JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kilichojiri bungeni Tarehe 13 April (Muswada wa mafao)

  Report Post
  Page 9 of 9 FirstFirst ... 789
  Results 161 to 173 of 173
  1. kix's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2009
   Posts : 318
   Rep Power : 705
   Likes Received
   86
   Likes Given
   57

   Default Kilichojiri bungeni Tarehe 13 April (Muswada wa mafao)

   Soma hansard ya bunge ya tarehe 13 april kumbe bunge lilipitisha hoja kana kwamba inamashiko kwetu.

   Wabunge ni wawakilishi wa wananchi wapo bungeni kupeleka kile ambacho tunawaagiza sasa nashidwa kufaham vizuri kwenye mswaada wa Sheria za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2012, je Myika hayo ndo wanafanya kazi wanaishi ubungo walikutuma.

   Je, Stealla Manyanya, Halima Mdee hayo ndo ulitumwa na wanchi wa jimbo lako au tukifika pale tunatumia utashi wetu binafsi na kwadharau wananchi waliokupa ridhaa hiyo tena kwa kukesha kulinda kura zako kusudi utete matatizo yao?

   http://polis.parliament.go.tz/PAMS/docs/HS-7-4-2012.pdf
   Kamakabuzi and TWIZAMALLYA like this.

  2. tpmazembe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2012
   Posts : 2,424
   Rep Power : 1044
   Likes Received
   517
   Likes Given
   244

   Default re: Wabunge wa Upinzani wametuuza (mafao)

   kukimbia kulijadili hili ni kujidanganya wenyewe, ni kama kijifitini, huu mtihani wa kwanza chadema wamefail.

  3. njem's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 27th July 2012
   Posts : 5
   Rep Power : 468
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default re: Wabunge wa Upinzani wametuuza (mafao)

   tutaingia barabarani
   tpmazembe likes this.

  4. tpmazembe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2012
   Posts : 2,424
   Rep Power : 1044
   Likes Received
   517
   Likes Given
   244

   Default re: Wabunge wa Upinzani wametuuza (mafao)

   Quote By njem View Post
   tutaingia barabarani
   kweli sasa ni kama hatuna tena mtetezi

  5. tpmazembe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2012
   Posts : 2,424
   Rep Power : 1044
   Likes Received
   517
   Likes Given
   244

   Default re: Wabunge wa Upinzani wametuuza (mafao)

   Kinachoshangaza ni kuwa wanahangaika na vitu vya kusadikika wanaacha vitu vya msingi, sasa hayo madini wanayojidai kutetea hata hawajui mikataba ilikuwaje, tenda wamapeana vipi, wanachimba kiasi gani, yaani ni USANII TU,hatuna mtetezi tz

  6. Nyetk's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th February 2012
   Posts : 1,268
   Rep Power : 1076817
   Likes Received
   777
   Likes Given
   743

   Default re: Wabunge wa Upinzani wametuuza (mafao)

   Unachekesha kweli. Wabunge wa CCM ndiyo najority bungeni hivyo jambo lolote wanalotaka lipite litapita tu. Ulitegemea wabunge wa upinzani wafanye muujiza gani wakwamishe mswada usipite?
   Echolima likes this.


  7. peri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd March 2011
   Posts : 2,553
   Rep Power : 86010807
   Likes Received
   1112
   Likes Given
   213

   Default re: Wabunge wa Upinzani wametuuza (mafao)

   Quote By PakaJimmy View Post
   Usipoteze muda kulaumu, wewe kama mwajiriwa wa sekta ya serikali au binafsi fanya lililo katika nafasi yako!
   Hujaona wana GGM jana walichofanya, hadi jamaa wa SSRA akaamua kuomba mwezi 1 wa ziada ili wakafanye mawasiliano zaidi?
   Wangeanza kwanza wao kufanya lilo ktk nafasi yao wangekuwa wametuonyesha njia.
   kwa hili wamewaangusha walio waamini.
   Ndomana bado naamini wanasiasa ni walewale tu, hawatofautiani sana.
   tpmazembe likes this.

