Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

    Report Post
    Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
    Results 41 to 60 of 79
    1. #1
      mkigoma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th July 2011
      Posts : 486
      Rep Power : 330
      Likes Received
      82
      Likes Given
      0

      Default Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

      ni kati ya hoja zinazojadiliwa hapa kigoma mjini wengi wana muona mbowe kama kibaraka wa CCM, kwahiyo wanaona ukombozi kwao kama ndoto kwa kuwa kinaongozwa na mbowe ambapo wengi wanamuona kama ni kibaraka. Hoja wanazozitoa kuwa eti baba yake Mbowe alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerere na hata katika wakati wa uhujumu uchumi Nyerere hakumgusa kabisa mzee Mbowe, na hata jina la Freeman lilitolewa na Nyerere ambaye ndiye baba yake wa ubatizo wa Freeman Mbowe.

      Je, huyu ndiye mtu anayeweza kuitoa CCM? Wanahoji wakazi hao kigoma ujiji.

      Najiandaa leo kuhudhuria mkutano wa CCM hapa Mwanga community centre nikawasikilize je? wana jipya? Tusubiri.
      Pasco and mpunumpunyenye like this.

    2. Miaka 50

    3. #41
      mharakati's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 931
      Rep Power : 572
      Likes Received
      258
      Likes Given
      243

      Default Re: Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

      Quote By MIGNON
      Kwenye msiba wa Bob Makani Katibu Mkuu wa CCM aliteleza na Mbowe akanyosha maneno kwa kutoa historia fupi.

      Ndani ya historia kuna mahali alitaja washiriki wa kikao naye mwenyewe akiwepo kama kiongozi wa vijana.

      Inawezekana kabadilika lakini kwa nini awe kibaraka wa CCM sasa ambapo CDM imeanza kupata mafanikio?

      Tujadiliane kwa amani.
      Tatizo la Mbowe siyo kuhisiwa kua kibaraka , bali Mbowe ni mfaidikaji mzuri sana wa historia na mfumo wa CCM, mtu wa namna hii huwezi kumuamini kama atakuja kubadilisha mifumo ya uongozi na ufanisi wa serikali akipewa nchi achilia mbali kurudisha mali zetu zilizoibiwa na kuwafunga hawa wezi...Mbowe ni mtu wa tabaka la juu la wanufaika wa uhuru wa Tz, hawezi kuwaangalia machoni na kuwaumiza na kuwazika wanatabaka wenzake hata siku moja hamna mwanajamii hata siku moja anapingana kiukweli na tabaka lake na kutetea tabaka asilokuepo. Mbowe mjanja tu anataka ubwana mkubwa basi na siyo ukombozi wa wanyonge wa Tanganyika.

      Nawasikitikia wale wanyonge wanaompa matumaini makubwa huyu bwana
      MIGNON likes this.

    4. #42
      MIGNON's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd November 2009
      Posts : 561
      Rep Power : 655
      Likes Received
      171
      Likes Given
      128

      Default Re: Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

      Quote By mharakati

      Umeandika vizuri mno na kweka bayana mtizamo wako.
      Ni ukweli usiopingika kuwa Mbowe ametoka katika familia ambayo tayari kuna nafuu kubwa na wakati mwingine ni vizuri tukaweka wasiwasi uliouonyesha.
      Kwa upande wangu nahisi ya kuwa kwa sasa anakidhi haja kwa changamoto anazotoa katika duru ya siasa ya nchi hii.Sidhani kama bado ana ambition ya Urais na kama ataingia kwenye kinyanganyiro hicho nahisi siasa za udini na ukanda zitapamba moto na si ajabu tukashuhudia vurugu.

    5. #43
      Jipu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd February 2012
      Posts : 929
      Rep Power : 550
      Likes Received
      130
      Likes Given
      8

      Default Re: Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

      swaumu kaliiiiiiiii

    6. #44
      mharakati's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 931
      Rep Power : 572
      Likes Received
      258
      Likes Given
      243

      Default Re: Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

      Quote By MIGNON
      Umeandika vizuri mno na kweka bayana mtizamo wako.
      Ni ukweli usiopingika kuwa Mbowe ametoka katika familia ambayo tayari kuna nafuu kubwa na wakati mwingine ni vizuri tukaweka wasiwasi uliouonyesha.
      Kwa upande wangu nahisi ya kuwa kwa sasa anakidhi haja kwa changamoto anazotoa katika duru ya siasa ya nchi hii.Sidhani kama bado ana ambition ya Urais na kama ataingia kwenye kinyanganyiro hicho nahisi siasa za udini na ukanda zitapamba moto na si ajabu tukashuhudia vurugu.
      CDM kwa pamoja wanatoa changamoto nzuri katika demokrasia yetu...Nafikiri Mbowe na Slaa wote wana baggage hiyo ya udini na ukanda na ikitumiwa vizuri na CCM itawapunguzia kura kiasi fulani. Kuna fununu tu Mbowe anaweza gombea kwa sababu Slaa hajawahi kua na nia hiyo , urais ni nia ya ndani ya Mh Mbowe.
      MIGNON likes this.

