,,,,uwamuzi uko kwetu sasa wala sio kwao,,,,,,,,PWANI SI KENYA.


Reply With Quote

Follow Us Here