Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

    Report Post
    Page 13 of 27 FirstFirst ... 3111213141523 ... LastLast
    Results 241 to 260 of 523
    1. #1
      Return Of Undertaker's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th June 2012
      Posts : 659
      Rep Power : 541
      Likes Received
      462
      Likes Given
      0

      Default JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

      Source Habari Leo na Jambo leo

      Akiwa mjini Mbeya rais J. Kikwete kasema kuwa ni MARUFUKU kuweka kipengere cha dini kwenye hesabu ya sensa na makazi itakayo anza mwezi ujao na kusisitiza kuwa dhamila ya serikali ni kujua idadi ya watu wake sio idadi ya waumini wa Tanzania na kuainisha kuwa vitu vya msingi ni;

      Kujua idadi ya watu kwa maendeleo ya mipango ya serikali tu hakuna cha ziada.

      Concern

      LIWALO NA LIWE
      nngu007, mwakaboko, Ukwaju and 3 others like this.

    2. Miaka 50

    3. #241
      LOVI MEMBE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th March 2012
      Posts : 514
      Rep Power : 464
      Likes Received
      79
      Likes Given
      5

      Default Re: JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

      Quote By markj
      maimamu wanatafuta nini kanisani? hamna imamu madrasa, bali mwalimu wa madrasa akifanya hicho kitendo tayari amefany dhami na anhukum yake mbele ya mungu, na hukumu zingine za kidunia kulingana na sheria ya nchi, kwani nynyi hamna wanao chakachua vikata mauno vya disco la yesu? ila kwa hili swala la kuoana wanaume limehalalishwa kanisani na ndoa zinafungwa na watu sasa wameamua kutenga mabilioni ya fedha ili ndoa za jinsia moja zishamiri! lakini uislam haujaalalisha mwalimu wa madrasa kufanya ivyo na anhukumu mbele za mungu! ila hili la kusugua nyinyi kwa nyinyi limehalalishwa na mnafanya maombi ili mwanaume aliyeolewa aweze kupata ujauzito! hahaha, hi ni kana iliyoje! ndo mana dunia haiishiwi na mabalaa hii! wanaume kwa wanaume mnakojoleana! khaa
      mambo ya dini yaacheni. hvi unajua maana ya alhaji au mficha siri za mak'ha. na ile ibada ya hija. na wale mak'haba kutoka dunia nzima huwa wanatafuta nini mji mtakatifu wa mungu huko. je unajua ni kwa nini ma alhaj hawaendagi wake zao huko hijja ya makka . je nini siri ya kuzunguka alqabax7? je algaba ni ibada aliyoacha rasul muhamadi swallah al wasalaam! au ni kipingele kichoingizwa ktk uislam kutoka dini za kale za waarabu mabedui!

    4. PhD
      #242
      PhD's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2009
      Location : houston texas
      Posts : 2,621
      Rep Power : 1595
      Likes Received
      681
      Likes Given
      175

      Default re: Kura ya maslahi 2010 inamsuta JK

      Hivi Yule sheikh aw mkoa aw dar ana jina sheikh asad .... Naona kwenye Hafla zote za kiserikali yupo au kishakuwa mkuu aw mkoa

    5. #243
      markj's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th July 2012
      Posts : 1,006
      Rep Power : 547
      Likes Received
      164
      Likes Given
      143

