Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mwigulu nchemba;mbowe aliponitaka niache upuuzi wangu,nikarudia tena baada ya siku chache

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 29 of 29
    1. #1
      Determine's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th April 2012
      Posts : 238
      Rep Power : 407
      Likes Received
      76
      Likes Given
      96

      Default Mwigulu nchemba;mbowe aliponitaka niache upuuzi wangu,nikarudia tena baada ya siku chache

      Jana ktk hali isiyotarajiwa Mwingulu Nchemba alikiri kutoa matamko ya kuudhi kwa CDM,alisema alipotupa budget ya upinzani,Mh Mbowe alimtaka aache tabia za ajabu km hiyo,lakini yeye NCHEMBA akasema aliponiambia hvyo nikarudia tena kwa kusema sijui nini ...CDM na sebule. n.k

      mytake.. CCM wampeleke Haraka Milembe huyu mtu,na ikiwezekana asiruhusiwe kuhutubia kabla ya hotuba zake kuhaririwa,lasivyo anashiriki kwa kiwango cha juu sana kuiua CCM DHAIFU
      Raia Fulani likes this.
      Kikwete ni Jasiri Sana

    2. #21
      MgungaMiba's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 28th August 2011
      Posts : 318
      Rep Power : 569
      Likes Received
      262
      Likes Given
      3

      Default

      Quote By Zipuwawa View Post
      Tunaweza kuonekana sisi vichaa kwa kumjadili huyu mpuuzi
      Mbona yule Matonya amepata umaarufu mkubwa miongoni mwa ombaomba nchini, kajadiliwa sana, kaandikwa sana magazetini nk, lakini hakutajirika kwa hilo, wacha tu huyu muuaji achanwechanwe na kuanikwa, asiemjua amjue.

    3. #22
      MgungaMiba's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 28th August 2011
      Posts : 318
      Rep Power : 569
      Likes Received
      262
      Likes Given
      3

      Default

      Quote By zumbemkuu View Post
      mwigulu jembe bana, ndo jembe pekee linalotegemewa CCM.
      Kama jembe lenyewe linalotegemewa ndo hili, basi ni uhakika wa kutosha wa CCM kuanguka kwa Kishindo 2015!

    4. #23
      Avanti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th August 2010
      Posts : 704
      Rep Power : 588
      Likes Received
      107
      Likes Given
      262

      Default Re: Mwigulu nchemba;mbowe aliponitaka niache upuuzi wangu,nikarudia tena baada ya siku chache

      Quote By Kima mdogo View Post
      kweli chemba la mavi hilo kazi kubwa kutoa harufu
      Huyu mtu anapaswa kula ban, lakini naona yupo tu hewani, acheni discrimination.

    5. #24
      Man KKK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Location : Ndani ya Laptop
      Posts : 789
      Rep Power : 521
      Likes Received
      94
      Likes Given
      46

      Default Re: Mwigulu nchemba;mbowe aliponitaka niache upuuzi wangu,nikarudia tena baada ya siku chache

      Quote By Kima mdogo View Post
      kweli chemba la mavi hilo kazi kubwa kutoa harufu
      kweli ndugu yangu ili chemba aisee

    6. #25
      Masaningala's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2010
      Location : Kansay
      Posts : 322
      Rep Power : 651
      Likes Received
      71
      Likes Given
      140

      Default Re: Mwigulu nchemba;mbowe aliponitaka niache upuuzi wangu,nikarudia tena baada ya siku chache

      Quote By PrN-kazi View Post
      ni rahisi sana kumjua Nchemba kama ni hamnazo; yupo kama comedy fulani hivi.
      Ni kweli iliyo wazi kuwa 2015 Nchemba harudi tena bungeni. Hata yeye anajua hilo. Iramba magharibi imeandaliwa kamanda wa ukweli. Nae yupo nje masomoni akijiandaa kuchukua jimbo hilo. Bado miaka miwili tu. Tusubiri.
      Stand up for What is Right even If you are Standing Alone.

    7. #26
      Nduka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd December 2008
      Posts : 5,802
      Rep Power : 13851
      Likes Received
      432
      Likes Given
      571

      Default Re: Mwigulu nchemba;mbowe aliponitaka niache upuuzi wangu,nikarudia tena baada ya siku chache

      Quote By Avanti View Post
      Huyu mtu anapaswa kula ban, lakini naona yupo tu hewani, acheni discrimination.
      Apew Ban kwani Mwigulu ni kiongozi wa CHADEMA?

    8. #27
      mshikachuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2010
      Posts : 2,358
      Rep Power : 904
      Likes Received
      435
      Likes Given
      2288

      Default Re: Mwigulu nchemba;mbowe aliponitaka niache upuuzi wangu,nikarudia tena baada ya siku chache

      Hata shetani anaigopa CCM na viongozi wake....mfano ni huyu Mwigulu
      Signature yangu nimeihifadhi kwa mda...usiitumie

    9. #28
      Cheche Mtungi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th November 2010
      Location : POPOTE NIPO
      Posts : 812
      Rep Power : 940
      Likes Received
      23
      Likes Given
      43

      Default Re: Mwigulu nchemba;mbowe aliponitaka niache upuuzi wangu,nikarudia tena baada ya siku chache

      Quote By Determine View Post
      Jana ktk hali isiyotarajiwa Mwingulu Nchemba alikiri kutoa matamko ya kuudhi kwa CDM,alisema alipotupa budget ya upinzani,Mh Mbowe alimtaka aache tabia za ajabu km hiyo,lakini yeye NCHEMBA akasema aliponiambia hvyo nikarudia tena kwa kusema sijui nini ...CDM na sebule. n.k

      mytake.. CCM wampeleke Haraka Milembe huyu mtu,na ikiwezekana asiruhusiwe kuhutubia kabla ya hotuba zake kuhaririwa,lasivyo anashiriki kwa kiwango cha juu sana kuiua CCM DHAIFU
      Hajui analolifanya,anatumika tu huyo,ni suala la muda tu!
      We can not Reverse the past,but we can learn from it!

    10. #29
      Kigogo's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 14th December 2007
      Location : Calabash
      Posts : 8,484
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1302
      Likes Given
      318

      Default Re: Mwigulu nchemba;mbowe aliponitaka niache upuuzi wangu,nikarudia tena baada ya siku chache

      mnajadili watu wanaofumaniwa gesti na wake za watu?

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...