  8. tpmazembe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2012
   Posts : 2,424
   Rep Power : 1044
   Likes Received
   517
   Likes Given
   244

   Default re: Wabunge wa Upinzani wametuuza (mafao)

   Quote By nyetk View Post
   unachekesha kweli. Wabunge wa ccm ndiyo najority bungeni hivyo jambo lolote wanalotaka lipite litapita tu. Ulitegemea wabunge wa upinzani wafanye muujiza gani wakwamishe mswada usipite?
   wangekataa, waraise awareness , wana magazeti wangeandika wananchi wangeweka presha kabla hata rais hajasaini, wako kwenye hii mitandao, wananchi hatuwezi kufuatilia bunge muda wote wao kwanini kwenye shugulizao za kila siku hawakulisema hili

  9. peri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd March 2011
   Posts : 2,553
   Rep Power : 86010807
   Likes Received
   1112
   Likes Given
   213

   Default re: Wabunge wa Upinzani wametuuza (mafao)

   Quote By Nyetk View Post
   Unachekesha kweli. Wabunge wa CCM ndiyo najority bungeni hivyo jambo lolote wanalotaka lipite litapita tu. Ulitegemea wabunge wa upinzani wafanye muujiza gani wakwamishe mswada usipite?
   Kweli ccm ni wengi na tunajua tabia zao, ndo mana hatusemi wametangusha coz hiyo ndio jadi yao.
   Tatizo, hao wanaotegemewa sikusikia hata wakipinga au kuulalamikia huo muswada
   tpmazembe likes this.

  10. tpmazembe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2012
   Posts : 2,424
   Rep Power : 1044
   Likes Received
   517
   Likes Given
   244

   Default re: Wabunge wa Upinzani wametuuza (mafao)

   Ukisema wabunge wa upinzani ni wachache hoja hiyo inakuwa haina mashiko, maana hiyo chadema inapewa nafasi ya kujadili chochote kinachopitiswa. NA PIA KUSEMA HAWANA UWEZO WOWOTE WA KUZUIA KITU NATO SIO KWELI MAANA HIYO KAMBI YA UPINZANI WANGEIVUNJA,basi hata hiyo madini wanayojadili leo haina maana ni bora waache maana haisaidii.HAWA WATU WAMESHINDWA KUTUTETEA LAZIMA TUWASEME.

  11. zululima's Avatar
   Member Array
   Join Date : 22nd July 2011
   Location : tz dar es salaam
   Posts : 84
   Rep Power : 536
   Likes Received
   14
   Likes Given
   257

   Default re: Wabunge wa Upinzani wametuuza (mafao)

   Quote By tpmazembe View Post
   Ukisema wabunge wa upinzani ni wachache hoja hiyo inakuwa haina mashiko, maana hiyo chadema inapewa nafasi ya kujadili chochote kinachopitiswa. NA PIA KUSEMA HAWANA UWEZO WOWOTE WA KUZUIA KITU NATO SIO KWELI MAANA HIYO KAMBI YA UPINZANI WANGEIVUNJA,basi hata hiyo madini wanayojadili leo haina maana ni bora waache maana haisaidii.HAWA WATU WAMESHINDWA KUTUTETEA LAZIMA TUWASEME.
   Cha ajabu wewe TP MAZEMBE Thread umepost wewe na wewe mwenyewe ndo mchangiaji mkuu, acha watu wachangiaje ujibu hoja.
   Invisible and tpmazembe like this.

  12. Echolima's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th October 2007
   Posts : 2,313
   Rep Power : 85904411
   Likes Received
   742
   Likes Given
   1133

   Default Re: Wabunge wa Upinzani wametuuza (mafao)

   Tpmazembe ngoma anapiga mwenyewe,anacheza mwenyewe,anashangilia mwenyewe imekuwa kama Mchezo wa kuigiza.
   yawezekana hata hajui Mswada bungeni unapitishwaje ndo maana analopoka tu

  13. tpmazembe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2012
   Posts : 2,424
   Rep Power : 1044
   Likes Received
   517
   Likes Given
   244

   Default Re: Wabunge wa Upinzani wametuuza (mafao)

   HII NI HATARI SANA, cha kushangaza sasa tunaanza kusikia wengine wanapokea rushwa

  14. makayamwene's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 6th December 2011
   Posts : 4
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   1

   Post Re: Wabunge wa Upinzani wametuuza (mafao)

   Hili si la wabunge wa upinzani tu mkuu,ni suala linalotuumiza watanzania wote hasa tunaowafanya kazi za mikataba ya muda mfupi.Tunatakiwa tulipinge kwa pamoja wote.


  Page 9 of 9 FirstFirst ... 789

  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...