      Default Re: JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

      Quote By LOVI MEMBE
      mambo ya dini yaacheni. hvi unajua maana ya alhaji au mficha siri za mak'ha. na ile ibada ya hija. na wale mak'haba kutoka dunia nzima huwa wanatafuta nini mji mtakatifu wa mungu huko. je unajua ni kwa nini ma alhaj hawaendagi wake zao huko hijja ya makka . je nini siri ya kuzunguka alqabax7? je algaba ni ibada aliyoacha rasul muhamadi swallah al wasalaam! au ni kipingele kichoingizwa ktk uislam kutoka dini za kale za waarabu mabedui!
      wewe ndo bora ukojoe ukalale mana hata haujui kitu! nani kakwambia watu hija hawaendi na wake zao! nani kakwamia pale wanaenda makahaba! skiza wewe pale sio roma ambapo mashoga mnaenda kuozeshwa, we unafikiri sisi ni mafirauni kama nyinyi manao suguana makanisani eti mwanaume anahalalishwa kumuoa mwanaume mwenzake na maombi ya kupata mimba juu! mbwiga mbwiguke wewe! kafiri tu huna unalolijua
      kibai likes this.
      MZUNGU AKIJICHUBUA HUJUE MOYONI ANA UAFRICA!.by stamina

    6. #244
      Crucifix's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 20th February 2011
      Posts : 1,569
      Rep Power : 0
      Likes Received
      430
      Likes Given
      321

      Default Re: JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

      Quote By markj
      tafuta muda uje nikununulie bia za kutosha!
      aisee kama ni bia hata saizi nna muda, wapi bro sheikh?

    7. #245
      Crucifix's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 20th February 2011
      Posts : 1,569
      Rep Power : 0
      Likes Received
      430
      Likes Given
      321

      Default Re: Kura ya maslahi 2010 inamsuta JK

      Quote By PhD
      Hivi Yule sheikh aw mkoa aw dar ana jina sheikh asad .... Naona kwenye Hafla zote za kiserikali yupo au kishakuwa mkuu aw mkoa
      NO BROTHER UNAKOSEA. Sheikh wa Dar alhadji Mussa ni Mstaarabu pengine kuliko mashehe wote. Hana shida na ukristu anajua ni dini jirani. Tatizo ni hivi vibwebwe vya JF islamic community.

    8. FemaTV & Radio

    9. #246
      markj's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th July 2012
      Posts : 1,006
      Rep Power : 547
      Likes Received
      164
      Likes Given
      143

      Default Re: JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

      Quote By Crucifix
      aisee kama ni bia hata saizi nna muda, wapi bro sheikh?
      ushachelewa! mi nalala saizi, kesho pale savvana ndani ya quality kwa manji
      MZUNGU AKIJICHUBUA HUJUE MOYONI ANA UAFRICA!.by stamina

    10. #247
      Crucifix's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 20th February 2011
      Posts : 1,569
      Rep Power : 0
      Likes Received
      430
      Likes Given
      321

      Default Re: JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

      Quote By markj
      ushachelewa! mi nalala saizi, kesho pale savvana ndani ya quality kwa manji
      Nenda zako, usitake kuniharibia swaumu yangu bure!
      vidini vingine bana!

    11. #248
      kibai's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 31st January 2012
      Posts : 160
      Rep Power : 401
      Likes Received
      34
      Likes Given
      27

      Default Re: Kura ya maslahi 2010 inamsuta JK

      Kipengele cha dini, Lol.
      Quote By Crucifix
      NO BROTHER UNAKOSEA. Sheikh wa Dar alhadji Mussa ni Mstaarabu pengine kuliko mashehe wote. Hana shida na ukristu anajua ni dini jirani. Tatizo ni hivi vibwebwe vya JF islamic community.

    12. #249
      Crucifix's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 20th February 2011
      Posts : 1,569
      Rep Power : 0
      Likes Received
      430
      Likes Given
      321

      Default Re: Kura ya maslahi 2010 inamsuta JK

      Quote By kibai
      Kipengele cha dini, Lol.
      wanadai dini ni moja tu, kisha wanasema mtu ahesabiwe na dini yake itajwe; sasa kuna dini ngapi tena hapo?

    13. #250
      sweke34's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th September 2010
      Posts : 2,493
      Rep Power : 1255
      Likes Received
      734
      Likes Given
      1240

      Default

      Quote By Crucifix
      wanadai dini ni moja tu, kisha wanasema mtu ahesabiwe na dini yake itajwe; sasa kuna dini ngapi tena hapo?
      swali zuri lakini hakuna atakaye kujibu...na wala zile hijab na vibandiko tulivyoviona vikipewa semina kama makarani wa sensa, hutasikia hata siku moja vikilaaniwa kwa kushiriki kwao kwenye zoezi hilo..