    7. #45
      Satoti's Avatar
      Member Array
      Join Date : 22nd May 2012
      Location : Dar es salaam
      Posts : 31
      Rep Power : 358
      Likes Received
      1
      Likes Given
      14

      Default Re: Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

      we kanjanja nin!?

    8. FemaTV & Radio

    9. #46
      mshikachuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2010
      Posts : 2,346
      Rep Power : 898
      Likes Received
      429
      Likes Given
      2283

      Default Re: Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

      Quote By mkigoma
      ni kati ya hoja zinazojadiliwa hapa kigoma mjini wengi wana muona mbowe kama kibaraka wa CCM, kwahiyo wanaona ukombozi kwao kama ndoto kwa kuwa kinaongozwa na mbowe ambapo wengi wanamuona kama ni kibaraka. Hoja wanazozitoa kuwa eti baba yake Mbowe alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerere na hata katika wakati wa uhujumu uchumi Nyerere hakumgusa kabisa mzee Mbowe, na hata jina la Freeman lilitolewa na Nyerere ambaye ndiye baba yake wa ubatizo wa Freeman Mbowe.

      Je, huyu ndiye mtu anayeweza kuitoa CCM? Wanahoji wakazi hao kigoma ujiji.

      Najiandaa leo kuhudhuria mkutano wa CCM hapa Mwanga community centre nikawasikilize je? wana jipya? Tusubiri.
      Je, umeshaihama CUF? Au ndiyo tuendelee kukubali kuwa CUF ni CCM B? RIP CUF...RIP Mkigoma
      Signature yangu nimeihifadhi kwa mda...usiitumie

    10. #47
      JokaKuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2006
      Posts : 6,819
      Rep Power : 2965
      Likes Received
      2419
      Likes Given
      3495

      Default Re: Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

      Quote By mkigoma
      ni kati ya hoja zinazojadiliwa hapa kigoma mjini wengi wana muona mbowe kama kibaraka wa CCM, kwahiyo wanaona ukombozi kwao kama ndoto kwa kuwa kinaongozwa na mbowe ambapo wengi wanamuona kama ni kibaraka. Hoja wanazozitoa kuwa eti baba yake Mbowe alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerere na hata katika wakati wa uhujumu uchumi Nyerere hakumgusa kabisa mzee Mbowe, na hata jina la Freeman lilitolewa na Nyerere ambaye ndiye baba yake wa ubatizo wa Freeman Mbowe.

      Je, huyu ndiye mtu anayeweza kuitoa CCM? Wanahoji wakazi hao kigoma ujiji.

      Najiandaa leo kuhudhuria mkutano wa CCM hapa Mwanga community centre nikawasikilize je? wana jipya? Tusubiri.
      mkigoma,

      ..isije ikawa hao uliowasikia bado wanafikiri Mwalimu Nyerere ni mwenyekiti wa CCM.

      ..uliwadadisi kama wanafahamu kwamba Mwalimu alishafariki, na CCM wamelizika azimio la arusha?

      ..CCM ya JK,Lowassa,na Rostam, ni tofauti kabisa na CCM ya Mwalimu Nyerere na Rashidi Kawawa.
      Jasusi likes this.

    11. #48
      MIGNON's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd November 2009
      Posts : 561
      Rep Power : 655
      Likes Received
      171
      Likes Given
      128

      Default Re: Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

      Quote By mharakati
      CDM kwa pamoja wanatoa changamoto nzuri katika demokrasia yetu...Nafikiri Mbowe na Slaa wote wana baggage hiyo ya udini na ukanda na ikitumiwa vizuri na CCM itawapunguzia kura kiasi fulani. Kuna fununu tu Mbowe anaweza gombea kwa sababu Slaa hajawahi kua na nia hiyo , urais ni nia ya ndani ya Mh Mbowe.
      Hofu yangu kubwani nia ya CCM kubaki madarakani kwa gharama yoyote na udini na ukabila wakiutumia hautatuacha salama na kama uonavyo vichaa wamepewa rungu,angalia mambo yanayojitokeza sasa.