    14. #251
      elmagnifico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th July 2011
      Location : Brussels
      Posts : 1,930
      Rep Power : 2543
      Likes Received
      539
      Likes Given
      36

      Default Re: JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

      mimi nijuavyo uislam ni mfumo mzima wa maisha ya mwanadamu kwa mujibu wa wa maandiko ya dini ya kiislam. Sasa kama ni hivyo kuna watu hawaendi misikini kuswali hivyo basi wameenda kinyume na definition ya kuwa waislamu. Sasa kitendo cha kuhesabu waislamu katika sensa watahesabiwa wengine ambao si waislamu wale wasio swali lakini wana majina ya kiislamu. Ni bora sensa iwe inafanyika misikini maana wanaoswali ndio waislamu wasio swali siyo waislamu sensa ya taifa itahesabu hata wasio swali.

    15. #252
      babaray's Avatar
      Member Array
      Join Date : 30th July 2012
      Posts : 12
      Rep Power : 345
      Likes Received
      1
      Likes Given
      5

      Default Re: JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

      [QUOTE=markj;4408080][QUOTE=Mbofu;4408047]
      Quote By markj
      JEHANAMU IMEWEKEWA MAKAFIRI KAMA WEWE! YANI MUNGU UNASEMA KAZAA INAMAA MUNGU ALIKUWA NA MKE! ALAFU UYO YESU ALIKUEPO KABLA YA DUNIA, MBONA KATOKANA NA UZAO WA ADAM, SASA KWANINI ADAM ASIMKUTE YESU! INAMAANA YESU NDIYE ALIYEMUUMBA ADAM?MOTO NI WAMAKFRI
      wakuu huyu mdau ni punguani.. mwacheni na upunguani wake.

    16. #253
      Aikaotana's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th November 2010
      Posts : 198
      Rep Power : 471
      Likes Received
      9
      Likes Given
      16

      Default Re: JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

      0fisi ya waziri mkuu - wakristo ni45%-waislamu 35%. TBC1, imetangaza wakristo ni 52%-waislamu 32%.Bodi ya utalii-wakristo ni 45%- waislamu 40%.wakatoliki tovuti yao (www.rc.net)wanadai waislamu ni 34%- na wao ni 44% . KWA NINI? Tafakari Chukua hatua WAISLAMU HAWAHESABIWI, BAKWATA WANAHESABIWA

    17. #254
      Zawadi Ngoda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th August 2009
      Posts : 1,792
      Rep Power : 855
      Likes Received
      98
      Likes Given
      98

      Default Sensa: Kipengele cha dini ni tishio kwa wanasiasa waongo-

      Sensa (idadi ya watu) za nchi zote duniani zina kipengele cha dini kilichokuwa updated kila sensa ispokuwa Tanzania. Swali tunalojiuliza, hivi kwanini Tanzania inakiogopa kipengele hicho? Na watakikataa mpaka lini?

      Majibu ni rahisi sana. Ukitaka kujua ukweli wa ajenda hii fuatilia mgogoro wa sheikh Ponda na Mkapa (awamu ya tatu) kuhusu uwiano wa watumishi wa serikali kidini (Waislam/wakristo). Uwiano huo ulikuwa ni wa ajabu na mwisho wa mgogoro huo ulimlazimisha Mkapa kumuandikia barua Sheikh Ponda na kudai kuwa kimsingi anakubali kuwepo kwa Tatizo hilo, ila ni muhimu itumike busara katika kushughulikia ufumbuzi wake. Hali hiyo ya uwakilishi haibaki tu katika utumishi wa serikali bali ipo katika sehemu zote. Na kwa maana hiyo, ili kuwapumbaza waislam wanasiasa wamekubaliana kutokuwepo kwa kipengele hicho.

      Hiyo busara aliyoitamka ndio hiyo ya KUFICHA TAKWIMU ZA SENSA KATIKA KIPENGELE CHA DINI. Hii ndio sababu kubwa ya kukataa kuingizwa kipengele cha dini, huku wanasiasa wakidai kuwa idadi ya waislam/wakristo hatuijui hivyo vyombo vya habari, watu binafsi n.k wawe mabubu katika kipengele hicho.

      Hili ni swala la kununua muda tu kwani hata kama Sensa hii hakitakuwepo, SENSA zijazo lazima kitakuwepo kwani nchi zote dunjani zinafahamu asilimia ya wakristo na waislam kupitia njia ya kujua idadi ya watu wao. Tanzania haiwezi kuwa nchi pekee duniani itayokikana kipengele hicho milele. Haya ndio moja ya matatizo aiyotuachia Mwl Julius Kambarage Nyerere. Je tuendelee kumuiga kwa hili? Jibu unalo mwenyewe, ikiwa ujamaa ulikufa nadhani na hili life.
      Gavana and MZIMU like this.

    18. #255
      MZIMU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Location : VIRGINIA
      Posts : 1,576
      Rep Power : 0
      Likes Received
      393
      Likes Given
      1013

      Default Re: Sensa: Kipengele cha dini ni tishio kwa wanasiasa waongo-

      Sema usiogope sema! Zawadi sema! Sema usiogope sema. Sisi vijana hatuogopi mafisadi sema! Sisi vijana hatuogopi mabwepande sema!
      "Akili za kuambiwa changanya na zako" By J.K.

    19. #256
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 5,024
      Rep Power : 0
      Likes Received
      227
      Likes Given
      1

      Default Re: Sensa: Kipengele cha dini ni tishio kwa wanasiasa waongo-

      Mkuu umenena. Waambie bakwata na wao wakienda ikulu waombe kufunga mikataba na sio kualikwa ftari na ccm?
      Zawadi Ngoda likes this.

    20. #257
      segwanga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th March 2011
      Posts : 1,340
      Rep Power : 683
      Likes Received
      338
      Likes Given
      0

      Default Re: Sensa: Kipengele cha dini ni tishio kwa wanasiasa waongo-

      Kuna jamaa moja alikuwa na njaa akavaa miwani ya kukuza ili ugali uonekane mkubwa ili ashibe.Sijui kama alifanikiwa.Mwenye uelewe anajua nn namaanisha kwenye mfano huu

    21. #258
      asigwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Location : TANDHANIYA
      Posts : 4,389
      Rep Power : 1265
      Likes Received
      1208
      Likes Given
      1253

      Default Re: Sensa: Kipengele cha dini ni tishio kwa wanasiasa waongo-

      mkikutana na mkuu wa nchi ikulu haya ndio mambo ya kumueleza.......sio kwenda kufuturu ubwabwa ikulu..
      !!..BAR ikiwa na wahudumu wa KIUME TUPU sikai dakika nyingi..!!

    22. #259
      Kyaiyembe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st December 2011
      Location : Kisukuru
      Posts : 1,138
      Rep Power : 604
      Likes Received
      345
      Likes Given
      303

      Default Re: JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

      Quote By Aikaotana
      0fisi ya waziri mkuu - wakristo ni45%-waislamu 35%. TBC1, imetangaza wakristo ni 52%-waislamu 32%.Bodi ya utalii-wakristo ni 45%- waislamu 40%.wakatoliki tovuti yao (www.rc.net)wanadai waislamu ni 34%- na wao ni 44% . KWA NINI? Tafakari Chukua hatua WAISLAMU HAWAHESABIWI, BAKWATA WANAHESABIWA
      Umeanza vizuri sasa tumia mda wako tena kujua Ukweli ingia mitaani ufanye {UTAFITI} ili kunga mua zipi ni takwimu za ukweli.
      "Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
      mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
      By J.K. NYERERE.