    12. #49
      Remote's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th May 2011
      Posts : 4,246
      Rep Power : 1356
      Likes Received
      941
      Likes Given
      182

      Default Re: Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

      tatizo hapo ujiji kuna watu wanaakili za ki'UAMSHO

    13. #50
      kupelwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th August 2011
      Location : DAR-ES-SALAAM
      Posts : 456
      Rep Power : 482
      Likes Received
      120
      Likes Given
      31

      Default Re: Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

      Quote By mkigoma
      ni kati ya hoja zinazojadiliwa hapa kigoma mjini wengi wana muona mbowe kama kibaraka wa CCM, kwahiyo wanaona ukombozi kwao kama ndoto kwa kuwa kinaongozwa na mbowe ambapo wengi wanamuona kama ni kibaraka. Hoja wanazozitoa kuwa eti baba yake Mbowe alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerere na hata katika wakati wa uhujumu uchumi Nyerere hakumgusa kabisa mzee Mbowe, na hata jina la Freeman lilitolewa na Nyerere ambaye ndiye baba yake wa ubatizo wa Freeman Mbowe.

      Je, huyu ndiye mtu anayeweza kuitoa CCM? Wanahoji wakazi hao kigoma ujiji.

      Najiandaa leo kuhudhuria mkutano wa CCM hapa Mwanga community centre nikawasikilize je? wana jipya? Tusubiri.
      punguza ushabiki kuwa mwelewa hiyo si hoja ya watanzania, watanzania wanataka maisha bora , na endelevu na si mbowe ni kitu kidogo.Ni vyema iwe ccm au CDM ni lazima kuweka mfumo na sera nzuri za kuwaletea maisha bora watanzania, na hasa kuwaondolea kero ya maisha yao na kero zinzowakabili.Lakini kwa sasa kumebakia propaganda za ushabiki wa ghiriba za kiccm huku watanzania wakibaki na kero nyingi amabzo hazitatua matatizo yao.mbowe kawa mwiba mkali ndo maaana mnaweka propaganda

    14. #51
      Man KKK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Location : Ndani ya Laptop
      Posts : 788
      Rep Power : 516
      Likes Received
      94
      Likes Given
      45

      Default Re: Freeman mbowe jembe la kweli

      sioni mada apa

    15. #52
      mliberali's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 13th July 2012
      Posts : 183
      Rep Power : 381
      Likes Received
      51
      Likes Given
      31

      Default Re: Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

      mtoa Mada, mbona huulizi kama mn....ye, mwa...mbe, uncle six, filip...njombe, eas.tr ...ulaya, ni vibaraka wa CDM? au ukibaraka ni one way trafick siyo two way trafick

    16. #53
      MARCKO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2011
      Posts : 1,405
      Rep Power : 683
      Likes Received
      153
      Likes Given
      0

      Default Re: Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

      Hebu jimalize mwenyewe maana hata mbuzi akijisikia kujikuna anatumia pembe yake.

    17. #54
      panadol's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 11th February 2012
      Posts : 352
      Rep Power : 0
      Likes Received
      42
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By JokaKuu
      mkigoma,

      ..isije ikawa hao uliowasikia bado wanafikiri Mwalimu Nyerere ni mwenyekiti wa CCM.

      ..uliwadadisi kama wanafahamu kwamba Mwalimu alishafariki, na CCM wamelizika azimio la arusha?

      ..CCM ya JK,Lowassa,na Rostam, ni tofauti kabisa na CCM ya Mwalimu Nyerere na Rashidi Kawawa.
      Ata chadema itakayoongozwa na Mh Zito ni tofauti kabisa na Chadema inayoongozwa na Mh Mbowe chadema yenye vurugu na fujo!