    23. #260
      Aikaotana's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th November 2010
      Posts : 198
      Rep Power : 471
      Likes Received
      9
      Likes Given
      16

      Default Re: JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

      Quote By Kyaiyembe
      Umeanza vizuri sasa tumia mda wako tena kujua Ukweli ingia mitaani ufanye {UTAFITI} ili kunga mua zipi ni takwimu za ukweli.
      nimeenda huko mtaani , nikaja na hii, ikafutwa

      1. Kwa nini kipengele cha sensa kiliondolewa?

      Inasadikika kuwa sensa ya mwisho kufanyika wakati wa ukoloni Tanzania ilikuwa na Waislamu asilimia kama 60, Tukisema kuwa serikali ilikiondoa kipengele hiki kwa sababu maalumu ikiwemo kuwa na nafasi ya kuendeleza na kusadikisha takwimu za uongo ili kushamirisha Mfumo Kristo (MK) Tanzania tunakosea?


      1. Kwa nini taasisi mbalimbali za serikali na binafsi zimekua zikitoa takwimu za watu na dini zao?

      Mfano 0fisi ya waziri mkuu inadai wakristo ni 45%-waislamu 35%. TBC1, imetangaza wakristo ni 52%-waislamu 32%.Bodi ya watalii -Christianity and Islam are the predominant religions of Tanzania. About 40-45% of the population practice Christianity, about 35-40% practice Islam.,Tovuti kikatoliki (RCNet) waislamu 34%- na wakristo ni 44%
      Na hapa kuna hoja mbili,
      a) kwa nini takwimu zinatofautiana? na b)kwa nini pamoja na kutofautiana zote zinaonesha wakristo ni wengi kuliko waislamu?
      Kwa kawaida jambo la uongo lazima hukwama, takwimu zinatofautiana kwa sababu ni za uongo, Zote zinaonesha wakristo ni wengi kwa sababu za kukidhi matakwa ya MK.
      Mkurugenzi wa TBC alipoulizwa kuhusu takwimu katoa wapi aliishia kuomba radhi, kakosea, swali ni je kakosea nini? Amekuwa akikosea mambo mangapi ya kitaifa kwa ujumla wake kama lilivyo hili? Huu ndio MK
      3.Kwa nini kiwepo kipengele cha kuhesabiwa kwa nyumba za ibada?
      Waislamu wakisema kuwa kuhesabiwa kwa nyumba za ibada pekee kunaweza kutumiwa na wapotoshoshaji wa Umma kupitia MK, kuwa Wkristo ni wengi kwani siku hizi kuna utitiri wa madhehebu kikristo na makanisa binafsi hata kama yana waumini wachache achilia mbali uyoga wa makanisa yanojiita ya wokovu? Kwa nini nyumba za ibada na sio na wanaoabudu humo?, Serikali inataka kugawa misala misikitini na mabench kanisani?
      Waislamu wa leo ni tofauti na wa enzi hizo, wanajua wanachokifanya na hili la sensa ni moja na mengine yatakuja,hatuhitaji kumtafuta kiongozi wala Sheikn Ponda kwa hili, elimu tulishapata , macho yalishafumbuliwa na Tunaelewa athari za mfumo Kristo katika jamii

      1. Tulisadikishwa kuwa waislam hawakusoma, kumbe data zinaonesha NECTA inawapunguza
      2. Tukasadikishwa kwamba hawajengi Mashule na Hospitali ila wanajenga misikiti, kumbe wenzetu wanajenga kupitia fedha wanazopewa na serikali hii hii kupitia MoU
      3. Tukasadikishwa kuwa nchi hii haina dini , kumbe serikali yetu ina mfumo Kristo ambao haukuandikwa popote lakini unafanya kazi zake kwa siri na waziwazi

      TUMEKATAA KWENDA KWA MATAKWA YA MK, NARUDIA WAISLAMU HATUHESABIWI.
      donkipe likes this.

    Page 13 of 27 FirstFirst ... 3111213141523 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...