    18. #55
      panadol's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 11th February 2012
      Posts : 352
      Rep Power : 0
      Likes Received
      42
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By kupelwa
      punguza ushabiki kuwa mwelewa hiyo si hoja ya watanzania, watanzania wanataka maisha bora , na endelevu na si mbowe ni kitu kidogo.Ni vyema iwe ccm au CDM ni lazima kuweka mfumo na sera nzuri za kuwaletea maisha bora watanzania, na hasa kuwaondolea kero ya maisha yao na kero zinzowakabili.Lakini kwa sasa kumebakia propaganda za ushabiki wa ghiriba za kiccm huku watanzania wakibaki na kero nyingi amabzo hazitatua matatizo yao.mbowe kawa mwiba mkali ndo maaana mnaweka propaganda
      Unajidanganya mkuu Mbowe hana mvuto ata kidogo kwa watanzania alishawahi kugombea uraisi kura alizopata ni kutoka kwa mke wake,dada zake,kaka zake na shemeji zake huwezi ata kidogo kufananisha na Zito huyu kijana ana nguvu kubwa kwa wananchi tofauti na huyo baba mvuto wake kisiasa kwa wananchi ni zero,hoja zake ni zero akisimama kuchangia bungeni unashangaa huyu ndiye mwenyekiti wa chama kweli tofauti na Zito hoja zake huwa zinaeleweka vizuri na zina nguvu sana,chadema inaongozwa na Mwenyekiti kilaza!

    19. #56
      armanisankara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2011
      Posts : 273
      Rep Power : 676
      Likes Received
      43
      Likes Given
      108

      Default Re: Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

      Quote By mkigoma
      ni kati ya hoja zinazojadiliwa hapa kigoma mjini wengi wana muona mbowe kama kibaraka wa CCM, kwahiyo wanaona ukombozi kwao kama ndoto kwa kuwa kinaongozwa na mbowe ambapo wengi wanamuona kama ni kibaraka. Hoja wanazozitoa kuwa eti baba yake Mbowe alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerere na hata katika wakati wa uhujumu uchumi Nyerere hakumgusa kabisa mzee Mbowe, na hata jina la Freeman lilitolewa na Nyerere ambaye ndiye baba yake wa ubatizo wa Freeman Mbowe.

      Je, huyu ndiye mtu anayeweza kuitoa CCM? Wanahoji wakazi hao kigoma ujiji.

      Najiandaa leo kuhudhuria mkutano wa CCM hapa Mwanga community centre nikawasikilize je? wana jipya? Tusubiri.
      baba yake mbowe alikua fisadi mkubwa miaka ya nyerere. ndo wazee wachache nyerere aliwaachia kuiba fedha zetu...

    20. #57
      kbosho's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th June 2012
      Location : dar es saalam
      Posts : 1,476
      Rep Power : 645
      Likes Received
      184
      Likes Given
      33

      Default Re: Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

      basi! waaamie ccm! watapata uoukombozi! nazani baada ya masia kurudi

    21. #58
      Jakubumba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th March 2011
      Location : United states
      Posts : 1,147
      Rep Power : 713
      Likes Received
      298
      Likes Given
      123

      Default

      Quote By mpepalilambo
      Wewe nakufahamu personaly unafilwa na magwanda. Na ndo unalipwa toka asubuhi hadi jioni upo jamii forum **** sana muosha ****** mkubwa
      Naona mods wamelala hakuna bun leo

    22. #59
      Sir Wily's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 26th July 2012
      Posts : 7
      Rep Power : 344
      Likes Received
      0
      Likes Given
      4

      Default Re: Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

      Quote By ruttashobolwa
      Hoja ya kitoto!
      we gamba unatoka wap kwenye hii thread

    23. #60
      Jasusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2006
      Posts : 10,612
      Rep Power : 2890
      Likes Received
      3831
      Likes Given
      12203

      Default Re: Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

      Quote By MIGNON
      Umeandika vizuri mno na kweka bayana mtizamo wako.
      Ni ukweli usiopingika kuwa Mbowe ametoka katika familia ambayo tayari kuna nafuu kubwa na wakati mwingine ni vizuri tukaweka wasiwasi uliouonyesha.
      Kwa upande wangu nahisi ya kuwa kwa sasa anakidhi haja kwa changamoto anazotoa katika duru ya siasa ya nchi hii.Sidhani kama bado ana ambition ya Urais na kama ataingia kwenye kinyanganyiro hicho nahisi siasa za udini na ukanda zitapamba moto na si ajabu tukashuhudia vurugu.
      Hata kina Kennedy Marekani walitoka familia iliyokuwa na unafuu. Ingeeleweka kama akina Kennedy wangekuwa Republicans, lakini haikuwa hivyo kwa sababu walikuwa na moyo wa kumsaidia the little guy. Hii ya kutoka familia yenye unafuu haikufanyi uwe bwanyenye kimantiki na kimtazamo. Marehemu Edward Kennedy was the most liberal senator the Democrats have had. Ukiangalia siasa zake, usingefikiria kuwa ametoka familia ya mamilionea.
      MIGNON likes this.

    Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...